Mziki wa dansi zilipendwa- NDEKULE- Christina Moshi

  Рет қаралды 92,089

Eddie Nassor

Eddie Nassor

Күн бұрын

Пікірлер: 75
@masanjaelisha1691
@masanjaelisha1691 Жыл бұрын
Kumbe mashabiki wa hizi nyimbo tuko wengi, Hongereni sana, mashabiki wenzangu pale Popote mlipo.
@josiahmuthemba115
@josiahmuthemba115 5 жыл бұрын
Mimi ni Mkenya na hua niko Mombasa Mtwapa. Hizi nyimbo nasipenda sanaaa na nilikua na sizikiza kwenye RTD Tanzania : vipindi mchana mwema, pole kwa kazi, usiku mwema, mambo mkwito mkwito, bendi zetu naaa kwa jumla nilikua shabiki wa radio tanzania dar es salaam. Siku hizi ati ni tbc ambayo hiko chini chini chini as compared to this RTD. KBC the same hatuna haya nayo hila VOK. Siku hizi mambo si mambo na nimekubali watu hawapendweswi na kizuri but hile baya baya ndio bora. Pole wakati mzuri kaharibiwa tukabaki na hovyo.
@jessicaesthermakungu1693
@jessicaesthermakungu1693 2 жыл бұрын
Miziki taamu miziki ya zama
@masanjaelisha1691
@masanjaelisha1691 Жыл бұрын
Hiki ni kitu, Katika vitu ambavyo huwa Mimi vinanikonga sana, Moyo wangu
@julithamuhale7271
@julithamuhale7271 3 жыл бұрын
Tulipokubaliana kwa hiari tulikuwa wawili!
@allyahmed4657
@allyahmed4657 9 жыл бұрын
Thanks again Eddie, huyu jamaa mkongo Skassy alidata sana kwa huyu dada Christina Moshi alikua anaishi Kimara baruti ile wanajiandaa kufunga pingu za maisha ,dada wa watu akaugua akafariki dunia ,,ilisikitisha sana..Hawa ndekule makazi yao yalikua Safari resort Kimara kwa mzee Hugo Kisima..nakumbuka kimara baruti enzi hizo ni balaa...Dar ilikua inawaka kama bahari ya moto....old is gold!!!.
@eddienassor480
@eddienassor480 9 жыл бұрын
Ally Ahmed Kaka wewe ni mwenyeji wa maeneo yale??
@allyahmed4657
@allyahmed4657 9 жыл бұрын
ndio..original wa shinyanga mjini hapo.
@eddienassor480
@eddienassor480 9 жыл бұрын
Umeishi mwaka gani pale kaka?
@kaisarimbisso6146
@kaisarimbisso6146 7 жыл бұрын
Ally Ahmed Sawa sawa bro. Nilikuwa ninaipenda sana ndekule, enzi za akina gurumo, bitchuka, makunguru, king melou. Jumapili kadhaa ndani ya silent inn mwenge
@dicksonmkokota4966
@dicksonmkokota4966 3 жыл бұрын
Du hongera zenu wahenga
@juliusmukoji5078
@juliusmukoji5078 Жыл бұрын
Jamani nani anaweza kuweka Judy ya Ndekule, ilitungwa na Ali Makurungu.
@ramadhanimadoweka6458
@ramadhanimadoweka6458 8 жыл бұрын
Enzi za nyimbo hizi RTD (Sasa TBC Taifa) kulikuwa na vibindi vya Jambo (asubuhi) Mchana Mwema na jioni njema. ukivikosa vipindi hivyo ulikuwa kama umekosa dhahabu fulani. ilikuwa na itaendelea kuwa burudani tosha.
@linusleon7018
@linusleon7018 7 жыл бұрын
Nakumbuka mwaka 1986 nasikiliza wimbo huu kwenye redio ya mkulima ya baba
@khalidmakumulo8294
@khalidmakumulo8294 7 жыл бұрын
Christina moshi daaah!!@ nawamiss sana Ndekule.
