No video

Mwongozo Wa Bajeti

  Рет қаралды 49,106

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 126
@jainaboman8952
@jainaboman8952 5 жыл бұрын
Asante kwamuongozo wako Allah akuzidishie maarifa zaidi inshallah pamoja sana
@edinachami1754
@edinachami1754 5 жыл бұрын
kaka Joel nabarikiwa sana tangu nianze kukufuatilia nilianza biashara namtaji walaki tatu nasasa nakimbilia million kumi natano naviwanja vinne nanyumba room mbili wee ndo role module wangu mungu akubariki sana
@charlzzesonconsciousness6685
@charlzzesonconsciousness6685 5 жыл бұрын
Nidhamu ya pesa ni muhimu sana kama unaitaji mafanikio #see you at the top
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
DEE MASTER kabisa,ni muhimu kuzingatia kila wakati
@patrickemmanuelemmanuel9354
@patrickemmanuelemmanuel9354 5 жыл бұрын
natanguliza shukrani za dhati kwa mwenyezi mungu kwa kugawa karama tofauti kwa watu wake nakutupatia wa2 kama ww kaka Joel Nanauka mm nimfanya biashara mdogo nipo soko kuu s/wanga nilianza namtaji wa shl milion Tatu mwaka jana mwez july nimepanga flm kwa mwez nalipa shlng laki moja kwa mmiliki wachumba na halimashauli nalipa elf 80 kwa mwz kiasi ambacho nigharama kubwa na changamoto kubwa kwangu nikajitathini ntawezaje kupata chumba navyumba viuzwa kati ya shilng milioni kumi natano mpaka milion kumi nikaona nijiwekee utaratibu kwamba kila siku save tsh elf Ishirin ambayo kwa mwezi nikama laki sita mara miez kumi nambili nikama milion 7200000 ambayo inakaribia lengo langu au mtazamo wangu je nifanye nn cha ziada kutimiza adhima yangu?
@abuuharuna4278
@abuuharuna4278 5 жыл бұрын
kupanga bejet sio inshu inshu kubwa ni kuishi ndani ya hiyo bajet ndo tatizo kubwa kwangu na watu wengi nadhani u nge tuletea na mada inayotoa muongozo kuhusu kuishi ndani ya bajet
@pudensianalinwatu5320
@pudensianalinwatu5320 5 жыл бұрын
Ahsante sana kaka nakituatilia sana mm ndyo nahitaji kuanza biashara ndogondogo hvyo nitazid kukifuatilia
@wilsonmoses2761
@wilsonmoses2761 5 жыл бұрын
Daah!! Bro! Kila napokusikiliza napata wazo jipya kwenye malengo yangu safi sana kwa kazi nzuri Mr joel
@pharesmalwega165
@pharesmalwega165 4 жыл бұрын
Asante sana kwa masomo mazuri
@jozeelady7334
@jozeelady7334 3 жыл бұрын
See you at the top thanks bro
@chasamatv5782
@chasamatv5782 5 жыл бұрын
ahsanteh kiongozi!
@jacksonmathayo6510
@jacksonmathayo6510 4 жыл бұрын
Ahsante Sana Mheshimiwa Noel
@fidelismukandara932
@fidelismukandara932 5 жыл бұрын
Bro ntakuja kukupa matokeoo,,lazimaa niwe top
@emanuelidanieli3095
@emanuelidanieli3095 5 жыл бұрын
asante sana kaka
@florahemmanuel8323
@florahemmanuel8323 5 жыл бұрын
Kwakweli kaka Joel Mungu akubaliki sana kwa elimu unayotoa.kazi yako si bure Mungu atakupeleka kiwango cha jii zaidi.kwakweli kwny bajeti hapo,nahitaji msaada wa ziada kila nikijitahidi vipi mwisho wa SK nashindwa kutimiza malengo
@salomerueben8736
@salomerueben8736 5 жыл бұрын
Aisee asante sana nimekua nikipata pesa ila zinaisha tuu bila kufanya mambo ya msingi, ngoja nianze huu utaratibu nitaleta mrejesho
@athumaniferuzi5887
@athumaniferuzi5887 5 жыл бұрын
thnx teacher were together step by step.
@esthermagashi6044
@esthermagashi6044 5 жыл бұрын
See u at the top bro.thanks a lot for your advise.sijutii kukusikiliza kwakweli
@alihassanhaiba6937
@alihassanhaiba6937 5 жыл бұрын
Ahsante sana kaka Joel mungu akubariki
@wilsonmichael1156
@wilsonmichael1156 5 жыл бұрын
Financial vision hapo ndipo nataka nianze nako Asante, nitafurahi ukizidi kunifundisha zaidi.
