JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV. KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.
Пікірлер: 20
@gastonmbarila9458Ай бұрын
Wazee wanajizima data, kikosi icho nani aogopi?
@errydeo8865Ай бұрын
Anajifurahisha tu ila ROHONI anajua!
@errydeo8865Ай бұрын
Wachezaji wapya wa kilo, hamjui hata mmoja🤣🤣🤣🤣🤣
@user-iz3hs8jl5pАй бұрын
wee baba wewe wee baba wewe jiangalia jiangalie wewe masatu
Muunganiko wa hatari ilikuwa Aziz K Mayele na Morisoni.Lakini huu mnaoupigia kelele Haina lolote
@NiceMussaАй бұрын
Ndio maana watu wanampenda mzee saidi na miraji watu wanataka wasikie kuhusu mpira sio kusifia tu chako baadae linaona aibu yakiwa magumu
@KibuduАй бұрын
Mfa maji😂😂😂
@EliaMkumbo-wn7bmАй бұрын
Makoroboi wajinga sana lomoni mingi wakati mnajenga timu mmeshawajua wachezaji mkifungwa mnaanza ooh mangungu aondoke jinga nyie
@user-iz3hs8jl5pАй бұрын
iyo data iliyozima yanga wataiwasha wewe shauri yako
@user-mq4yq6rw1wАй бұрын
Wewe mzee unaongopa unajifariji
@soniimedia2440Ай бұрын
Like za mnyama anaejikubali.
@mwajumaabdallah3254Ай бұрын
Cheko lako tu 😂😂😂
@user-dz2xk6yx5sАй бұрын
Huyu mzee muongo huyu, safari hii atapigana msikitini😂😂😂
@youssufsalleheАй бұрын
we fala imeingiaje mambo ya mskiti
@kolosii4351Ай бұрын
Kwani hujawahi msikiliza mzee Masatu??😂
@user-mq4yq6rw1wАй бұрын
7-2
@sittandaki2135Ай бұрын
Duhhhhhhhh huyu mzeee asubirie tarehe 8
@errydeo8865Ай бұрын
Huyu mzee,nafikiri ana matatizo ya akili! Haishi na uhalisia..hajui mpira wa karne ni biashara,mpira ni sayansi ,mpira ni mikakati,mpira ni uwekezaji, mpira sio maneno!Eti WAZEE wa IQ,yes kuna high na low IQs! Huyu IQ yake is very low! Kila siku anaongea kiushabiki sio kimpira as A GAME! msimu huu ndo atajua what is football as A GAME!