Namba 1 kwenye kumi bora ya RTD ya kwa miezi kadhaa 1973
@dennismadiwa94405 күн бұрын
My father and mother used to listen to this song.may their souls rest easy in heaven.
@barazamatibila84125 ай бұрын
Nakumbuka mamangu mpendwa Anyili Naswa 1973 nikiwa mdogosana Radio kenya KBC tukienda kutafuta pombe Changaa ilitukauze maisha yalikua taabu lakini Mungu nimeema sasa mamangu hayuko namimi sasa ninapesa kama njugu sioni wakusaidia lakini tukifika mbinguni Mungu atajibu maswali yangu. Mimi sasa ni Pastor Baraza Matibila muhubiri naishi washington dc America ajabu sana 🙏
@abbasmungia61073 жыл бұрын
Duh asante sana kwa wimbo huu , nakumbuka nikiwa mdogo miaka ya 80 tukiwa tunasikiliza sana kwenye santuri na player, RIP Shamba Ramadhani
@raphaelgathuru89357 жыл бұрын
Huu Wimbo wanikumbusha mwaka 1973, wakati tukiishi huko kijijini Ibulamansi, Wilaya ya Mpanda, miaka hizo tukiwa wadogo. Mimi ni Raphael Kihoria naishi Marekani,(USA).
@joelwiliams2784 жыл бұрын
Nipo kashaulili mpanda, naisikiliza
@mohamedmohamud36396 жыл бұрын
i think this was between 1970-1973 tanzania oyee respect from canada
@kitengesuleiman34544 жыл бұрын
Ni kweli kaka
@Georgemzuzuri-jz2ry Жыл бұрын
Napenda kitu Kama hiki mwafrica .
@bingwason8 жыл бұрын
Tanzania imejaliwa kuwa na wapiga gitaa hodari sana. Huyu anayekung'uta solo hapa ni Wema Abdallah.
@eddienassor4808 жыл бұрын
Unajua kaka wapiga solo wengine mimi nilikuwa hata sijui majina yao! nakubaliana na wewe kabisa.Huyu alielikung'uta hili si mchezo!!
@leonardkipondya42166 жыл бұрын
Walikuwepo pia kina Rashid Hanzuruni na kina Maiko Enoki
@herculesthepower15445 жыл бұрын
Siyo wa sasa hivi wao ni computer tuu
@herculesthepower15445 жыл бұрын
Bongo flavor tengenezeni huu wimbo kuifanya wa kileo mtasaajabu itakavyo hit.
@admirabisikiduduye15165 жыл бұрын
Bila ubishi,alishirikiana na kijana mwingine kutoka kigoma akipiga rhythm shamba ramadhani
@Rashidmhedhery5 жыл бұрын
Those who are thumb down must be nuts, do not understand the value of this music!
@gosbertrwezahura36455 жыл бұрын
Kabisaaaaaaaa.
@mohamedmohamud36394 жыл бұрын
I think Donald Trump on the dislike oyee
@Babylon_Must_Fall2 жыл бұрын
I used to hear this song from my father. R.I.P Anselm! He used to sing it when he’s off from work 😭
@jacksonmidala72937 жыл бұрын
Vigelegele, Rosa, Jela ya Mapenzi , Sadaka na Wenzangu nawauliza nyimbo hizi zimenikumbusha Enzo sold Western Jazz ikitoa ushindani mkubwa kwenye taenia ya muziki, hususan gala Car. RIP Shamba Ramadhan na Wenzangu Abdalla
@herculesthepower15445 жыл бұрын
Ilikuwa moja ya wimbo niliotokea kuupenda sana wkt huo hadi sasa. Old is gold.