@rashidkihombo6782
@rashidkihombo6782 4 жыл бұрын
Asante kwa elimu hiyo ya 4 imenigusa zaid hiyo ya malengo pia nzur kwan nimeipenda san
@worshipertv9968
@worshipertv9968 5 жыл бұрын
Asante sana kaka
@linetnekesa7328
@linetnekesa7328 5 жыл бұрын
asante sana kaka Joel
@macmax3152
@macmax3152 Жыл бұрын
Nakuombea kwa mungu kaka azidi kukupa uhai unatufunza vyema Sana ubalikiwe
@mpidrissaidd4936
@mpidrissaidd4936 4 жыл бұрын
Ahsante sana haina ni rahisi kufanikiwa kwa njia hiyo kwa mtu mwenye nia
@winifridaerasmus553
@winifridaerasmus553 5 жыл бұрын
Napenda kufuatilia video zako kaka .....napata somo....Na kuelimika pia katika maisha ,masomo Na mahusiano.....
@zuhuraabdillah6941
@zuhuraabdillah6941 5 жыл бұрын
Financial vision is the foundation to start with
@hafsahcletty5968
@hafsahcletty5968 5 жыл бұрын
M/mungu akubariki Nimekuelewa vizuri sana. Shukran
@bitemwita6809
@bitemwita6809 5 жыл бұрын
mm kaka joel naomba uwe mentor wangu tu mafundisho yako yananibariki sana
@neemaonesmo7642
@neemaonesmo7642 5 жыл бұрын
Thanks, umeniongezea kitu
@grantmwakyusa7051
@grantmwakyusa7051 5 жыл бұрын
Ahsante kwa elimu Broo
@othmanmuhammad1650
@othmanmuhammad1650 5 жыл бұрын
outstanding brother,!,being frugal it crucial to everyone who extremely intend to reach the goals,because these only happen to a meticulous,witty and conscientious people,!,,.fascinating video of the day,!,.
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
othman muhammad you are very right Othman.Help me to share the video
@othmanmuhammad1650
@othmanmuhammad1650 5 жыл бұрын
@@joelnanauka worry out mr.Joel,,you got your wish,.
@eliudikijuzi4909
@eliudikijuzi4909 3 жыл бұрын
Nashukuru najitahidi kufanya Hivyo JAPO NDHAMU INAKUWA INANISHINDA WAKAT MWINGINE. ILA MUNGU AKUBARIKI SANA
@winifridaerasmus553
@winifridaerasmus553 5 жыл бұрын
Asanteee kaka...kwa somo lako.......napendaa kufwatilia video zako kaka....
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 5 жыл бұрын
Ahsante sana kaka Joel,tuko pamoja,naendelea kuimarisha ubongo wangu kupitia video zako
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Khadija Juma pamoja sana Khadija karibu sana
@DRICK-vn3oj
@DRICK-vn3oj 5 жыл бұрын
Kaka mashati yako mazuri sanaaa, unayachukaga wapi? by the way nilikuomba namba
@omariramadhani1562
@omariramadhani1562 3 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu,amen
@shukranjulius7310
@shukranjulius7310 5 жыл бұрын
Barikiwa kaka,Mimi kiukweli natamani niwe mchumi lakini nipatapo pesa,nakua namatumizi yasiyo yalazima,mfano mtu anaweza niomba pesa nikajikuta maguswa kumsaidia nishauli nifanyeje
@goodmorningonline2025
@goodmorningonline2025 5 жыл бұрын
Special thanks bro Mwl wetu kwa kuanza week somo la bajeti
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Good morning Online nashukuru sana kwa kuendelea kujifunza pamoja 💪💪
@helenamusa432
@helenamusa432 5 жыл бұрын
Asant sana kk joel hapo kwa bajeti ndo mtihani matumiz ya pesa yanazidia sijui nifanaje
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Helena Musa hayatakiwi kuzidi ndio maana ya bajeti.Umeshaangalia video ya 50/30/20?
