Mwanzo Mwisho Hotuba ya Mbowe, Asisitiza Jumamosi Kutoa Msimamo Wake Kugombea Uenyekiti CHADEMA.

  Рет қаралды 26,679

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Пікірлер: 225
@mpeligwamoyo4254
@mpeligwamoyo4254 11 сағат бұрын
Chama Cha chadema kinaenda kuwa kati ya vyama kumi nne visvyo na wafuasi.gombea uone,huo ndio ushauri sahihi.watu wa kawaida wanaomba uondoke Kwa heshima
@AllyjumaAbdalla
@AllyjumaAbdalla 10 сағат бұрын
Tunaitajii lisu ndo mpinzani wa kwelii mbowe umepooza sanaa upinzani ni heka heka ww mpole tunamtaka lisu chizii 😅😅😅
@mkombozierick7828
@mkombozierick7828 9 сағат бұрын
😂😂😂
@salummussa9871
@salummussa9871 12 сағат бұрын
Mbowe wasikudanganye hao viongozi ,, watanzania wamekuchoka huna mvuto
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 12 сағат бұрын
Salum tena kachokwa kwelikweli hana jipya njoo mitaani uwasikie wanachama wao huyo kazi yake kulamba asali
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 12 сағат бұрын
Wakithubutu tu wachache kumdanganya Mbowe, naye akadanganyika na kung'ang'ania madaraka, kuanzia mwakani ACT-WAZALENDO kitakuwa chama kikuu cha upinzani.
@davidsilwamba2465
@davidsilwamba2465 13 сағат бұрын
Tunashukuru kwa kukifikisha chama hapa kilipofika Mh mwenyekiti mbowe MUNGU akubariki sana,ila tunaomba saizi ubaki kuwa mlezi namshauri wachama wakupokee wengine tuwaone nao.
@MichaelKavavila
@MichaelKavavila 13 сағат бұрын
Umarufu wa mboe umeshuka na chama kimepoteza mvuta...hata yeye haaminiki......ili kujenga imani kwamba demokrasia ipo aachie wenziee.naaamini baad ya huu uchaguzi utatokea mpasuko mkubwa sana
@fomenKishaija
@fomenKishaija 10 сағат бұрын
Wewe nikolo
@ShaibuKondo-h1s
@ShaibuKondo-h1s 9 сағат бұрын
Upo sahihi kaka kunywa gongo ulipo nitalipia🙏🏾
@Petermunema-p1m
@Petermunema-p1m 14 сағат бұрын
Miaka 20 yatosha waachie wenzio... ubaki mshauri wa chama
@EmmanueNzilano
@EmmanueNzilano 13 сағат бұрын
Mh.mbowe MUNGU akubariki Kwa uongozi wako mwema lakini Kwa Sasa miaka 20 inatoxha tunakuomba🙏Kwa sasa mwachie lisu anaweza Heshima Yako itaishi hasa kwa wanchama mana na uking'ang'ania utaonekan umenunuliwa na ccm kam akin halima mdee busara Zako bado tunazihitaji ila uwe mxhauri zaidi ❤✌️
@godfreyntibakula5697
@godfreyntibakula5697 12 сағат бұрын
Nakuunga mkono apumzike abaki kuwa mshauri wa chama inatosha
@mkilimamoses2311
@mkilimamoses2311 11 сағат бұрын
Ombi lina mawili, kukubaliwa au kukataliwa.Wote wana haki ya kugombea, haijalishi mmoja amekaa muda gani.Hatutakiwi kuishi kishabiki zaidi.Tuache sheria, kanuni na taratibu zifanye kazi.Kwanini tugawane fito wakati tunajenga nyumba moja?.Tuombe Mungu hekima itawale.
