Dah wabongo n wakarim sana uwa nainjoy sana 🇹🇿🇹🇿🇲🇿
@OmanSohar-d7z11 ай бұрын
Ulezi kazi sana mungu atupe subra na uvumivu wa kuleya wazee wetu kama walivyotuleya wao amin
@roswitaexavery337811 ай бұрын
Nashukulu Dada kwakumpenda baba yako nimefurahi sana
@SHAMILASEIF-g6t11 ай бұрын
Mungu ni mwema natamani na mimi baba yangu angekuwepo
@queenlinda25511 ай бұрын
Alhamdulilah siku nyengine muwe mnaenda nae bank msimuache mwenyewe kashakuwa mtu mzima sana sana
@ritapiusnicolaus706811 ай бұрын
Asante Mungu kwa kuonekana kwa uyu mzee 🙏🙏Dada amejua kuniliza😭😭Geah Mungu akubariki na Clouds 🙏❤️💐💐
@randomvideos-lo6uq Жыл бұрын
Dada mungu akubariki kwaku mjali babako mzazi.
@JulianaJackson-nm7te Жыл бұрын
Asante Mungu.Yuko salama
@fathimamct23211 ай бұрын
Itakuwa kapanda gari ya mbagara pale buguruni na kiwashukiru sna hao wakazi wa hapo pahala Wana mungu manake mitaa mengine wangeahasingizia kaanguka na ungo mwanga wangenpiga na kumuuwa
@namsamson3443 Жыл бұрын
Jamami huyu mzee ana dementia na hawezi pona ni ugonjwa wanaopata wazee. Ila msiwaache wakawa wanatembea wenyewe
@Bintimrembo-y1v11 ай бұрын
Swadata, hata ukimwangukia mzee anamshangaa huyo dada anajaribu kuvuta memory
@TatuTatu-f1v11 ай бұрын
Utajahidi lakini wazee wakaidì nasisi ndotunaelekeya huko mungu atusaidiye
@RachelMethod-rt1qx11 ай бұрын
Hii family inaonekana wapendana sana, Mungu awabariki sana
@eclinemaro1141 Жыл бұрын
Poleni sana,Mungu ni mwema kapatikana ila kwa ushauri wazee wa umri huo wanahitaji kusindikizwa na ndugu au watu wa karibu kwenye mizunguko yao , sio vyema kuwaacha pekee yao.
@easternyerembe7271 Жыл бұрын
Shida wanakuwaga wabishi, inahuzunisha labda walimpeleka huko kumuibia pensheni yake maskini
@yusratuwan457711 ай бұрын
Weeeh wabishii hao Marehemu babu yangu alikuw mbishi balaaa anaend mwenyew Bank kufata hela zake
@kamikazisalma520911 ай бұрын
Msirudi tena kumuwacha kwenda pekeyake muwe mnampeleka kashakuwa mtumzima akili zimeshakuwa kama zamtoto mndogo anakuwa hana kumbukumbu 😭😭😭😭😭😭😭😭
@al-bashirclinic332611 ай бұрын
Kulia ni sehem ya Afya ambayo hutokana na uchungu na moyo ❤muacheni dada wa watu alie mpk atosheke.......
@رقيهالخصيبي11 ай бұрын
Alhamdllah Rabbllaamin tunamshukuru Mwenyeez Mungu kwa kupatikana kwa huyo mzee namfahamu hata hao watoto wake kwa Allah hakuna kinacho shindikana
@aflahabdula408411 ай бұрын
Umeliza kwa furaha dada anamapenzi ya kweli allakujaliye umri mrefu wenye afya umlee baba naweye utasitirika umeniliza 😭😭😭
@esthermwikali540311 ай бұрын
Wamepanana kweli ndamu ni nzito kuliko maji
@neemaberny3598 Жыл бұрын
Yani dada Geah sitakuja kukusahau..ulitusaidia sanaku post kwenye page yako kipindi kaka yetu alipotea..Ubarikiwe sana dada Mwezi Mungu mwingi wa Rehema azidi kukuinua katika ..awe ngao kwako na familia yako kwa ujumla!
