Mbowe kushinda ngumu sana hatujaona wanachama wanaomuunga mukono tofauti na ninyi machawa 100. Mbowe must go
@solomtz704912 күн бұрын
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@josephatkajange871412 күн бұрын
Pole sana kwa kazi ngumu tuliyonayo bwana mdogo. Lakini ukae ukijua nyumba iliyojengwa kwa zaidi ya miaka mitano inaweza kubomolewa kwa dakika moja.
@RwegoshoraPatt-os2ik12 күн бұрын
Huyu ni kasongo yeyee 😂😂😂
@Laluma202313 күн бұрын
Team mbowe ni CCM B wanaochimba midahalo
@solomtz704912 күн бұрын
Kabisaaaaa….Atupishe bhana
@ProphetM-c9o12 күн бұрын
Lissu ndo habari ya mjini kwa sasa. Tunamtaka Lissu kwa sasa.
@solomtz704912 күн бұрын
Aokoe hili Taifa……huwezi kutoa mapepo kwa kuyabembeleza
@moureen744612 күн бұрын
Muuliza maswali 🙌🙌🙌🙌🙌
@MichaelMmaje11 күн бұрын
Kila zama na kitabu chake mzee...!! Hii zama ni ya Tundu Antipas lisu🎉❤
@emmanuelmayunga151812 күн бұрын
Mbowe hana lolote kwa sasa,Lissu ndio tunamtaka watanzania 🎉🎉
@SilveryMasalu13 күн бұрын
Zito Kabwe,Chacha Wangwe, Cessil Mwambe, Fredrich Sumaye na sasa Tundu Lissu kugusa tu form ya uenyekiti taifa shida inaanza kuna nini katika chama cha Chadema?
@JosephineKabuka12 күн бұрын
Hapa sasa kapatikana😂
@sebastiansalamba31312 күн бұрын
Mbowe kushinda ni ngumu na ikitokea hivyo chadema kwa heri imekwisha
@solomtz704912 күн бұрын
🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@GodfredAlfredNgarama13 күн бұрын
Nyie mmefanya uhuni miaka mingi kwa sasa hatuna shida na wahuni tunaendelea mama wahuni basi.
@gilbertngowi207213 күн бұрын
Tuko na Lisu
@solomtz704912 күн бұрын
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@beinafuu621913 күн бұрын
Na hao usiowstaka ndo wapiga kura kwenye uchaguz wa wabunge mtakuja kwetu
@furahamwikombo-p7g13 күн бұрын
Acha Dharau...mnajiita waipga kura...Hata kwenye Uchaguzi mkuu,,,mtahusika wenyewe,,,,Sisi hatutashiriki....Endeleeni kudhamianiana wenyewe,,,,bla kuthamini wananchi...mtaota moto..
@sambulugu998812 күн бұрын
Huyu nani kwanza mimi sijawahi hata kumuona? Pumba na ujinga mwingi sana! Mimi sio CHADEMA ni mpiga kura mwananchi wa kawaida ila LISU ndo namtaka!
@1stladyafrica40212 күн бұрын
Msukule wa Mbowe na wenje huyu
@solomtz704912 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 🤦🏿🤦🏿🤦🏿🤦🏿
@AyyanJambau12 күн бұрын
Kauli ya kusema hiki chama ni kikubwa pasipo viongozi wanaoaminika hiki chama sio kikubwa hayo ni maneno kama maneno mengine ya kwenye kanga hasa za ccm
@AgnessKissinga12 күн бұрын
Ee mungu wetu mtie sauli mikonon mwa DAUD. usichuache Mungu wetu.
Acha kudanganya,,sisi huku tunaona lisu na heche Wana nguvu kuliko huyo mbowe maridhiano😮
@EmmanueNzilano13 күн бұрын
Hukumulewa Lema tunamkubali
@hoseawilliam113512 күн бұрын
Mbowe anachaguliwa afanye nini alichoshindwa miaka 20?
@solomtz704912 күн бұрын
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@epimackjohn46113 күн бұрын
Hapa mwishoni hali ni ngumu sana , MUNGU avushe JAHAZI hili salama .
@Alphonce22312 күн бұрын
Nyie mnaongelea Wana chama wapiga kula 1300 ila wananchi wenye kupiga kula kitaifa awamtaki mbowe
@AgnessKissinga12 күн бұрын
Mm naamin Upande wa mwenye haki utashinda tu! MUNGU WETU Tupiganie baba. Kila shimo walochimba wadumbukie wenyewe. Mungu wetu tukumbuke baba.
