MZEE MSUMI" HATUMTAMBUI MAGOMA/ANATUMIKA KUCHAFUA KLABU/KUNA WATU WAMEJIFICHA NYUMA YA PAZIA

  Рет қаралды 98,148

Mpenja TV

Mpenja TV

Күн бұрын

Пікірлер: 201
@ZanikMwakanyamale
@ZanikMwakanyamale 2 ай бұрын
Safi sana angalau akili yangu imetulia... kweli daima mbele nyuma mwiko 💛💚
@hawajohn749
@hawajohn749 2 ай бұрын
Mimi nilivoona hizi taarifa nilivurugwa kiukweli
@Ramadhani-y6e
@Ramadhani-y6e 2 ай бұрын
Mwenyewe kidogo I'm happy now
@chinaaudax6459
@chinaaudax6459 2 ай бұрын
Asante Mzee wetu Umeongea point zote sisi ni Yanga moja tusonge mbele
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 2 ай бұрын
UTOPOLO mejambishwa n mzee magoma 😂😂
@nabiimgongolwa8728
@nabiimgongolwa8728 2 ай бұрын
CHANGAMOTO ZITAIFANYA YANGA ICHUKUE KOMBE LA AFRICA CHAMPIONS LEAGUE....WANACHAMA TULIENI EVERYTHING WILL BE ALRIGHT....VIVA YANGA VIVA.❤LOVELY YANGA.
@AishshibnShibani
@AishshibnShibani 2 ай бұрын
Kipeni moyo
@damianmcba9525
@damianmcba9525 2 ай бұрын
Soma ulichoandika kabla ya ku share,,, utajitukana bure kisa yanga inakuumiza roho " # Daima mbele ​@@AishshibnShibani
@AishshibnShibani
@AishshibnShibani 2 ай бұрын
@@damianmcba9525 nikitukaba sindio vizur ww yanakuhusu nn kama nimekosea embu pelaka mwiko wako uko nyuma
@AishshibnShibani
@AishshibnShibani 2 ай бұрын
@@damianmcba9525 kwaro gani yakuniuma kisa utopolo
@IjumaaIjumaa
@IjumaaIjumaa 2 ай бұрын
Kateni rufaa akishindwa hiyo mzee afutwe uanachama mnapata tabu na mtu mmoja hiyo hataki maendeleo ya yanga
@GraceMarine-vo9hu
@GraceMarine-vo9hu 2 ай бұрын
Yeye mwenyewe ameshakataa amesema hicho kinachotambaa mitandaoni kimetoka wapi? Kina lengo lakumchafua, anadai endapo angekuwa amepeleka kesi mahakamani na akashinda kesi inamaana yeye ndo angepewa nakala ya hukumu kisha yeye angetuma watu wake waipeleke yanga, Sasa yeye hana nakala ya hukumu, hana nakala aliyoituma yanga ameshangaa tu nayeye ananyooshewa kidole bila kujua yanayoendelea mitandaoni yametoka wapi
@rahmaabdul1820
@rahmaabdul1820 2 ай бұрын
MPAKA hapa tunapoongea sio MWANACHAMA WA yanga maana tangu KADI mpyaa zitokee hajajisajilo
@chinaaudax6459
@chinaaudax6459 2 ай бұрын
Rufaa ya nyokwe
@IjumaaIjumaa
@IjumaaIjumaa 2 ай бұрын
@@chinaaudax6459 rufaa ya nyokwe
@ruthkami2273
@ruthkami2273 2 ай бұрын
Mzee Msumi Mungu akutunze
@mcnakupenda
@mcnakupenda 2 ай бұрын
Mzee yupo vizuri sanaa
@idybwoytz8485
@idybwoytz8485 2 ай бұрын
Magoma tuna kaziii nae 😢😢
@MalifezaMajidi
@MalifezaMajidi 2 ай бұрын
Msumi Asante ngojanijiandae nikanywe kahawa umenitia moyo sana.
@MohammedAlly-hp8fg
@MohammedAlly-hp8fg 2 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@bmkaskazinib4363
@bmkaskazinib4363 2 ай бұрын
Ikithibitika Magoma anayumika kuiharibu Yanga ahukumiwe kwa kosa LA kuifhalilisha klabu na uongozi wake
@IssackMvumbi-r7m
@IssackMvumbi-r7m 2 ай бұрын
Afungwe
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 2 ай бұрын
Hakika,anawadhalilisha viongozi wetu,anataka tuanze vibaya
@TwahirAlly-w4g
@TwahirAlly-w4g 2 ай бұрын
Nipeni namba za huyu mzee ana facts sana nimtumie chochote ila huyo magoma jau sana ni simba huyo
@kazimilykulwa2516
@kazimilykulwa2516 2 ай бұрын
Huyu mzee Yuko vizur 🤝🏾
@magangakafuku
@magangakafuku 2 ай бұрын
Akitoka Engnea tutaandama kakenya wakalale tutpiga watu huyo magoma.
