MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: FAHAMU JUU YA MAONO YA HUDUMA.

  Рет қаралды 50,622

CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL

CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL

Күн бұрын

KONGAMANO LA WAOMBAJI NYANDA ZA JUU KUSINI, TUNDUMA

Пікірлер: 65
@sadamkyndo2719
@sadamkyndo2719 7 ай бұрын
Baba mwakasege wewe ni mtumishi ambaye dunia yote itafika mahari itanena kwa lugha moja mimi nimekuamini na kukupenda zaidi najisikia furaha na amani juu ya somo hili Amen
@patrickedson50
@patrickedson50 Жыл бұрын
Nimeipenda hiyo, huwezi kuwa nuru ukalalamikia giza, ukilalamikia giza na wewe ni nuru basi na wewe ushakuwa giza. Asante Yesu kwa maarifa haya
@arubalydia224
@arubalydia224 Жыл бұрын
Namshukuru sana Mungu niliweza kufika kule Dodoma kwenye ukumbi wa maombi nami nikauzunguka tukiongozwa na mwlm ni neema iliyoje❤❤🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦
@PaskalinaSukum-hk4xj
@PaskalinaSukum-hk4xj Жыл бұрын
Ninapenda huduma sana huduma ya mwalim na nabarikiwa sana mahubiri yake
@caritastheophil509
@caritastheophil509 Жыл бұрын
Baba naomba nitumie nafasi hii kumshukuru Mungu kwaajili yako na familia yako, mimi ni moja ya matunda ya kazi ya Mungu uloifanya
@MarryPeter-uw9tn
@MarryPeter-uw9tn Жыл бұрын
Yesu asante sana kwa kutupa mtumishi tanzania jina lako liinuliwe Bwana.
@NawikeMwasamboma-kb3iw
@NawikeMwasamboma-kb3iw 11 ай бұрын
Emungu Asante kwa ujumbe huu ulio mtumia mtumishi wako
@joelmulimbiOfficiel3089
@joelmulimbiOfficiel3089 Жыл бұрын
Mungu wa mbinguni aone shida zinazo ni tesa anioneye uruma n'a anifunguwe Amen .🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@elishamwakasege9794
@elishamwakasege9794 Жыл бұрын
Amina
@user-ol4zx7xd5q
@user-ol4zx7xd5q 10 ай бұрын
Ahimidiwe Mungu wetu wa Mbinguni Kwa kutupa zawadi hii ya MANA
@hopedavid5888
@hopedavid5888 Жыл бұрын
Kwa kweli baba uliyoyasema umefanya kazi ya Mungu mpaka nakuonea wivu je mimi namwambia nini Mungu nimefanya nini tangu nimemjua yeye!!! Nimeona jinsi gani napaswa kumtumikia Mungu maana sio siku zimebaki bali ni masaa yamebaki Yesu arudi
@upendoeliudi5196
@upendoeliudi5196 Жыл бұрын
Amina Mungu atukuzwe Mwalim na family yako, Yakima Mungu ni mkuu alie inua chombo cha Taifa la Tanzania .daima ninakuombea baba pamoja na family yako, Mungu awalinde na Malaika wake 🙏🙏🙏🙏
@mckamongo4153
@mckamongo4153 Жыл бұрын
Nabalikiwa sana na huduma yako mtumimshi wa Mungu
@DayanaPius-um5vz
@DayanaPius-um5vz Жыл бұрын
Aminaaa kwa kumjuaaa munguu na azidiiii kunifunguliaaa njiaaa juuu ya maombii niliyomuombaaaa baba anguuu maaan alisemaaa chchte tutakacho muombaa kwa jinaaa lakee atatufanyiiaa bas na mm nazidii kumuombaaa anitendeeee na mimi🙏
@GodyMosha-vf4zu
@GodyMosha-vf4zu Жыл бұрын
Kwakweli nabarikiwa sana nikimsikia ma ubiri yake naona nimefika kwenye uzima nafa rijika sana ameni barikiwasana
@user-kt8xh9nj5v
@user-kt8xh9nj5v Жыл бұрын
Amen 🙏🙏 Mtumishi wa Mungu nabarikiwa san na mafundisho yako nakua kiroho siku hadi siku Mungu hakutunze san mtumishi wa Mungu
@elishamwakasege9794
@elishamwakasege9794 Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@DaudiMgisha
@DaudiMgisha 3 ай бұрын
Amen
@piliibrahim4057
@piliibrahim4057 Жыл бұрын
Ameen Ameen mtumishi wa Mungu Mungu azidi kuwainua na kuikuza huduma ya mana
@kokubelwamulokozi
