Mziki wa dansi zilipendwa- Bima lee -Aziza

  Рет қаралды 76,486

Eddie Nassor

Eddie Nassor

Күн бұрын

Пікірлер: 55
@yusuphibrahim2850
@yusuphibrahim2850 10 ай бұрын
Safi bro vitu vyetu kongole kutukumbusha
@felixmagulu6142
@felixmagulu6142 4 жыл бұрын
Huu wimbo Dede aliimba kwa hisia Kali sana, Haya mashairi ya kubembelezea kweli, Hapa mtoto wa kike hata kama amechomoka akisikia lazima arudi, Mungu aipumzishe roho ya Mzee Dede mahala pema peponi.
@sylvesterjose3286
@sylvesterjose3286 3 жыл бұрын
BIMA Lee magneto!!! Ash, nakukumbuka Sana Safi ya waimbaji wakiwa Omax bar Keko Mwanga 1984/5.
@najmasaleh9231
@najmasaleh9231 8 жыл бұрын
Ni hatari sana hii kitu ya wanamagneto tingisha sikiliza Tenzi za huyu Dede akilalamika kwa aziza mboni ya jicho lake
@salehndanda264
@salehndanda264 5 жыл бұрын
vijana wa zamani walifaidi sana, kwa sababu walikuwa wanakwenda kunako tukio sisi tunasikiliza tuu, hapo bado shanwe ya harusi ya bima lee. hata kama hauna pesa unafarika sana.
@Shammy-rn3tn
@Shammy-rn3tn 4 жыл бұрын
Halafu utasikia eti bongo fleva. sijui tumerogwa na nani.
@erickwambia2653
@erickwambia2653 10 жыл бұрын
Shaaban Dede akifanya vitu vyake na wana magnet tingisha.miaka haya kamwe hatuyaoni tena.ni masikitiko makuu
@omaryswalehe1225
@omaryswalehe1225 2 жыл бұрын
Diie Nassor nakuomba wimbo wa JJB hali hii mpaka lini
@whirlbirdskipper7245
@whirlbirdskipper7245 4 жыл бұрын
Daah!asanteeeee! moto bwana moto mwanzo mwisho...hizi vitu hizi ....basi tu. Vocal combination na hiyo mikono ya magita....saluti kwenu mashujaa wa taifa letu kwenye fani hii ya burudani
@owdenmwakisambwe6899
@owdenmwakisambwe6899 7 жыл бұрын
Huu ni muziki wa hali ya juu sana sikiliza mashairi na change over 2:58 ,heshima kwako Dede na wanamuziki wote katika safu nzima,well done Eddie
@najmasaleh9231
@najmasaleh9231 4 жыл бұрын
Vocalist hapo watu hawa watatu wametenda haki Dede, Athumani Momba, Roy beshekanaku, Bass gitaa Salum urembo, solo Joseph Bathelemeo Mulenga na sax 🎷 Mafumu Bilal Mbombenga Drum zimeazibiwa na Athumani Manicho hiyo Bima ya hatari ssna km sikosei1985
@mariamabdullah489
@mariamabdullah489 3 жыл бұрын
@@najmasaleh9231 umemsahau kamaley Patrick
@najmasaleh9231
@najmasaleh9231 3 жыл бұрын
@@mariamabdullah489 patric Kama Lee
@ughcleo7746
@ughcleo7746 5 жыл бұрын
Solo ya Joseph Mulenga kama inaongea hivi,sax hii nadhani ni ya Ally Rashid ‘Bwana’,sax kama ipo ndani ya chungu kudadeki! Hawa watu walikuwa mafundi jamani
@brownee20007
@brownee20007 2 жыл бұрын
Hapana ni super sax mafumu Bilal rip
@ابنعثمن
@ابنعثمن Ай бұрын
Mbona mi wimbo nausikia kama hauna key, Wenzangu mnaonaje
@mathewkilapilo5836
@mathewkilapilo5836 10 жыл бұрын
Ni kazi nzuri ya Shabani Dede yenye mpangilio mzuri na ni kumbukumbu ya kudumu kwa muziki wenye asilia ya Tanzania
@kennethbahebenginilla1657
@kennethbahebenginilla1657 2 жыл бұрын
Nakonda sitamaniki,pendo lanipagawisha,niokoe mwenzio nisizivae nguo kichwani 0:48-1:05
@owdenmwakisambwe6899
@owdenmwakisambwe6899 7 жыл бұрын
Poleni familia na wadau wote wa muziki,atangulie kwa amani Dede
@vicenttheophil2033
@vicenttheophil2033 4 жыл бұрын
Dede kama nakuona, mungu akuweke mahara pema.
@momomella9845
@momomella9845 2 жыл бұрын
yaani we acha tuuuuuuu
@brownee20007
@brownee20007 10 жыл бұрын
Tingisha!!!! Super Motisha DEDE Asante sana Eddie, nilikuwa naitafuta hii muda mrefu sanaaaa...Bima na nginde were always my fav bands! Thanks cuz!
@eddienassor480
@eddienassor480 10 жыл бұрын
brownee,burudika ndugu
@escaperoute6642
@escaperoute6642 7 жыл бұрын
Brother Eddie , huyu mwanzilishi wa gita(rythm) kwenye huu wimbo ni nani huyu?.......anafanya wimbo uwe mtamu mwanzo hadi mwisho...kama unatafuna biskuti za chocolate .....hii zama kamwe haitajirudia. Daah
@lutheramani8078
@lutheramani8078 6 жыл бұрын
Eddie Nassor Hizi za kale mbona raha jamani? Hazichuji hata siku moja