@akimAkimuWA-m3t
@akimAkimuWA-m3t 2 ай бұрын
Zipigweeeeeeeeeee
@kayikumazoya322
@kayikumazoya322 2 ай бұрын
Umeelezea vizuri sana, watu huwa tofauti sana ata ukiamka ugawe maadazi kila siku kwa majirani Kuna wengine watasema umetuona hatuwezi kutafuta hela ya kununuliia maandazi amaanisha nini si kila umuonaye akufurahie, kuteseka kwako ndio furaha kwa mwenzako
@leonardbihemo4797
@leonardbihemo4797 2 ай бұрын
Huyo hakimu pia aliyesikiliza kesi achunguzwe huwezi anadhalilisha mahakimu wenzake
@josephmwangita7041
@josephmwangita7041 2 ай бұрын
Asante mzee wetu
@PaiivanMustafa
@PaiivanMustafa 2 ай бұрын
Huyu mzee ni adhina ya taifa letu ana elimu ya kutosha pia ana uwezo mzuri wa kuifadhi nyaraka za taasisi mungu akubariki baba angu
@LadslausMasheyo
@LadslausMasheyo 2 ай бұрын
Safi sana nimejikuta nalala vizur sana mzee umepigaje hapo?
@hawajohn749
@hawajohn749 2 ай бұрын
Nimekupenda Bure mzee msumi
@HabibuHeri
@HabibuHeri 2 ай бұрын
Asante mzee msumi nimekuelewa yanga tupo pamoja
@BenPeter-vp2cy
@BenPeter-vp2cy 2 ай бұрын
😂😂😂 kashayatimba kwa wazee uyu magoma ngoja wamnyooshe
@ronaldissack3338
@ronaldissack3338 2 ай бұрын
Asante Mzee msumi
@SuzanaEdson
@SuzanaEdson 2 ай бұрын
Mzee mungu akubariki
@mgobanyapazi7738
@mgobanyapazi7738 2 ай бұрын
Anatafuta kufa bila kujijua. Mzee Msumi anajielewa sana. Sijui huyo Magoma kama anafika hapa kwa uelewa alionao Mzee Msumi
@TravisGvn
@TravisGvn 2 ай бұрын
Interview bora hii 👏👏
@mohamedMitonga
@mohamedMitonga 2 ай бұрын
Mzee nazingua kama kashiba makana mwembieni akacheze anako chezaga atuwache naichinia uwetu
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 2 ай бұрын
Mzee msumi anatetea ugali wke UTOPOLO lkn mzee magoma yupo sahh 😂😂😂
@Mudathir-tx1md
@Mudathir-tx1md 2 ай бұрын
Magoma ni mdogo wake mangungu kabc😂 sasa kazi ipo
@RobertMwakipesile
@RobertMwakipesile 2 ай бұрын
Safi sana Mzee
@meckcassius3983
@meckcassius3983 2 ай бұрын
Mzee anajielewa sana🎉🎉🎉🎉
@mohamediibrahimu7064
@mohamediibrahimu7064 2 ай бұрын
Uko vizur mzee umetoa elimu tosha
@oscarclaine5878
@oscarclaine5878 2 ай бұрын
Magoma na Mangungu ni ma homeboy ndo maana wanafanana😅
@robertempire9542
@robertempire9542 2 ай бұрын
+Akilimali😂😂
@ImanueliMwakajinga-ry8ig
@ImanueliMwakajinga-ry8ig 2 ай бұрын
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO🙌🏽🤗
@elment7269
@elment7269 2 ай бұрын
Mzee anapoint sanaa
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 2 ай бұрын
KATA MIRIJA YOTE YA HAO WAZEE WALIZOEA KUZURUMU DAMU ZA WACHEzAJI NJAA ZINAWASUMBUA, bRAVO ENGINEER KWA MAENDELEO MAKUBWA YANGA , MIMI NI SIMBA LAKINI BIG UP KWA ENGINEER MFANO WA KUIGWA!!!
