Hichi kisa huwa nakipenda san❤ maasha Allah napenda kukisikiz
@awadhgugu3172 жыл бұрын
Ya Allah msamehe shekh Nassor bachu dhambi zake na umpe rehma zako na umuepushie moto. Amen ya Raabby ni mengi mazuri na mema umetuachia Allah atufanyie wepesi tuongoke katika njia ya watu wema na tue na mwisho wema In sha Allah Amen. Allah akbar
@sogoyikissoyi84004 жыл бұрын
Allah akurehemu na akulipe kwa kadri yake
@maryamoman59266 жыл бұрын
Aallah akuwek peponi yarab
@rahmasalum71075 жыл бұрын
Mashallah mwenyez mungu akupe fungu lako huko uliko kwa kutupa mafundisho mazuri
@sabiyuzk10525 жыл бұрын
Allh akupe kauli sabti lnshaaallh
@abdulramankijongs42696 жыл бұрын
In shaa Allah Allah s.w.t amrehemu sheikh wetu in shaa Allah na ummah wote
@fatmah12mohamd465 жыл бұрын
Amiin mola akurehemu
@abuuduniahashim75536 жыл бұрын
Allah akulipe kwaukumbusho huu
@khamismussa63086 жыл бұрын
Ya Allah tulinde na moto na utujalie pepo in sha allah
@MrMombasa0111 жыл бұрын
mwenyezi mungu inshalla amsamehe madhambi yake.
@yahya38812 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu ampe umri na afya njema Shk. Nassor Bachu..