Naam hakuna kama zanzibar niko mbali lkni naipenda zanzibar ❤
@mahaalharthia9162 Жыл бұрын
Alhmdulilah, nifakhar kubwaa alotupa karima kwa Zanzibar nawazalendo wote kuwa tuna tarab halisia, ambacho chombo safi kabisa cha kwanza ni ikhwani safaa🎻🎶, na ikawa faraja kubwa, kwa visiwani kote hadi Africa masharik,
@afropanorama4730 Жыл бұрын
Love zanzibar
@muichorekishagani1751 Жыл бұрын
Nad ikhwan Safaa ni utambulisho halisi wa mzanzibar
@AllyHamran4 ай бұрын
Zanzibar zanzibar
@mahmoudkitabu4353 Жыл бұрын
Kiukweli wapo vizuri na mnahistoria kubwa ila jitahdini sana mrudi kama zamani
@fatmasaid9765 Жыл бұрын
Historia ya mambo ya zamani nayapenda
@swahilivoice Жыл бұрын
BME
@aliali-ei3cf Жыл бұрын
Kuna Mambo ningependa yafanyike 1.mashairi yote yachapwe kwenye vitabu ambavyo baadhi ya copy zipelekwe maktaba kuu
@nuramoboy Жыл бұрын
Inaskitisha mashairi yanatumiwa bongo flava hawa bado maskini
@athmanhussein38612 күн бұрын
Nimefurahi kuona kuwa Nadi Ikhwan Swafaa wamezihifadhi vitabu vyao karibu vyote vya nyimbo ama za mashairi ya Nyimbo kutoka chama kibuniwe. Nawapa kongole kwa hilo Lakini nikiangalia katika hiyo vedio naona vitabu vyote za mashairi na nyimbo pamoja na kumbu-kumbu za picha zipo katika hali sio nzuri na nimuhimu jitihadi ifanywe ili zihifadhiwe kwa kutengenezwa nakala za kidijitali ili ziweze kuwa na maisha marefu na pia kutumiwa na vizazi vitakavyo kuja. Pangine Zanzibar National Archive wangalizichukuwa wakazihifadhi huku wakitengeza Digital copies ili wanaondelea kuimba katika Nadi waweze kuzitumia.