@LadislausiPauli
@LadislausiPauli 2 ай бұрын
Mzee msumi upewe mauwa yako 🎉🎉
@NdevuKamdini
@NdevuKamdini 2 ай бұрын
Saf mzee wangu
@OmarySamata
@OmarySamata 2 ай бұрын
Mzee unaongea point sana
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn 2 ай бұрын
Mzee naomba namba yako nikutumie hela ya soda,pili huyu kagoma mnyanganyeni kadi ,kagoma ni mtu wa simba na mo anawatumia
@edwardchecha-gz7sr
@edwardchecha-gz7sr 2 ай бұрын
Mzee katulia kweli Katika maongezi yake
@robertmswanyama8488
@robertmswanyama8488 2 ай бұрын
Kwanza sio mwanachama hai iyo mahakama inasikiliza kesi iliopelekwa na mtu ambae sio mwanachama hai iyo hukumu ajaielewa kabisa na atuto waelewa
@MuddySalim
@MuddySalim 2 ай бұрын
Good up sanaa mpeni salamu magoma
@MariaNicolaus-uk8of
@MariaNicolaus-uk8of 2 ай бұрын
Upo sawa baba washindwe kabisa kusambalatisha yanga
@amisamaurid1882
@amisamaurid1882 2 ай бұрын
Huyu ni Mzee wa maana kabisa tuachane na magoma
@TimotweyMalashi-r9y
@TimotweyMalashi-r9y 2 ай бұрын
Magoma tuna kazi naye ameyatimba
@SauloBusongo
@SauloBusongo 2 ай бұрын
Sawa mzee
@NdevuKamdini
@NdevuKamdini 2 ай бұрын
Nicee
@EmanuelMika
@EmanuelMika 2 ай бұрын
Mzee wa yanga umefafanua vzr
@ZephaniaMgaya-ns5vm
@ZephaniaMgaya-ns5vm 2 ай бұрын
Huyo mzee magoma ni chizi akapimwe milembe
@magoripiru1757
@magoripiru1757 2 ай бұрын
Atusomee kifungu cha katiba
@OmaryKiduka
@OmaryKiduka 2 ай бұрын
Magoma uko vzr broo
@damianmcba9525
@damianmcba9525 2 ай бұрын
Huyu sio magoma huyu ni Mgumi. ,,,,Magoma ndio mzee anaeleta njaa, Zamani walikuwa wanaenda klabuni kukinga,,Sasa hivi akuna hiyo ndio mzee ana mind
@aminangano3635
@aminangano3635 2 ай бұрын
👏👏👏👌💛💚💛🙏
@thabithamagnus638
@thabithamagnus638 2 ай бұрын
Jamani huyu Magoma angekuwa Wananchi tulivyochukia?Au kuna Siri nyuma ya pazia? Maana wenye vyeo nao wanaweza kuvuruga jambo jema kwa kumtumia mtu wa chini kabisa! Sura yenyewe ya Magoma inaonyesha ni mtu wa kuomba hata hela ya mboga,Kweli ndiyo tumpe tomu mtu kama huyo jamani
@DottoMoshi-x9o
@DottoMoshi-x9o 2 ай бұрын
Uyo mzee magoma ameyatimba bola ata akacheze anako chezaga
@joshuamwambene2874
@joshuamwambene2874 2 ай бұрын
Kwani mahakama inatoa hukumu bila kuwepo mshitakiwa ? Huyo magoma ameendaje huko ?