@TumtukuzeMbise
@TumtukuzeMbise 10 сағат бұрын
Mbowe tunahamini wewe ni kiongozi Ila baba tunakuomba kwa heshima tulinde hii tasisi kila sehemu ukiangalia Kuna watu wanavuruga chama kwakusema ubaki madarakani ili iwe hakuna democrasia tuache lisu angalau miaka mitano tumjaribu tu baba yetu,
@JamesAbel-ig8wb
@JamesAbel-ig8wb 13 сағат бұрын
Nakukubali mh Mbowe staafu Kwa heshima mtakigawa chama
@MathewTemba
@MathewTemba 12 сағат бұрын
Mbowe ukichukua fomu uta shinda lakini wanachama utatupoteza wengi utabaki na walio kupigia kura
@kakuruchiganga507
@kakuruchiganga507 9 сағат бұрын
Mbaya zaidi wanaomuunga mkono hawapimi hata maneno yao. Huwezi sema hauna shida na ukomo wa madaraka alafu ukasema unahitahi Katiba Mpya.
@ahz6907
@ahz6907 4 сағат бұрын
​@@kakuruchiganga507wa tz sie wanafiki sana 😂
@leonardpeter8239
@leonardpeter8239 12 сағат бұрын
Mzee wetu pumnzika
@EliaHiluka
@EliaHiluka 10 сағат бұрын
Mzee acha kulalamika mbowe wapishe wengine pia usilipe kiasi kwakujihesabia haki shuka nyenyekea Mungu atakuinua
@StoneLiyanga
@StoneLiyanga 11 сағат бұрын
Mbowe kwa busara ya kawaida fanya inatosha sasa miaka ishirini ni mingi kwa ushauli wangu nibora ujiuzulu kuliko kugombea tena kumbuka utapoteza wana chama wengi sana kwani wataona kama wewe ni king'ang'anizi wa madalaka ,kumbuka hao wana kujaza kichwa ina tosha huna jipya
@asiliyetuonlinetv5063
@asiliyetuonlinetv5063 10 сағат бұрын
Mh mbowe tunakushukuru sana kwa kukijenga chama chetu kwa mateso makubwa na jasho jingi sna,tunakuomba sana mzee wetu hii Legance uloijenga kwa miaka hii yote ungesitaafu tu kwa heshima mzee wetu.,maana hata mzee nyerere aliwahi kushawishiwa hivi hivi na watu walojiita wanampenda Ili asing'atuke kumbe walitaka washibishe familia zao🙏
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 12 сағат бұрын
Mimi nadhani, wakati umefika mh.Mbowe pamoja na mazuri yote aliyokifanyia CHADEMA, aseme, enough is enough. Miongo miwili kuwa madarakani wewe tu, haileti afya hata kama kutakuwa na maneno matamu kiasi gani.
@lusajomwaikambo6058
@lusajomwaikambo6058 10 сағат бұрын
Kaka mbowe miaka ishirini katika uongozi,ni mingisana! Tunatambua mema mengi uliyofanya.Lakini wape na wengine nafasi watoe mchango wao.utakuwa umeilinda heshima yako vyema.
@SteveMweusi-n8x
@SteveMweusi-n8x 11 сағат бұрын
MBOWE tunaomba mwachie LISU nae aongoze tunashukuru ulipotufikisha pana tosha ukigombea tena chadema inakufa tunaona usizoee yaliyopita hii ni kubwa kuliko
@zenasmjema4050
@zenasmjema4050 11 сағат бұрын
Angepumzika TU apishe wengi ne.kwa sababu wao ndio wanatuongoza kwa ajili ya kuwatoa walio madarakani kwa muda mrefu Sasa yeye miaka 20 Bado akigombea Tena nasi tutabakia na Ile zana kuwa kumbe hata waliopo madarakani wanatakiwa waendelee kuwepo .
@hoseap.gambojnr5268
@hoseap.gambojnr5268 12 сағат бұрын
Uwongo unaousema ni uwongo gani Mh. Mbowe??? ....ninakukubali sana kiongozi wangu, lakini sasa inatosha, pumzika kwa busara zako na uachie kiti kwa wengine nao wakiendeshe chama kutoka ulipokifikisha kwenda mbele zaidi.
