MZUNGU MWENYE PESA ANAYEWAFANYA VIJANA KUWA MASHOGA HALI INATISHA ANAVYOHARIBU VIJANA

  Рет қаралды 291,004

KUSAGA TV

KUSAGA TV

Күн бұрын

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
KZbin : www.youtube.co...
Tiktok. www.tiktok.com...

Пікірлер: 694
@allyrashid1085
@allyrashid1085 Жыл бұрын
Asante sana dada inshaallah allah atakukinda kwa nguvu zake zote kwakazi ulioifanya hongera sana dada allah akupe umri mrefu❤❤❤
@jameskajenge3109
@jameskajenge3109 Жыл бұрын
Ooh My Country is in danger but, Big up sister Catherine you're doing very well. May God of Heaven protect you 🙏🙏🙏
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu Жыл бұрын
Huyo MZUNGU ahasiwe kwanza ndio mengine yafuate dada Hongera sana Kwa kazi nzuri🎉🎉lkn kikubwa nimejifunza kuwa sio kila shoga anamakosa Kuna wengine wanaingizwa Kwa kuvunjwa SEHEMU zao za Siri daaa inauma sana
@aloycefelix1925
@aloycefelix1925 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa Jehovah hakika Mungu anakupenda na anakutumia nasisi tunakuombea kazi Yako iendelee kutusaidia watanzania tuokoke katika mikono ya shetani
@erickmakyara880
@erickmakyara880 Жыл бұрын
Hongera sana Catherine kwa kazi nzuri na kufichua uovu unaofanyika ndani ya nchi yetu
@lilianpeter1631
@lilianpeter1631 Жыл бұрын
Hongera dada ila nmekaa apa nawaza tu usalama wako, mana hao watu wanakuaga na pesa na connection kubwa, ila mungu akulinde ti
@lucycharles9660
@lucycharles9660 Жыл бұрын
Liliani hilo tu ndio awe makini
@henricamikambi6147
@henricamikambi6147 Жыл бұрын
Umewaza kama Mimi, kuweka haya mambo public ni kuhatarisha usalama nani atamlinda! Je huyo David amekamatwa?
@zenahassani2092
@zenahassani2092 Жыл бұрын
MUNGU WAMBINGUNI YUPO AKULINDE MUNGU WAMBINGUNI SIVINGINEVYO
@danielkaizer7296
@danielkaizer7296 Жыл бұрын
Nahisi huyo dada ni usalama wa taifa hana shida
@IsaacMichael-fw4cx
@IsaacMichael-fw4cx 6 ай бұрын
Unasema nani atamlinda? Kwani nani amemuumba? ❤biblia inasema 1samuel 14-6d hakuna la kumzuia BWANA asiokoe kwamba ni kwa wengi au wachache- Mungu wa mbinguni atamlinda Catherine ❤1samuel 2-9 biblia inasema maana yeye atailinda miguu ya watakatifu wake Bali waovu wataangamizwa gizani maana kwa nguvu hakuna atakayeshida
@shamterehani2161
@shamterehani2161 Жыл бұрын
Hongera sanaa, Dada Catherine, MUNGU BABA akulinde na kukubariki sanaa.
@josephatkiliko2546
@josephatkiliko2546 Жыл бұрын
Pongezi nyingi sana nakupa,Huu ujasiri nimeupenda,Hakika ni kazi njema iliyotukuka kwa ajili ya kuokoa taifa letu.Mungu akulinde
@jecomaige2748
@jecomaige2748 Жыл бұрын
Dada nimekukubali sanaaaaa hiyo kazi naomba na mimi niko tayari kuifanya kukusaidia na mimi nimeipenda kazi yako!!!
@rukiafaraj1400
@rukiafaraj1400 Жыл бұрын
Huyo mzungu atakuwa kaja na kazi maalum ya kuharibu vijana.. Natamani wawe wanauliwa ili tuokoe kizazi chetu.. Ahsante Catherine!