@najmasaleh9231
@najmasaleh9231 3 жыл бұрын
@@escaperoute6642 Nafikiri ni Gama huyu
@jamilambwana6781
@jamilambwana6781 2 жыл бұрын
Eddie Asante Sana nitafuti Ile ya vijana jazz ya dudumizi wakezangu
@allyfaraji237
@allyfaraji237 7 жыл бұрын
Rip Shaaban Dede.
@najmasaleh9231
@najmasaleh9231 8 жыл бұрын
Analolifanya mulenga ndio haki yake hapo
@marshallislands9856
@marshallislands9856 4 жыл бұрын
Aziza!!
@hassanbugu5000
@hassanbugu5000 10 жыл бұрын
Kwa kuwa zako ziko clear vizuri tuwekee Makulata ya Bima Lee.Iliyowekwa kwengineko haiko clear na ni part one without part two.
@vicenttheophil2033
@vicenttheophil2033 4 жыл бұрын
Kamchape kama namuona vile, rip
@bensonmero8919
@bensonmero8919 2 жыл бұрын
BIMA LEE ULIKUWA 🔥 sana
@samirabakari9527
@samirabakari9527 3 жыл бұрын
Penzi linakuwa izrail lataka kunitoa roho yangu dede. ...hakika ni mashaili ya dhahabu
@twilamtumbi2647
@twilamtumbi2647 8 жыл бұрын
Aziza huyo nuru ya roho
@omaryswalehe1225
@omaryswalehe1225 2 жыл бұрын
eddie Nssor
@brownee20007
@brownee20007 10 жыл бұрын
Hey Eddie, je unayo ile ya Bima Magnet Tingisha inayoitwa Asha? Maneno yake kama: Nilivyokupenda Asha kama damu yangu mwilini, mme wa mapenzi umechipua rohoni mwangu unakushwa mama na viroja vyako.... please bro
@eddienassor480
@eddienassor480 10 жыл бұрын
brownee,nitapekua na nikiupata nitaurusha Mungu akipenda.
@brownee20007
@brownee20007 10 жыл бұрын
poa wangu asante sanaa
@damasmasanja5976
@damasmasanja5976 4 жыл бұрын
Dede ni kiboko ssan
@najmasaleh9231
@najmasaleh9231 8 жыл бұрын
Huyu mafumu na Ally Rashidi. Nani kati yao amefanya ubaya wa sax?
@Shammy-rn3tn
@Shammy-rn3tn 4 жыл бұрын
Mafumu bilali. super sax. RIP
@NowelaRaymond-zq4ys
@NowelaRaymond-zq4ys 2 ай бұрын
Jerry kama jerry Nashon
@hassanbugu5000
@hassanbugu5000 10 жыл бұрын
Safi sana!!! Tumwagie "Baba Shani" ya hawa vijana tupate uhondo zaidi.
@felixmagulu6142
@felixmagulu6142 5 жыл бұрын
Pumzika kwa Amani Dede, Mungu alikujalia Kipaji cha sauti ya kuimba yenye hisia kali na ufundi wa kutunga nyimbo zenye mafunzo, Utakumbukwa daima.
@erickwambia2653
@erickwambia2653 10 жыл бұрын
Kaka Eddie utakapopata Shangu ya Harusi ya wana tingisha tuteremshie humu.thanks i advance man
@eddienassor480
@eddienassor480 10 жыл бұрын
Tukijaaliwa nitai post erick
@lawrencemagonya68
@lawrencemagonya68 Ай бұрын
❤❤❤
@asnatmohamed6156
@asnatmohamed6156 3 ай бұрын
🙏🙏🙏
@samirabakari9527
@samirabakari9527 4 жыл бұрын
Muziki wenye akili
@husseinmohamed4965
@husseinmohamed4965 4 жыл бұрын
Simchezo
@user-bs6ou5bm2k
@user-bs6ou5bm2k 2 жыл бұрын
N.
@ashakijaji5662
@ashakijaji5662 3 жыл бұрын
Ppo
@erickwambia2653
@erickwambia2653 10 жыл бұрын
Shaaban Dede akifanya vitu vyake na wana magnet tingisha.miaka haya kamwe hatuyaoni tena.ni masikitiko makuu
Mziki wa dansi zilipendwa- Bima lee- Neema
7:03
Eddie Nassor
Рет қаралды 121 М.
Mziki wa dansi zilipendwa- DDC-Pata potea
7:08
Eddie Nassor
Рет қаралды 44 М.
This dad wins Halloween! 🎃💀
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 19 МЛН
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 51 МЛН
the balloon deflated while it was flying #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 22 МЛН
Aziza
6:05
Josky Kiambukuta - Topic
Рет қаралды 39 М.
Siri Yako - Orchestre Bima Lee
6:54
Power Nguzo
Рет қаралды 45 М.
Lipua Lipua - Nsayi
10:43
Darubini2
Рет қаралды 933 М.
Nidhamu Ya Kazi
6:08
Juwata Jazz Band - Topic
Рет қаралды 3,4 М.
Mziki wa dansi zilipendwa- Bima lee- Remmy
6:54
Eddie Nassor
Рет қаралды 19 М.
Bujumbura
6:44
Studio One
Рет қаралды 3,1 М.
Sauda
7:06
DDC Mlimani Park Orchestra - Topic
Рет қаралды 244 М.
Mziki wa dansi zilipendwa -Bima lee- Dunia duara
6:59
Eddie Nassor
Рет қаралды 46 М.
Kata Ya Maji Ukweni -  Orchestre DDC Mlimani Park
6:56
Power Nguzo
Рет қаралды 81 М.
This dad wins Halloween! 🎃💀
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 19 МЛН