@SaidiMohamedi-n2u13 күн бұрын
Wapambe wa mbowe hawana majibu Wana histori
@godfreylyimo417713 күн бұрын
Mbona kama hajibu maswali? Issue ya Lema imeingiaje?
@Laluma202313 күн бұрын
Sema Mbowe kachimba mdahalo hana chakuongea
@JosephMtui-vw9dn13 күн бұрын
Kizuri cha jiuza na Kibaya cha jitembeza tunamta lisu
@PeterJonathan-c8k13 күн бұрын
Mbowe hana jipya alikimbia mdahalo
@YusuphNanguka12 күн бұрын
Kuna maslahi gani kwa Mbowe kung'ang'ania u mwenyekiti kila anapotokea mpinzani katika nafasi yake😢😢😢😢mm ni mpiga kura wa chadema kwa chaguzi za awam 4 sasa...tunasubiri kuiona demokrasia ndani yenu ikikosekana hatujapata mbadala wa ccm bado....
@farijala113 күн бұрын
Mbona Hajajibu maswali ya Media nk?
@JoshuaMollel-k8h12 күн бұрын
Yaani Sijawahi Kuona,Msimamizi Wa Kampeni Za Mtu Asiyejua Anachokifanya Kama Huyu.
@RESTITUTAMOLLED-mp3pp13 күн бұрын
lisu is moving forward
@samsonpeter466613 күн бұрын
Lisu chairman
@furahamwikombo-p7g13 күн бұрын
Mafuliko,,,Tsunami,,na Ushindi wa Lisu,,,Hamuwezi kuzuia hata kwa Rushwa..
@denisipaulo778513 күн бұрын
Mbona ajibu alichoulizwa
@furahamwikombo-p7g13 күн бұрын
Huwezi kusema kipa ameshinda mechi peke yake..huwezi kusema Tasisi anaendeshwa na mtu mmoja..
@DiwaniMwafongo13 күн бұрын
Ni hopeless na with zero brain, kuanzia Mbowe na timu yake. Hawajibu maswali ,wanahutubia ni kubwabwaja tu!! Tunawambia chagueni Lisu or else chimbeni kaburi la chadema!!
Kenge kwer unaulizwa vingine unajibu vingine tunasema vyombo vya habar mnawafukuza kwann
@TumainiPaulo12 күн бұрын
Mbowe apumzike na sifa ya mwalimu mzuri nikuwaamini anaosema amewatengeneza Kama huwezi kumwachia makamu wako unataka umwachie Nani nafasi ya uenyekiti?
@Abdallahsilima-y5i12 күн бұрын
Ccm leo wamepiga kura kuchagua makamo mwenyekiti wao. Uchaguzi ambao unawajumbe zaidi ya alfumbili lakini walitumia sizaidi yasaa moja namatokeo yamepatikana wasiwasi wetu uchaguzi wa chadema aambao wajumbewake hawafiki 1400 matokeoyake yanaweza kuchukua zaidi ya masaa sita ikitokeahivi kutakua na wasiwasi wa amani
@sewandomkuchu926712 күн бұрын
CCM hawakuwa na uchaguzi..
@sewandomkuchu926712 күн бұрын
Uchaguzi ni pale kuna pande mbili au zaidi...tena zina nguvu zinazokaribiana...na wapiga kura wakiwa huru kuchagua na wakichagua mgombea kutangazwa kwa uhuru na haki.
@IssaKaminyoge12 күн бұрын
Wewe ni means ccm tu mlibariki covidi huku nanyinyi mnsshanga waongo tu Baki na bowe wako
@JenifaWilbad12 күн бұрын
Kilaza promax
@sanjwiabel120412 күн бұрын
Wajumbe mchagueni mbowe, muone Chadema itakavyopasuka kama chama cha cuf.
@millitarybattalion751512 күн бұрын
Wahuni hao.. wanaogopa uchaguzi Ukiwa Live na vyombo vingine watashindwa kupika kura
@olwinmbangwa205612 күн бұрын
"Anaungwa mkono na wapigakula". Tungependa wagombea waungwe mkono na wapiga KURA
@RamaHRIzmaelov13 күн бұрын
😂😂😂😂Aisee Mbowe kazungukwa na VILAZA,,duh!!