@mbaralifinest6235
@mbaralifinest6235 Жыл бұрын
Mungu aendelee kukuvika ujasili huhuo ili uokoe hii tazania watoto wetu wanaisha Dada
@GabrielWarioba-co8qg
@GabrielWarioba-co8qg Жыл бұрын
Thank you Catherine kahabi, be blessed with a lot my dear
@mwinyijumaseif3134
@mwinyijumaseif3134 Жыл бұрын
Asantekwakuitwaharishatzasantesana
@beatricegilata6760
@beatricegilata6760 Жыл бұрын
Barikiwa mbaka ushangae,,,, MUNGU azidi kukuinua uendelee kutoa taarifa zaidi na Zaid🙏
@khalidkhalfan1556
@khalidkhalfan1556 Жыл бұрын
Asante Dada catherine mungu akupe maisha marefu na uyo mzungu nayeye kwanini asikamatwe nayeye avunjwe huume wake kwanini serikali lisimkamate uyo shoga wa kizungu anaewahalibu vijana wa kitanzania serikali imechukua atua gani jamani nduguzetu walivyo potea awakuzaliwa na kilema wamezaliwa wapo sawa lakini mzungu kaja kuwatia kasoro mimi kama mimi nalia na serikali yangu angefanya mtu mweusi keshachukuliwa atua lakini mzungu anaogopwa kama rais au makamu wa rais
@jumaramadhanirajabu1938
@jumaramadhanirajabu1938 Жыл бұрын
Safi snaa dada kazi nzuri mungu akulinde na hao mashetani uendelee kufanya kazi..Wizara husika ulizotaja lazima zifanye kazi yake sio kuogopa wazungu huyo akamatwe afunguliwe mashtaka tz iige mfano wa Uganda sio kuogopa wazungu bila Africa hakuna kitu sema viongozi wetu hawajielewi magufuli Alisha sema lkn watu wakambeza sana ..Mungu amsaidie huko aliko
@agathakomba8133
@agathakomba8133 Жыл бұрын
Tunamshukuru Mungu Kwa ajili yako Catherine na wote mnaoshiriki kuuanika uovu huu.Mungu ajitukuze ktk hili.Mungu akubariki sana
@itsmelatz
@itsmelatz Жыл бұрын
Hakika mungu atakulipa kwa hili, Qaumu lutu Ni dhambi kumbwa Sana amesa Muhammad S.A.W🙏🏽 Allah akupe nguvu dada yetu tuzidi kupambana kuondosha dhambi hii
@Kelvin_Nguzo
@Kelvin_Nguzo Жыл бұрын
Mohammad nae walewale alioa kitoto Cha miaka 9 Aisha
@IsaacMichael-fw4cx
@IsaacMichael-fw4cx 6 ай бұрын
Wallah mashehe wangeungana na huyu dada wangekamata mashoga kibao
@fridahjohn1219
@fridahjohn1219 Жыл бұрын
Mungu akulinde kwa hayo uloyasema lazima watakuwinda kwakuwa Mungu wetu n mwaminifu utashinda
@ushindially819
@ushindially819 Жыл бұрын
Mungu amekutumia sawasaw na mapenzi yake ubarikwe sana dadang hakuna neno linalozid neno asant asant san kwa kuiokoa Tanzania may God bless u
@PhinaEdmund
@PhinaEdmund Ай бұрын
Dada Mungu akulinde na akutumie zaidi ili kuwaokoa kizazi chetu..huo mzigo yesu akutie nguvu
@mwinyihamisi3369
@mwinyihamisi3369 2 ай бұрын
Asate kwa kazi nzuri
@funnyboy369
@funnyboy369 Жыл бұрын
Dada watu hao wana connection kubwa na mkono mrefu Mungu akutangulie na akulinde..amen..