@kokubelwamulokozi Жыл бұрын
Amen Daddy in faith ♥️♥️♥️🙏🙏🙏
@ditramcanicia1750
@ditramcanicia1750 Жыл бұрын
Naomba please kama inawezekana mkiwa mnarusha zile semina muwe mnaandika na Days....like DAY 1, DAY 2 etc hii inatusaidia sana sisi tunao fuatilia huku .... zamani mlikuwa mnaandika but now days naona hamuandika...😭😭 Please
@claudiamrina1620
@claudiamrina1620 Жыл бұрын
Namshkuru mungu Kwa ajili Yako mtumishi maana umenivusha daima
@matronanzogela6346
@matronanzogela6346 Жыл бұрын
Ni maombi yangu kwa Mungu,akupe ratiba ya kuja Kigoma.
@emanuelpeter9247
@emanuelpeter9247 Жыл бұрын
This is good and right
@saimonjoseph7070
@saimonjoseph7070 Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa BWANA.
@ndeshukurwakaaya4385
@ndeshukurwakaaya4385 Жыл бұрын
🙏 NISHIKE MKONO BWANA NISIZAME. ISHI NDANI YANGU UNISHINDIE. BILA WEWE MIMI SIWEZI , NISHIKE MKONO BWANA NISIMAME. HALELUYA.
@edsonkatamba5589
@edsonkatamba5589 Жыл бұрын
🎉❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mungu nifundishe na mm asante
@jesseinnocent917
@jesseinnocent917 Жыл бұрын
Amen ,I'm blessed
@emanuelpeter9247
@emanuelpeter9247 Жыл бұрын
Amen
@tulibakomwafula9079
@tulibakomwafula9079 Жыл бұрын
Nimepata kitu kipya kwenye kongamano hili. Asante Yesu kwa neno la nabii Habakuki. Ni mbaya kuingia kwenye maombi na malalamiko.😊
@Jenvier-jz2lg
@Jenvier-jz2lg Жыл бұрын
Mzee sijaelewa vizuri, unawe ukawa na Yesu na usiwe na ufalme?,nashindwa kuelewa kabisa
@elizag.edmond7637
@elizag.edmond7637 Жыл бұрын
Unamaana gani
@irenelyamuya5466
@irenelyamuya5466 Жыл бұрын
😢😢😢😢Mungu nisaidie 😢
@joyceallan2758
@joyceallan2758 Жыл бұрын
Kwa kweli tulimuona Mungu
@johnmahu5060
@johnmahu5060 Жыл бұрын
Asnt sana ubarikiwe na Mungu
@emanuelpeter9247
@emanuelpeter9247 Жыл бұрын
Always who so ever called,God's kingdom must be revealed un to him.
@Maria-nl5ws
@Maria-nl5ws Жыл бұрын
Amen mungu atusaidie
@marryshamale2882
@marryshamale2882 Жыл бұрын
Mwalimu, nina ombi siku moja mpange kuja zanzibar kwakwel nitafurahi sana.
@mauricekipchemboi9656
@mauricekipchemboi9656 Жыл бұрын
mpange pia mje Kenya pia mwalimu...
@tumainijoshua5090
@tumainijoshua5090 Жыл бұрын
Waoh asante Yesu Kristo kwa huduma hii
@emanuelpeter9247
@emanuelpeter9247 Жыл бұрын
Good
@elizag.edmond7637
@elizag.edmond7637 Жыл бұрын
​@@emanuelpeter9247 naomba namba ya pastor huyo
@user-vw6oz4du4h
@user-vw6oz4du4h 3 ай бұрын
Dabrooshiaaaahhh
@VanisyJonathan
@VanisyJonathan 2 ай бұрын
Nn
@user-bl7cr8gu4q
@user-bl7cr8gu4q Жыл бұрын
MUNGU nirehem Mimi mwenye Dhambi
@user-wn9ol5zj7w
@user-wn9ol5zj7w Жыл бұрын
Ninaomba msaada wa mahasiliyano na mwalimi samaani na itaji saaana nipo mbali na Tanzania,na ishi Norwegian
@thomasgervas5883
@thomasgervas5883 Жыл бұрын
Amina
@DaudiMgisha
@DaudiMgisha 3 ай бұрын
ameN
@user-kv7hq5mb6m
@user-kv7hq5mb6m Жыл бұрын
Kuna kitu mungu ananisemesha sana kuhusu huduma,lakini sielewi,nasijui naanzia wapi,cha ajabi zaidi,anakutumia wewe mtumishi mwakasge kwenye ndoto zangu,nisaidie baba,niliota nimeenda kuomba kazi nilipofika ofisini nikakuta juu ya mlango wa ofisi pameandikwa,OFISI YA MCHUNGAJI MKUU,nilipoingia ndani nikamkuta mchungaji mkuu,akaniambia nitakupa kazi lakini hadi ufanye intavew,akanipangia siku yakuja kwenye intaview na akanipeleka kwa mtu wakuniintaview,nikaanza kumpeleleza huyo kijana atakae niintaview,kwamba intaview itakuwa yaaina gani? Akanijibu,intaview inahusiana na neno la mungu,akaniambia nikasome sana neno la mungu,nikashtuka usingizini.
