Mwanzo Mwisho Historia ya SEWA HAJI Mhasisi wa Hospitali ya MUHIMBILI

  Рет қаралды 14,887

Charles Kombe

Charles Kombe

Күн бұрын

#HomeOfUntoldStories #CharlesKombe
______________________________________________________________________
MATUKIO YA KUTISHA: rb.gy/zol9ix
MAKALA ZA KUSISIMUA: rb.gy/h3pkse
MAKALA ZA HISTORIA: rb.gy/wg2aax
For brand and partnership inquiries: charleskombetz@gmail.com
#youtube
#youtuber
#subscribe
#youtubelikes
#youtubevide
#youtubemarketing
#youtubeviews
#instavideo
#youtubeuse
#youtubelife
#youtubesubscribers
#youtubelive
#youtubecreator
#youtuberewind
#youtuberp
#youtubepremium
#video
#vlog
#live
#life
#youtubechannel
#memes
#twitch
#viral
#lol
#trending
#newvide
#youtubevideos
#youtubemusic
#youtubechannel
#video
#live
#youtubecreator
#subscribe
#viral
#tanzania #tanzaniaweddings #tanzanianweddings #tanzanian #tanzaniasafari #visittanzania #madeintanzania #tanzaniawedding #arushatanzania #tanzaniaunforgettable #ligikuutanzaniabara #tanzaniafashion #tanzaniapremierleague #intanzania #tanzaniaparks #mytanzania #tanzaniangirl #traveltanzania #vscotanzania #mwanzatanzania #tanzanianwedding #safaritanzania #forextanzania #changetanzania #tanzanianfashion #exploretanzania #tanzaniampya #tanzaniaphotography #simbasctanzania #igerstanzania #tanzaniayaviwanda #tanzania2019 #hereistanzania #mtanzaniadigital #igtanzania #tanzaniadestination #tanzaniadaima #kaributanzania #tanzanianationalparks #tanzaniayetu