@clementhiddi1486
@clementhiddi1486 4 жыл бұрын
2020 still hits the dancefloor
@flowila82
@flowila82 10 жыл бұрын
Kama nakumbuka vizuri Sax mwenyewe Kimeza, Ndekule ngoma moja ya kizaramo na mzee Gurumo
@mawazochanya2081
@mawazochanya2081 6 жыл бұрын
Magitaa, saxaphone, drums, tumba na waimbaji ooooh mama mia...utamu mtupu.Hakika hii ilikuwa ni collection ya wanamuziki mahiri sana.
@antontemba3276
@antontemba3276 6 жыл бұрын
Skas kasambula,Fresh Jumbe,Bitchuka na wengine ndani ya ndekule acha kabisa hiyio
@mzuvendi
@mzuvendi 8 жыл бұрын
Wote tupo ughaibuni since 41 yrs! mkuu Eddie unatupa raha asante nipo nchi za ghuba!
@yusufhemed1533
@yusufhemed1533 6 жыл бұрын
Cool moods upo nchi gani ghuba broo. Mimi nipo DxB UAE
@ghh3066
@ghh3066 4 жыл бұрын
Ki ukwelj Mimi ni mpenzi sana wa nyimbo hizi,nyingi nilikua nikizisikiliza wakati Nikiwa mdogo basi nakumbuka mbali sana
@shufaakonti7308
@shufaakonti7308 2 жыл бұрын
Uwiii machozi r. I. P my mom
@edwardqorro5237
@edwardqorro5237 2 жыл бұрын
Dah, it also reminds me of my late mother......alikuwa anazijua sana hizi nyimbo. Nilikuwa nikimsikia akiziimba, ndivyo nami nilivyokuja kuzipenda. Endelea kupumzika kwenye usingizi wa Amani mama yangu.
@ceciliareddy7670
@ceciliareddy7670 2 жыл бұрын
Kimeza....kwenye saxophone...kimeza abdallah
@hurrysanga7160
@hurrysanga7160 10 жыл бұрын
Eddy big up sana, unatukumbusha mbali sana, plz tupia na zile nyimbo za mk group mfano; kibela acha chuki, jua la asubuhi nk
@allyahmed4657
@allyahmed4657 9 жыл бұрын
nimeondoka 1990 shinyanga tukahamia dar....then 1998 huyooo ughaibuni....shukran bro.
@eddienassor480
@eddienassor480 9 жыл бұрын
Ally Ahmed Upo wapi ndugu?
@gluyuku
@gluyuku 9 жыл бұрын
this was the music,still is golden,the music we listened to while growing up.
@antontemba3276
@antontemba3276 6 жыл бұрын
waliosema Old is Gold hawajakosea
@alloysokoth2251
@alloysokoth2251 7 жыл бұрын
Old is Gold when I was in Lower school
@davidmwamutsi1137
@davidmwamutsi1137 2 жыл бұрын
Muziki huu ni ukumbusho Kwa utoto ujana wangu nakumbuka watangazaji kama SARAH DUMBA. FLORIAN KAIZA.DUNSTAN TIDI MUHANDO hakika RTD ilisikika vyema hapo kwetu na redio yeti ya Phillips.Asante Kwa mtandao@64
@TheBigyosef
@TheBigyosef 10 жыл бұрын
Brother Eddie your a star once again asante asante this is what we call MUZIKI That time Tanzania Music was on top no Congolese music i think vocal is Rip Badu,kabeya ,skassy kasambula.Mzee Ngurumo.,Hassani Bitchuka haaaaaa asante give us the name of some musician NDEKULE NDEKULE NDEKULE THE ORIGINAL Sax i think is late Twahiri or Malou or kanku kelly
@eddienassor480
@eddienassor480 10 жыл бұрын
Sina hakika kaka ila inawezekana akawa Twahiri maana kwa hakika mimi namkubali
@heriissagombera5168
@heriissagombera5168 10 жыл бұрын
Saxfone Abdallah Kimeza
@MightyLumber
@MightyLumber 10 жыл бұрын
Vocals: Mtunzi wa wimbo Skassy Kasambula, Hassan Bitchuka, Kabeya Badu R.I.P., Vicky.....Ndekule walikuja juu sana kipindi hiki ila walikuwa na wapinzani wengi mno kwani muziki kipindi hiki ulikuwa juu sana na wataalam walikuwa wengi mno. Hivi kwa nini hizi redio zetu zinabeza sana mziki wa kupaste? Huu ndiyo muziki bwana.