@msakuzikondo5362 жыл бұрын
Mwimbo wa marehemu baba yangu mzee Kitwana Kondo.Mungu amrwhemu baba yangu
@phedrickmanangwa17258 жыл бұрын
Naomba unitafutie wimbo wa Ewe mpenzi wangu pokea hizi salaam, huenda tukarudiana hapo badaae, usife moyo
@ahmedissa78824 жыл бұрын
Hizi ndio the best song
@gosbertrwezahura36455 жыл бұрын
Dah! Natamani ningeweza kubadilisha mshale wa saa na kurudisha siku hizo. Waliozaliwa na kukua nyakati hizo walifurahia mengi. Wengi wa wanamziki hawa wameishatangulia mbele ya haki. Raha ya milele uwape Ee Bwana, na mwanga wa milele uwaangazie. Wapumzike kwa amani. Amina. Nimefurahi sana kupata mziki huu. Nimeutafuta kwa muda mrefu sana. Unanikumbusha miaka ya 80 ukichezwa kwenye RTD nyakati hizo nikiwa kule Bukoba mkoani Kagera. Ya kale ni dhahabu! Sote tuliousikia na kuupenda sasa tumeishakuwa wahenga!
@nyangehassan902 Жыл бұрын
Wazee wetu walikuwa wanafurahia fresh air with full really music
@henrychaula11748 жыл бұрын
nilikuwa nasikiliza muziki huu nikiwa mdogo kule kijijini Swebo - wilaya ya Rungwe, miaka ya 70. baba alikuwa na redio aina ya PHILIPS 1BAND. zilikuwa siku nzuri sana.
@abellabv4 жыл бұрын
Kaka umenikumbusha advert ya Philips..."Philips, ndiyo yenyewe; sauti safi, sauti kubwa."😊
@Rashidmhedhery10 жыл бұрын
stunning music...reminds me those beautiful days
@khalifasaid76954 жыл бұрын
Hawa ni Western Jazz band katika miondoko yao ya Saboso walivuma sana katika anga ya muziki miaka ya 70
@aroldcharles775310 жыл бұрын
In remembrance of my loving father..nimezijua hizi nyimbo nikiwa mdogo sana...! watu wazima kazini..sio kazi ndogo!!!
@eddienassor48010 жыл бұрын
Mungu amlaze mahala pema peponi
@AnthonyKisondella10 жыл бұрын
Eddie, unaniliza! wimbo huu unanikumbusha nilipokuwa mdogo mama yangu, RIP alipenda sana kuuimba jioni. kwa hiyo unanikumbusha kuwa mama yangu kweli sinaye
@eddienassor48010 жыл бұрын
Pole sana Anthony.Mungu ampe makazi bora peponi
@gosbertrwezahura36455 жыл бұрын
Pole sana Anthony. Apumzike kwa amani mama.
@joelwiliams2784 жыл бұрын
Pole sana
@hassanbugu500010 жыл бұрын
Hakika umefanya kazi ya ziada ndugu Eddie kwa kuutundika uhondo huu kama nilivyokuomba.Shukran saana!!
@tilugulilwa4 жыл бұрын
Kumbukumbu nzuri sana hii, nakumbuka udogoni
@machupaseleman15749 жыл бұрын
Tukiwa wadogo na Dada yangu husna pale magomeni mapipa a lipenda sana imba huu mwimbo
@abbasmungia61073 жыл бұрын
Album ya mwaka 1973 "wanaiona saboso" nostalgic, zamani hairudi tena
@jamessuwi59806 жыл бұрын
Huu wimbo nakumbuka kuna kaka yangu nilishawahi kukuta anausikiliza na kuimba kwa hisia sana ile miaka ya mwanzoni mwanzo wa 80s, mimi nilikuwa natoka shule Lugalo primary Enzi hinzo, nimekuja kukumbuka kuwa alikuwa katendwa na demu wake mmoja mitaa ya mwenge maana Enzi hizo mademu walikuwa bidhaa adimu sana.
@victormkongewa52297 жыл бұрын
Namkumbuka sana mama angu Salome mkhande na daktari john mkongewa nalia jamani Rest In Peace
@mariamfritsi97618 жыл бұрын
asante sana uncle Nguzo umenikumbusha mbali sana,yaani jamani enzi za radio band mbili ,RTD.kipindi hicho nafikiri nilkuwa na umri wa miaka 10 hivi kama sikosei,basi ukitunwa sukari dukani kwa mwarabu,ukisubiri kupimiwa sukari wakati mwingine utasikia mdundo huu,na vijana wa enzi hizo pia nao wakiuimba,yaani ni raha mtindo mmoja.natamani nyakati zirudi ili tuendelee kuzisikia hizi nyimbo tena.Mariam Fritsi Switzerland.12.03.17.