@helenamusa432
@helenamusa432 5 жыл бұрын
@@joelnanauka asant kk ntajitaid niwe na bajeti muzuli kuptia kuangaria vipind vako mungu akulinde uzidi kutujenga kiàkiri
@twariqshaban4982
@twariqshaban4982 3 жыл бұрын
Thanks you
@semdoweallyamiri6758
@semdoweallyamiri6758 3 жыл бұрын
Ahsante sana kaka, hakika wewe ni mwalimu kwangu
@petterKibona-wq2pp
@petterKibona-wq2pp Жыл бұрын
Be blessed
@kelvinjohn6851
@kelvinjohn6851 5 жыл бұрын
This is my brother
@farajamwashimahanmeiptagud6477
@farajamwashimahanmeiptagud6477 4 жыл бұрын
kwel kaka uko vizur sana amin mafunzo yako pia nitayafanyia kaz
@mayboytanzania3621
@mayboytanzania3621 5 жыл бұрын
Thanks brother
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Mayboy Tanzania karibu sana Ahsante kwa kuendelea kutembelea Channel
@mayboytanzania3621
@mayboytanzania3621 5 жыл бұрын
Thanks
@parisspatz1880
@parisspatz1880 4 жыл бұрын
Asante sana
@elizabethmayenga9757
@elizabethmayenga9757 5 жыл бұрын
Nimejifunza nimeelewa lakini tatizo unaweza ukawa unauzalishaji imara ila soko linakuja kuyumbisha unajikuta hayo yote yanafeli kabisa ebu nisaidie hapo,,maana mm nimjasiliamali ni mfugaji na pia nafanya kilimo lakini nimefika wakati nakuwa na mikakati lakini ukija sokoni ni tabu umetumia garama kubwa unapata hasara hata kurudisha tu hela inakuwa tabu
@slemdj
@slemdj 5 жыл бұрын
leo umenifungua kuhusu bajeti
@maryamharon1484
@maryamharon1484 5 жыл бұрын
hatua yaa nne mm kwangu bado changamoto kabisa pesa ninayoipata naitumia yoote nashndwa kabisa kuweka akiba lakin naitumia kwa mambo ya msingi tuu kama vile kuwekeza kwenye vitu lakin si kuweka akiba nataman lakin cwez kabisa cjui kwann
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Maryam Haron kuweka akina ni TABIA sio lazima uanze na Kitu kikubwa unaweza kuanza na kidogo ila usiache.Ukifanya hivyo itakusaidia sana kujenga tabia hii
@maryamharon1484
@maryamharon1484 5 жыл бұрын
nitajitahid kaka joel🙏
@valentinamussa4212
@valentinamussa4212 5 жыл бұрын
@@joelnanauka asante sana kwa elimu,nzuri sana,kwania njema tu nimejisikia kukusifia umependeza sana nimependa hiyo sharti nzuri sana
@mariamissaahmed7675
@mariamissaahmed7675 5 жыл бұрын
Shukran sana Twaomba no yako.Niko Mombasa Kenya Biashara ni ya kuku wa nyama
@isackmusa4660
@isackmusa4660 2 жыл бұрын
Nakukubali broo
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 Жыл бұрын
Shukuran sana
@kingoman7895
@kingoman7895 5 жыл бұрын
Thanx so much my bro joel nanauka#seeuatthetop#
@lidyanapegwa8154
@lidyanapegwa8154 2 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana kaka
@deboramsossi3282
@deboramsossi3282 4 жыл бұрын
somo zur,tatizo nililonalo in kuish ndan ya hiyo bajet
@erisonguonahom6984
@erisonguonahom6984 4 жыл бұрын
Nice
@ukombozipartners9019
@ukombozipartners9019 3 жыл бұрын
Good
@bensonboyi1040
@bensonboyi1040 4 жыл бұрын
nashukuru
@matabikasuccessline2068
@matabikasuccessline2068 5 жыл бұрын
asante kaka nanauka kwa elimu yako je naweza kupata kitabu cha timiza malengo kwa njia ya softcopy
@erickkisaule2440
@erickkisaule2440 5 жыл бұрын
Ahsante kwa Darasa Zuri
@sabatomjungu9727
@sabatomjungu9727 5 жыл бұрын
Natatizo Hilo Sana lakin kwa kuwa Mungu ameweka watu Kama nyie ili tuweze kutoka kwanye shida iyo
@michaelngomeni3679