@anastahiliutawala3879
@anastahiliutawala3879 10 сағат бұрын
Kwa nini apumzike
@alexjohn7361
@alexjohn7361 8 сағат бұрын
​@@anastahiliutawala3879kupisha damu changa iendeshe chamba
@EliaHiluka
@EliaHiluka 10 сағат бұрын
Haupo hapo kwaajili ya kihukumiana tumia hekima na ukomavu wako kisiasa kunyanaza nako ni hekima hivyo kwa maslahi ya chama jifunze kunyamaza pia kaa pembeni wengine wakupokee Kijiji hicho ndiyo demokrasia
@BlandinaLukole
@BlandinaLukole 11 сағат бұрын
Miaka 20 inatosha waachie na wengine. Mbona huna demokrasia kutwa kucha unawasema CCM mbona wanakuzid sana😎😎
@prosperjuma905
@prosperjuma905 13 сағат бұрын
Uenyekiti wa chama tu hung'atuki. Je ukiingia ikulu?
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 11 сағат бұрын
Lissu hajatukana niwasuwasi wenu kwasababu mnataka kuwaleta COVID 19
@King_186
@King_186 10 сағат бұрын
Kiukweli Mbowe ni kiongozi mwenye hekima na anajua sana siasa,,,ila kwa sasa inaonekana ili kulinda heshima aliyoijenga,,angestaafu kwanza abaki kuwa mshauri wa chama,
@LazaroAmos-pu2ps
@LazaroAmos-pu2ps 11 сағат бұрын
Wote wanaimba biti za ccm
@igulug5450
@igulug5450 14 сағат бұрын
MIAKA 20 BADO UNANIA TU KWA NINI USIACHIE WENZIO NDO MCHUKUE NCHI MTAACHIA KWELI KAMA CCM TU MWENYEKITI MIAKA 10 WEWE NJE HATUKUELEWI MAONO YAKO
@CharlesLobulu
@CharlesLobulu 12 сағат бұрын
Madaraka ni matamu sana,,, yoweri kaguta museveni yupo madarakani Kwa zaidi ya miaka 30 Sasa.
@andongwisyekimeme8976
@andongwisyekimeme8976 11 сағат бұрын
Tunashukuru sana mwenyekiti wetu ila stafu heshima ibaki kuliko kushindwa
@johnmaumba9110
@johnmaumba9110 8 сағат бұрын
Mwenye akili timamu hawezi kubaki kwenye hiki chama tena, Kwa sasa kinakera HABARI ya mjini ni MAMA SAMIA
@mangashajunior242
@mangashajunior242 13 сағат бұрын
Mwachilie Lissu itapendeza na kuonyesha ukomavu....
@ernestlalu2067
@ernestlalu2067 27 минут бұрын
Nionavyo Mbowe atatishiwa na watu wa system kwamba ukimwachia Lissu, atafanyiwa rafu hamtapata diwani wala mbunge, maana watu hawapendi strong resistance, maana wanafaidika na upinzani legelege, hivyo Mbowe atagombea amini hivyo.
@augustinolyakurwa6777
@augustinolyakurwa6777 11 сағат бұрын
Mbowe kaa na lisu muyamalize
@GivenMgala
@GivenMgala 9 сағат бұрын
Mweshimiwa mbowe asante ila tunakuomba mwachie lisu
@peterbony3224
@peterbony3224 10 сағат бұрын
Umepigana vita ila inapendeza umwachie lisu utakuwa na heshima sana kwa jamii ya watanzania
@simonmwamgeni8162
@simonmwamgeni8162 8 сағат бұрын
Dw. Mbowe ni mtu mwenye busara sana. Naamini, baada ya kutafakari kwa kina, na kwa manufaa mapana ya chama, ataamua kutogombea.