@claudibrain115310 жыл бұрын
du mzee hii imenikumbusha mbali sana mitaa ya magomeni mapipa..thanx..
@eddienassor48010 жыл бұрын
Hahahahaa,haya burudika kaka!
@omarimtunguja5540 Жыл бұрын
Nawakubali mpaka Leo enzi hizo Si mchezo
@bingwason6 жыл бұрын
Hilo gitaa la solo baada ya kumalizika wimbo huu nadhani lilikuwa la moto kama pasi. Si kwa kupigwa huku aisee!
@aloycetemba86523 жыл бұрын
Umenichekesha sanaa....Dah
@SophiaAlly-ih2ss3 ай бұрын
Nimevheka nami pia
@asrams10 жыл бұрын
kuna mzee mmoja mtaani kwetu alikua akitoka ulevini ndo wimbo wake
@eddienassor48010 жыл бұрын
Alikuwa anaanguka?
@asrams10 жыл бұрын
Eddie Nassor hahaha yap,
@ngaizaanatory18193 жыл бұрын
Old is Gold.
@mohamedmasanga91345 жыл бұрын
Hongera zamani nitakukumbuka Sana najua huwezi kurudi
@hindisaidi50974 жыл бұрын
Kuna wimbo pia "mwezenu kupenda kwangu "
@markmakowa61542 жыл бұрын
Very nostalgic and meaningful indeed! sensational & Nyce to hear .
@enockrajab6724 жыл бұрын
I enjoy very much
@mariamfritsi97615 жыл бұрын
Nakumbuka miaka ya 72 nikiwa msingi nilizoea kuusikia wimbo huu RTD ila hata sikujua mapenzi ni nini.ila leo ndio najua maana ya huu wimbo.
@deodatusmvambe78915 жыл бұрын
Kwa kweli najisikia huzuni, wimbo unanirudisha nyumba nilikuwa Mdogo nasoma mzimuni PR sch, DSM, marehemu baba yangu aliupenda na nilikuwa namsikia akiuimba, ooo baba ulale salama pamoja na mama, amina
@gilbertmasaki29654 жыл бұрын
Wakati huo nilikuwa dalaza la nne. Kipindi cha jioni njema RTD
@abdullahnassiralharthi298110 жыл бұрын
Mr. Nassor, it is me again. Nitafurahi sana ikiwezekana kupatikana mwimbo wa huyu ndugu yetu marehem Wema Abdallah unao itwa Muhidina wangu kukupenda sana nimejichongea na ambapo hiyo ndio kawaida...
@simonmagambo2209 Жыл бұрын
Mwaka 1
@selemtambo27716 жыл бұрын
Wakati huo mabo yalikua moto sana radio 277 aliinunua mama sh.350. C mchezo hapo
@gosbertrwezahura36455 жыл бұрын
Saaaaaaaaafi kabisa. Yaani sijui kama nyakati hizo zitarudi.
@paulangoloko86422 жыл бұрын
Kitu kimenikosha yaani huu mzik we acha tu
@twilamtumbi26479 жыл бұрын
Inaonesha wakati huo Dsm ilikuwa na watu Elfu 9 tu, kabla sasa ilivyovamiwa na vurugu, walikula raha wazee zetu, kazi nzuri
@gabrielmzomkunda94876 жыл бұрын
Twila Mtumbi .. mbaguzi wee hahahaha
@mariamabdullah4894 жыл бұрын
@@gabrielmzomkunda9487 ubaguzi upo papi kaka, Mtumbi kaongea wazo lake
@ibrahimaboker90868 жыл бұрын
ukitaka raha sikiliza vigelegele. Rosa.utasikia utamu wa solo na rythm
@abdallahissashekhan43106 жыл бұрын
Kwangu ni nilioucheza mwaka 68 wakati huo Western wako Sikukuu street opposite na Cosmopolitan f.c
@abelmkinga8012 Жыл бұрын
Nakumbuka rungwe
@sautiafricatv29247 жыл бұрын
aaaha hakika yakale dhahabu jela ya mapenzi
@zahraalbaloochi28414 жыл бұрын
Wwaaaww enzii..