@najmasaleh9231
@najmasaleh9231 8 жыл бұрын
TheBigyosef , kazi nzuri ya Kimeza
@samsonjoram6332
@samsonjoram6332 9 ай бұрын
Wueeeee kumbukumbu teeeeeeele ❤
@AnthonyKisondella
@AnthonyKisondella 10 жыл бұрын
Twahiri Ally Mohamed - RIP ndiye anayetafuna muwa (saxphone) - huyu bwana kama nilivyokwisha dokeza awali mimi nilimkubali saana, alikuwa na upigaji wa saxphone wa kulalamika saana. Upigaji wake ni very unique
@najmasaleh9231
@najmasaleh9231 6 жыл бұрын
Anthony Kisondella mkuu kwenye wimbo huu huyu ni kimeza ndio anakimwaga saxphone
@galagotours12
@galagotours12 4 жыл бұрын
Hahaha hahaha jamaa kaisanifu sana saxophone unaweza omba asimalize.
@jacksonzebedee4668
@jacksonzebedee4668 Жыл бұрын
Huyo alikuwa sio Twahiri ni Abdallah Kimeza (Ablalah)
@jacksonzebedee4668
@jacksonzebedee4668 Жыл бұрын
Huyo ni Ablalah (Abdallah) Kimeza, sio Twahiri Mohammed!!
@Sufa07
@Sufa07 10 жыл бұрын
Ngosha bass gitaa, Makunguru rythm...silent inn enzi hizo
@eddienassor480
@eddienassor480 10 жыл бұрын
Naam Sufa.Enzi hizo ndugu yangu!
@najmasaleh9231
@najmasaleh9231 6 жыл бұрын
Sufa07 Ni kweri usimsahau kimeza na huo mdomo wa bata ni hatari sana
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 3 жыл бұрын
@@najmasaleh9231 dada najma mjuzi haswaa
@GabrielMboya-k2n
@GabrielMboya-k2n 4 ай бұрын
Hongera kwao
@MwajumaNzoa
@MwajumaNzoa Жыл бұрын
Ndekule we thank you
@kombokombo6746
@kombokombo6746 9 жыл бұрын
yanini kunywa mapombe ili kuondoa mawazo? jamani tujiliwaze kwa nyimbo kama hizi
@allyahmed4657
@allyahmed4657 9 жыл бұрын
Dublin IRE....karibu sana ndg yangu Eddie.
@najmasaleh9231
@najmasaleh9231 8 жыл бұрын
Ally Ahmed Dullar Allan yupo hapo Dabrin?
@najmasaleh9231
@najmasaleh9231 8 жыл бұрын
Ally Ahmed je wewe ni ndugu na Abdul Ahmedi? Wa hapo Dablini?
@asiabakari9350
@asiabakari9350 6 жыл бұрын
kimeza alikua bwana wangu
@emuthree
@emuthree 9 ай бұрын
Mwanzoni nilijua aliyeimba ni Bichuka,...au
@masanjaelisha1691
@masanjaelisha1691 2 жыл бұрын
Hizi nyimbo, ninapokuwa niko sehemu nimetulia, nazisikiliza hadi huwa nasahau km. Mimi ni fukara, hiyo ndiyo miziki, achana na kelele za siku hizi, eti kizazi kipya.
@zonko0488
@zonko0488 5 жыл бұрын
OSS ya Ndekule ilikuwa na wanamuziki wa Kikongo walioachwa pale na Kasheba na wale wa Kitanzania kama Twahir Sax. Kwenye wimbo huu Sax inapigwa na Kimeza maana naona wanamwita humu. Nataka kujua Twahir aliondoka baada ya uongozi wa Kasheba kwisha?? Marehemu Gurumo aliwahi sema walipoingia wanamuziki wa Kikongo aliowakuta walikuwa na figisu kidogo wakiona kama wanamuziki wa Kitanzania wasingeweza kupiga nao lakini baada walikubali na kutulia na matokeo yake walifanya kazi nzuri kama hii Christina Moshi na nyingine. Nani anajua kama Twahir Sax alitoka OSS baada ya Mzee Gurumo kupewa bendi na Hugo. Natanguliza shukurani.
