"Mwenye Haki Ya Kutangaza Mwezi Ni Mufti , Katiba Yao Hairuhusu Watangaze" Sh. Jongo

  Рет қаралды 2,815

QIBLATEIN ONLINE

QIBLATEIN ONLINE

Күн бұрын

Пікірлер: 33
@AbdallahMaalim-n6g
@AbdallahMaalim-n6g 8 ай бұрын
Allaah akuzidishie hekima na khatma zilo njema
@salehsaleh8608
@salehsaleh8608 8 ай бұрын
Asaalam alaykum, sheakh ww ulipata fursa ya kumchagua kadh
@SaidiFundi-u1g
@SaidiFundi-u1g 8 ай бұрын
Dalili ya namna kuswali tareweh ya masaa zaid ya10 iko wapi
@AbuusuhaylaKibari-bo8mb
@AbuusuhaylaKibari-bo8mb 8 ай бұрын
Naam waelimishe hao
@AbdallahMaalim-n6g
@AbdallahMaalim-n6g 8 ай бұрын
Assalamu alaikum
@hassaniibrahim300
@hassaniibrahim300 8 ай бұрын
Shida
@Abuu-lr5bz
@Abuu-lr5bz 8 ай бұрын
Na anahalalisha isbali ilioharamishwa na mtume swallallahu alaihi wasallamu kuwasikiza watu wa bidaa ni kujikurubisha motoni
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 8 ай бұрын
Kumekucha
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 8 ай бұрын
Tuseme Hao maswahaba hawakufahamu hadithi ya Mtume saw kua Mtume saw hakuswali zaidi ya rakaa 12 ndani ya ramadhan na nje ya ramadhan?. AU HAWA WAFUASI WA LEO NDIO HAWA FAHAMU?!. BAINA YA MASWAHABA WAKUBWA HAO NA SISI CHOKORAA WA LEO NI NANI KAFAHAMU?
@karimdaud3993
@karimdaud3993 7 ай бұрын
Weww tu ndio ulofaham zaidi .labda ALLAH Amekosea hajakupa wewe uongozi .pole
@MohammedBakari-w1z
@MohammedBakari-w1z 8 ай бұрын
Huy barahiyya kiboko yake n mohamed bakar I tuu Hana jipya alituondelea hudhaifa eti gaidi hii tuhuma ni yake
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 8 ай бұрын
SHEKH TOKEA LINI AKAWA MWIZI WA MBUZI WA SADAKA?. ati anabadilisha nguo anatuletea usanii wa makanisani ati ndio sunna kusema uongo!!!
@Abuu-lr5bz
@Abuu-lr5bz 8 ай бұрын
Una ushahidi juu ya hilo na kama huna jiandae kwenda kumlipa thawabu siku ya qiama hili haliishi hapa kwenye Mtanda huyo sheikh wako jongo ni mtu wa bidaa mzushi mpotevu na ukimsikiliza anakupeleka motoni
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 8 ай бұрын
@@Abuu-lr5bz MTUME WA BIDA'A LAKINI KASEMA KWELI, MTU WA SUNNA MWIZI WA MBUZI WA IDDI NA DHULMA KAIBA PESA ZA WATU. SIJUI NANI BORA. LAKINI SAYYID NA OMAR RA AMESEMA. BIDA'A NI NEEMA. sasa utachagua BIDA'A ya neema au mwizi na dhulma
@masudbasra566
@masudbasra566 8 ай бұрын
Unapotosha watu mwenye hali ya kutangaza mwezi ni muuisalamu atakaye uona
@Alhadimaulidi-cb3lr
@Alhadimaulidi-cb3lr 8 ай бұрын
Kwakweli nimejifunza wengi wanaocoment niwajinga kabisa
@jakuabdull34
@jakuabdull34 8 ай бұрын
Khaaaa masud kaa kimya ndugu yangu
@ShuaibuMsofe
@ShuaibuMsofe 8 ай бұрын
Nyamaza Kama umweupe kwenye elimu
@husseinsaid8021
@husseinsaid8021 8 ай бұрын
Wewe Elimu huna kasome aquwali za mashuyuskh Mbali Mbali pia kasome fatwa ya Ibn uthaymeen au kasomeshwe mwenye mamlaka ya kutangaza mwezi ni Nani?
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 8 ай бұрын
Hujaambiwa kafiri ndio anastahiki. Kila mtu atatangaza ata walevi basi ata wasio aminika kwa kua waislamu watangaze tu au vipi?
@Abuu-lr5bz
@Abuu-lr5bz 8 ай бұрын
Mtu wa bidaa ni wabidaatu hajasalimika na hawaa
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 8 ай бұрын
Kweli, haswaa aliokuwa hajui tafsiri ya BIDA'A ndio wa hawaa zaidi. JE WEWE UNAJUA TAFSIRI YA BIDA'A AU WEWE WA HAWAA ZAIDI?
PART 1: Jinsi Ya Kuwa Kiongozi Wa Tofauti
4:05
Joel Nanauka
Рет қаралды 22 М.
How To Choose Mac N Cheese Date Night.. 🧀
00:58
Jojo Sim
Рет қаралды 89 МЛН
Don't underestimate anyone
00:47
奇軒Tricking
Рет қаралды 16 МЛН
Ni Nani Mwenye Mamlaka Ya Kutangaza Mwezi -Sheikh Kassim Bin Mafuta
7:08
Duaat Salaf (Duaatsalaftz)
Рет қаралды 6 М.
NAMNA YA KUGAWA SIKU KWA WAKE WENZA
13:51
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 5 М.
UKIWA KIONGOZI LAZIMA UWE NA SIFA HIZI 5 //SHEIKH OTHMAN MAALIM
17:09
arkas online tv
Рет қаралды 9 М.
Kunci dari Dakwah ( Salah satu hal yang membuat ustadz terharu )
34:05