@aishafrancis771411 ай бұрын
Wamefanana mashallah❤❤
@Bintimrembo-y1v11 ай бұрын
Dah pole sana dear, Mungu ni mwema sana 🙏 Baba umri umeenda kuanzia sasa muwe mnaongozana naye kila anapo enda, umri kama huo wengi wanapoteza sana kumbukumbu aka dementia, zidisha ulinzi.
@joycelongo12136 ай бұрын
Mungu ni mwema natamani na Mimi baba angu angekuwepo jamani duuu
@malila458211 ай бұрын
Mzee kanifurahisha sana eti anamwambia basi basi anambembeleza et
@pendo808211 ай бұрын
Mungu ni mwema kila wakati ❤
@wemakalama645811 ай бұрын
Da Gear ubarikiwe inshaAllah
@mwanjaarashidi740211 ай бұрын
Geah wewe mtu na nusu mungu akulinde kwa lolote baya
@zamalisaide320911 ай бұрын
Mungu akujalie dada gea
@vincej927511 ай бұрын
Kazi nzuri sana, Asante Mungu.
@rukiauwonde706211 ай бұрын
Jaman baba 😢hakuna kama baba ❤
@nasrafadhili740811 ай бұрын
Dada anaupendo maskini ongera
@roswitaexavery337811 ай бұрын
Dada Gea Asante mungu akubariki
@awadhrajabu140311 ай бұрын
Hata Mimi Sijui Utafiti Lakini Ukweli Sisi Wanaume Tunapenda Sana Kupata Watoto Wa Kiume Lakini Kwenye Ukweli Ukienda Kwenye Watoto Kuwapenda Wazee Ukubwani Wenye Kuongoza Watoto Wa Kike Hata Kwenye Misada Watoto Wa Kiume Wakijua Wanawake Kuanzia Apo Msada Ugeuka Kuwa Ngumu Kwa Wazazi Wao Watoto Wa Kike Wanajua Kuwekeza Kwa Wazazi Zaidi Kuwekeza Upendo Kwanini Wanajua Hata Wakija Olewa Wakipata Tabu Upendo Kwa Wazazi Wao Ubaki Palepale Wakiachwa Wasipate Mawazo Na Of Kuludi Nyumbani Kwa Wazazi
@OmanSohar-d7z11 ай бұрын
Hiii inatokana na watoto wa kiume wakishaowa wake zao wengi wanakuwa wapumbavu wanawaharibu kaka zetu akili mpaka wazeee wao wasiwathamini
@barakakusa76069 ай бұрын
Kweli naungana nawewe kwa 100%
@mirnababy501211 ай бұрын
Itakua wamemuibia pesa uyo wamempa madawa Alhamdulillah amepatikana
@lulugama1547 Жыл бұрын
dementia hiyo maskini, huu ni ugonjwa hauponi kikubwa msimuache akajifanyia maamuzi, mumpende muwe nae karibu.
@lenoxbuhanza492611 ай бұрын
Kuweni na heshima kwa wazee/wazazi wasikilizizeni msiwadharau,tatizo wanachukuliwa poa kwasababu hawana kitu,hili ni somo,funzo,watoto angalieni wazazi wenu to be honest
@chimamilion11 ай бұрын
Mbona nimzee sana mlipata wp nguvu zakumuach pekeyke mjiini kma kule?naizo pesa washapita nazo
@ShekhahamedMuhsin11 ай бұрын
Jamani mungu awalide nyotee mlo mpa chakula Mzee huyu
@aflahabdula408411 ай бұрын
Ameen
@mossimalela699411 ай бұрын
Huyu Mzee kaniliza sana kanikumbusha baba yangu pia alikuwa mstaafu wa bandari, wa baba wana upendo sana na watoto wao wa like,, Allah ampe afya njema Mzee Ramadhani na watoto wazishe upendo kwa baba Yao.
