MBELE YA WAZIRI MKUU AWAKAANGA VIBAYA POLISI /MAJALIWA ATOA NYO KALI KWA POLISI ''LIPENI MILIONI 7'

  Рет қаралды 33,755

JAMBO TV

JAMBO TV

22 күн бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZbin: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 73
@majaliwaharuna4064
@majaliwaharuna4064 13 күн бұрын
Huyu ndio waziri mkuu!!!!! Ndio tumaini la wanyonge,faraja ya Kila mwenye huzuni,mtatuzi wa Kila aina ya mgogoro tunakuombea Kila lakheri mwenyezimungu akupe maisha yenye baraka siku Moja uingozoze nchi hii inshaallah
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 11 күн бұрын
Mh Majaliwa Mungu akubariki sana na akulinde ,kazi ya kutetea wanao onewa na kudhulumiwa na watu wasiojali na kuwa waadilifu , hii ni kazi ambayo hata Mungu anataka watumishi wote wafanye ili Haki iwe juu ya watu wote ,Mungu akulinde sana .
@user-zu8ou2oe4c
@user-zu8ou2oe4c 20 күн бұрын
Ingekuwa ni mm nina maamuzi waziri mkuu wa sasa angekuwa Raisi na mkuu wa mkoa wa arusha makonda angekuwa Waziri mkuu na waziri wa katiba na sheria angekuwa tundu Lisu na jaji mkuu angekuwa wakili mwabukusi au wakil kibatala
@chrismassawe2939
@chrismassawe2939 19 күн бұрын
Kabisa
@user-oj3fq4pi2u
@user-oj3fq4pi2u 19 күн бұрын
@@user-zu8ou2oe4c na hilo mbona ndio neno!!!!!
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 17 күн бұрын
Tambuwa anaewaongoza yaani Mkuu wa Nchi ndio anaewatuma wafanye kazi hiyo acheni roho mbaya na chuki baadhi yenu yaudini
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 16 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 16 күн бұрын
​@@abuumuhammad7133acha ubinafsi
@elimuvisioncenter
@elimuvisioncenter 10 күн бұрын
SAFI SANA MR. KASSIM MAJALIWA
@fridamarco2122
@fridamarco2122 17 күн бұрын
Tena wangemlipa na pesa ya ussumbufu.
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 15 күн бұрын
Majaliwa ni chuma ndo maana hata Magu alimteua leo tuna SGR na Madaraja na Bwawa❤❤❤❤
@richkaja3317
@richkaja3317 14 күн бұрын
Majaliwa ulikaa kimya sana lakini weye nchi yako unaijua vizuri sanaa kaa nao vizuri sanaa gombea uraisi tutakupa
@LusajoKabuka
@LusajoKabuka 20 күн бұрын
Tunaomba mungu utupe kama huyu awe kiongozi wetu anayeenda hata pembezoni kusikiliza shida tuhulumie mungu
@aminamollel6639
@aminamollel6639 19 күн бұрын
Najisiki Fahari sana viongozi wanapo simamia haki za wanyonge. Hongera sana Mhe Waziri Mkuu Majliwa.
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 15 күн бұрын
Kwanin huyo Mkurugenzi hakusimamia haki ya huyo Mzee Kwa Wakati? Mpaka Waziri Mkuu aje (milioni 7 kweli?).😢, viongozi Wengi hawajui hata wanapaswa kufanya nini
@HellenLemilya
@HellenLemilya 15 күн бұрын
Huyu mwamba hata nafasi ya uraisi anaweza
@user-rq4fq4pw4y
@user-rq4fq4pw4y 17 күн бұрын
Kassim majaliwa ni kiongozi bora sana
@ernestaassenga9646
@ernestaassenga9646 13 күн бұрын
Hongera Mh Majaliwa upo vizuri
@user-tr3bi1ry6t
@user-tr3bi1ry6t 15 күн бұрын
Mtu wa maana kabisa
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 13 күн бұрын
Waziri mkuu..Kama kijana wake Makonda
@ntegrity277
@ntegrity277 19 күн бұрын
TATIZO NI CCM HAPA NDO UNAONA MADHARA YA RUSHWA NA UONGOZO MBOVU, KWELI HADI AJE WAZIRI MKUU!
@HashimYahaya-hd3zm
@HashimYahaya-hd3zm 13 күн бұрын
Raisi majariwa oyeeeee shida unapitaje apo mh
@emmanuelkaminyoge4008
@emmanuelkaminyoge4008 15 күн бұрын
Majaliwa we we ndo rais ajae mama akwachie kijiti.
@mackchacha4114
@mackchacha4114 6 күн бұрын
Miongoni mwa miamba iliyobaki kwenye system ni majaliwa
@HellenLemilya
@HellenLemilya 15 күн бұрын
Baada ya Samia tumpe raisi naikubali kazi ake
@chuzilapweza6517
@chuzilapweza6517 6 күн бұрын
my future president
@MRASISKA
@MRASISKA 7 күн бұрын
Mwaka wa kampeni piga kazi mkuu japo ni miaka kadhaa ulikuwa kimya tuliimis slogani ya JPM
@jeremiahblazio4781
@jeremiahblazio4781 20 күн бұрын
Huyu ndo rais sasa waziri mkuu makonda supika wa bunge ruhaga mpina
@franknnko4744
@franknnko4744 19 күн бұрын
Naiwe ivyo
@abelelisha9523
@abelelisha9523 9 күн бұрын
Hiyo nchi itanyooka hadi wakome
@ntegrity277
@ntegrity277 19 күн бұрын
Waziri mkuu ungemuongeza fedha kidogo
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 6 күн бұрын
Samia hatosh kile kiti naona hii nchi tumpe majaliwa
@user-er5to1ko1y
@user-er5to1ko1y 7 күн бұрын
Uko wazir
@cyprianboniphace-oz5lw
@cyprianboniphace-oz5lw 6 күн бұрын
Huyu ndie anafaa kuwa rais wa nchi hii.