@IreneGrayson-od3xq
@IreneGrayson-od3xq 3 ай бұрын
Hongera sana dada yang Mungu akubariki sana na akulinde siku zote
@FarajaMwambigija-pp1nl
@FarajaMwambigija-pp1nl Жыл бұрын
Asante mama muriri mwenye kutetea watoto wetu mungu akuongezee siku za kuisshi
@AminaMkange-gg5nt
@AminaMkange-gg5nt Жыл бұрын
Mungu akupiganie dada hongera sana
@issaphilipo3526
@issaphilipo3526 Жыл бұрын
Dada yetu tunajua uko hatarini kupoteza maisha yako lakini mungu atakulinda ameni
@enofrank1842
@enofrank1842 Жыл бұрын
Acha kumtisha wewe...Wewe ndio ulimuumba.?kwa hyo unataka asiseme? Au unafikiri tunafurahi mnavyotuharibia watoto na watu...Mmeshindwa kwa jina la Yesu...we unajua utaishi mpaka lini? Mnapigana na Mungu..mkimuua huyu Mungu atatuamshia mwingine
@starlily07
@starlily07 6 ай бұрын
Apoteze Maisha kivipi yani au wewe ndo unaempa pumzi, shindwa kabisa kwa JINA LA YESU, Catherine ana ulinzi mkubwa tena wa majeshi ya MBINGUNI.
@CostancioMoza
@CostancioMoza Ай бұрын
Illuminat watantafuta kwa njia zote,,,kwa sababu ii group ipo ndani ya serikali...nao mashoga wamo.....coment from Mozambique mocimboa.
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akulinde mdada❤
@zanzibarfin5789
@zanzibarfin5789 Жыл бұрын
Mungu pamoja nawe ubarikiwe daima milele na milele. Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Afrika. Ammin
@Humphrey-zm1gx
@Humphrey-zm1gx 6 ай бұрын
Well doing Ccta ..very informative content
@lahmamirajinillah-sm6wd
@lahmamirajinillah-sm6wd Жыл бұрын
Mungu akulinde sana mdogo wangu Catherine Kahabi kwani wewe ni mfano wa kuigwa. Wewe ni Mtanzania mzalendo watanzania tukiungana tukiwa na ushirikiano tukiwa wamoja tunaweza kuondoa mashoga. Barikiwa sana
@emmanuelmwamanga
@emmanuelmwamanga Жыл бұрын
Mungu akubariki wewe Catheline Kwa kazi hii muhimu na kubwa unayoifanya. ( Raisi wetu akuangalie Kwa macho mawili). Na Mungu akulinde.
@josephatimasunga9470
@josephatimasunga9470 Жыл бұрын
Hongereni sana kutuhabarisha mambo maovu yanayoendelea katika taifa letu.Hivyo watanzania tupingeni ushoga kwa nguvu zote.
@becatemba9830
@becatemba9830 Жыл бұрын
Kwl kabisa ni udhalikishaji ulojaa laaana na ushetwaan
@sulimankarusi8345
@sulimankarusi8345 Жыл бұрын
Hands on you sister on this issue to stop this act. May Allah bless you. Amen
@wiza2309
@wiza2309 Жыл бұрын
Amina. Catherine Mungu akulinde sana utokapo na uingiapo, malaika wakuzunguke, hii habari hata Mungu hawezi kukubali adui anyooshe mkono juu yako katika Jina la Yesu
@lastkinglastking3326
@lastkinglastking3326 Жыл бұрын
Dada yangu unastahili Kila heshima Ila nashangaa unaongea mazuri yakufatilia kwa makini lakini watu ambao unaongea nao hawaoneshe ushirikiano maana wengine wanafinya finya simu zao wengine wanaonekana kama unawapotezea mda wamenuna tu.ila uzuri ni kwamba Mungu anakuona na atakusapoti kwa jitihada unazozionesha thank you
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
Catherine nakupenda sana. Allah akuongoze kwenye haq, akulinde kila adui asikuone na kila ubaya usikufike, amiin
@becatemba9830
@becatemba9830 Жыл бұрын
Ameeen nampenda bure na ujasir wak kufatilia hili
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada Жыл бұрын
Nakubali sana Catherin kahabi wa GLOBAL TV