@latifahsalum34797 жыл бұрын
nice song
@duncanmulwa50507 жыл бұрын
silikua goma poa sanaaa
@gemmstore4 жыл бұрын
Jela ya mapenzi
@josephkyuzakitundu21167 жыл бұрын
Unanikumbusha miaka ya 70 nikisoma sekondari ya Mazengo Dodoma
@elamodelamusica1 Жыл бұрын
BN
@richardmaziku99356 жыл бұрын
Huu mziki unanikumbusha mwaka 1980 nikiwa huko nyumbani kahama shinyanga
@abdlaabadala3226 жыл бұрын
naomba nitafutie wimbo wamikidadi nagombile likwata uja jazz band zilipendwa
@lucasmororo29496 жыл бұрын
Enzi hizo acha tu huu mziki umenikumbusha mbali saana solo inamtoa nyoka pangoni
@deombeleka190510 жыл бұрын
Nakumbuka mbali sana
@eddienassor48010 жыл бұрын
Usilie tu Deo :)
@nafisarashidhassan84747 жыл бұрын
Jela ya mapenzi ulitisha sana
@nohujoho45707 жыл бұрын
nakubuka kijijini kwetu songa batini muheza tanga
@saleemalshuk81476 жыл бұрын
Wapi zamani enzi hizo imebaki ni kuwaombeya waliyo tutanguliya mbele ya haki upendo maisha yalikuwa rahisi hakuna vita vya udangayifu kama hivi wakati huu wimbo huu unanikumbisha mchana mwema saa12 nikitoka praimary school mwlimu wangu mwakibete mjini sumbawanga sokoni
@siriliusbertram16738 жыл бұрын
Blandina na Anna Antoni
@daudmabulamashenene18546 жыл бұрын
ilikuwa pata shika enzi hizo!!
@innocentmtui35958 жыл бұрын
atari
@siriliusbertram16738 жыл бұрын
Dada Magdalena unao? Please!
@lameckhenrymayolo73696 жыл бұрын
Siyo Tbr jazz, bali walikuwa ni wana wa magharibi au ukipenda kimombo ni western jazz.
@saadamagige86326 жыл бұрын
Naweza kupata wapi studio ya nyimbo zote hizi za Zamani ZILIPENDWA namkumbuka baba yangu Kipenzi ameshatangulia mbele ya haki kila Jumapili nadhani alikuwa anakumbuka enzi zake msaada STUDIO
@lameckhenrymayolo73696 жыл бұрын
Well done Wema Abdalah, Hamis Tosha, Shamba Ramadhan na wengineo mlioifanya kazi hii.
@abdullahnassiralharthi298110 жыл бұрын
Na huu ulivuma wakati wake.
@nganambwepallangyo99795 жыл бұрын
Hakuna kugombana kisa hii kitu
@saadmazen452810 жыл бұрын
kama sikosei hawa ni Tabora Jazz?
@MightyLumber10 жыл бұрын
Hawa ni Saboso a.k.a. Western Jazz
@asiabakari93507 жыл бұрын
inanikumbusha wakati nachunga ngombe na redio 1bendi nikiwa kondoa
@saidikiruta92716 жыл бұрын
no western jazz
@saidikiruta92716 жыл бұрын
hawa ni western jazz 1973
@saidikiruta92716 жыл бұрын
Saad Mazen western jazx hawa
@ezzymoneylambert42619 жыл бұрын
Eddy we na ajali ya aminani wa oss
@remykabenga49335 жыл бұрын
Wimbo huu unanitekenya kabisa nakumbuka Tabora jazz na western na super volcano zili kua na upinzani mkubwa.
@gosbertrwezahura36455 жыл бұрын
@@remykabenga4933 Yaani we acha tu. Hizo ndo zilikuwa nyakati za mziki wenyewe wa Kiafrika!
@remykabenga49334 жыл бұрын
@@gosbertrwezahura3645 ukowapi mimi niko Buja
@gosbertrwezahura36454 жыл бұрын
@@remykabenga4933 Asante sana ndugu. Mimi niko Bukoba.