MZEE WARIOBA HII NDIO KAULI YAKE KUHUSU DKT SALIM AHMED SALIM

  Рет қаралды 27,816

Tifu Tv

Tifu Tv

10 ай бұрын

TOA MAONI YAKO KWA KUTUMA SMS AMA KUPIGA KWA KUTUMIA SIMU NAMBA 0773 95 35 31 AU 0777 94 54 74 AU 0777 37 37 87 FACEBOOK PAGE TIFU TV ZANZIBAR ,TIFU TV KIJAMII ZAID.
#Tifutv #zanzibar #kijamiizaidi
#Muuminina​ #Dida​ #Juhuditz​ #Al​-Muuminin #Adila​
#Mwanacha​ #Afnania​ #Stumai​ #Zuchu​
#muminina​ #Qadiria​ #zanzibarqaswida​ #AFNAANIA​ #DIRECTORONE​.T #Future​ Tz #Wasafi​ Media #Z​MASTORY #Juhuditz​ #JUMA​FAKIH #Zanzibar​Qaswida #AQAZ​Studio #Al​-muuminin #Yas​mediaTv #stumai​ #zbc #tbc #futuretz #youtubeislife #subscriber #youtubeguru #youtubecontent #newvideo #subscribers #youtubevideo #youtub #youtuber #youtubevideos #youtube #youtuber #youtubechannel #revolutionreal #blacksmokeyeye #smokeyeye #glow #glowingskin #discoverunder5k #discoverunder10k

Пікірлер: 28
@bahatindevu792
@bahatindevu792 8 ай бұрын
Mwamba sana Komred Dr Salim Ahmed Salim
@AbigailBateyunga
@AbigailBateyunga 9 ай бұрын
Asante sana BABA/BABU yetu mvi zako siza Bure ni busara tupu Mungu akuzifishie hekima hiyo na umri mrefu zaidi ushibe mema. Mungu ibariki Tanzania Amina 🎉❤🎁🇹🇿👏🙏
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 9 ай бұрын
WAPEMABA ALLAH KAWAJALIA NA VIPAJI NA IMAN NA MOYO MWEMA RAHAAA SANA MASHA ALLAH,
@user-dt3qg8ze1n
@user-dt3qg8ze1n 9 ай бұрын
Hongera kwa hifadhi kubwa ya busara nihadimmu ya taa kuzienzi daima
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 9 ай бұрын
Salimu Ahmed salum angepata nafasi ya urais mwaka 20005 tungekuwa mbali sana
@user-oc8uo9rl3u
@user-oc8uo9rl3u 9 ай бұрын
Hamkumpa ksb ya ubaguzi wenu
@judicalosika7642
@judicalosika7642 9 ай бұрын
​@@user-oc8uo9rl3u Nadhani palipita hila.mbaya sana
@oscarkasalile3966
@oscarkasalile3966 9 ай бұрын
Safi Sana Mzee warioba, Salim alikuwa kipenzi cha Mwalimu Baba wa Taifa hivyo naamini Salim ni mzalendo wa Taifa hili.
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 9 ай бұрын
Warioba and salim hahamedi Salim thouse are key point of tanzanian history when they trying to voice what Rong doing on ccm leadership but been undermine this is the case of ccm leadership but warioba is matiriol on ccm leadership but ccm undermining warioba has big point to explain from time of late julias kambarege Nyerere life time on leadership during late julias kambarege took power from colonial and stay on leadership with warioba 24 rool national warioba knows in and out Tanzania history
@froma3732
@froma3732 9 ай бұрын
Sasa hivi ati ni mtu mzr wakati anataka kugombania Rais wa Tanzania ikawa ni Mwarabu hawa ni kama kinyonga wabaya sana
@asteriashios1852
@asteriashios1852 9 ай бұрын
Hivi yuko wapi yule mzee jamani alikuwa anafaa kuwa rais wa tanzania kabisa na ungekuta tuko mbali ki maendeleo sana hawa wengine sijui walitutokea wapi mabomu
@emmanuelkasoga8194
@emmanuelkasoga8194 9 ай бұрын
Baada ya kuukosa urais salim ahmed salim alipoa kabisa kisiasa alitupa jongoo na mti wake
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 9 ай бұрын
Jibun suwali musitoe backgraund ya mtu
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 9 ай бұрын
UNAFIKI MTUPU NYIE WAGALATIA AKISHIKA MZENJI KELELE NA AKISHIKA MSILAMU KELELE NYIE MNAFAA MTU KAMA MAGU AMICHAPE TU 🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 9 ай бұрын
UNAFIKI!! WABAGUZI WATUPU!!MLIMFANYIA VIGISU KUHAKIKISHA SALIM HAWEZI KUWA RAISI? MZANZIBAR!!
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 9 ай бұрын
In politics pasonol move from different political party those are hangry politician with the position and late julias kambarege Nyerere say no different with prosciutto politician
@OscarBethel
@OscarBethel 9 ай бұрын
Tatizo ubinafsi ccm
@ConstantineCoscardrov-wb6ih
@ConstantineCoscardrov-wb6ih 9 ай бұрын
Sasa ulichoulizwa mbona sio ulichokijibu?
@alijuma8009
@alijuma8009 9 ай бұрын
Jaji warioba hujajibu suali
@xxl5239
@xxl5239 9 ай бұрын
Kawatia changa la macho lakini waungwana tumemshtukia 😂😂
@AliHamad-qy9ks
@AliHamad-qy9ks 9 ай бұрын
amejibu vizuri tatizo hukumeelewa!
@xxl5239
@xxl5239 9 ай бұрын
@@AliHamad-qy9ks Aaaaa wapi!!! Bahamadi we!!!!
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 9 ай бұрын
Just mimi naona anatoa history ya salim tu hajajibu baado
@xxl5239
@xxl5239 9 ай бұрын
@@omarmohammed5157 kakimbia kujibu suali kidiplomasia
@nassirali7499
@nassirali7499 9 ай бұрын
Mc ni muongo, na fisadi eka ushahidi kua dk salim amekoseshwa ukatibu mkuu UN kwa kua yeye ni mweusi? Koffi Anan yeye alikua mweupe? Asha rozi Rugiro naye ameshika nafasi kubwa UN naye ni mweupe? Toa ushahidi alikosa urais tz kwa kua yy aliambiwa mweupe?
@ahmedzahor2975
@ahmedzahor2975 9 ай бұрын
Na kwanini usimtambulishe km Mzanzibari Umtambulishe kua yeye mpemba wacheni kutugawa Pemba ni Sehemu ya Zanzibar
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 5 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 50 МЛН
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 4 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 82 МЛН
#TBC: MAKALA - WASIFU WA DKT. SALIM AHMED SALIM
5:48
TBConline
Рет қаралды 2,1 М.
🔴#LIVE: UZINDUZI WA TOVUTI YA HIFADHI YA NYARAKA ZA  DK SALIM AHMED SALIM
2:11:09
UZINDUZI WA TOVUTI YA HIFADHI YA NYARAKA ZA MHE. DKT SALIM AHMED SALIM
2:20:10
ODM Leadership in Kenya Kwanza Government.
43:38
SpiceFM
Рет қаралды 58 М.
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 5 МЛН