@ebronjeremiah880
@ebronjeremiah880 Жыл бұрын
🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿... Mungu akulinde,... umefanya kazi yake.. Allah akulinde kwa kufichua ushetani uliopitiliza 🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿
@generosakinemo5490
@generosakinemo5490 Жыл бұрын
Asante Mungu kwa zawadi ya huyu binti Catherine Kahabi. Asante kwa kumpa moyo wa kujitoa sadaka kwa ajili ya watoto, vijana wa Taifa hili. Nakuomba umlinde na kumkinga dhidi ya mabaya yoyote, daima umfunike chini ya mbawa zako. Na Damu ya Yesu Kristo imfunike daima. Amina
@zenahassani2092
@zenahassani2092 Жыл бұрын
Amina kubwa yupo MUNGU WAMBINGUNI atamlinda tu
@DavidPeter-td5zt
@DavidPeter-td5zt Жыл бұрын
Mwenyezi mungu akulinde pia Skype maisha marefu uzidi kufanya kazi ya mungu
@zenobiagenuine537
@zenobiagenuine537 Жыл бұрын
Dada Mungu akuzidishie maarifa na hekima ipitayo fahamu zote,uwe na mang'amuzi zaidi,hongera kwa kazi nzuri ya kuokoa vijana nan watoto wanaokua kiroho na kimwili,barikiwa mno
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 Жыл бұрын
Hii kazi ni yakujitolea sadaka mungu akulinde dada taifa letu lipo hatarini san kwa huu uchafu tulio letewa
@jacklinewahome2416
@jacklinewahome2416 Жыл бұрын
Congratulations 👏🎉 our sister,come hear Kenya,it is sponsored by government.
@anyelwisyemwakalinga-iz1ej
@anyelwisyemwakalinga-iz1ej Жыл бұрын
Cahelin Kahani umeanisha vtta kubwa juu ya kutusaidia na kutunusuru watanzania na kizazi chetu. Mungu akupe ulinzi dhidi ya lolote litakalo kwenda kuinuka na kukudhuru wewe na familia Yako isiwe kama Amina Chifupa.
@mahershalalhashbazi2189
@mahershalalhashbazi2189 Жыл бұрын
Mungu akulinde na kukutunza sana mtumishi wa Mungu
@tuzonyava8306
@tuzonyava8306 Жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania Amina
@lilytebuye5874
@lilytebuye5874 7 ай бұрын
MUNGU akulinde,maana hii hali si nzuri kwako pia,unapigwa vita lakini kwa MUNGU halishindikani jambo💪
@hora8707
@hora8707 Жыл бұрын
Innaalillahi Wainnaa Ilayhi RaajounHakija Huu ni Msiba,Asante Catherine Kahabi
@hamisinalinga5201
@hamisinalinga5201 Жыл бұрын
Hii aibu kwa taifa hususan wizara ya mambo ya nje na ndani pamoja jeshi la polisi makachero wako wapi Hadi mdada anajitolea kufanya kazi kubwa kama hii au polisi mpo kwa ajili kikamata bodaboda tyu Hadi Leo mtuhumiwa hajakamatwa yupo anafanya yake huu mpango selikali unahusika na hapo mikataba imesainiwa kimyakimya
@malikshafii8431
@malikshafii8431 Жыл бұрын
Aina yako Dada ndio wanawake tunaowahitaji chaajabu tunaletewa wadangaji keep it up sister umebarikiwa
@zubedarichard2311
@zubedarichard2311 Жыл бұрын
Acha kuita wanawake wengi wadangaji Jmn
@swaumdodoma7591
@swaumdodoma7591 Жыл бұрын
Mnaletewa wanawake wadangaji na nani?
@rehemafungo7387
@rehemafungo7387 Жыл бұрын
Hongera dada,jeshi kutoka mbinguni💪💪💪
@festondimbila
@festondimbila Жыл бұрын
Mungu yupo na anawatu wake kama wewe dada angu ubarikiwe sana Mungu akutie nguvu
@catherinealbert5436
@catherinealbert5436 Жыл бұрын
Asante wajina wangu hakika wew ni jasili mungu azidi kukupigania
@issafarajingetwa7588
@issafarajingetwa7588 Жыл бұрын
Dada Mungu Akubariki sana wanatuletea tu stories za kina mond hapa hazina Faida na sisi.
