Mziki wa dansi zilipendwa- Vijana Jazz- Maisha ni safari ndefu

  Рет қаралды 36,585

Eddie Nassor

Eddie Nassor

Күн бұрын

Пікірлер: 27
@jumakiduka4625
@jumakiduka4625 4 ай бұрын
Mashairi ni mafunzo maaluum sikia Mzee Dalali ktka Solo gitaa linatia simabzi
@margaretoyugi7137
@margaretoyugi7137 2 жыл бұрын
I truly loved this song during my childhood "Radio Tanzania Daresalaam" "RTD"😃😃😃
@abdallaabdulrahman8319
@abdallaabdulrahman8319 Жыл бұрын
"Nikikuonya wasema nakupa tabu ooh ujue mama nikikaa kimya tutaharibikiwa".Ni maneno mazima mno hata nami hua nayatumia sana.
@issaramadhani8874
@issaramadhani8874 5 жыл бұрын
Mbele nilishasema kutaka kukujulisha maisha ni safari ndefuu tuvumiliane
@jeranibanzi2127
@jeranibanzi2127 3 жыл бұрын
Jumbe kama hizi kwenye miziki ya Leo ni aghalabu sana
@deusdeditsimba4452
@deusdeditsimba4452 Жыл бұрын
Hizi ndiyo zilikuwa nyimbo maana mpaka bado zinaujumbe unaeleweka,Acha haya MAKOPO YA SASA HIVI HATA HAYAELEWEKI WANA UJUMBE GANI!
@brownee20007
@brownee20007 10 жыл бұрын
Hemedi Maneti!!RIP Cosmas Chidumule
@alfredndau9195
@alfredndau9195 Жыл бұрын
Aliyekuwa anaimba "elewa mama" kwenye choras ni nani,ana sauti ya hatarii sana.
@allynayomo485
@allynayomo485 Жыл бұрын
Huyo ni George mpupua
@mpandageorge7904
@mpandageorge7904 4 жыл бұрын
Rythim guitar limecharazwa na nani hapa?
@ramadhanimadoweka6458
@ramadhanimadoweka6458 4 жыл бұрын
Mambo vipi kaka? Naburudika sana. Naomba niongezee wimbo wa vijana jazz - SIRI YA NDANI na wimbo wa MK Beats unaoitwa TUPENDANE nilikuwa form One
@alphoncemgweno6257
@alphoncemgweno6257 11 ай бұрын
Maisha yanaenda kasi sana,kipindi hicho RTD ndio Rdio bora kabisa,kipindi cha Mchana Mwema
@ihanomadili
@ihanomadili Жыл бұрын
Kijembe kwa Sikinde
@princelarry8068
@princelarry8068 5 ай бұрын
Hapo eeelezea hapo kaka
@ihanomadili
@ihanomadili 5 ай бұрын
Cosmas Chidumule aliondoka Sikinde na akajiunga na Vijana jazz kwa kipindi kifupi, akawatupia Nginde dongo hilo.​@@princelarry8068
@NowelaRaymond-zq4ys
@NowelaRaymond-zq4ys Жыл бұрын
😢😢😢
@365lau8
@365lau8 Жыл бұрын
Vijana wananikumbusha kipindi cha mchana mwema RTD redio ya taifa nimetoka shule Kuna kula alafu nirudi shule unakuta mboga Iko jikoni du! Inabidi urudi au uchelewe ukachapwe mbugwe pr school
@josiahmuthemba115
@josiahmuthemba115 3 жыл бұрын
Solo ilipingwa na Hamza Kalala
@jamesmlularipjalalaally5522
@jamesmlularipjalalaally5522 3 жыл бұрын
Solo Michael Bilal
@josiahmuthemba115
@josiahmuthemba115 3 жыл бұрын
@@jamesmlularipjalalaally5522 poleni sana kwa kuhona RIP hapa. James Mlula.
@twilamtumbi2647
@twilamtumbi2647 8 жыл бұрын
Chidumule Cosmas bado yupo hai bw Nasir
@nasirally9098
@nasirally9098 10 жыл бұрын
Mr. brownee20007 Cosmas Chidumile is still alive!
@eddienassor480
@eddienassor480 10 жыл бұрын
Sina hakika kwa kweli, labda ndugu Anthony anaweza kutusaidia hapa
@mercymtema7301
@mercymtema7301 5 жыл бұрын
Mr. Eddie, sijui kama unaweza kukumbuka wimbo wenye kisa cha mume kushindwa kutekeleza zamu kwa wake za na kujikuta anapitiliza zamu akiwa bi. Mdogo. Bi. Mkubwa alipolalamika, Maneti akajikuta anatoa sababu lukuki zilizomfanya asiweze kurejea mapema kwa bi. Mkubwa. Jina la wimbo silikumbuki na kama unaujua huo wimbo tafadhari tuletee tuusikie.
@sangomamourice8707
@sangomamourice8707 4 жыл бұрын
Asante
@brownee20007
@brownee20007 10 жыл бұрын
My bad cuz, I must have been misinformed. Long live Chidumule!
@salehndanda264
@salehndanda264 5 жыл бұрын
SIKU CHACHE ZILIZOPITA BBC WAMESEMA MUSIC EAST AFRICA IMESHUKA. HAWAJACHANGANUA KAMA YA ZAMANI AU YA SASA. LAKINI MIMI NASEMA IMESHUKA YA SASA SIO YA ZAMANI WASITAFUTE NA MIZIKI YETU YA ZAMANI.
Vijana Jazz - Usicheze Na Bahari No  2
10:57
Power Nguzo
Рет қаралды 87 М.
Mziki wa dansi zilipendwa- DDC-Pata potea
7:08
Eddie Nassor
Рет қаралды 46 М.
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 11 МЛН
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 30 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,3 МЛН
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 34 МЛН
Vijana Jazz-Chiku
6:36
Eddie Nassor
Рет қаралды 1,9 М.
Vijana Jazz Band - Magaidi wa Msumbiji (Wembe ni ule ule)
6:43
Zilizopendwa Afrika Mashariki
Рет қаралды 7 М.
ISSA KAMBA_NIKO MSITU NA NYIKA1981
7:06
Issa Kamba
Рет қаралды 14 М.
Vijana Jazz-Usichezee bahari/ Mvuvi Kinda.
5:35
Webster Sinje
Рет қаралды 6 М.
Vijana Jazz "Stellah"
8:57
muzikifan
Рет қаралды 247 М.
Belinda - Juwata Jazz Band
6:45
Zilipendwa TZ
Рет қаралды 12 М.
MASOUD MASOUD : NGURUMO HAKUWA VILE / WATANGAZAJI HAWASOMI
23:15
Gangana Info Channel
Рет қаралды 87 М.
Visa Vimenichosha
7:54
DDC Mlimani Park Orchestra - Topic
Рет қаралды 248 М.
Mziki wa dansi zilipendwa- Vizana Jazz -Jiko limenuna
6:40
Eddie Nassor
Рет қаралды 39 М.
Vijana Jazz Band - Maisha Ya Amba
8:37
Austine Malala
Рет қаралды 92 М.
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 11 МЛН