Ubarikiwe mwalimu Kwa somo zuri... hakika umenifungua... namshukuru Mungu kwaajili yako.Mungu azidi kukuweka
@christinewomanoffaith54792 жыл бұрын
Yesu tusaidie,mambo mazito,magumu haya! mama angu anasema,ye alikuwa haamini haya mambo eti akatupa kitovu chooni! 😢ila hakuomba! ndoto za chooni zimenitesa,kila nikiomba sipati upenyo,nimekuja kupata ufahamu nikiwa naomba, aisee Roho Mtakatifu mwaminifu... ila nashukuru Mungu,maombi ya kwenye semina ya Dodoma yalikata zile ndoto mpk Leo! glory be to God
@safibendera89172 жыл бұрын
Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina 👏
@rowenalilie993 Жыл бұрын
AMINA AMINA
@christinewomanoffaith54792 жыл бұрын
yaani ukiokoka,kuoa,kuolewa,kuzaa ni zaidi ya vita kuu ya dunia🙌Yesu tusaidie
@marrynaftali79692 жыл бұрын
Hakika umesema kweli,Ni Vita kuu ya kwanza ya Dunia
@jacklinekayombo4682 жыл бұрын
Asante Mungu kwaajili yako mtumishi Christopher Mwakasege nabarikiwi sana
@neemamahimbo47112 жыл бұрын
Mwalimu!Mwalimu!Mwalimu!Mungu akutunze.
@desciplemercygk98339 ай бұрын
Atukuzwe Jehova kwa uaminifu wake.. powerful revelation ever mwakani nitarudi na ushuhuda mkuu hapa kwa utukufu wa Bwana
@jescaemmanuel1002 жыл бұрын
Thank you Dad,,,kuna mahali umenivusha 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🌷🌷🌷🥰🥰🥰 Mungu akuweke kwaajili ya UTUKUFU wake
@MumbereJean-fq7gk Жыл бұрын
bsr,mwalimu natamani sana kuku ona ile uwezo siyakuwanao nakufatakasana unanijengasana kiroho Mungu akulinde ktk duniahi.
@upendoeliudi51962 жыл бұрын
Aminaa barikiwa sana mwalim Christopher mwakasege Mungu akutunze siku zote za maisha yako ninaachilia damu ya Yesu juu yako na family yako ikanene mema siku zote
@MaryEsya Жыл бұрын
Thanks man of God, glory to jesus
@donathasimon92922 жыл бұрын
MUNGU AZIDI kukutunza BABA uwe na maisha marefu dunian Mungu akuepushe na magonjwa na uzee wa kulala kitandani vixazi vizidi kumjua Mungu kupitia pitia wewe
@catherinepaul34272 жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki mwalimu,nimejifunza mengi kupitia mafundisho yako
@OscaGidion Жыл бұрын
Asante Sana baba kwa neno nzur mungu aendere kukutumia
@pascalkabombe11942 жыл бұрын
Mungu akubariki na aendelee kukutunza na kukufunulia zaidi na zaidi
@AnethBalele-ko8ug Жыл бұрын
Amen amen Baba yangu wakati mama ana ujauzito alimlazimisha atoe mimba yangu akakataa ikawa ndo chanzo cha Wao kuachana mpaka sahivi Binafsi nawaza inakuwaje na mpaka sasa mimi simpendi Baba nafanyaje
@mariamaroda3202 жыл бұрын
Tunamshukuru Yesu kwa ajili yako kutufundisha mafunuo haya makubwa.Roho Mt azidi kukufunulia wamama wengi wanateseka
@lydiavegula76412 жыл бұрын
Mtumishi leo ndo nimesikiliza tangu utuambie kwa group jamani...
@neemasaidisaid17912 жыл бұрын
Amen. Mungu nisaidie kuyajuwawa mafumbo yako.
