Ee Bwana yesu kristu, Nisaidie kujua thamani ya wokovu ktk maisha yangu🙏
@hekimazamtotochanneltv2451 Жыл бұрын
Asante sana Mungu kwa Neno Lako Kupitia Mtumishi wako Tusaidiee Yesu Tufikiee mwisho mwema Baba
@WinnieMishi Жыл бұрын
Asante yesu kwa uponyaji
@delliverkileo8441 Жыл бұрын
Mungu tusamehe watanzania tupe neema ya wokovu Yesu tusiache Nchi yetu ikangamia kumbuka famlia yangu ktkt ufalme wako hili ni ombi langu Mwenyenz.
@japhetmaganga10 ай бұрын
I love this song too much
@techniciantheprogrammer5513 Жыл бұрын
hallelujah Glory to God
@winnerpeter3061 Жыл бұрын
Mungu wambinguni asante kwa zawadi ya Neno lako ili tupate kupona kwa jina lako🤲
@GraceGwanchele-iu6th Жыл бұрын
Nisamehe Yesu yawezekana sijasikia vyema Saudi yako, nimekuwa mkaidi kama yule tajiri, nisamehe Bwana,samehe familia na nyumba yangu, samehe pia Taifa letu la Tanzania, tusamehee, turehemu Bwana
Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu Mungu ampe umri mrefu mtumishi Mwakasege na mama Diana Kwa utumishi uliotukuka 🙏
@MagrethMadila Жыл бұрын
Na amsemaye vibaya mwakasege afe vibaya😊
@WinnieMishi Жыл бұрын
Asante yesu
@faustinelugandya7464 Жыл бұрын
UBARIKIWE SANA MTUMISHI MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE
@elizashio1270 Жыл бұрын
Mungu fungua fahamu zetu tuelewe nyakati tulizopo kuwa ni za kurudi kwako🙏
@actormtewele2260 Жыл бұрын
Daaaaah! Bwana Aturehemu.
@olivaerasto6669 Жыл бұрын
Hakuna Mungu kama wewe na hakika hatakuwepo.
@janethedward6139 Жыл бұрын
YESU nikumbuke kumbuka familia ya Edward mwakisu Nina haja na wewe YESU wakumbuke ndugu zangu wote 😭 mkumbuke mama yangu Martha ihola Bwana tukakulaki pamoja mawinguni😭
@sophialauton9217 Жыл бұрын
Eee YESU eeee YESU help us before is too late.
@LiciaKiwale8 ай бұрын
Ameen
@winnerpeter3061 Жыл бұрын
NAPOKEA KWA JINA YESU
@WinnieMishi Жыл бұрын
Najua ykwamba hospitality yambinguni haijaisha dawa kwa ajili y mtoto wangu
@WinnieMishi Жыл бұрын
Amen
@JaneLyimo-sz7bd Жыл бұрын
YESUUUUUUUUUUUUUUUUU SAMEHE SAMEHE
@StephenNtibikema Жыл бұрын
Maombi ya kitaifa 2023
@japhetmaganga10 ай бұрын
❤😊
@christinewomanoffaith5479 Жыл бұрын
Yesu turehemu
@japhetmaganga10 ай бұрын
❤
@nuhumhagama2132 Жыл бұрын
Amen nabarikiwa na uimbaji
@lightnesskweka4774 Жыл бұрын
Amen natubu Yesu
@LazaroRichard-yc3qz Жыл бұрын
Mbarikiwe sana
@rosettadonald-wh8qg Жыл бұрын
Nmebarikiwa sana
@dorahhanga Жыл бұрын
Amina
@sarahmwamahusi2858 Жыл бұрын
LORD HAVE MERCY!
@sophialauton9217 Жыл бұрын
We need HIS mercy indeed
@bertherletara-gx6xd Жыл бұрын
Ameeeeeeeeeeeeen
@shamim-shammy Жыл бұрын
😭😭😭😭
@nuhumhagama2132 Жыл бұрын
Amen Amen
@nicksonlibent2903 Жыл бұрын
NAFSSIYANGU INAOGOPA... BWANA NIONGEZEE NGUVU NICHAPE INJILI, PIA UNIKUMBUKE KWAMBA NISIWAHUBIRIE WENGINE MIMI NIKAWA WA KUKATALIWA.
@elizabethliacho9900 Жыл бұрын
🔥🔥🔥👂👂🙏🙏
@LazaroRichard-yc3qz Жыл бұрын
Jina la bwana lii
@JALIWASEMEWESTON-bm4gx Жыл бұрын
Ameni
@GoodluckJ.Y Жыл бұрын
Jambo la kwanza 1:37:20
@nyamburafrank9782 Жыл бұрын
Nahitaji vitabu ila niko kaliua ya tabora navipataje