Рет қаралды 11,594
Watu hujiuliza maswali Mengi inakuaje mwenge unapofika eneo la mradi hutumia muda mfupi kujua mradi kama upo sawa au haupo sawa. VIDEO hii ni mfano wa namna Mwenge unavyotumia indicator tests kujua ubora wa mradi na kupitia Nyaraka zote zinazohusiana na mradi husika. na kimsingi conclution kubaki kuwa Kweli na halisi