Baba katika jina la Yesu nakuja na hati ya dharula juu ya dada Rehema mzaliwa wetu wa kwanza umrehemu na kumwinulia watu wa kuja kununua eneo lake analouza illi akalipe madeni anayodaiwa na apate mtaji wa kufanya kazi zake katika jina la Yesu. Simama mwenyewe Baba wa yatima nimekukimbilia wewe tusiaibike milele. Amina
@maryjustambise-t4w6 күн бұрын
Mungu akubariki sana mwakasege
@christinakiula3743 Жыл бұрын
Amen mtumishi wa Mungu asante kwa neno na maombi napokea katika jina la Yesu. Mungu akubariki sana kwa kazi yake.
@Longisho22 сағат бұрын
😊
@user-dm6tx4wy4u Жыл бұрын
Namwona Mungu sana juu ya madhabahu hii,, Mungu awatunze na kuwatia nguvu zake kwa baba mwl na watumishi wote wanaousika na huduma hii
@paulbinane782911 ай бұрын
Amen nimepokea katika jina la Yesu
@angelibrahimu370411 ай бұрын
Amen napokea kwa jina la Yesu
@daudimhoha320 Жыл бұрын
Ubarikiwe.sana.mtumishi.waMungu
@majigedioniz8049 Жыл бұрын
Kwaimani kubwa ee Mungu nakuomba kasikie maombi na naitaji langu ukapate kunipa majibu ndani ya mwezi huu kabla haujaisha nakuomba bwana ukanitendee sawa sawa na uonavyo nakuomba bwana ukatende
@NicksonKitomari-w9xАй бұрын
Amina mtumshi
@AgnesMgina-ud6ho10 ай бұрын
Ubalikiwe mtumishi
@anatoliombay3873 Жыл бұрын
🎉Mungu wa mbinguni akutunze mtumishi wa Mungu mwlmu Mwakasege🎉Diana Mwakasege
@MagrethMadila10 ай бұрын
Mwalim mungu akubaliki sana anayekuchukia wewe na mafundisho yako m m
@lightnesskweka4774 Жыл бұрын
Ameen 🙏 barikiwen sana watumwa WA Mungu Alie hai 🙏.Mwalim Mwakasege 🙏 na Mama Dianna
@AsheryMgowole8 ай бұрын
mungu atusaidie kujiandaa juu ya uamsho wa siku za mwisho
@piliibrahim4057 Жыл бұрын
Mungu wa mbinguni awakumbuke jaman katika utumishi huo