Пікірлер: 24
@KilianBernad
@KilianBernad 10 ай бұрын
Sawa.Sewa.hakujenga.Muhimbili.toeni.taarfa.sahihi
@kemantobi1293
@kemantobi1293 11 ай бұрын
Jamii yeru tunatakiwa kuyaishi na kuyaenzi mema na ya kuigwa na mpendwa wetu marehem SEWA HAJI MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA.
@charleskombe
@charleskombe 11 ай бұрын
Kweli kabisa
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz Жыл бұрын
Allah amraham amsameh alippkosea
@arafahhh5574
@arafahhh5574 Жыл бұрын
Ni bahati kubwa mhindi kuwa na roho nzuri kama hii maana wabaguzi na roho mbaya saana
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 6 ай бұрын
👊✌👍.
@vaikaayagadiel520
@vaikaayagadiel520 3 ай бұрын
Ilikuwaje ikaitwa st Magreth?
@HamidaSeif-c8u
@HamidaSeif-c8u Жыл бұрын
mwenyezimungu ampe baraka ktk mema mengi aliyofanya mpaka sasa jengo la SEWA HAJI bado linatumika kulala wagomjwa. Leo nimetambua WARD YA SEWA HAJI maana yake
@CharlesMulaki
@CharlesMulaki Жыл бұрын
He was agood man rip sewa mohamed
@mamlomamlo9064
@mamlomamlo9064 Жыл бұрын
Muhindi wanamchango mkubwa hapa nchini lakini Bado wanaangaliwa tofauti wanahesabika sio wazawa
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
Nani kawaona sio wazawa wahindi wanaviwanda mabiashara nano kawahi wagusa,
@abuibra
@abuibra Жыл бұрын
Alikua akinunua pembe za tembo na meno ya ndovu vipi kijana mbona unatupanga.
@kevinmary7129
@kevinmary7129 Жыл бұрын
Kama kila mgeni aliyefika na kujenga chuo, darasa ,hospitals ,barabsra etc in Tanzania basi kila kitu kilichopo tz wazungu wale missionaries wamejenga shule 50% tz na vyuo tz mhindi mfanya biashara aliyekuwa kurudisha kwa jamii mbina wapo wengi sanaaaaa tz wazungu, wahidi, America, waafica na warabu haf wachina
@abdulbakari1220
@abdulbakari1220 Жыл бұрын
Wazungu walidhulumu shule zilizojengwa hapo kabla wakazigeuza shulezao
@nassoromohammed29
@nassoromohammed29 Жыл бұрын
sewa haji hakujenga muhimbili sewa haji alijenga hospitali hapa polisi trafiki ikawa hospitali ya kifua kikuu kule muhimbili aliitwa sewa kwa heshima tu ya mchango wake hakujenga muhimbili yeye kafa ulfu mia nane wakati huo muhimbili haiko toeni taarifa mkiwa na uhakika msidanganye watu
@hafidhkhamis731
@hafidhkhamis731 Жыл бұрын
Hebu twambie wewe nan alijenga ile hospital ya muhimbili usikosoe tu
@dismaslalubare4196
@dismaslalubare4196 Жыл бұрын
Hivi kuna meno ya tembo na pembe za ndovu kwenye hii dunia....tembo na ndovu ni tofauti ? Fafanua
@medsonmitarambo1007
@medsonmitarambo1007 Жыл бұрын
Nilitamani kujua chanzo cha kifo cha Sewa Haji kilitokana na nini
@YusufSasamalo-uz4ii
@YusufSasamalo-uz4ii Жыл бұрын
Sidhani kama alikua Ismailia,kwa mavazi hayo most likely alikua shia ithnasheria tena alikua ni aliim
@jumanassoro1552
@jumanassoro1552 Жыл бұрын
Hapo katika pembe za ndovu au tembo walikuwa wanajichukulia tu sasa alikuwa ananunua kwa nani apo umetulisha matango poli ni sawa utajili wa said salim baharesa eti alianzia kushona viatu wakati kipindi icho dili pembe za ndovu na za faru wanajichukulia tu wacha bwana warabu wazungu wamechuma sana afrika mpaka sasa katika afrika hii
@mutalemwabugeza1489
@mutalemwabugeza1489 Жыл бұрын
Lakini cha kujifunza, hata kama aliuza hizo pembe, alirudisha fadhila kwa jamii yake ie hospitali katika dini ie makanisa na misikiti. Sasa huyo alikuwa nibwatofauti uweziblinganisha huyo na wapigaji wa sasa wanaoitwa mafisadi.
@jumanassoro1552
@jumanassoro1552 Жыл бұрын
@@mutalemwabugeza1489 mwizi ni mwizi tu tofauti ya majina ukiitwa jambaz mwizi ukiitwa kibaka mwizi ukiitwa mkono mwepesi ni mwizi tu ukiitwa fisadi ni yule yule mwizi kama kimfano mtu msenge anafilwa shoga choko analawitiwa ni ile ile kitu kimoja msenge
@veronicakiganga4547
@veronicakiganga4547 Жыл бұрын
Umenena ndg Jumanne. Wanyonyaji na mabepari tu wote hamna mwema.
@mamlomamlo9064
@mamlomamlo9064 Жыл бұрын
Wahindi waislamu ndio walowacha athari nyingi Sana tatizo weusi mnaojiita wazawa muko kama mizigo ya mavi hambebeki ,nyie kama nyie historia haijandika kitu mnachujua zaidi chuki na husda
JE! ULIDANGANYWA HISTORIA YA ZANZIBAR- MANGAPWANI?
19:50
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 74 М.
MWANZO MWISHO MAPOKEZI YA ASKOFU NZIGILWA ALIPOWASILI JIMBONI MPANDA
23:13
KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC
Рет қаралды 5 М.
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 33 МЛН
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,4 МЛН
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 109 МЛН
Офицер, я всё объясню
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 6 МЛН
DK MOHAMMED SAID/ HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA. SEHEMU YA KWANZA.
29:42
Saimu gwao Online tv
Рет қаралды 3,4 М.
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE : MAOMBI ENDELEVU UFUNGUA MALANGO YA FURSA KWA MUOMBAJI.
1:21:14
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 33 МЛН