Ahhhhh Dunia. Mungu atustiri. Na awafaraji walokuwa kwenye matatizo.
@remiomar71547 ай бұрын
😢😢 mkasa mzito huenda alipisha umri n mtu ambae si mzuri japo kifo kipo ila sumbawanga hakuna asie ijuwa sifa yake
@abdulmustafa21487 ай бұрын
Yani poleni sana ndugu zetu watanzania
@adellakinyonto87916 ай бұрын
Mama Mary fundi wangu wa saloon kweli maisha Yana badirika pole sanaa mama....😢
@moreenmbatha11477 ай бұрын
Huyu mama achangiwe apate zile miti mbili za kutembea za kuigiza kwa makwapa zita msaidia sana huu mti unamuumiza
@adellakinyonto87916 ай бұрын
Pole sana Mama Mary ungebaki tuu sumbawanga😢
@hadijajuma37737 ай бұрын
Pole sana
@MariaNdagile-hx5pr7 ай бұрын
Kaka mungu wa mbingun akuzidishie ktk hili utalipwa usipozimia moyo
@HanifaOman-oo4pl7 ай бұрын
Polesana Allah akupesubra. Kamakunamtu amemchukua mumeo Allah atamlipa
@HameedaHh-y5y7 ай бұрын
Poleeee sanaaa
@maryamabdullah91697 ай бұрын
Pole sana Allah yuko pamoja nasi
@angonzamujunangoma87757 ай бұрын
Pole sana mamy yangu,haya mambo yapo huyo mmeo nafsi yake bado ipo inaangaika siku akifa kifo halali ndo ataacha kukutokea.Mungu akuongoze
@khadijaomar75297 ай бұрын
Yani zahir malipo yako utayapata kwa mungu kwa kuwasaidia watu wachangiwe kupitia wewe allah akukunjulie dunia yako na akulipe jannah kwa kujitolea Nakupenda kwa ajili ya Allah
@maximumtvonline7 ай бұрын
Amiin asante sana kwa sote inshallah
@aminachoga92667 ай бұрын
Pore dada yangu
@KwizeLee7 ай бұрын
poresana mmama Mungu akuondosheye kira mambomabaya yote kwako
@fatmaalnabhani36097 ай бұрын
Ni kweli kabisa maneno ya huyu Dada
@ayshazambia65097 ай бұрын
Kabisa dada angu unachokisema tutegeheme mungu ndo kila kitu ila mungu atakuponya inshaallah
@AsdDsa-fi5qk7 ай бұрын
Nenda kwa kiboko ya wachawi
@MaryamMaryam-wp5yk7 ай бұрын
Naani uyo?
@AlHamra-k4u7 ай бұрын
@Omanoman kwani mapenzi ya umri?? Hebu tujuze maana wengine hapa hatujafika hiyo miaka
@janetchinga6957 ай бұрын
Pole sana dada 😢😢😢
@yukundapeter82007 ай бұрын
Dada nenda kwa Nabii kiboko ya wachawi,Mumeo atarudi,na hiyo michawi itakufa.
@omanoman20447 ай бұрын
Miaka 48 bado unatafuta rafiki wakiume duuh mungu wangu rudi sumbawanga tuy nyumban huko dar hakufai hata kidog
@HaniffaOmary-v5r7 ай бұрын
Umri huo ndio wenyewe yani😂😂yani hautamani kulala peke yako😂😂yani acha tuu subilia ukifikia umli huo
@HamidaKondo-z1s7 ай бұрын
Kwani mkubwa umri namba maana anakula anashiba hisis anaxo haiwi mtume kamuowa bihadija akiwa na umri mkubwa
@omanoman20447 ай бұрын
@@HamidaKondo-z1s kwan huyo mam umemsikiza vizuri alicho sem am et hata mtume alimuoa bikhadika kwan huyo mam kasem ni mume am kasem rafiki yake wakiume ujuwe muwe mnatofautisha mme na bwan ni bwan tuy hajamuoa msiwe mnakurupuka kujifanya din mnaijuw kumbe hakuna kituy mtum na bikhadija walioan hawakuw wanazinian kam nyinyi mnavyo fanya miaka hii
@rayahamisi1187 ай бұрын
Kama ayajakukuta usimalize maneno mwenangu
@zulfajuma83947 ай бұрын
Kwaiyo kwa uelewa wako miaka 48 unaiyona nimingi sana, watu wana miaka 60 na bado wanaitaji wenza😢😢😢😢 muache mama aombe anacho kitamani
@Namaize-lc8sh7 ай бұрын
Njoo Arusha kuna mtumishi anawarudishaga hao huyo hajafa yupo
@PendoMatemba-sn4zx7 ай бұрын
Samahani, huyo mtumishi yupo wapi
@RumeysaHussein7 ай бұрын
Mmmmm jaman
@paustephano7 ай бұрын
Amtafute mchungaj mmoja anaitwa katekela
@samiraabdimahamed44497 ай бұрын
Jamani kuwa na mwanaume ama mwanamke SiO mbaya 😢 mbaya ni kwamba kuendelea kuzaa. Jamani maisha yake tayari ni magumu sana sasa kwa nini uendelee kuzaa. Jamani Una msichana miaka 30 anazaa na wewe unazaa kha jamani😢
@sarahmwaluko24807 ай бұрын
Kwani nini mbaya mpenzi
@saidabdalla89967 ай бұрын
Mtu analia kwa vitu viwili kwaza mumewe kufa na hana shuhuli ya kunya
@HamidaKondo-z1s7 ай бұрын
Awe makini mara washampiga na yy
@sophiamikidadi95267 ай бұрын
Pole nduguyangu
@fathimadaid34297 ай бұрын
Tuache kulaum kama kuna uwezo achangiwe apate hiyo opresheni apone apewe mtaji bado ananguvu2
@paschalsafari97477 ай бұрын
Duuuuuuu
@janethhendry67347 ай бұрын
Ila mama unamaisha magumu lkn kujikirimu huachi
@ameenaameena4227 ай бұрын
Walimwengu
@MiriamAbdallah7 ай бұрын
Tunamambo😅😅😅😅😅
@MariaNdagile-hx5pr7 ай бұрын
Hii ni krim ya muda mrefu tuache kukebei kichaa utamcheka asipokuwa wako