@michaelngomeni3679 5 жыл бұрын
Nakushukuru kwa elimu unayo toa mr
@allymchivali6855
@allymchivali6855 4 жыл бұрын
Nimejifunza kanuni ya 50,30,20 ila nimeenda kinyume kidogo nimefanya 52 bajet 34 needs na 14 wants nashukuru hadi sasa nimeweza kufanikiwa kufungua duka nilianza na mtaji wa laki 5 ila kwa sasa nakaribia milioni nahii nitaifanyia kazi zaidi
@tatumilima9379
@tatumilima9379 2 жыл бұрын
Katika kila unachokipata kwa sisi wakristo lazima 5 percent ya mungu k
@mercykinuthia5695
@mercykinuthia5695 4 жыл бұрын
Waaaa nisaidie
@farajamegera892
@farajamegera892 5 жыл бұрын
Asante kwa somo japo nilikuwa na swali
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Faraja Megera karibu unaweza kuukiza
@farajamegera892
@farajamegera892 5 жыл бұрын
Kaka umesema kuweka akiba ni mazoea na unaweza kuweka kuanzia pesa kidogo. Hiyo akiba ni kwa ajiri ya malego unayojiwekea au ni kwa ajiri ya dharula itakayojitokeza? Lengo LA akiba ni nini? Siweki akiba ila pesa yote ninayoipa niweka kwenye uwekezaji ambao natarajia miaka 10 ijayo hata Kazi ntaacha ili nisimamie mradi wangu sibakizi kabiza akiba
@farajamegera892
@farajamegera892 5 жыл бұрын
Sijui swali langu umelielewa kaka Joel yani hata sa hivi ningekuwa na akiba ningeitoa yote ikaongeze nguvu kwenye uwekezaji sasa hapa lengo la akiba ni nini? Japo lengo linaweza kujulikana lkn je kwa Mimi ninaewekeza ili miaka ijayo niitwe boss kwa kuchukua pesa yote kuwekeza je nakosea?
@salehalisaleh7685
@salehalisaleh7685 5 жыл бұрын
Kwa somo la leo ni ngumu kulalamika pindi mishahara ikichelewa
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Salehali Saleh kwa kweli nimekuelewa umeongea point
@jamikimediatv9890
@jamikimediatv9890 5 жыл бұрын
SS
@mariammariam2475
@mariammariam2475 5 жыл бұрын
Asante kaka
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Mariam Mariam pamoja sana Mariam
@tickisaelilaseko4206
@tickisaelilaseko4206 3 жыл бұрын
Tickisaeli laseko SoMo zuri kweli ila naomba msaada kuanzia hatua ya Kwanza shida ni kubwa
@evelinaezekiel548
@evelinaezekiel548 5 жыл бұрын
Asante
@UbunifuTemple
@UbunifuTemple 5 жыл бұрын
Asante kwa elimu
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
dylon bezos karibu sana
@geographyteacher.2961
@geographyteacher.2961 5 жыл бұрын
asante sn brother japo ni karefu kidogo ntajitahidi kuendana nako
@sumunimuhere9705
@sumunimuhere9705 5 жыл бұрын
nzuri kk
@getrudaemmanuel9912
@getrudaemmanuel9912 2 жыл бұрын
Hatua ninayotaka kuzifanyia kazi kwa haraka ni financial vision.malengo maalumu na kutengeneza calendar ya kifedha
@rhinakiza
@rhinakiza 5 жыл бұрын
Mimi napenda kujifunza jinsi ya kuzitumia feza mmmm
@basamtz8674
@basamtz8674 5 жыл бұрын
Nasikitika mwezi uu nitalikosa dalasa tel 22 nimepata safari
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Basam Tz pole sana Tukutane tarehe 15 December tutakuwa tunaupanga mwaka 2019 na kuweka mbinu za kufanikiwa zaidi
@basamtz8674
@basamtz8674 5 жыл бұрын
Joel Nanauka Bac sawa mwalimu tuko pamoja
@eliamatiku5923
@eliamatiku5923 3 жыл бұрын
Hatua ya kwanza msaada
@mdtv2625
@mdtv2625 5 жыл бұрын
Nice people
@thomasdamas4347
@thomasdamas4347 4 жыл бұрын
Je kivipi naweza kutengeneza financial calendar
@TheSalma1999
@TheSalma1999 5 жыл бұрын
