Dah udongo umemeza wengi, sauti adhimu zimepotea Hemedi Maneti Ulaya alifariki 1990 hadi leo anaishi kwa nyimbo nzuri
@saadmazen452810 жыл бұрын
Jiko Limenuna......sauti safi za Chiriku Maneti na wengineo.ndani ya Takatuka Pamba Moto.
@mwamba36055 жыл бұрын
Saad Mazen 0713979643
@abbasmungia266 Жыл бұрын
Pia mtindo wa koka koka
@augustusmuthoka58444 жыл бұрын
Iam advising the TZ Government to form a Ministry to oversee these songs. Both the government and the dependants of the singers can benefit.TZ iko na tajiriba sana upande wa muziki
@makenzimoto98853 жыл бұрын
M/mungu akuweke mahala pema peponi nguli wa muziki marehemu " chiriku maneti
@slayomassawe65022 жыл бұрын
Mwengejazi mama yako kaondoka kaniita Mimi zilipendwa
@daudichawo2404 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭nalia kwa furaha nyimbo imenigusa balaaaa
@flowila8210 жыл бұрын
Ahaaa Jiko limenuna si mchezo, nakumbuka mbali mno mjomba Benard pale Hamburg Germany mzee kinondoni Shamba, mungu amlaze kwa amani maneti, hongera pia nyote mliyoshiriki kwenye kazi hii nzuri isiyoisha utamu
@saidiomary71815 жыл бұрын
Tafazali hii bendi ifufuli
@sangomamourice86804 жыл бұрын
chiriku hakika sauti nzuri ujumbe yes
@allysalum.naombakibaozenab52156 жыл бұрын
Naomba wimbo suzana vijana jazz
@allysalum.naombakibaozenab52156 жыл бұрын
Eddy.Sijauona wimbo suzana vijana jaazz
@hamisikaisi4615 жыл бұрын
Solo ni amza kalala commando..
@samuelmliwa92244 жыл бұрын
Sisemi kitu!
@flowila8210 жыл бұрын
Ndugu naomba tu kuuliza swali, mimi nilitaka kujua Hizi Tumba nani aliyopiga? na solo anaejua anifahamishe
@miguelsuleiman35727 ай бұрын
Rashid Daudi ndiye alikuwa mpiga tumba katika kipindi cha Maneti
Nyakati zimekwenda hazirudi...hii bendi utaielezeaje?, unatoa wapi maneno ya kutosha kufanya hivyo? Ni kutunga kitabu.
@pashuakhamis73326 жыл бұрын
dah hapa ndio tunapata burdan ya muziki vyombo vimepangika, ujumbe maridhawa hauna Exp date
@ndukimyette31708 жыл бұрын
Tafadhali hii band ifufuliwe jamani!
@eddienassor4808 жыл бұрын
Hahahaa
@flowila828 жыл бұрын
eddie kk mbona unijibu hizii tumba nani kaka
@najmasaleh92317 жыл бұрын
Nduki Myette ukifufua vijana jazz basi utaifufua na Sukita, washirika Stars! Hizi zama tumeze mate zimeshapita tena
@jeffnanume24046 жыл бұрын
Haiwezekani tena kaka zama kurudi cha msingi ni kuzienzi. Hata band zikirudi hawa waimbaji wa kipaji hichi hatuna ambao unapata kila kitu kwenye muziki.
@husnamohamed94485 жыл бұрын
Hata ikafufuliwa watunzi na waimbaji wangwana wako wapi
@twilamtumbi26478 жыл бұрын
Dhahabu imeondoka chiriku chiriku pumzika kwa amani baba
@makenzimoto98853 жыл бұрын
Umenikumbusha Sana wimbo huu mwaka 1984"pumzika kwa Amani marehemu Maneti