MASKINI AMEPAUKA GAFLA NA KUZEEKA. MAMA DANGOTE KWENYE INTERVIEW AMESEMA HAJUI ULIPO. 😅😅😅
@mariamkibindo174111 ай бұрын
😂😂kasema simnamuona anauza viwanja😂
@evelynemugeni236911 ай бұрын
😅😅😅😅😂
@BeullahBujah-lk3sx11 ай бұрын
Wambongo tafuteni pesa!!! Mnamfatilia nn mama wa boss wenu!!
@rerisamba10 ай бұрын
Watoto wasikihixi
@ferouzmasoud310411 ай бұрын
Umeongea point kama kuachwa kawaida tu 🤣
@HadijaZabroni-pu1lt11 ай бұрын
Mimi uwa nasema ukiwa ba mtu ambae yuko vizuri unatakiwa ue naakili ya kuficha mambo yako mbali kwasababu awa watu wenye pesa awatabiriki awa kula na kueka
@bwittozmjomba701911 ай бұрын
Anko shamte ndio Raisi wa Vibenteni wote ving’asti wote Hapa Town
@JosephTibu11 ай бұрын
nasikia mama nifundi wakufinyia kwandani nihatari 😂😂
@tayk474511 ай бұрын
Kama alivyofundi mama ako
@saidsuleiman175311 ай бұрын
Kufinyia kwa ndani maana take ni nini
@ritapiusnicolaus706811 ай бұрын
Mtu mzima ooooovyooooooooo😏😏UMEACHWA
@wilbatnyato467911 ай бұрын
Mbona mnalazimisha kuachwa na wenyewe wote wawili wamekanusha habari za kuachana? Pia ht km wameachana wametoa somo la utu uzima hamna kuchambana ni full upendo
@letisiamakonda387311 ай бұрын
Duh
@PrinceBonnyTz811 ай бұрын
nawaza nitampataje huyo na dangote Mondi aniite baba😅
@godfreyathumani991211 ай бұрын
😂Kwaiyo kuuza viwanja ni kazi. 😂😂 Uo c udarali
@juliusnyerere539311 ай бұрын
Mbona washamba Sana Nyie watangazaji wa wasafi. Mnalazimisha watu wasikilize uuupuuzi wenu ambao hauna maana yoyote ile ongeeni kutokana HEAD LINE. Mlioweka hapo juuu washamba wamoja Nyie ambao Hata elimu ya utangazaji hamna. Mooo mpooo tu
@vincentmushi124711 ай бұрын
Kwa nn unaangalia contents zao kaka kama ni watangazaji wabovu..unapoteza MB zako bure...nenda clouds au Efm 😂
@katabaroonlinetv968811 ай бұрын
@@vincentmushi1247 😂😂😂😂😂😂😂😆😆😆😆😆😀😀😀😀😀😀😆😆😆😆😆😆
@snechannel911611 ай бұрын
Umelazimishwa na Nani kufungua ama ni umbea wako unakuponza
@UmmyMaabad-v2r11 ай бұрын
Anco Shamte Kafulia Aka😂😅
@frankngoloka258911 ай бұрын
Kafulia unauhakika?
@frankngoloka258911 ай бұрын
Tafuta hela na wewe waandishi waje
@UswegeUswegemwakyusa11 ай бұрын
Anae oji maswali mbona hajiamini kigugumizi kingi
@p.kasongot97911 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅
@queenmilan202411 ай бұрын
Hayo ni madeni mama dangote anamdai 😅. Umeachwa
@alhabsi643011 ай бұрын
Mbona kakonda
@HASSANBAKARI-q9c11 ай бұрын
WAJUE TU WALICHOKUWA WAKIKIFANYA NI UDUANZI,,,KUTREND KUNA MUDA BAADA YA HAPO MADUDU YAKO YANABAKI KZbin KAMA USHAHIDI WA AIBU YAKO.clear