@najmasaleh9231
@najmasaleh9231 3 жыл бұрын
Mzee wa nyuzi Dazeni kafanya kazi na Twahiri kabla ajatimkia marquiz
@josephsawe4426
@josephsawe4426 6 жыл бұрын
Ngosha kwenye Bass guitar... Dah... Ni shida
@alloysokoth2251
@alloysokoth2251 7 жыл бұрын
this all about RTD Mchana Mwema
@brownee20007
@brownee20007 10 жыл бұрын
ndeku ndekule!!Thanks
@eddienassor480
@eddienassor480 10 жыл бұрын
Karibu tena
@kassimmbelwa6011
@kassimmbelwa6011 9 жыл бұрын
ah tanzania reginal wakati huo bab jumanne.kimeza kasambula nawengine wengi
@MwajumaNzoa
@MwajumaNzoa Жыл бұрын
❤❤😂🎉sifhia
@linusleon7018
@linusleon7018 7 жыл бұрын
Aliitwa jemedari wa sauti.skass kasambula
@zadiaissa3709
@zadiaissa3709 4 жыл бұрын
Enzi za safari Resot
@brownee20007
@brownee20007 2 жыл бұрын
Kimeza kwenye sax
@danielwadegu6844
@danielwadegu6844 10 жыл бұрын
Wow!
@mosses9134
@mosses9134 6 жыл бұрын
Kaka unatukosha vitu adimu hivi
@mhinageorge5959
@mhinageorge5959 3 жыл бұрын
Ok
@StamiliSelemani-ng6xj
@StamiliSelemani-ng6xj Жыл бұрын
A
@twilamtumbi2647
@twilamtumbi2647 9 жыл бұрын
Ahmed samahani kdg km nitakuwa nimevuka mipaka, lkn hii story uliyotoa umekuja Dar 1990 alafu na hizi story za akina hugo kimara baruti mhhhhh
@adambolingo8097
@adambolingo8097 7 жыл бұрын
Twila Mtumbi huyo muongo coz hugo kisima mwaka huo alishakuwa muhenga, hamjui hugo
Mziki wa dansi zilipendwa- DDC-Pata potea
7:08
Eddie Nassor
Рет қаралды 44 М.
salamule-king kikii
6:22
IskaJoJo Studios
Рет қаралды 124 М.
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,5 МЛН
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 52 МЛН
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 351 М.
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 25 МЛН
Tsika Dzedu
11:50
Shingi Mwabvu
Рет қаралды 5 М.
Molema
9:37
Mose Se 'Fan Fan' - Topic
Рет қаралды 14 М.
Mziki wa dansi zilipendwa- Bantu group- Vicky
8:29
Eddie Nassor
Рет қаралды 98 М.
Orchestra Maquis Original - Niweve Pekee
7:00
dinkotom
Рет қаралды 374 М.
Nawashukuru Wazazi Wangu
7:10
DDC Mlimani Park Orchestra - Topic
Рет қаралды 1,7 МЛН
Mziki wa dansi zilipendwa- DDC- Bubu hutaka kusema
7:00
Eddie Nassor
Рет қаралды 29 М.
Chitekete
14:23
Leonard Dembo - Topic
Рет қаралды 2,7 МЛН
Juwata Jazz Band - Msafiri Kakiri
6:50
Power Nguzo
Рет қаралды 354 М.
Lovy Longomba at Bana Likasi: Ouma (1985)
9:05
Shaddyraddy92
Рет қаралды 57 М.
PILI MSWAHILI 1&2 MORENO BATABA of Orch MOJAONE
9:35
Gitau Arap Thuo
Рет қаралды 7 М.
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,5 МЛН