@azmankiddo8872
@azmankiddo8872 20 күн бұрын
Hivi how dumb watanzania are we? Tumelogwa na nani? Yaani mambo kama haya mpaka aje waziri mkuu kuyatatua?🤦🏾‍♂️
@piuspanga864
@piuspanga864 13 күн бұрын
Safi sana waziri mkuu
@valenakomba9218
@valenakomba9218 17 күн бұрын
HAWA WAKUU WAKIPEWA NAFASI WANAKUWA HAWANA ADABU WALA HURUMAA. NA MUNGU AWALAAANI KWA KWELI.
@user-er5to1ko1y
@user-er5to1ko1y 7 күн бұрын
Mkuu wa wilaya kwa maelekezo yes
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 15 күн бұрын
Ulipwe na distabus allowance na faida juu maana angefanya biashara zingekywa mtaji mkubwa sasa.
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 15 күн бұрын
Majaliwa mungu akilinde babangu tunakupenda sana baba
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 15 күн бұрын
Mama kashasema wazi hataki mabango.Mbona hawa wasaidizi wake wanadili na mabango.Haoni kama wanamkosea.
@samolamsille3928
@samolamsille3928 14 күн бұрын
Mambo ni moto Tanzania inaanza kuchangamka Kwa viongozi
@monicachacha455
@monicachacha455 10 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@djfiremoto3429
@djfiremoto3429 5 күн бұрын
MUNGU BABA 2035 MAJALIWA AWE RAIS🙏
@barakaabel482
@barakaabel482 16 күн бұрын
Dah! Yaani kwakweli
@HellenLemilya
@HellenLemilya 15 күн бұрын
Huyu mwamba hata nafasi anaweza
@caesar7745
@caesar7745 15 күн бұрын
Je wengine mbona hawalipwi. Miaka na miaka au kwa vile alifanya kazi almashauri
@andrewmaiga4331
@andrewmaiga4331 17 күн бұрын
Hongera sana Waziri mkuu wetu, Samia oyeee
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 17 күн бұрын
Maana mtu asipolipwa stahiki zake Kwa muda muafaka thamani yake inakuwa ishapotea
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 17 күн бұрын
Rais ajae majaliwa mungu akubariki unahuruma na haki za wetu
@hemedwalid6570
@hemedwalid6570 12 күн бұрын
Bahat mbaya sana ukishakua waziri mkuu huwezi kua rais tena
@EliaHiluka
@EliaHiluka 14 күн бұрын
Hii ndiyo tanzania
@user-oj3fq4pi2u
@user-oj3fq4pi2u 19 күн бұрын
Good Mzee Majaliwa, Bravoo...unatukumbusha Enzi Zenu za Mzee Baba Magu...
@user-yx4xe4hq3l
@user-yx4xe4hq3l 15 күн бұрын
Tanzania ya leo
@FredymaswiMwita-oj6gv
@FredymaswiMwita-oj6gv 16 күн бұрын
Serikali bwana,,, hiyo mifuko serikali imeikomba haina hata akiba ,wasitafu wetu wataangaika mno..labda serikali ilipe deni lake kwa hiyo mifuko then watu na wasitaafu wapete hauweni
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 12 күн бұрын
Udhalimu makubwa walipe na fidia uovu tu
@user-zu8ou2oe4c
@user-zu8ou2oe4c 20 күн бұрын
Sasa kama mambo madogo hayo had wazir mkuu aingilie kati sasa mm najiuliza ni wangap wenye matatixo kama hayo ambao hawawez kumuona wazir mkuu na hawajapata suluhisho? Daa ccm bwana hiki chama changu sa zingne
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 20 күн бұрын
Kazi kwa mazoea. Wanamtakia nini huyo mzee jamani??
@lidwinaebrahim385
@lidwinaebrahim385 12 күн бұрын
@@adelinelyaruu3036
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 11 күн бұрын
Uchuguzi unakaribia
@africanreaction8501
@africanreaction8501 20 күн бұрын
Asa ukoachana na makonda uyu ndo funga kazi sasa akii hoji huyu ina uzito haswaa respct
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 15 күн бұрын
Yani milion 7 una shindwa kulipa mtu
@jumabonge8577
@jumabonge8577 15 күн бұрын
waache watuzulumu tu ao
@PapyNgosha-hk2vq
@PapyNgosha-hk2vq 13 күн бұрын
Kula Chuma icho
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 12 күн бұрын
Ccm mnatengeneza matatizo halafu mnayatatua kuwapumbaza wananchi
@EmmaPonera
@EmmaPonera 6 күн бұрын
Wanaotengeneza matatiz ni watendaj wa chin Sasa ulitaka aache
@deniskaguo4698
@deniskaguo4698 12 күн бұрын
Chuma cha pua
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 15 күн бұрын
Hawa viongozi wa chini wananyanyasa sana wananchi.
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 17 күн бұрын
Wastaafu wanahidiwa uwongo tarehe za kulipwa mafao ,wanakopa mabenki wakijua serikali inaenda na mda matokeo wanauziwa na benki hadi vibanda vyao vya kuishi na mwisho kufapresha
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 22 МЛН
КОМПОТ В СОЛО
00:16
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 31 МЛН
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 25 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 62 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 22 МЛН