@joycekalago5328 ай бұрын
Geah mtu wa maana sana
@maryumamapunda891011 ай бұрын
Wawe wanamsindikiza huko benki pole Baba etu
@SheySharifahamady4 ай бұрын
Sasa kwann asiwe anaenda na mtu kwann wanamruhusu pekeake
@jumannewazir671611 ай бұрын
Jamani pole dada na mlinde baba Ako Kwa nguvu zako zote
@twiseghekisilu884511 ай бұрын
Nimelia pia😢
@Minjum-j5m Жыл бұрын
M.mungu amlinde zaid na zaid
@ziadasalimu173011 ай бұрын
Wanzee wa umri huu huwa wanakuwaga wabishi mno ila ni umri ukienda sn akiri zao ina kuwa zinabadilika zinakuwa km watoto
@HadijaZabroni-pu1lt11 ай бұрын
Asante mungu nimwema jamani dada umeniliza jamani 😂😂😂Mimi
@c.e.o_abdiroush11 ай бұрын
Huyu mzee anayatizo kitaalamu inaitwa "Dementia " ni tatizo la kupoteza kumbukumbu..hilo tatizo unasahau mpka jina lake😊
@fathimamct23211 ай бұрын
Halafu umri Alionaolazima awe Anasindikizwa huko bank
@salmasmith123 Жыл бұрын
Hapo kuna uwalakini aise, kutakua na majamaa walchuku wakampa madawa so bure
@syliviakente946011 ай бұрын
Kwa nini.hawamsindikizi kwenda kupokea pension yake
@ashurajengela392611 ай бұрын
Kabisa hii inawezekana itakua wale matapeli wakamuibia na wakampa madawa akapoteza kumbukumbu
@SelinaPaschal-vq2iy11 ай бұрын
Yani baba akikujali utotoni basi hayandio malipo ya upendo
@joharifarahani273911 ай бұрын
Kabisa kabisa kama mm nampenda sana baba yngu jamani....alijitolea sana kunifatilia mambo yngu ya shule alikuwa bega kwa bega na mm...ktk mafanikio yngu yeye ndio amechangia mpaka Leo anaupendo na sisi watoto wke....ukitaka ugomvi na baba yetu chokoza sisi watoto wke utamjua vizuri
@SelinaPaschal-vq2iy11 ай бұрын
@@joharifarahani2739 MUNGU awabariki wa baba wote wanaojali watoto wao
@sabinaonline657511 ай бұрын
Siku Zote hizo toka tarehe 24.11 mpaka Leo khaa kwanini Hujaenda Clausi mapema ebo
@asiansky976711 ай бұрын
We nawe Kila kitu kinapangwa na mungu
@AshaMwamba-f2y11 ай бұрын
Machozi yamenitoka
@Bobhov8 ай бұрын
So emotional 😭
@shamzone38811 ай бұрын
Tukiwaona wazee kama hawa wanazunguka zunguka tuwachukue tuwasaidie roho imeniuma sana naona kama baba yangu Mungu amuhifadhi daima amin yarab
@MizeKombeSuleiman-id1rp Жыл бұрын
Mulio na wazazi muwatunze jamani wengine tunatamani tungekua na baba angalao
@syliviakente946011 ай бұрын
Ni kweli kwa umri.huu kwa nini hawamsindikizi kupokea pension,
@irenemacha5661 Жыл бұрын
Pole bint nandika mwaya
@HalimaSalumuNgakupea11 ай бұрын
Yani ninavyompenda baba anguh nimefeel vibay
@tatukarume614011 ай бұрын
Allah atawalipa waliomsaidia
@safiyanirram-pf3sv11 ай бұрын
yani nimelia nyie nimekumbuka baba angu 😢😢😢moyo umeniuma kabisa sema huyu kaka anasema eti zidisha sana upendo unajuaje kama amuangalii sema wazee wetu tu wakizeeka wanakuwa wabishi
@MaiSuleiman-tg6jv11 ай бұрын
Mim pia nimejikuta natoa machoz nimekumbuka sn babang,apumzke kwa aman babang kipenz
@FatimaAli-of4gh11 ай бұрын
Pesa ziko wapi au aliyembadilisha nguo kachukua na.pesa😢😢😢
@jamillahkheir653611 ай бұрын
😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
@rosehaule676511 ай бұрын
Kasahau njia.maskini utu uzima anasahau mpaka.nyumbqni jamani
@janetchinga69511 ай бұрын
Asante kwahawo wote walio msaidia
@kuruthumshaban46011 ай бұрын
Mmmh mzee kama uyo sio wakuachiwa kwenda seheme peke ake alipaswa kwenda na mtu kunakitu nyuma yapazia
@lisahhans29511 ай бұрын
Nani kaona mchele chini kama mimi???hahahaa mpaka nimecheka.
