Mungu akulinde mwl Christopher unanibariki sana naamini nitashuhudia yaliyo makuu juu ya tumbo langu la uzazi
@lydiaemmanuel78932 жыл бұрын
Namshukuru Mungu kupitia hili kongamano nilifunguliwa 🙏
@hashamyusuphu10642 жыл бұрын
Eeemwenyezi mungu bariki tumbo lake la uzazi kipenzi changu Ireen chuba mponye mpunguzie adhabu na maumivu yanayo mkabili muda uhu mponye bwana yesu kristo aliye hai mponye mungu wangu
@sophiakimaro82072 ай бұрын
Mungu napokea kufunguliwa tumbo langu la uzazi ktk jina la yesu
@upendoeliudi51962 жыл бұрын
Aminaa napokea kufunguliwa kwa kizazi changu katika tumbo la uzazi kwa dam ya Yesu Kristo wa Nazareth, barikiwa sana mwalim Christopher
@neemajeremiah86692 жыл бұрын
Asante Yesu kwa maombi haya yamejibu kilio changu cha mda mrefu. Barikiwa sana watumishi wa Mungu
@naomisteven29642 жыл бұрын
Nimefatilia na kuelewa. Mungu akubariki mtumishi wa Mungu, nina hakika tumbo langu la uzazi limefunguliwa.
@happinessndumizi4532 жыл бұрын
Operation aliyoifanya Mungu leo niseme tu sifa na utukufu ni wa kwake, Mtumishi Mwakasege Mungu aendelee kukutunza kwa ajili yetu🙏
@JLTT11 ай бұрын
Mimi pia nimefunguliwa . Tunamshukuru MUNGU Kwa uaminifu wake kwetu na Kwa watumishi wake hawa ( Baba na Mama Mwakasege ) na mana ministry Kwa ujumla . MUNGU awabariki sana 🙌 🙌 🙌
@gadisaloni576 Жыл бұрын
Mungu akuinue mtumishi tukapate kuliekewa neno lako katika kina la yesu amen
@mariethakithama907Ай бұрын
Amen amen asante Yesu kunifungua
@heavenlightkombe57302 жыл бұрын
Hii siku nilibarikiwa sana na kufunguliwa sintaa niisahau. Mungu awabariki wote waliokaa na kuandaa hii semina ya wanawake. Pia Mungu asimpungukie mtumishi wa Mungu pamoja na Familia yake. Mama na Mwalimu Mungu awabariki, Asanteni kwa SoMo nzuri. Hakika mlitupeleka hatua kumi mbele. Awape kibali Cha kuandaa semna nyingine. Mungu ayabariki matumbo ya wanawake. 🙏
@evafidelis74472 жыл бұрын
Mungu akubariki nilikua na vita kusikiliza maombi haya ila Mungu akiruhusu shetani anaaibika maan. Kila nikitaka kusikiliza!! yanatokea mapingamizi hata na kuandika sms hii nayo ni hivyo hivyo nataka ulimwengu ujue kazi ya Mungu aina mpinzani ni hivi Mungu amenifungua tumbo kupitia maombi haya ya tumbo la uzazi Leo nimefika kwenye hatma yangu Asante Yesu
@DuniaBasinyizeGrace5 ай бұрын
Asante kwa mapombe unayo tufanyizia
@ClemensiaMpare10 ай бұрын
Amen amen balikiwa sana mtumishi
@reilambepela1062 Жыл бұрын
Mungu anijalie nijifungue salama
@aikaalexander8460 Жыл бұрын
I pray for deliverance through this powerful prayers in the name of Jesus
@lenockakley18562 жыл бұрын
Ameen namshukuru mungu sana kwa haya maombi mungu akubariki sana mwalimu mwakasege
@aureliekatempa95192 жыл бұрын
Tunakushukuru Mungu muponyanji.
@aureliekatempa95192 жыл бұрын
Aksanti wangu Kwa pumzi
@WemaMgale6 ай бұрын
Asante yesu kwa kuniponya tumbo langu
@tatubanadi47102 жыл бұрын
asante sana mama yangu.ndio naiona.Mungu akubariki sana.
@aureliekatempa95192 жыл бұрын
Mungu apewe sifa
@catherineshayo6562 жыл бұрын
Amen, baba tunaomba na dar es Salam pia maombi haya
@magrathmichael74752 жыл бұрын
Asante yesu kwa kufunguliwa upya nitasafiri salama na kujifungua salama.
