Baba kati ya jambo napenda kukuombea ni MUNGU akuongezee miaka. Asante kujitoa kwaajili ya MUNGU na kwaajili ya watanzania Tunakutegemea BABA.
@dianamlowe1950Күн бұрын
Mungu naomba nibariki uzao wangu nipate mtoto
@stephenkemege45Күн бұрын
Amen na IWE hivyo katika jina la yesu.
@TumwiZachariah23 сағат бұрын
Pokea kwa Jina la Yesu kristo
@gracemosespeter8722 сағат бұрын
Ameeeen na upokee sawa na uhitaji wako kwa Jina la YESU KRISTO 🔥🔥🔥🔥
@marianasunyai90819 сағат бұрын
Ameen Ni maombi yangu Pia ,MUNGU najua atatenda,maana MUNGU ni MUNGU wa matendo ya makuu 🙏
@filberthaule86598 сағат бұрын
Utapata Amina
@RehemaChris-wm6qjКүн бұрын
Mw Mungu wa Yakobo akutunze maisha yako na Familia yako maana tunapata maarifa mengi ubarikiwe sana
@mtoto_wa_Mfalme12Күн бұрын
Hii ni KUBWA KULIKO. Mungu awabariki sana Huduma ya Mana.
@MarcoPeter-y5n2 сағат бұрын
MUNGU BABA wa Mbinguni Akubariki maisha mema na marefu zaidi Mwalimu Mwakasege pamoja na familia yako yote Amen
@christinewomanoffaith5479Сағат бұрын
Amen na bar zote zitafungwa kwa jina la Yesu 🎉🎉🎉 Kwakweli ninefika hapo nimejionea
@samweliantoni770714 сағат бұрын
Amina baba ubarikiwe na Mungu anikumbuke na familia yangu na dugu na marafiki na taifaletu na kanisalake Amen
@AdelinaDidas-es3gnКүн бұрын
Mapenzi yake Mungu yatimizwe katika utumishi wako🙌🙌 asantee sana Baba Mwakasege na mama Diana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@JUMASYLIVESTERКүн бұрын
Amen Baba Mungu akuongoze mpaka maono yatimie 🙇🙏
@christinewomanoffaith5479Сағат бұрын
Yaani mpk mwili unasisimika😢 🙌🙌 Asante Yesu
@shalomtv1803Күн бұрын
Amen,Amen mwl Mungu akubariki sana na kukuzidisha kwenye utumishi aliokuitia
@AronHunterson12 сағат бұрын
Atukuzwe Mungu aliyeachilia Maono haya ndani yako kwaajili ya Kuliombea Taifa letu la Tanzania...Hakika Mungu ni Mwaminifu.Ufalme wa Mungu Utawale 🇹🇿. MBARIKIWE SANA BABA.
@FredyMbise-jy2lxКүн бұрын
Yesu aiongeze kazi yake na kuizidisha sana
@hayawingandango7599Күн бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu, Neema ya Mungu isipungue kwako
@stephanosospeter1709Күн бұрын
Nakupenda baba, mbeba maono ya taifa kwajili ya ufalme wa Mungu.
@christinewomanoffaith5479Сағат бұрын
Amen baba , Asante Yesu Nakupenda sn
@blessings1422Күн бұрын
Wow this is so powerful...Mungu akubariki sana baba
@DottoKazungu-w8pКүн бұрын
Amina baba mungu akuzidishe
@jmkenda8556Күн бұрын
Mungu utusadie uwe upande wetu sikuzote Glory to God
@JacksonLazaro-v4qКүн бұрын
MUNGU akutunze sana mtumishi maisha marefu kwako
@maryrweyemamu782515 сағат бұрын
Namshangaa MUNGU 🙌😮🙌
@justingeorge2451Сағат бұрын
Amen 🙏🙌 glory to Jesus Christ
@Dorcus-zq7xd18 сағат бұрын
Ameeen 🙏 Asante Yesu kwa ajili ya watumishi wako walinde mwilini na rohoni kwa ajili ya Utukufu wako Amen.