@chikuhamadi134011 ай бұрын
Kama akuvaa nguo izo alipata mama mwenye mkopo wake mjini kausha dam alifungiwa pesa zimeisha akafukuzwa maskini nimtazamo yangu tu
@sabihaibrahim14311 ай бұрын
keshaibiwa mzee hauna kitu bank
@magejuliani529311 ай бұрын
Alipotea na shida yetu dunia imeharibika unaogopa kulala na mtu usie mjua! Kikubwa bora karudi salama! Awe anaenda na mtu umri umeenda
Sasa watoto wanamuacha vp mzee kama uyo akachukue penshen au atembee peke yake inabidi watembee nae kila sehemu akitaka kutoka
@angelalyimo286211 ай бұрын
Ghea❤
@rosehaule676511 ай бұрын
Ukishakuwa mtu mzima unakuwa kama mtoto kumbukumbu zinapotea jamani Mungu atusahidie tuwasahidie wenzetu tukiwaona mabarabarani
@devotalaiton588811 ай бұрын
MUNGU akusaidie jmn 😢
@wemaMichael-fr4th11 ай бұрын
huyu mama nae anazeeka vibaya
@estakapufi758211 ай бұрын
Sasa kama alienda chukuwa mafao je mafao yake amepewa, na kama amepewa kapeleka wapi na kama aliondoka nanguo zingine na hapo wamemkuta na nguo zingine jamani, basi kwa sasa wasiwe wanamluhusu kutembea mwenyewe
@ziadasalimu173011 ай бұрын
Sasa kabadilishwa wapi nguo jamani au wahuni
@wemaMichael-fr4th11 ай бұрын
mhhh huyu nae
@koffilove2796 Жыл бұрын
Mzee anakuchora tu Ukweli anajua yeye MWENYEWE 😅😅😅😢😢
@catherineangaufoo253011 ай бұрын
Waja mna mambo jamani😂
@nasrafadhili740811 ай бұрын
Hahahaaa
@yolandachuwa555411 ай бұрын
Nimecheka sms yako🤣🤣
@FatimaAli-of4gh11 ай бұрын
Wewe unahatari😂😂😂😂🎉🎉
@MonicaMhina-sf4pz11 ай бұрын
Jamani😅😅😅😅
@brysonmandari569411 ай бұрын
Mafao washapita nayo! hapo tujiulize alipata wapi nguo za kubadilisha.
@josephineokama220011 ай бұрын
kwel kabisa eti kishachukuliwa mafao yake
@florangido20211 ай бұрын
Hayo sio Mafao Anakula Pention.... Mariposa ya Kula Mwezi.... Sisi Baba yetu ni Mzee Alishatukabizi Kadi ya Bank Pesa Zikiingia Tunaenda Kuzitoa Sisi. Atakuwa wampora Pesa zake na wamempa Madawa ya Kulevya....
@FatmaYusuph-c9q11 ай бұрын
Pole sanaa
@mwashabanirashidimitumba778811 ай бұрын
😢 alafu wazaramo tunavojua kulia sasa na kuongea yan apo gea usipokatisha wangengenga mpk wiki😅
@nipamdingi944011 ай бұрын
9:00
@jokhaali589311 ай бұрын
الحمدلله ربي العالمين
@cdeleo933611 ай бұрын
Huyu mzee ana dementia please muangalieni vizuri asije kutoroka tena
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
Au alimpata........au acha ninyamaze.
@nussah315811 ай бұрын
Huyu mzee? 😢😢😢Huwezi sema baba yangu.