@ShaibuKondo-h1s
@ShaibuKondo-h1s 9 сағат бұрын
Lissu ndo mwenyekiti anayehofiwa na ccm
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 11 сағат бұрын
MH. FREEMAN MBOWE STAFU ULINDE HESHIMA YAKO, UMEONGOZA CHAMA MUDA MREFU
@SolamhelaKulwa
@SolamhelaKulwa 14 сағат бұрын
Mbona hujatamka haya mapema mpaka mlivyoanza kuparurana unaongea haya tutajua tu chama utakidondosha hicho ulitakiwa kupumzika ili kudhirisha ukomavu pia
@chachabange4343
@chachabange4343 12 сағат бұрын
Kama umepigwa mishale wachiye na wengine mbona unang'ang'aniya sasa.
@dionismutayoba3542
@dionismutayoba3542 11 сағат бұрын
Acha ujinga wewe tunakufaha ni kada was fisiem
@EliaHiluka
@EliaHiluka 10 сағат бұрын
Ninachohitani kuwa wekeni upendo sawa sawa na 1kor 13:1-8
@peteragustino3450
@peteragustino3450 10 сағат бұрын
Inatosha kweli umekaa sana kwenye chama waachie wenzio sasa
@ernestlalu2067
@ernestlalu2067 16 минут бұрын
Aachie wengine wapo akina lema, Heche, wa uwezo tu, hata kama si Lissu, kuliko kuita wenzako washamba hadharani
@aloycemisigalo3983
@aloycemisigalo3983 14 сағат бұрын
Mkikosea mkamrudisha mh. Mbowe awe mwenyekiti na chaðema itakuwa kama NCCR CUF na vyama vingine vilivyo wahi kuwa vyama vikuu na vikapotea, mh. Lisu anafaa sana kuwa mwenyekiti asante.
@MrKhatibu
@MrKhatibu 12 сағат бұрын
Kinaonekana CHADEMA napitia njia iliwafikia NCCR na CUF.
@adrianchiyenje2183
@adrianchiyenje2183 13 сағат бұрын
Hata kama ni Bora kiasi gani lkn miaka 20 mingi sana mzee ni heshima kushuka jukwaani huku mashabiki bado wanakuhitaji 20 miaka mingi sana daaah
@CharlesLobulu
@CharlesLobulu 12 сағат бұрын
Huu ni uongozi wa chama siyo wa nchi,,, wapo Marais wameongoza zaidi ya miaka 30 na Bado wapo madarakani.
@emanuelurio-ok8yl
@emanuelurio-ok8yl 13 сағат бұрын
Swala la msingi na lenye tija Tutajuwaje swala la rushwa inayotajw na Makamu mwkiti taifa?. Je tunahitaji uchunguzi hata wa kimataifa?
@chiefmajai9345
@chiefmajai9345 13 сағат бұрын
Sehemu kubwa umevuruga chama kaa pembeni linda heshima yako umetosha
@emmanuelmwangwa825
@emmanuelmwangwa825 5 сағат бұрын
HESHIMA KUBWA SANA KWA mwenyekiti wetu mh. Mbowe lakini kwa wakati huu Mh. Lisu IS THÈ WAY. KWA MASLAHI ŸA CHAMA CHETU
@EliaHiluka
@EliaHiluka 10 сағат бұрын
Umesema umekwisha toa umsamaha Tena unarudia kusema ni ushamba hayo sio maneno mazuri
@SolamhelaKulwa
@SolamhelaKulwa 13 сағат бұрын
Sasa wewe hutaki kustaafu au vipi au ni wa maisha?
