Subhannallah wanyama wenyewe wanatushangaa vipi hatuna utu. Halafu nchi yetu inakera vipi inawakumbatia watu kama hawa. Wangekuwa wanawachoma sindano za sumu. Tizama yule wa kigamboni yupo tu gerezani anakula wa bure
@AngelAbbah-wc5un3 ай бұрын
Kwan ni nan huyo dada na ilikuaje
@faridaally-jp1gx3 ай бұрын
Poleni sana unyama gani huu mapenzi gani yakuuuana