MZINGA WA NYUKI MPYA WAGUNDULIWA KATIKA KIJIJI CHA NYUKI MKOANI-SINGIDA.

  Рет қаралды 8,172

KIJIJI CHA NYUKI

KIJIJI CHA NYUKI

Күн бұрын

Mzinga wa kufuga Nyuki Kibiashara uliopewa jina la "SINGIDA TECHNO-HIVE" ambao ni Matokeo ya Utafiti kwa Miaka Sita(6) iliyopita. Mzinga huu unatatatua Changamoto Nyingi zinazowakabili wafugaji wa nyuki mijini na Vijijini. Mkurugenzi Mtendaji wa Kijiji Cha nyuki co Ltd amesema Kampuni imejipanga kuweka Mizinga Millioni moja kwenye Ardhi ya Tanzania ili kuongeza KASI ya Uzalishaji wa Mazao na Bidhaa za Nyuki nchini Tanzania. " Kwa Sasa Tutafungua Ofisi katika Mikoa ya Morogoro, Iringa, Arusha , Manyara , Kilimanjaro, Mwanza na Dar es salaam baada ya Ofisi ya Dodoma na Singida kuonyesha Matokeo Chanya na Kusaidia Wafugaji Wengi zaidi kuliko idadi iliyotarajiwa. Kutokana na Ongezeko la Watanzania wanaohitaji kuwekeza kwenye Ufugaji wa nyuki Kibiashara tumejipanga kujenga Viwanda vya Kutengeneza Mizinga na Kuchakata Asali ili kuimarisha Afya na Uchumi wa watanzania kwa Haraka.

Пікірлер
NYUKI SI ASALI TU!
28:29
KUTV Kenya
Рет қаралды 4,9 М.
Mkulima I Ujenzi wa Mizinga ya Nyuki ya Kisasa
14:58
KBC Channel 1 TV Shows
Рет қаралды 1,2 М.
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 27 МЛН
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 13 МЛН
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 7 МЛН
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 22 МЛН
Kilimo Bora: Umuhimu wa ufugaji wa Nyuki (Sehemu ya Pili)
13:25
KTN News Kenya
Рет қаралды 1,6 М.
Simple Wooden Beehive
10:32
DIY & Crafts
Рет қаралды 817 М.
Kilimo Biashara | Wafugaji wa nyuki wamerejelea mizinga ya kitamaduni
3:12
SHUHUDIA JINSI UFUGAJI WA NYUKI UNAVYOWAPA UTAJIRI WATANZANIA
2:58
UFUGAJI WA NYUKI;zijue mashine za kuvuna na kuchakata asali
8:41
Shamba Darasa TV
Рет қаралды 5 М.
CHANGAMKIA FURSA ZA UFUGAJI NYUKI ...
13:53
Tanzania Forest
Рет қаралды 4,5 М.
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 27 МЛН