@peteragustino3450
@peteragustino3450 10 сағат бұрын
Ww huna lolote unatuingiza chaka unavyochukua hongo
@FestoLalata
@FestoLalata 8 сағат бұрын
Mungu akubariki sana
@MathewTemba
@MathewTemba 12 сағат бұрын
Mbowe tafadhali usichukue fumu
@kidakawa9187
@kidakawa9187 12 сағат бұрын
Chame boy na Saccos yako endelea Kuwa-hadaaa hao watu lakini wewe si mpinzani Bali unafanya bishara kwenye siasa.
@EliaHiluka
@EliaHiluka 10 сағат бұрын
Mzee wewe ni mtu mwenye hekima hivyo tumia hekima kwa maslahi ya umma
@herbertsamuel5324
@herbertsamuel5324 10 сағат бұрын
Kumbe ni chama chako
@joojombi2341
@joojombi2341 13 сағат бұрын
Upuuzi mtupu huo fomu c kuchukua tu tatizo likowapi mpka kufanya yote hayo. C kachukue tu fomu kama Lissu. Wacheni kupotosha umma bhana
@SaruniKutandawa
@SaruniKutandawa 13 сағат бұрын
Muache mwenzako ajaribu tena kama unaipenda hikichama
@mpeligwamoyo4254
@mpeligwamoyo4254 11 сағат бұрын
Mbowe ng'atuka wasikudanganye.ukigombea tu chama kinakufia kitapoteza matumaini
@FIVEMORE-w2n
@FIVEMORE-w2n 12 сағат бұрын
Kilee chama kwakuiachia nafasi kwawenzio maana kung'ang'ania madaraka nikutuaminisha kwamba kumbe upo kwenye biashala yaki siasa!Lissu hahongeki yupo neutral.
@AngelKileo-s4j
@AngelKileo-s4j 13 сағат бұрын
Upumzike sasa.kidogo kaaah
@amenaameeena3317
@amenaameeena3317 11 сағат бұрын
Mimi binafusi naona wangesubili uchaguzi mkuu upite ndio chama wafanye uchaguzi wa ndani sababu uchaguzi huu Bira mwenyekiti mwenye msimamo na busara na hekima mbowe anatakiwa atuvushe badae Lisu atachukua uwenyekiti anao utaka
@Evanceluhakana
@Evanceluhakana 10 сағат бұрын
Sasa mbn unamuharas lisu muache naye agombee we hurizk
@EliaHiluka
@EliaHiluka 10 сағат бұрын
Hapo unamsemea nani kwenye vyombo vya habari unaongea kumfaidisha nani
@raphaelmkosamali1056
@raphaelmkosamali1056 11 сағат бұрын
Stafu mzeee.
@jumamangombe6493
@jumamangombe6493 12 сағат бұрын
Nikiona *chama changu* kinaenda kuzamishwa kamanda naingia mzigoni Kweli ni chama chako, huwezi kukiacha kwa mtu! Mobutu seseko.....
@dulasaid2581
@dulasaid2581 13 сағат бұрын
Si utoe jibu unasababisha ugomvi. Mbowe una drama nyingi
@Benedict-qi1tt
@Benedict-qi1tt 10 сағат бұрын
Mbowe muachie lisu tuone. Akishindwa utaendelea
@MathewTemba
@MathewTemba 11 сағат бұрын
Mbowe umetawala miaka 20 bila mafanikio ya Kubadili katiba ya tume ya uchaguzi Hadi Leo yatakayo tangazwa na mwenyeki wa tu hakuna kuyahoji hata mahakamani Mimi ni mchaga mwenzio nakuomba upumzike kaka
@talentsmediacrew3373
@talentsmediacrew3373 13 сағат бұрын
Maneno aliyosema anampango wa kugombea
@IsraelKihundwa
@IsraelKihundwa 11 сағат бұрын
Pumzisha akili kidogo bos umepambana
@et5865
@et5865 11 сағат бұрын
Mbowe pumzika tu waachie wengine.