@kingmichael1234
@kingmichael1234 Жыл бұрын
Dada yetu Katherine Kahabi Mungu akulinde sana kwa Uzalendo wako. Namuomba Mama yetu mpendwa Raisi wa nchi yetu hii pendwa ya Tanzania Dr Samia Saluhu Hassan akuangalie kwa ukaribu mkubwa sana. Kwani wewe ni mmoja kati ya watu wema sana katika Taifa letu. Mungu akubariki sana. Endelea kupiga kazi na sisi Wazalendo tuko nyuma yako. Tanzania ni yetu sisi sote lazima tuilinde nchi yetu kwa hali yoyoye ile.
@AlifunsiAtanasi
@AlifunsiAtanasi Жыл бұрын
Ubarikiwe na bwana naitwa mchungaji Alphonce
@vickysteven1172
@vickysteven1172 9 ай бұрын
Mungu akulinde saana
@kisesagroup4730
@kisesagroup4730 3 ай бұрын
Amina ubarikiwe dada
@jackmabirangacharles9398
@jackmabirangacharles9398 Жыл бұрын
Mungu akutangulie sana Dada chapa kazi usiogope kifo
@edwardpeter8569
@edwardpeter8569 Жыл бұрын
Barikiwa sana Catherine, mwenyezi MUNGU akulinde
@DORIEGWARASA-os5qt
@DORIEGWARASA-os5qt Жыл бұрын
Ahsante dada, Kwa utumishi mzuri
@RehemaMoses-w3m
@RehemaMoses-w3m 6 ай бұрын
Nakushukru sana Mungu akutumie zaidi tuokoe taifa letu Tanzania
@MichaelBenard-dp2lp
@MichaelBenard-dp2lp 4 ай бұрын
Mungu aendelee kukubariki sana juu ya hicho unachokifanya
@NdambukiPaul
@NdambukiPaul 16 күн бұрын
Hongera sana uyo akatwe shingo
@wilfredkuyonza2151
@wilfredkuyonza2151 Жыл бұрын
Mungu akulinde dada yangu tuko nyuma yako tunaochukia uharibifu huu ni wakati wa vyombo vya habari vyote kugeuka na lukemea matendo haya batili katika jamii yetu safi ya kitanzania.
@kapanikapani5280
@kapanikapani5280 Жыл бұрын
Ooowaaaoo, my dada mungu akulipe maisha malefu sana mungu atakua na wewe hakika huku Zanzibar ndohapafai maana mpaka baazi ya viongozi tunawajua Tena kwaushahidi nimashoga, eemungu tuhurumie
@kassimrajabu56
@kassimrajabu56 Жыл бұрын
Mpelelezi kutoka Mbinguni!????Safi sana Catherine
@1979Gebo
@1979Gebo 6 ай бұрын
Kassimu Sisi wakristo tumemuelewa , Kazi takatifu ya kulinda nchi na kizazi
@BarakaEmanuel-lx8kd
@BarakaEmanuel-lx8kd Жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu dada yangu
@ambanconsultants6892
@ambanconsultants6892 Жыл бұрын
Basda ya mwaka 2030 tuwe na rais mwingine mwanamke hiyo anaitwa Catherni Kahabii. Mungu akupe maisha marefu
@thamraabdul3740
@thamraabdul3740 Жыл бұрын
Mbona uyu babaangu anafaa kabisa kuwa raisi
@RailaMagandi-dp6vc
@RailaMagandi-dp6vc Жыл бұрын
sasa huyo mzungu sianajulikana mnasubiri kumkata nae kumfira tyu na kumtia selo
@RailaMagandi-dp6vc
@RailaMagandi-dp6vc Жыл бұрын
"Mimi maneno mengi siyapendi huyo mzungu si mumuwajibishe
@RailaMagandi-dp6vc
@RailaMagandi-dp6vc Жыл бұрын
Wewe dada sasa unatueleza lkn mimi sijajua hapo mzungu mnampango nae gani
@RailaMagandi-dp6vc
