JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV. KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.
Пікірлер: 9
@hoseadyson447419 күн бұрын
Hilo li mzee na mwenzie masatu wote wanaubongo mfinyu wa kutoweza kukumbuka wanacho kiongea hawana jipyaa
@maulidmusa890219 күн бұрын
Kuwakutana Kwa lipi? Inakusaidia nn Sasa?
@athmanimkangara929019 күн бұрын
Lete wewe mpya
@ismailmasoud600119 күн бұрын
Yaani sijaona ZEE halijielewi kama hili...Walimuacha BALEKE....Walimuacha aliyekua anapiga salute ...unamng'ang'ania KIBU ana goli Moja .....unamuacha Chama unamsajili MUKWALA..! Hili zee Bure kabisa
@athmanimkangara929019 күн бұрын
Wamerudi kwao Yalikuwa Maduka hayo kaka
@jimmymnuano716519 күн бұрын
Mzee kama huyo akiwa mjumbe wa nyumba kumi usimpelekee kesi kama umegombana na mke wako lazima atakuambia wewe nenda mkeo atalala hapa hapa
@athmanimkangara929019 күн бұрын
Mkeo si utakuwa umempeleka mwenyewe kwa uzembe wako?
@user-kr4yp8nj7e19 күн бұрын
Sasa mkeo mgombane wenyewe halafu umpeleke kwa mjumbe utakuwa ww mme utakuwa ni mjinga plas 0 hata mm ukiniletea kesi ya mkeo nitakuwambia muwache alale kwangu kitakacho fata utajuuwa mwenyewe na ujinga wako