@1stladyafrica40212 күн бұрын
Kama makamu wake tu ni Wenje unatarajia nini😂😂😂
@MishiMishi-c5y12 күн бұрын
Lisu anashinda acheni kuua chama
@DavidDanken-uf7kp12 күн бұрын
Dan technology iogope Kuna wakat utakumbushwa hayaunayoongea
@Laluma202313 күн бұрын
Amekwenda Ikulu kulamba Asali
@festokivuyo712112 күн бұрын
Ikiwa mnatuzi mbowe kwa sababu tu mnataka kiti ambayo huyu atakua mstaafu wanu hivi mna akili sasa mmesha tengeneza uwadui wa watu w chadema ile naomba mungu awape hekima
@JumaMartin-e4v11 күн бұрын
Ongea kiswahili unao taka wakuelewe na kukuunga mkono ni waswahili sio wazungu tumia lugha ya kiswahili ndio lugha tunayo ijua.sikwako ujumbe huu uwafikien wote mnaotumia kingereza mambo yanayo husu taifa letu.tunahitaji kujuwa nini kinaendelea.nini maana ya lugha?
@prochesytesha804012 күн бұрын
Asnt
@davidjoachim239811 күн бұрын
Sera zipi mnaitwa kwenye mdahalo mnakimbiya na Mbowe waako
@stewartdyamvunye-wz6rn12 күн бұрын
Hivi ndugu zangu mkiangalia kwa makini (kikwetu: " to read between the lines.") huyu jamaa mi naona kwa sura anafanana - ni kaka yake na Ahmad Kombo (chawa wa rais Samia), na hata jibu yake maswali mtiririko wa kujenga hoja unashabihiana na Kombo!
@JoramNkingwa13 күн бұрын
Lisu
@davidjoachim239811 күн бұрын
Katika vyombo 100 vilivyoomba mdahalo na mbowe ajabu hujafanya mdahalo hata mmoja chawa unaongeya ujinga
@MoEd-k8w12 күн бұрын
Kwa namna anavyozungumza inaonesha kabisa wanajipanga kuiba uchaguzi. Makundi mengi yamemuunga mkono Lisu, hao wapiga kura wakumpitisha mbowe wanatoka wapi? Baada ya hapo mtaikosoa kweli ccm?
@RwechungulaBegumisa12 күн бұрын
Yani ukiyasikiliza mateam Mbowe ni Majambazi ya Maccm
@Mjeda-q1m12 күн бұрын
Mbowe Yuko kwa akili ya maslahi *kama angekuwa kwa akili ya upinzani angewasikiliza wanachadema na wananchi Wanamtaka Nini *mbowe akipita hiyo miaka atakayotumikia atahakikisha anachukua chake na anahalibu ili atakayekuja aanze upya *mbowe alishalamba asali *kitendo Cha kueleza kwamba amefuatwa na wazee c kweli hakuna wazee wanaoweza kukubali chadema ife labda wazee wa dili
@tzonespices973413 күн бұрын
Sijaelewa ulivo mjibu mwandishi
@samwelombeni685012 күн бұрын
Mimi mwenyewe sielewi pia;
@JescaNyambo-q3c12 күн бұрын
Huna jipya kaka lengo ni kuhalibu chama chetu muacheni lisu awe mwenyekiti wetuuuu
@abuubaya761412 күн бұрын
MBOWE NI TAPELI WA KAWAIDA SANA
@AgnessKissinga12 күн бұрын
Jaman huyo mtu mbona haongei kwa mpangilio mpaka sasa cjaelewa anasema nn au kuna anaeelewa??
@FelixMurishi12 күн бұрын
Wewe ni chawa wa Mbowe hufai
@Peterchipemba12 күн бұрын
Huyu jamaa ni hafifu sana wa kujibu maswar,,au ni dhoofu sana kupambanua maswali,,mi simwelewi,,au we jamaa unamwelewa
@godwinshoo503213 күн бұрын
Hakuna hata swali moja ulilojibu ila kelele nyingi na hizo zimekuwa ni tabia kambi hii na ndiko chadema inakoelekea na mbowe akishinda upinzani utachukua muda mrefu kujijenga upya!
@GodfredAlfredNgarama13 күн бұрын
Samia juu sana sana, nyie ni wahuni sana.