@RailaMagandi-dp6vc Жыл бұрын
Haya mambo serikali inaelewa vizuri siunaona spichi hiyo
@janetdundul3858
@janetdundul3858 Жыл бұрын
Ongera sana dada mungu adhidi kukulinda,,hatutaku hushoga na husagaji kwa jina la yesu👏👏👏👏
@Zaburi-
@Zaburi- Жыл бұрын
Mungu/MUNGU sio mungu
@willyduwange-er5ii
@willyduwange-er5ii Жыл бұрын
Cathy serikali itaridhia tu ushoga kwa ushawishi wa Dola za marekani ,vitisho ,vikwazo nk ndio mwondoko wa dunia Sasa
@siriatvonline5342
@siriatvonline5342 Жыл бұрын
Mungu akulinde dada yangu hakika tutakuombiya
@kudramzee5769
@kudramzee5769 Жыл бұрын
Dada Mungu akufanyie wepesi kwa kazi ngumu mnayoifanya
@zawadimwampamba-ny5bp
@zawadimwampamba-ny5bp Жыл бұрын
Ameen
@danielmziray5081
@danielmziray5081 Жыл бұрын
Dada hongera sn lkn ninachokiona kuna wakubwa zaid yko mbona hatuon kaul zao na ikiwezekana hyo mzungu akamatwe na anyongwe hadharan apelekwe kwao akiwa maiti iwe fundisho tz hatutaki mashoga naomba usifche picha zake ziweke waz tudil nae mdogomdogo yaan nikimjua hyo ngurewe sijui nitamfanyaje
@juniorsamuelsamuel1224
@juniorsamuelsamuel1224 Жыл бұрын
Good job Madam Catherine,BABA WA MBINGUNI naomba akubariki sana.BGS
@kambiyusufu2776
@kambiyusufu2776 Жыл бұрын
Dah asante
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 Жыл бұрын
Hakika wewe dada ni jembe letu tz kubwaaaa Mungu akusaidie sana katika kazi zako😢
@EliaMvungi
@EliaMvungi 5 ай бұрын
Mungu akutie nguvu zaid na zaid unakipaji cha upelelezi mtumish wa mungu
@MOSESSOLOMON-f6u
@MOSESSOLOMON-f6u Жыл бұрын
wewe ndio ungefaa uwe raisi mn ni mzalendo wa nchi yako 🙏👏👏
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 Жыл бұрын
😭 hongera dada apo angepatikana makonda pangekua. Sawa
@RabiaSelemanisaidi
@RabiaSelemanisaidi 2 ай бұрын
Mungu asimame mbeleyako kwa kila hatua yako pigania vizazi vyetu
@TumbeineSangari
@TumbeineSangari Жыл бұрын
Dada yangu mungu akubariki sana ila kuwa nataasari sana
@AzahOmary-kd2db
@AzahOmary-kd2db Жыл бұрын
Dah mungu atusaidie huyu dada mungu amlinde tunajua wanaharakat kama hawa wasema ukweli huwa wanauliwa 😣😣😣
@MariaJuma-q2k
@MariaJuma-q2k Жыл бұрын
Mmh!!!!! Mmh!!!kuanzia Leo ninakuombea ulinzi.mungu akupiganie sana.
@innocentmleli1196
@innocentmleli1196 Жыл бұрын
Mungu akutunze dada yetu.
@suleimansadalla5606
@suleimansadalla5606 6 ай бұрын
Hongera sister from zanzibar
@nathanaelmsamba9055
@nathanaelmsamba9055 Жыл бұрын
Ahsante dada Mimi ni mchungaji nathanael naomba mawasiliano yako nimependa ukweli huo,,,karibu utoe elimu kanisani pia
@Humphrey-zm1gx
@Humphrey-zm1gx 6 ай бұрын
Huyo mzungu atakuwa wakala wa shetani...seriously😢😢 coz mtu mwenye dhamiri safi hawezi fanya huo unyama maishani mwake.