@gastonjohn537
@gastonjohn537 13 сағат бұрын
Kama una kipenda chama pisha na kama utakomalia unakivunja mwenyewe
@mpeligwamoyo4254
@mpeligwamoyo4254 8 сағат бұрын
Ukishinda uenuekiti itakuwa kiongozi wa viongozi waliokufuata kukushawishi.kila mwaka utakuwa unaongea hayohayo.tukilinse chama Kwa wivu mkubwa
@Danielmalima-dk5rz
@Danielmalima-dk5rz 12 сағат бұрын
kwanin usiachie kuna nn kizur zaid ya kutetea maisha ya mtanganyika
@kakuruchiganga507
@kakuruchiganga507 9 сағат бұрын
Leo ndo nimeamini yale yanayosemwa kuwa CHADEMA ni mali ya Mbowe na genge lake. Na kama atagombea basi bila shaka hiki Chama kitakuwa hakifai kabisa. Mbaya zaidi kuwa wafuasi wake wanaongea mambo ya haibu kama hamna shida na ukomo wa madaraka basi hamhitahi ata Katiba Mpya.
@EliaHiluka
@EliaHiluka 10 сағат бұрын
Mzee mbowe usiigawe chadema tafadhari sana
@devissyprian1526
@devissyprian1526 13 сағат бұрын
Hatukutani sisi wengine inatosha mbowe, tulia tulia husiwe kama mseven, aisee
@EliaHiluka
@EliaHiluka 10 сағат бұрын
Tunahitaji umoja Mzee
@BAKARIkAVUTA
@BAKARIkAVUTA 10 сағат бұрын
Nivigumu sananahaowezekani kubadi kiomgozikatika mpambano yakudai uhuru hatuwezi kifanikiwa fuatlieni historia hiyoni njama ya ccm jiangalieni
@helencyprian8745
@helencyprian8745 13 сағат бұрын
Mbowe anahekima sana
@SaruniKutandawa
@SaruniKutandawa 13 сағат бұрын
Chama siyoyako niwote kama mdaumefika wachie wengine
@johanesgeorge777
@johanesgeorge777 12 сағат бұрын
Nyie mnaocomment kama ni wanachama kapige kura sasa
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 11 сағат бұрын
Mzee akigombea kaua chama kama unabisha agombee wananchi tunajua tunachotaka Yeye Tunamshukuru Awe mlezi
@justinekamala9703
@justinekamala9703 9 сағат бұрын
Wewe unawadanganya hao wenzako. We ni nan bhana? Achia Tundu Lisu naye akiongoze chama hicho, kwani ukifa chama nacho kitakufa?
@salummussa9871
@salummussa9871 12 сағат бұрын
Mbowe anguko lako liko wazi
@EliaHiluka
@EliaHiluka 10 сағат бұрын
Mzee kila mmoja amhesabu kuwa ni bora
@EliaHiluka
@EliaHiluka 10 сағат бұрын
Hakuna sababu ya kusema kuwa umefikiwa na watu wengi
@BARAKAKinana-n4y
@BARAKAKinana-n4y 9 сағат бұрын
nakwambia mwasheni mbowe asingombee maana siasa yake imepowa sana na Mzee umri umekwenda
@NicodemBarantanda-ud7qy
@NicodemBarantanda-ud7qy 8 сағат бұрын
Unayesema Mbowe amwachie Lisu ukishindwa kusemaakuachie wewe tafakali kauli za Lisu aliyeshiriki kujenga chama mpaka hapo kilipofikia anadiliki kusema chama kinatakiwa kufanyiwa maboresho kana kwamba hakuwemoNamfananisha na msigwa kauli zake mnazchukuliaje.
@deviclalana3710
@deviclalana3710 13 сағат бұрын
Mzee hakuna mtu anapinga mema yako, miaka 20 kama unahisi kuwa bado chama kinakuhitaji maana yake unatuambia umeshindwa kutengeneza viongozi wa kurithi hiyo nafasi, unatuambia watu wasijenge hoja kwa uongo lakini hujajibu hizo hoja za msingi alizotoa wala hujautaja huo uongo aliusema na kutuambia ukweli ni upi... achana na hao chawa waliokujazia nyumba isikilize familia yako! IMETOSHA!