@EricTrillz12 күн бұрын
MBOWE APUMZIKE MIAKA 21 INAMTOSHA.
@GodfredAlfredNgarama13 күн бұрын
Wewe ni chawa kabisa
@rahabnkya827613 күн бұрын
18, 19, 20na 21@😊😊😢😢😂😂❤
@wigilyacncheyojr46113 күн бұрын
kuma la mama ako
@beinafuu621913 күн бұрын
Kwa hiyo mbowe hatatoka liini sasa.kama mapovu yanawatoka hivyo
@daudimaembe336012 күн бұрын
Aliyetakiwa kudhihirishia umma kwamba kutakuwa na uchaguzi huru na haki ni John Mnyika, Katibu Mkuu.
@ishengomanelson12 күн бұрын
Anayesema Wa-afrika ni nyani nawasifu sana. Sikuwahi amini kuwa eti sisi chanzo chetu ni nyani na kama wengi mnavyojua nyani alivyo na tabia zake. Nikiiangalia Afrika na Waafrika, napata shida sana kugomea hizi nadharia ambazo nahisi leo ni ukweli na sio nadhalia tena.
@GodfreyOsward12 күн бұрын
Ni upogo wetu. Ujawai ona Nyani weupe.
@ceomomtz12 күн бұрын
Anajua maana ya neno mdahao? Mbowe anapokea mialiko ya midahao katika vyombo vya habari zaidi ya 100? Who is he going to debate with in those TV stations?
@GodfredAlfredNgarama13 күн бұрын
Kwa hiyo na darali anafaa kuwa makamu wa mwenyekiti?
@furahamwikombo-p7g13 күн бұрын
Naftari unajikologa,,,mara wananchi haituhusu,,,Mara wananchi ndio wanachama..Unajichanganya sana..
@1stladyafrica40212 күн бұрын
Huyo naftali hajawahi kushinda chochote anachogombea anawalisha matango pori tu hapo
@MagakaManyanya12 күн бұрын
Huyu jamaa ana akili sana
@HASSANBAKARI-q9c12 күн бұрын
We kandia ila peleka mtoto wako shule,,,izo mbanga uwez kujibu wala kuuliza bila shule...
@edwindavid703712 күн бұрын
Jama, huyu mbona hajibu maswali ni kama anamuatack Lema tu, halafu sijawahi sikia akisema watu waje mkutanoni
@Peterchipemba12 күн бұрын
Lissu kwanza,,mengine badae
@ValeriJummane12 күн бұрын
Hivi huyu ana jua analoliongea au mbona sjamwelewa point Yake
@JescaNyambo-q3c12 күн бұрын
Jibu swali sio poloponganda
@OswardAbdalla12 күн бұрын
Jibu unachoulizwa haujaukizwa wagombea usiwe Kama wenje umeshiliki kuiba kula za msigwa lakini hizi za lisu na heche mtakoma wewe mwanashelia wa kesi za mahakama ya mwanzo
@ProphetM-c9o12 күн бұрын
Kaka, Freeman Mbowe alikimbia mdahalo jana, acha kupepesa macho. Mbowe hawezi kushindana na Lissu ndo maana alikimbia mdahalo jana.
@hoseawilliam113512 күн бұрын
Aache ndimi mbili
@SebastianCharleskayanda12 күн бұрын
Wewe mwenyewe ulikimbinzwa na rushwa siku ya uchaguzi wa bawacha
@beinafuu621913 күн бұрын
Sio leo halimwambia lema kachoka.halisema msoma kua mwaka huu agomei tena.leo unasema het kashutukizwa
@FadhilVuaa12 күн бұрын
Sisi tupo na lisu
@chuchumeta837412 күн бұрын
Wakati wa lissu
@mohamedturanardan887113 күн бұрын
Team mbowe = CCM B
@bishopmosesmagadula757212 күн бұрын
MBOWE YUKO VIZURI HAJABADILIKA NA YUKO IMARA KTK SIASA YA UPINZANI LAKINI WAKATI WAKE NDIO UMEISHA SASA CHAMA KINA MTAKA LISU..APEWE LISU AONGOZE CHAMA
@furahamwikombo-p7g13 күн бұрын
Yaani hapa atakuja tena,,,Kuwamaliza...sisi tunamwamini Lema,,,sio wewe mwenzangu namimi..