@neleajohn539820 сағат бұрын
Hakika uwepo wa Mungu uko mahali hapa nami nimeuona. Glory
@hellennuyah1722Күн бұрын
Mwl Mungu akutunze wewe na familia yako na timu nzima ya MANA
@ernestbutagalalaКүн бұрын
Mwl Christopher mwakasege mwaga zege😂😂 mungu akutunze sana baba yetu wa kiroho
@Globalpeace123Күн бұрын
Amen Mungu akubariki sana Mwal. Mwakasege
@paulSinjaleКүн бұрын
Nimungu anayeongea ndani Yako kubeba nchi yetu mungu akubaliki san
@MiriamMgoba20 сағат бұрын
Naomba Mungu kuongezeka imani yangu ikue 🙏
@JoyceMetsoniКүн бұрын
Amen,,,, Mungu naomba unisaidie
@daudimhoha320Күн бұрын
Mungu.awabariki.sana.kwakazi.yamungu
@VeilaMushi19 сағат бұрын
Mungu awabarki sana.
@AgnesMgina-ud6ho22 сағат бұрын
Asante YESU kwakutupa zawadi hii tanzania
@DottoKazungu-w8pКүн бұрын
Mungu baba akuzidishe
@getrudeisaac23 сағат бұрын
MUNGU wa IBRAHIM akutunze Baba🙏🏽
@BarakaSaulo-p7qКүн бұрын
Mungu akutumie kama apendavyo
@elizabethshana594123 сағат бұрын
Ameeeeeeen Barikiwa mtumishi
@NeemaMbinga18 сағат бұрын
Utunzwe na Baba wa Mbinguni 🎉🎉🎉❤❤❤
@modestamashoke9038Күн бұрын
MUNGU AWEPE MAISHA MAREFU Baba na Mama mtumishi
@MarcoPeter-y5n2 сағат бұрын
Glory to JESUS Amen
@LASTOKAJUN2 сағат бұрын
Mungu akutunze
@DavidKibwengo-e9vКүн бұрын
Mungu akibariki ww na timu Yako
@WilliamWitalya16 сағат бұрын
Mungu wa mbinguni akutunze sana najifunza mengi kupitia wewe u
@ElizaMulawaКүн бұрын
Mungu Awepamoja nanyi kwakila hatua
@rabekahadson1401Күн бұрын
Mungu sisi tunakushukuru kwaajili ya huduma hii ya MANA umetuongezea wigo wa kukujua,tunaomba uendelee kuistawisha kwaajili ya utukufu wako.
@dr.sarahbusongoКүн бұрын
Amen Baba,
@DicksonNelson-d1f17 сағат бұрын
AMIINA 🙏🙏🙏
@LyimoMhagamaКүн бұрын
Ameen
@annamasanika2770Күн бұрын
Amen Amen baba
@hilderluze5679Сағат бұрын
Sifa, heshima na Utukufu apewe MUNGU wa mbinguni kwa ajili ya huduma hii
@nawikemwasamboma5510Күн бұрын
amina mungu mwema
@oscanyakungaКүн бұрын
Ameeeeen
@emmanuelsimbeye7359Күн бұрын
Amen
@stephanosospeter1709Күн бұрын
Ameen ❤
@mariamoushoudada462917 сағат бұрын
👏🏼👏🏼👏🏼
@Jacob_NdosiКүн бұрын
Ameni
@MariamSenga-xn2dcКүн бұрын
Amen🔥🔥🔥
@ScholasticaMbagataКүн бұрын
Mungu wa mbinguni akutunze baba yetu
@hilderluze5679Сағат бұрын
Mathayo 6:9&10
@evarisaernest2146Күн бұрын
AMEN
@relaxationmusicandnature7121Күн бұрын
Tunaomba tupate account ya kutoa sadaka ya ujenzi wa ukumbi wa maombi
@Globalpeace123Күн бұрын
Number utaipata kwenye hii clip au clip yoyote anyoendesha mahubiri huwa wanaonyesha number za kutolea sadaka.
@Elijahmwijage8 сағат бұрын
Mungu awenasisi kokote tuendapo na tutokapo na tulipo
@ChristinePhilipoКүн бұрын
MUNGU asikupungukie wewe na familia yako pamoja na huduma hii