@lydiavegula76412 жыл бұрын
Sifa zikurudie Bwana kwa kutufunulia Siri hii....wish wamama wote wasikilize...Bwana akutazame mwalimu
@agnessshahanga87382 жыл бұрын
Ishi sanaaaa Babaa Mungu akulinde daima 🙏🙏
@ezekielikitutu98582 жыл бұрын
Mungu kumbuka tumbo la mke wangu
@damariszuckschwert94892 жыл бұрын
Mungu akayasikie maombi yako, kwa Jina la Yesu.
@sarahgaula22202 жыл бұрын
Amen Mungu awatendee sawasawa na hitaji lenu
@sarahgaula22202 жыл бұрын
@ezekiel kitutu nimekaa for 14 yrs na Mungu amemtenda kama unaweza tuwasiliane.
@neemamachangemachange88742 жыл бұрын
Mungu tusaidie sisi wanawake
@lilianwilfred32712 жыл бұрын
Asante Mwl kwa mafundisho ya baraka
@christinewomanoffaith54792 жыл бұрын
asante Yesu kwa mafunuo haya mbariki mtumishi wako,muinue tena na tena
@upendokiwanga95382 жыл бұрын
Kweli ukiokoka kuzaa jamani ni vita kuliko vita kuu ya dunia Ee Mungu usiwe kwetu kama kijito kidanganyacho fanya jambo la uponyaji
Eeeh Mungu 😭😭😭 niseme tu kumbuka tumbo langu la uzaz kupitia mtumishi wa Mungu huyu 😭😭😭
@lovedleonard83982 жыл бұрын
Ameen mungu tusaidie
@azadimuumba4840 Жыл бұрын
Safi sana.
@deoruge2 жыл бұрын
Nimeogopa sana eeh Mungu turehemu
@christinewomanoffaith54792 жыл бұрын
ni kumshukuru Mungu kuna namna ya kutoka sio kuogopa! kuna kipande cha maombi cha hili somo
@neemamachangemachange88742 жыл бұрын
Amen
@silaleopard72632 жыл бұрын
Barikiwaa teacher wanguu
@estasanga5822 жыл бұрын
AMINAA MTUMISHI
@sofiamtenga61052 жыл бұрын
MUNGU atusaidie mambo haya in magumu wengine vituvu vyetu vilichanganywa na mbolea ya ng'ombe vikawekwa kwenye mgomba na huo mgomba kila ikikomaa ndizi ni ya kupikia pombe tu.Mungu uturehemu
@christinewomanoffaith54792 жыл бұрын
aiseee😢 mambo ya mswati,Swaziland! Mungu waKumbuke ile nchi, wakujue waache kukabidhi watt kwa ile miungu ya mfalme
@damariszuckschwert94892 жыл бұрын
Siyo kule kwa mswati tu hata Tanzania wana miungu kibao.,kila kabila na miungu yake.
@christinewomanoffaith54792 жыл бұрын
umeelewa alichoongea mwalimu!? kuna mahali kasema kuna watt wa kike wanakabidhiwa kwa mfalme,wakuwa mabikra,mpk mfalme achague binti hapo wengine wanakuwa huru kuendelea.... ndo nikakumbuka Swaziland! hiyo ya miungu kwenye makabila Tz mmh sijasikia kuna mila ila sio km hii aliyosema mwalim ya kukabidhi watt wote wa kike kwenye eneo
@damariszuckschwert94892 жыл бұрын
@@christinewomanoffaith5479 👍
@christinaisanguisangu29742 жыл бұрын
Yaani najisachi kuanzia ndoa mpaka watoto asee sioni km kuna mahali nimeokoka Mungu nimemkosea sana sijui hata hatma yangu
@joyceallan27582 жыл бұрын
Mungu, likumbuke tumbo langu litunze kusudi lako juu ya uzao wangu
@neemamachangemachange88742 жыл бұрын
Hallelujah
@christinewomanoffaith54792 жыл бұрын
aisee ndo maana tunateseka,tumepewa majina hayaeleweki yanatusumbua! wazazi wanataja tu majina kwa kujitakia ata hawaombi!