Mi nataka kusave dolla 6000 kwa miezi miwili lakini naspend bila mpangilio nifanyeje ni kama addiction vile shopping
@akidawaziri2916
@akidawaziri2916 4 жыл бұрын
Vipi unaweza kuanza kufanya bajeti kwa kipato cha 10,000
@christinaekonia8976
@christinaekonia8976 5 жыл бұрын
Mim nahs niko hapo specific financial ndo penye utata ila sasa nitasonga
@chikurashidi5303
@chikurashidi5303 5 жыл бұрын
Kaka samahani mi naomba nambaako kuna vitu najua utanipa mwanga zaidi
@mussakhamis2377
@mussakhamis2377 2 жыл бұрын
Kaka mm nahitaji kitabu cha timiza malengo yk kinapatikana wapi
@justinshayo8163
@justinshayo8163 4 жыл бұрын
Kutuza pesa
@barikipeter721
@barikipeter721 5 жыл бұрын
3 and 4 my brother
@yohanakigulu3372
@yohanakigulu3372 5 жыл бұрын
bro nimekuelewa sana. mm nashidwa kuweka pase iterm of cash, labda iterms of asets, naomba msaada nifanyaje ili niweze kufanikiwa katika hilo
@bahatidanken9181
@bahatidanken9181 5 жыл бұрын
Kaka Joel naomba namba yako niweze pata kitabu
@farijanibakari9018
@farijanibakari9018 Жыл бұрын
Kaka tatzo haupokei simu sijui kwanini
@tinajoe5487
@tinajoe5487 5 жыл бұрын
kwa kweli nahitaji sana msaada
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
tina joe karibu sana tuendlee kujiifunza
@tinajoe5487
@tinajoe5487 5 жыл бұрын
+Joel Nanauka asante sana
@user-cw4en7wt8k
@user-cw4en7wt8k Жыл бұрын
Help me to bajeti
@maggiepeter8936
@maggiepeter8936 5 жыл бұрын
kuweka akiba ni saaf....sasa uwkezaji
@bitemwita6809
@bitemwita6809 5 жыл бұрын
mm ndo nimegraduate mwezi wa 7 mwaka huu na ndo kwanza naanza kutafuta mafanikio ningependa zaidi ungekuwa mentor wangu 0763 207124
@hafidhiallyibrahim1937
@hafidhiallyibrahim1937 5 жыл бұрын
Dah umenigusa sana yani me katika nidhamu ya fedha nisiwe muongo nimepotea kaka nanauka ila naomba tuwasiliane 0682891900
@bitemwita6809
@bitemwita6809 5 жыл бұрын
mm kaka joel naomba uwe mentor wangu tu mafundisho yako yananibariki sana 0763 207124
@eliaabeid5312
@eliaabeid5312 3 жыл бұрын
Nahitaji kitabu au vitabu vyako navipataje 0768229963
@haymanbrigadiah3663
@haymanbrigadiah3663 4 жыл бұрын
0717051022 bro tuwasiliane
@hillaljnrmassiga9261
@hillaljnrmassiga9261 5 жыл бұрын
Kaka wewe uko vizur sna like les brown
@pharesmalwega165
@pharesmalwega165 4 жыл бұрын
Asante sana kwa masomo mazuri
@yohanageorgekika2240
@yohanageorgekika2240 3 жыл бұрын
Good
@evodiusbahegwa601
@evodiusbahegwa601 5 жыл бұрын
Asante
@peterombay4258
@peterombay4258 5 жыл бұрын
Nice
@nanaveen5945
@nanaveen5945 5 жыл бұрын
Nice
EPUKA MAKOSA HAYA KWENYE SAFARI YA MAISHA YAKO  - JOEL NANAUKA
10:22
Ik Heb Aardbeien Gemaakt Van Kip🍓🐔😋
00:41
Cool Tool SHORTS Netherlands
Рет қаралды 8 МЛН
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 43 МЛН
Schoolboy Runaway в реальной жизни🤣@onLI_gAmeS
00:31
МишАня
Рет қаралды 3,1 МЛН
Ishi Katika Uwezo Wako Wa Kipekee Sehemu Ya Kwanza
17:27
Joel Nanauka
Рет қаралды 105 М.
AINA YA WATU WANAOTAFUTWA NA WAAJIRI
9:56
The HR Tanzania
Рет қаралды 3,1 М.
Siri (8) za Kufanikiwa Kiuchumi Na Reginald Mengi
11:32
Pesa360
Рет қаралды 69 М.
JENGA MTANDAO (NETWORKING) - JOEL NANAUKA
8:26
Joel Nanauka
Рет қаралды 21 М.
EPUKA  HAYA KWENYE  ENEO LA KAZI - JOEL NANAUKA
10:44
Joel Nanauka
Рет қаралды 54 М.
Ik Heb Aardbeien Gemaakt Van Kip🍓🐔😋
00:41
Cool Tool SHORTS Netherlands
Рет қаралды 8 МЛН