@esthermnzava88932 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe, tunaomba somo zima tupate maarifa zaidi
@aureliekatempa95192 жыл бұрын
Thank-you Lord Almighty for your healing in Jesus name.
@elizabethngasa31062 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mwalimu
@johnjosephjoseph35792 жыл бұрын
Mungu akubariki sana my Dady una fanya kazi nzuri ya mungu
@marytabu49042 жыл бұрын
Asante mtumishi kwa Neno la wakati katika maisha yangu. Na Asante kwa damu ya yesu. Uzidi kulindwa mwalimu
@ceciliamsesa1792 жыл бұрын
Napokea Kwa Damu ya Yesu , Amina
@adolfridamulokozi96102 жыл бұрын
Thank you so much! Mumy and Daddy for the blessings you offered to all of us, we are blessed!😍😍🤗
@adolfridamulokozi96102 жыл бұрын
Good morning! Through this prayer got my delivarance, and I can testify the goodness of God in my life through myself and my only son I have, merciful Lord halleluyah!
@edithmakundingarashi75592 жыл бұрын
Mungu awabariki watumishi wa Mungu kwa huduma ya tarehe 03/05/2022. Ilikuwa ya baraka kwa wengi. Ninawaomba mtuwekee somo lote KZbin/Telegram. Wengi walifunguliwa na ninaamini wanaoendelea kusikiliza watafunguliwa. It is powerful.
@irenesamson41782 жыл бұрын
hakika
@lydiadickson42532 жыл бұрын
Hakika
@obedyjonas44852 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni asikie maombi ya watu wake kupitia Kristo Yesu.
@upendokiwanga95382 жыл бұрын
Tunaomba na somo mubarikiwe saana
@anjelaleonard48872 жыл бұрын
AMEN TUNAOMBA SOMO LOTE WAPENDWA LA HII SEMINA
@mhinajohn82722 жыл бұрын
Ameen baba mungu akupe maixha marefu
@rahelmkamburi188 Жыл бұрын
Thankyou Lord God for your healing 🙌🙌
@fortunatantwale73052 жыл бұрын
Thank you Jesus ..I lift up your name my Jesus Christ..Ameen
@pendoashery2552 жыл бұрын
Asante yesu kwa zawadi ya mwalim huyu amekuwa baraka kwetu,ila nna swali ambolo huwa najiuli na majibu cjawah pata,swali n hv,kitovu cha mtoto kinatakiwa kutupwa wapi kwa mujubu wa. bibili?,nitashukru kama nitapata jibu asante
@prayerstv84162 жыл бұрын
Kitovu cha mtoto kinaweza tupwa sehemu yoyote kama ila usisahau mtoto anapozaliwa ni lazima aombewe na kukata mawasiliano yote ya kipepo ya ukoo wa baba wa mtoto au Mama kwa damu ya Yesu
@blessings14222 жыл бұрын
MUNGU akubariki Baba.
@tusubilegemtafya55322 жыл бұрын
Iwe ivo kwangu....amen
@hosianalazaro13892 жыл бұрын
Tunaombeni hili somo jamani...Mungu awabariki...natamani kuelewa habari za tumbo la mwanamke ......
@neemamachangemachange88742 жыл бұрын
Yesu naomba usinipite
@angelaswila66322 жыл бұрын
Mungu tunaomba fursa nyingine ya kongamano la wanawake.
@siamakundi59042 жыл бұрын
Dar linakuja mwezi wa 6
@upendokiwanga95382 жыл бұрын
amen amen napokea kila kilichoombwa hapo ni changu
@johnjosephjoseph35792 жыл бұрын
Mambo neema sijui kama kweli ni wewe
@feliciandangote37532 жыл бұрын
Ubarikiwe Baba🙏🙏
@edakiputa11082 жыл бұрын
Amina,asante Bwana Yesu.
@allthingdranabeauty Жыл бұрын
I received twins in jesus name amen thanks
@estermwakyeja3195 Жыл бұрын
Eee mungu nifungue niwe wako
@mweleurio79602 жыл бұрын
AMEN. AHSANTE YESU KRISTO 🙏🏽
@paulinamkama74752 жыл бұрын
Asante Yesu..