@bakarseif9781
@bakarseif9781 Жыл бұрын
Asente xana unassailable kuwa kiongozi wa taifa hili uko vizuri dada
@mwanduelizabeth2282
@mwanduelizabeth2282 Жыл бұрын
Hongera Sana Catherine kahabi kwa kuendelea kuitetea nchi yetu kupingana na ushoga Mungu wa mbinguni akutunze.
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Жыл бұрын
makonda mungu akulinde popote ulipo hukuwa mwoga kupambana. kuanzia madawa ya kulevya hadi ushoga nk. histotia itakukumbuka tu usiwe na wasiwasi
@abuuluqmaana8444
@abuuluqmaana8444 Жыл бұрын
Dada uko vizuri mungu akuongoze
@gideonmwaweza8177
@gideonmwaweza8177 Жыл бұрын
Hallelujah dada yetu Mungu wetu anapitia kwa watu kama alivyo kufunulia mambo makubwa hayo zidi kuwa jasili Amina
@melinalumambo3218
@melinalumambo3218 Жыл бұрын
🎉
@mercynina6288
@mercynina6288 Жыл бұрын
Inaumizaaäa
@neemagidion8286
@neemagidion8286 Жыл бұрын
Mungu akulinde wasije kukuua
@AdamKalazai
@AdamKalazai 5 ай бұрын
Dada mungu akubariki sana
@motivational_leader
@motivational_leader Жыл бұрын
Nakupenda sana Dada ❣️
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 Жыл бұрын
Yaani Kuna Mambo ya ajabu yanayondelea hata unashindwa kujua hii nchi Ina uongozi 😢😢Mungu azidi kukulinda Katharina,
@turibamweali8661
@turibamweali8661 Жыл бұрын
Magufuri amejifisha uyu upumbafu ! Hii ndo inchi ya mwanamuke !
@TevaStone-lf7yz
@TevaStone-lf7yz Жыл бұрын
Asante dada ,endelea kutufungua
@saadatiyahyashabani-yg2xy
@saadatiyahyashabani-yg2xy Жыл бұрын
Safi sana lamama 🇹🇿✊🏿
@saudangalleni388
@saudangalleni388 Жыл бұрын
Asante dada kwakutufumbua skill du Tanzania tunakwenda wap Asante tutakua makin
@mayanmlingwa4250
@mayanmlingwa4250 6 ай бұрын
Naitaji kazi hiyo tuwarudishe nyuma wasije vuka mstari mwekundu....naomba kukutanishwa na kina Dr.
@tatudando7518
@tatudando7518 Жыл бұрын
Allah akulinde maana Kwa taarifa hizo Kuna watu vichwa vishapata moto.Hakika we ni jasiri na malikia wa nguvu. Kama ulivyojitoa wewe ni lazima watanzania wote tuungane kukataa ushoga .
@philipmakupa5662
@philipmakupa5662 Жыл бұрын
Allah bless u madam mungu akuongoz unachokifanya ni direct kinaonekana madam
@alexmathias6620
@alexmathias6620 6 ай бұрын
We dada wewe hivi alikusalimisha kweli hajaomba kunywa uji❤❤❤❤❤
@MsabaaMwenebokyo
@MsabaaMwenebokyo 11 ай бұрын
Be blessed madam Catherine 🙏
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 127 МЛН
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 27 МЛН
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 32 МЛН
Israel kills Hamas leader Yahya Sinwar in Gaza
22:04
Channel 4 News
Рет қаралды 345 М.
Zuchu baby na Selengo kimewaka English yamzalilisha mtu mzima utacheka
7:01
VIJANA WAFUMWA NDANI WAKIFANYA MAPENZI YA JINSIA MOJA LINDI
9:05
Mashujaa TV
Рет қаралды 298 М.
WHY AN ISRAELI NUCLEAR STRIKE ON IRAN IS NOW POSSIBLE
14:05
ATE CHUET
Рет қаралды 193 М.
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 127 МЛН