@user-qi4nl5hd5e
@user-qi4nl5hd5e 10 ай бұрын
Mchungaji mkuu ni Yesu,na mbona wewe Mungu amekujibu kwa wazi kabisa ndo unatakiwa usome Neno Mungu atakutumia sana
@christinamgalula802
@christinamgalula802 Жыл бұрын
Ameen
@faharimbwillo8403
@faharimbwillo8403 Жыл бұрын
Ameni
@PaskalinaSukum-hk4xj
@PaskalinaSukum-hk4xj Жыл бұрын
Jamani manyara lini
@KhadijaJuma-jx7ny
@KhadijaJuma-jx7ny Жыл бұрын
Natarajia kitu na ninakisikia ndani yangu roho ya maombi
@elizag.edmond7637
@elizag.edmond7637 Жыл бұрын
Hongera anza kuomba pole pole ,mpka utakuja kufikia kusudi la Mungu, maombi anayopendezwa nayo soma isaya sura ya 58 mstari wa 1 mpka 14,, pasome kwa kutafakari Sana urudie omba Roho akufundishe hapo unapoanza kupasoma ,ndipo utakapokuwa na nguvu nyingi kwenye kuomba ,mana utajua nini Mungu anapenda mtu aombapo ,ubarikiwe Sana.
@elizag.edmond7637
@elizag.edmond7637 Жыл бұрын
Utaona jinsi Yesu kristo anavyo elekeza tuombe ,point kuu ni kuanzia mstari wa 2 mpka 14, Aina za kufunga au Aina za maombi ya kufunga ndiyo hapo ,Ubarikiwe
@happinesshaonga8488
@happinesshaonga8488 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@edsonkatamba5589
@edsonkatamba5589 Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉
@GodyMosha-vf4zu
@GodyMosha-vf4zu Жыл бұрын
Kwakweli nabarikiwa sana nikimsikia ma ubiri yake naona nimefika kwenye uzima nafa rijika sana ameni barikiwasana
@quintavitalis926
@quintavitalis926 Жыл бұрын
Amen,
@ebenezermachange-zp4es
@ebenezermachange-zp4es Жыл бұрын
Amen.Amen
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 Жыл бұрын
Ameen
@caleblonjiringa8466
@caleblonjiringa8466 Жыл бұрын
Amen
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 Жыл бұрын
Ameen
@elishaskazwe5832
@elishaskazwe5832 Жыл бұрын
Jamani MUNGU akuzidishe zaidi wewe na familia yote kwa ujumla, Natamani siku moja nami nikuone live
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: UMUHIMU WA MAOMBI
1:27:33
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 32 М.
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE, SEMINA YA NENO LA MUNGU ARUSHA
39:27
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 318 М.
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 119 МЛН
NAMNA YA KUTAFSIRI NA KUOMBEA NDOTO, NA CHRISTOPHER MWAKASEGE
1:35:32
Florid Mapunda
Рет қаралды 3,4 М.
Je,Wewe Una Maono Gani Kwenye Maisha Yako?
46:51
Joel Nanauka
Рет қаралды 182 М.
ALIYEANDALIWA NA NEEMA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:09:28
Reality of Christ Church
Рет қаралды 11 М.
MWL C. MWAKASEGE: NAMNA YA KUJITOA TOKA MADHARA YA VITI VYA ENZI VYA MIUNGU JUU YA MAISHA YAKO. [3B]
56:16
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 37 М.
Pastor Fred Msungu - Maisha na Maono (Part 1)
31:40
Fred Msungu
Рет қаралды 2,3 М.
MUNGU ATAINGILIA KATI MAMBO YAKO? | PR.DAVID MMBAGA -
1:23:37
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 65 М.
FAIDA ZA IMANI UNAYOITUMIA KATIKA KUTOA SADAKA
1:00:32
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 148 М.
#2. CHAKULA CHA BWANA KAMA MAHAKAMA INAYOMPA MUNGU UHALALI WA KUHUKUMU MIUNGU
1:02:29
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 67 М.
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 119 МЛН