@sheyla900411 ай бұрын
Kawaida sana io
@joyce5572711 ай бұрын
Katika yote umesikia hilo tu!!!😏😏
@subrynerysegerow132311 ай бұрын
Mpaka nimemkumbuka babaangu 😢
@jennifersongani273411 ай бұрын
Kwa kweli hata mimi😢
@mamasalhat11 ай бұрын
Babu kama huyu kwanini wanamuacha kwenda mwenyewe mjini kufata mafao yake jamani muwe muna msindikiza kama ana wajukuu hata mjukuu awe anatoka nae
@anithawidambe754311 ай бұрын
NA NYIE WATOTO WAKE MSAIDIENI HUYU MZEE WENU MPATE BARAKA ZA MUNGU MSIMNYANYASE MTAPATA LAANA NYIE NA WATOTO WENU
@marthageorge504311 ай бұрын
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@lenoxbuhanza492611 ай бұрын
Watoto wake wote pumbavu sana wote
@azizauheche594411 ай бұрын
Usiseme hivo wanampenda mzee wao wameenda had clouds
@marymanoni5536 Жыл бұрын
Pole dada mmmmm
@Mamkubwa11 ай бұрын
Ndio huo ni Ugonjwa Dementia. Nyie viombo vya habari tufundishenk jamani. Jasa vijijini wanauwawa sana wazee. Kuna maradhi hatuyajui kama huu na watoto wenye Autism. Kumpa mtu elimu ni Thawabu kubwa. GEAH jifunze gaya utujuze wengi.... ujipatie thawabu.
@fathimamct23211 ай бұрын
Hizo nguo kazipata wapi huyo mzee huwenda Kuna kitu wazee wa bandari bwana wengi walikuwa na macho miamia usikute Alikuwa na mji huko Sasa kaenda wamemtimuwa na kumdhulumu wazee wa dar bwana SI wote ila baadhi Yao hasa wazee wa bandari anaweza akjenga nyumba familia msijue mwisho wake anatolewa mbio hpo lazima Achanganyikiwe.
@priscermichael192211 ай бұрын
Nimechekaaa sanaa eti wazee wa bandarini wana macho mia miaaa
@praisesteven777411 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🟡
@MawaddaKhamis-zh3kc11 ай бұрын
Bwana ww mama usituchurie hapa kama kweli unampenda baba ako mbona hujamsindikiza kwenda kufata izo pesa unafki tuu mpaka mzee mwenyewe anakushangaaa khaaa😮 tupishe bwana usitupie kelele hapa
@bobg61111 ай бұрын
But mzee used to go and back as usual seems now he is getting old but kids love him .can't blame them
@bindawood97811 ай бұрын
MawaddaKhamis
@salmangwila806211 ай бұрын
GEA ubarikiwe kwa kazi unayofanya,alafu watu wazima wakifika umri huu akili inarud nyuma kumbukumbu inapotea, kwahyo anahitaji uangalizi zaidi.
@chawahirelmymashlalltaabar4949 Жыл бұрын
Labda kapatwa dimension
@easternyerembe7271 Жыл бұрын
😂😂😂 dementia
@magrethmbuma3045 Жыл бұрын
Au mnamnyanyasa huyu mzee mbona anakimbia nyumbani na kwann hamumsindikizi kuchukua mafao yake😢jaamaani
@ziadasalimu173011 ай бұрын
Ndio hapo Sasa
@Eutropiaswai11 ай бұрын
Masikin amenikumbusha marehem bibi yangu alipoteza kumbukumbu alipotea akaemda mbali cn alipatikana kachoka na mwendo
@lenoxbuhanza492611 ай бұрын
Eti baba usiende halafu hawana habari watoto wanalo wanalotamani juu ya baba yao,,wanalia uongo kwanini hawakuwa makini wakati anawaambia anataka kuondoka kufuata nafaoyake acheni kudharau wazazi
@azizauheche594411 ай бұрын
Sio kwel bhana watoto wanaupendo mpaka wakaenda clouds kumtafuta ni upendo
@aflahabdula408411 ай бұрын
USIHUKUMU MDOGO WANGU MBONA HUYU DADA ANAUPENDO WA DHATI NA BABA AKE HUU ULIKUWA NI MTIHANI TU ALLAH ATUONGOZE TUZIDI KUWAFANYIA WEPESSI WAZEE WETU NA WAWENZETU NA JAMII KWA UJUMLA