@endtimes98502 жыл бұрын
WAAMBIE HAO WANAWAKE WANAONIABUDU NA KUNIFUATA MIMI YESU, WAACHE KUVAA NYELE BANDIA,KUCHA BANDIA, KOPE BANDIA NA VITU VYOTE AMBAVYO VINAPINGANA NA ASILI YA KUUMBWA KWAO, NA WANAPOKUA KANISANI KATIKA IBADA WAFUNIKE VICHWA VYAO. 1 Wakorintho 11:13
@ninamellau7742 жыл бұрын
M delivered
@neemamachangemachange88742 жыл бұрын
Ee Mungu nahitaji mguso wako kwenye tumbo langu
@christinewomanoffaith54792 жыл бұрын
😢shetani atakutafutia mtu wa kuzaa na wewe ili aifuatilie ile mbegu!🤔 atakuletea mwanaume ambae sio wa Mungu ili uzae cha kwake!🙌🙌 asante Yesu nimefahamu haya sijaingia huko,sijazaa! aisee asante Yesu kwa kunifungua!
@rowenalilie993 Жыл бұрын
Ameen
@joyceallan27582 жыл бұрын
Kwa Damu ya Yesu
@davoo25552 жыл бұрын
😅😅😂😂... Mwalimu na yy kumbe anajua chakula... 😅😅🤣🤣🤣
@RosePatrick-vh2or9 ай бұрын
❤
@josephinemacha71122 жыл бұрын
Link ipi jamani?
@christinewomanoffaith54792 жыл бұрын
aisee huu uvimbe unaondoka nilijua tu kuna namna! eti umri unaenda zaa tu! hakuna cha umri hapa ni shetani tu!😂 asante Yesu kwa huu ufunuo!
@neemamachangemachange88742 жыл бұрын
Ni kweli kabisa maana hata Mimi niliambiwa Nina uvimbe mkubwa sana na damu inanitokaga nyingi sanaaa tena mpaka sasa tumbo linanisumbua kupita kiasi!! Mvurugo tu!! Nikafanyiwa operation na wakakuta kitu kingine na wala sio uvimbe!!
@christinewomanoffaith54792 жыл бұрын
duh omba Mungu tu,kipo kile kipande cha maombi ya hili somo ,cheki
@neemamachangemachange88742 жыл бұрын
@@christinewomanoffaith5479 Amen
@damariszuckschwert94892 жыл бұрын
Hapo kwa pombe na wachagga sasa🤭🤭 Sasa kwanini Sikujua haya mapema? Lord Jesus have mercy on us. Sasa waliozaliwa Europe na hutupwa kwenye pipa la taka, inafanyika nini? Na mbona hawana mashida kama zetu?
@christinewomanoffaith54792 жыл бұрын
wana shida sana tu,ila zimetofautiana! lkn pia kumbuka,hapa wanaoteseka sana ni wale walioamua kuokoka means unaenda kinyume na mungu wa asili,familia na unajua wazungu wengi bado ndo maana huoni shida kwa kiasi kikubwa
@christinewomanoffaith54792 жыл бұрын
😂wachaga,wahehe,wahaya,wanyakyusa pombee na wao
@joanesjonathan42857 ай бұрын
ndio umejua sasa , omba sana toba , nimerudia hii kuisikiliza mara zaidi ya 4 na kila nikisikiliza napata jambo jipya yaan nimeamini kwel yaan tunaangamia sana kwa kukosa maarifa kama haya dah hivi pata picha yule aliyekosa maarifa kama haya anaangaika miaka zaidi ya mitatu hajua chanzo cha tatizo lake kumbe shida iko either ktk tumbo la uzazi au ardhi ya asili uliyozaliwa