Mzee wa hovyo sana huyu, hajuw mpira yy yuko chawa wa ngunguboy.
@WinnersonMahali8 күн бұрын
Chagamba huwa nakukubali mahojiano yako yapo smart...Ila achana mahojiano na wasiojua mpira uwe unahoji wanaojua mpira na ushabiki pia ...Ila Kwa yote bravo.....mzee masatu bravoooo.....wapo mashabiki wa Uto wanaojielewa wanakubali kuwa chama wameokota Tu Mali isiyo na matumizi. Have a good work
@abelimaganga4178 күн бұрын
Tafadhali huyu mzee aongezewe ulinzi
@user-il6rm7cj1g8 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@alexsikab64338 күн бұрын
Namkubaligi huyu mzee Sana ananipaga raha Sana kama kuponda anakuponda kama kusifia anajuwa kusifia
@sakinasakina12868 күн бұрын
yanga si mitahira waweke na mabango ya madeni wanayodaiwa kwani chama ni mgeni hapa tanzania
@FalialaWilondja8 күн бұрын
Chagamba naomba namba ya mzee saidi basi nifanyiye fever basi
@mussakinkon52528 күн бұрын
Namkubali sana mzee masatu😂😂😂😂
@AlfredRutaguza6 күн бұрын
Acheni hasira kawaacha
@ShabaniSalehe-rk4jh7 күн бұрын
Mzee masatu acha uongo wako simba aijamuwacha chama bali chama ndio kaiacha simba pia roo inakuuma sana
@BarnabaJaphet8 күн бұрын
Na nikwel aende tu
@saidingumbo-is2oe8 күн бұрын
Simba mmeachwa na chama
@fatumasaid5588 күн бұрын
😅😅😅 mzee masatu
@Osamabilladeni8 күн бұрын
😂kamba izooo
@saidingumbo-is2oe8 күн бұрын
Achana na wanayanga maana yake fei anakuja Simba kupumzika? Maana hamna lolote mmekata tamaa
@AmiriMgaya-pe4ve8 күн бұрын
Muongo huyo Mzee
@makodizimlee61478 күн бұрын
Chagambaaa miraji wapiii tumsikieeee
@peterstewart99358 күн бұрын
Tatizo la mzee masatu anaongea kwa propaganda sana,wakat kina mzee Said na Miraji wanaongea hali halisi..huyu mzee Masatu anaongea porojo nyingi tu zisizo na maana.
@FredyPeter-rq8hj8 күн бұрын
wee mzee utazimia hii yanga sio yakukibilia 😅😅😅
@AmiriMgaya-pe4ve8 күн бұрын
Hana la kusema muongo huyo Mzee,chagamba muhoji mtu wapira kama miraji,mapovu,Sami simba sio huyo Mzee muongo