@TashirfaHashim-w2w
@TashirfaHashim-w2w 2 ай бұрын
Uwe unasikiliza vzur
@FrancisBogori
@FrancisBogori 2 ай бұрын
Huyo Mzee me nikwambie yanga daima mbele nyuma mwiko
@thabithamagnus638
@thabithamagnus638 2 ай бұрын
Wananchi tumechukia mno mno kwa kweli,atuondolee nuksi hapa,Magoma umetuudhi
@yakubuipariro6392
@yakubuipariro6392 2 ай бұрын
Magoma akapige2 ngoma takukur wamchunguze inawezekana katoka kuzim kwan hao sindo wanaouuza viwanja mbingun😮😮😮😮😮
@michaelmpangwa6366
@michaelmpangwa6366 2 ай бұрын
Hilo zee Lina njaa hakuna kingine njaa tupu
@alexsikab6433
@alexsikab6433 2 ай бұрын
Magoma aje Simba ndo tuwe tuna washenyenda vizuri
@personalitiesan9806
@personalitiesan9806 2 ай бұрын
Daaah.....afadhari naanza kupata amani ya moyo ila magoma
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 2 ай бұрын
Kajua kutuchangamsha mi nimelala na marue rue shenz kabisa hyu magoma
@JumanneIbrahim
@JumanneIbrahim 2 ай бұрын
Magma ni mshenz sana
@mohamedkutwambi
@mohamedkutwambi 2 ай бұрын
Magoma 😢😢
@rigobertdimoso6637
@rigobertdimoso6637 2 ай бұрын
Hukumu itelelezwe haraka kama viongozi hawajakata.rufaa Magoma apewe timu yake kashinda kesi kwishaaa
@godfreywilliam5810
@godfreywilliam5810 2 ай бұрын
Magoma mchawi sana
@AnnoyedDove-oo3kk
@AnnoyedDove-oo3kk 2 ай бұрын
Hapa ndo wimbo wa LUCKY DUBE unakumbukwa if you stand in the truth you will always be alone lazima wote wawe kwenye financial side 😂😂
@hashimurashidi6573
@hashimurashidi6573 2 ай бұрын
Wapeelim mzeewangu
@lwzmangulu7532
@lwzmangulu7532 2 ай бұрын
Huyo mzee bahati Yake yaan angekuwabmtaani kwetu si tungemuongezea kiparaa aseee
@hassaniibrahim300
@hassaniibrahim300 2 ай бұрын
HARAKA SAAANA WANACHAMA KUJADILI NA KUPITISHA HAO WAWILI KUFUTIWA UANACHAMA WAO HARAKA SAAANA
@moiseszacariasmoisesmoises
@moiseszacariasmoisesmoises 2 ай бұрын
uyo mbwa magoma, asitake kutuona wabaya,magoma magoma,kama autkaki kuishabikiya yanga toka 😮
@christianjohnmwalugaja8090
@christianjohnmwalugaja8090 2 ай бұрын
Huyo Mzee Magoma wala siyo ni tapeli wa viwanja anashinda kila siku pale Ardhi House
@gaddafiswallahbawazir7999
@gaddafiswallahbawazir7999 2 ай бұрын
Magoma mirembe anaitajika 😂😂
@GULIELMAS
@GULIELMAS 2 ай бұрын
Wazee msibaguane. Huyo mzee magoma ni mzee mwenzenu msimtupe kwa namna moja ama nyingine. Ukimsikiliza utagunduwa kitu. Clabu mliipokea toka kwa Wazee mkiwa kitu kimoja iweje Leo mu mtenge? Bila shaka kama mngalikuwa mna jinsi ya kuwaangalia hao Wazee wala wasinge peleka case mahakamani. Acheni uroho juaneni.
@KhamisHassan-ql5ut
@KhamisHassan-ql5ut 2 ай бұрын
KESHATUCHOKOZA MAGOMA NGOJA TUMTIE UBOVU NA HATUMUACHI
@LisiasiFanueli
@LisiasiFanueli 2 ай бұрын
Huyo Hakim alieamua hiyo kesi anafi........
@HanifaBruno-lv1qf
@HanifaBruno-lv1qf 2 ай бұрын
Anatumiwa na watu wavuruge kwa uwezo wa mungu huyu shetani magoma mbwa kabisa tena mshenzi
@SammyMwita-z7e
@SammyMwita-z7e 2 ай бұрын
Hyo mahakama imerogwa,,,,,,wameona yanga inaendelea vzuri wanaleta longo longo ikasome kwanza Allah
@tabasamtv6728
@tabasamtv6728 2 ай бұрын
Najaribu kujiuliza swali hv kuna Club za Nje ya Nchi zina wazee kwenye uongozi wanaojiita baraza.