@neemamachangemachange88742 жыл бұрын
Uniponye tumbo langu Ee Yesu
@happinesslema31352 жыл бұрын
Mbarikiwe daima
@hamisbakari64062 жыл бұрын
Nashukuru nafunguliwa sasa
@MarcoPeter-y5n6 ай бұрын
Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen
@juliethmosha8252 Жыл бұрын
Nimefungukw in Jesus name
@sarabedah41362 жыл бұрын
Thank you Jesus, Amen, Amen and Amen🙏🏻
@lazaromichael87792 жыл бұрын
Amen
@allthingdranabeauty Жыл бұрын
Amen thanks jesus
@Unknow94732 жыл бұрын
Jana nilikuwa numwa tumbo nilivyosikiliza maombi tumbo lilipota na nikalala vizur Mungu mkuu sana
@mauwashomari81602 жыл бұрын
Ee YESU kupitia maombi aya usini pite mimi pamoja na familia yetu
@selinasamba27672 жыл бұрын
Baba naomba maombi tangu nilipoota kuwa sitaolewa nakuzaa mpaka sasa wanaume wananikimbia na watoto sipati naomba maombi
@neymseluka20772 жыл бұрын
Selina Samba @usiache kufuta kila taarifa uliyopewa damu ya YESU inene mema juu yako,yuko MUNGU awezae kutenda usikate tamaa kila saa ita damu ya YESU,na kumbukumbu zote zitafutika kwa nguvu za MUNGU usikubali kushindwa
@teresiasanga75392 жыл бұрын
Damu ya Yesu kristo ipite
@CeciliaMaziku-bo2lo7 ай бұрын
Napokea kufunguliwa tumbo langu la uzazi na uzao wangu
@ministerHappyAllan2 жыл бұрын
Amen asante Yesu
@abdywealth7689 Жыл бұрын
Napikeaa kwa imani kubwaa
@user-Ndashuka001 Жыл бұрын
AMEN AMEN AMEN
@eliakimbetheliza73952 жыл бұрын
ameni
@endtimes98502 жыл бұрын
Watu nawaambia hakuna mkamilifu, lakini nawaomba kina dada kina kaka, acheni kujiongezea urembo katika miili yenu. ASIJE MTU AKAKATALIWA KATIKA LANGO LA MBINGUNI SABABU YA HAYO.
@christinewomanoffaith54792 жыл бұрын
asante Yesu
@lydiaelikana63472 жыл бұрын
Glory to God 🙏🙏🙏
@rahelmkamburi188 Жыл бұрын
Mtumishi nliota Niko na mkanda jeshi kwa tumbo upande wa kulia....baada ya muda tumbo likaanza kuuma huo upande tu...nahitaji maombi
@irenejoseph92082 жыл бұрын
Mwalim tunaomba somo lote kwa ujumla..........!!!!
@jescaemmanuel1002 жыл бұрын
Thank you Jesus
@rahelchilale10752 жыл бұрын
AMEN.GLORY TO GOD
@DuniaBasinyizeGrace5 ай бұрын
4:37 ❤
@neemasaidisaid17912 жыл бұрын
Baba yangu ulie mbinguni usinipite nami na maombii haya nikumbuke .yamkini sistahili kwa makosa yangu .Nakuombaaa kupitia maombii ya mtumishii wako nikumbuke na kunirehe.ktk ya uovuu kumbukaa reehema nitakase tumbo langu la uzazi
@johnjosephjoseph35792 жыл бұрын
Neema mambo sijui kama kweli ni wewe
@neemasaidisaid17912 жыл бұрын
@@johnjosephjoseph3579 neema yupi yamkini ni mimi au sio
@johnjosephjoseph35792 жыл бұрын
Wewe ni kabila gani
@aureliekatempa95192 жыл бұрын
Aksanti mokonzi Kwa kufunguwa tumbo lauzazi
@gillianlissa24032 жыл бұрын
Amen Amen,Thank you Jesus🙏🙏🙏
@irenedaffi71792 жыл бұрын
🙏🙏🙏ameeen
@BakariSemboko11 ай бұрын
naomba unifungue tumbo lauzazi
@holipajangala89262 жыл бұрын
Powerful
@christinewomanoffaith54792 жыл бұрын
wale ambao mama zetu hawajielewi na hawaelewi chochote,jmn🤔
@aidanongole93412 жыл бұрын
AMEN
@ipajam92 жыл бұрын
Amen, Amen and Amen.
@saumhamisi73202 жыл бұрын
Ameeeeen
@vemchannel20182 жыл бұрын
Ameeen
@neemamachangemachange88742 жыл бұрын
Naomba toba kwa ajili ya tumbo langu
@mteulemteule71482 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@neemamachangemachange88742 жыл бұрын
Roho mtakatifu usinipite
@neemajeremiah86692 жыл бұрын
Asante Yesu kwa maombi haya yamejibu kilio changu cha mda mrefu. Barikiwa sana watumishi wa Mungu