@salummussa9871
@salummussa9871 12 сағат бұрын
Ngatuka ulinde heshima yako Mbowe chama unakwenda kusambaratika lisu alikuwa mgombea urais mara 2 ana watu wengi NJE ya chama ,, Mbowe miaka mingi
@ambokileosward8850
@ambokileosward8850 7 сағат бұрын
Hizi nyimbo za kukopi kutoka chama tawala ni kiashiria tosha kuonesha Chadema mmekosa ubunifu na hatajiandaa kuongoza nchi
@AllyMandunda-tj9jc
@AllyMandunda-tj9jc 14 сағат бұрын
Wale wanaachiama kupitia Dola na kwa gharama ya Dola lkn wapinzani wanabaki ktk mamlaka kupitia Imani ya wanachama wenyewe. Sasa wenyewe wanaamini huyu anatufaa, nje ya chama na wanachama wanatuambia huyo atoke. Hiyo si sawa. MBOWE piga hatua.
@prosperjuma905
@prosperjuma905 13 сағат бұрын
Na sisi wana-CCM tunamtaka Mbowe aendelee. Usiniulize kwa nini
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 11 сағат бұрын
​@@prosperjuma905busara zake kwenu faida
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 9 сағат бұрын
mbowe acha tamaa muache Lissu awe mwenyekiti wa chama cha chadema
@SalumNanda-q9o
@SalumNanda-q9o 9 сағат бұрын
Chadema ishakuwa ya mbowe kama cuf ya lipumba
@EliaHiluka
@EliaHiluka 10 сағат бұрын
Mzee uchaguzi wa mwaka huu ni uchaguzi wa huru na haki
@GODFREYNTANGANA
@GODFREYNTANGANA 11 сағат бұрын
Pumzika mzee Kila mwanachama ana haki ya kugombea usimwone kama adui pumzika usiwe mroho wa madaraka
@BakariAthumani-vs8lk
@BakariAthumani-vs8lk 2 сағат бұрын
Comment za wengi zinaashiria mbowe kwa sasa ustaafu watu wameshakuchoka
@MatandiMatandi
@MatandiMatandi 11 сағат бұрын
Mbowe ni kiongozi bora sana,ana hekima,busara na ni mvumilivu.Angekuwa kiongozi ambae hajitambui hii nchi ingeenda kwenye vurugu.Ila huyu jamaa yupo vizuri sana mm ni CCM ila ninamkumbali sana.
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 11 сағат бұрын
Anatia huruma hapo unamsifu lkn kumbuka yeye ndo aliwapeleka COVID 19 bungeni
@NeemaUrasa-u4y
@NeemaUrasa-u4y 9 сағат бұрын
Mbowe chukua fomu kurandiyo zitaazoamua kuchukua fomu ni jambo moja kuchaguliwa ni jambo lingine atakayeshinda kwa kura ndiye anayefaa kura inaondoa mashindano
@AboubakarRashid
@AboubakarRashid 10 сағат бұрын
Jmn nyinyi munao tukana kwel muko naiman zadini zenunkwel man apo unatakiwa utoe maon sio matus kama huna lakusema kaaa kmy ss watazania tuko nyuma san na ss watu wachin ndo watu wahovo san hatujielewi
@mwanjalimfaume6380
@mwanjalimfaume6380 9 сағат бұрын
Badirisha uongozi Chadema Huwezi kungangania kiwaafaralami kwamuda mrefu wote huo
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 15 МЛН
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
وثائقي | فشل المؤامرة.. صقور الجزائر تنتصر
52:28
AL24news - قناة الجزائر الدولية
Рет қаралды 380 М.
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 15 МЛН