@JumaMngumba-123
@JumaMngumba-123 2 ай бұрын
ila magoma😪😪
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz 2 ай бұрын
inamaana izi mahakama zetu zinapokea tu kesi bila kuangalia ukweli wa kesi hizo
@PhilimoniKazungu-bi2ru
@PhilimoniKazungu-bi2ru 2 ай бұрын
Magoma nimabaki ya mzee akirimali
@yuzolove7120
@yuzolove7120 2 ай бұрын
Huyu magoma tutampiga mbuzi kagoma mpuuzi sana
@babycandycharles7816
@babycandycharles7816 2 ай бұрын
Kweli baba ilo magoma lifuteni uwanachama lisiwaumize kichwa yeye nani katika timuyetu nyinyi ndiowazee mnaojitambawa ilo magoma halijitambuwi lifukuzeni lisitualibie timuyetu wehu huyo
@allythabiti8150
@allythabiti8150 2 ай бұрын
Tunaenda magoma sis kama wapenda haki,
@nicholauslauwo5795
@nicholauslauwo5795 2 ай бұрын
Mzee katema nondo
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg 2 ай бұрын
Hawa wenye vichwa vinavyoelekea Kiisugu
@nuruelsamiu
@nuruelsamiu 2 ай бұрын
Kajib mahakamn
@enockjoseph3818
@enockjoseph3818 2 ай бұрын
Fact ni kwamba Mzee alitaka apewe nafasi flani ambayo atakuwa anapata chochote kitu halafu awe na sauti pia ifike sehemu tukomeshe huu ujinga na hii inshu jamani tunaimaliza sisi mashabiki juu ya huyu Mzee timu ikifanya vizuri wasemwe wakifanya vibaya wasemwe mashabiki tumvae huyu mtu kwanza alikuwa mwanachama huko katoka kwahiyo Sasa hivi sio mwanachama tunahangaika nae vipi ?
@IbrahimMohammed-f2t
@IbrahimMohammed-f2t 2 ай бұрын
Magoma anakitu nimegundua sasa mwnachama anafaidika na nn kwanu mashabiki na wanachama😅😅😅
@rigobertdimoso6637
@rigobertdimoso6637 2 ай бұрын
Magoma yupo sahihi na ndio demokrasia yenyewe
@NeemaMwangobola
@NeemaMwangobola 2 ай бұрын
Mzee msumi kachukia mpaka ndevu zimechukia kwa kelo la sura mbaya ya kagoma kwenda
@maryfides591
@maryfides591 2 ай бұрын
Uyo mzee hanatafuta kifo tu😮
@MohammedAlly-hp8fg
@MohammedAlly-hp8fg 2 ай бұрын
Kwakwel 😅😅😅
@stevensosipita
@stevensosipita 2 ай бұрын
ATAFUTWE NA ASHITAKIWE KWA KUIDANGANYA MAHAKAMA NA AFUNGWE ILI IWE FUNZO KWA WENGINE WENYE AKILI MBOVU KAMA HIZO.
@ShukruMakoko
@ShukruMakoko 2 ай бұрын
Magoma nimangungu wapili hanywoki hatali hiyonaiona jamaniiiii
@saidseleman2973
@saidseleman2973 2 ай бұрын
Ilo jambo la kishelia amuezi kutoa maamuzi
@LisiasiFanueli
@LisiasiFanueli 2 ай бұрын
Huyo mzee maga Hana mpango anatafuta kk yakujulikana anaona jua linatua bila kujulikana
@RajabuBojo-j2l
@RajabuBojo-j2l 2 ай бұрын
Magoma tutazaa nae maamae 😂😂😂
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn 2 ай бұрын
Hili pepo kagoma linatoka wapi?
@MangeMange-p9s
@MangeMange-p9s 2 ай бұрын
Kwan huyo Mzee anaumia nnnn
@josephlorri431
@josephlorri431 2 ай бұрын
Njaa tu..walikuwa wanatumia club ya yanga kama sehemu ya kujipatia kipato..magetini, ulozi/waganga wa timu/usajili
@AbdallaShaban-j1q
@AbdallaShaban-j1q 2 ай бұрын
Huyo mzee atuachie yanga yetu mzee mchaw huy katumw
@MussaMachano-t8j
@MussaMachano-t8j 2 ай бұрын
Ningemba viongozi kwanza wafatilie huko mahamani liko jambo
@mwikamwika4851
@mwikamwika4851 2 ай бұрын
Mzee msumi umepewa nini Leo mbona umekuwa mpole? Issue ni kesi mahakamani
@jumashedafa
@jumashedafa 2 ай бұрын
Hawa akina kagoma wawe mfano...billion mbili fain au kifungo miaka miwili..wametutafuta kwa wachezaji wameshindwa wameona uongoz ndio mhimili wao sasa tukaubomoe..Yan nataman ata viwe vyote kwa pamoja ili hao waliowatuma watoe hiz hela na ha wakomeshwe ni njaa, tamaa, kuleta mifarakano na uvunjifu wa amani
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 96 МЛН
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,7 МЛН
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 134 МЛН
MAMA KARUME ATEMA NYONGO | NITAMUADABISHA MZEE MAGOMA
9:09
MATOLE TV
Рет қаралды 99 М.
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 96 МЛН