MWAKYEMBE AWEKA HADHARANI MTANDAO WA MASHOGA TANZANIA BILA WOGA WATU WABAKI MIDOMO WAZI

  Рет қаралды 177,613

KUSAGA TV

KUSAGA TV

Күн бұрын

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
KZbin : www.youtube.co...
Tiktok. www.tiktok.com...

Пікірлер: 393
@babumrisha
@babumrisha Жыл бұрын
Naomba Mungu ampe ulinzi Dr. Mwakyembe kwa kazi nzuri anayoifanya.
@servantofalmightygoddranth2511
@servantofalmightygoddranth2511 Жыл бұрын
AMINA, KWA JINA LA YESU ALIE HAI YUKO NA ULINZI MKALI WA MBINGUNI
@lusuvilonzowa8769
@lusuvilonzowa8769 Жыл бұрын
Muheshimiwa tuna kila Sababu ya kumrudia Mungu asante kwa kazi nzuri muheshimiwa
@guardianndumhula6174
@guardianndumhula6174 Жыл бұрын
eeee mungu wetu tusaidie na hii laaana. kama ni umasikini basi.
@rithaurassa
@rithaurassa 7 ай бұрын
Mwakiyembe Mungu akulinde miaka mingi,viongozi wameingiliwa na ushetan ,Uganda wangenyongwa
@ivonachuwa6596
@ivonachuwa6596 Жыл бұрын
Makonda nimeamini Mungu yupo nawe, acha akuinulie Watu, kinywa cha Mungu hakifungwi🙏
@harrisonmariki1112
@harrisonmariki1112 Жыл бұрын
Mzalendo Mhe. Mwakyembe.Mungu akubariki akulinde. Watanzania wenzangu ,Viongozi ndio Hawa. Mungu tujalie Viongozi wetu wawe na moyo nguvu na ujasiri wa kusimamia maadili ya UchaMungu.
@daudimazengo7772
@daudimazengo7772 Жыл бұрын
Dr. You are strong doctor. God bless you.
@haidarykufakunoga5973
@haidarykufakunoga5973 Жыл бұрын
NAMSHUKURU MOLA WETU MTUKUFU ALLAH S.W. BADO ANATULINDA NA KUTUPA HEKIMA JINSI YA KUEPUKA UCHAFU HUU ULIOKITHIRI. HII LAANA TUIKEMEE SOTE. WAMELAANIKA MASHOGA, MABASHA NA WASAGAJI. TAKBIIR ALLAHU AKBAR, ALLAHU AKBAR, ALLAHU AKBAR.
@tuntufyecharles1647
@tuntufyecharles1647 Жыл бұрын
Njia sahihi ya kutokomeza tabia hii ya ajabu ni kutumia wasiojulikana kuteketeza wote wanaofundisha,wanaofanya na wanaofanywa. Kwa kuwa ni aibu si vema kujadili na kuaandaa sheria nyingi. Serikali ifanye kazi yake kimya kimya wakiona wanateketea wataingiwa na hofu. Ngazi ya familia tutoe elimu kwa watoto wetu hali ni mbaya. Asanteni kwa kutufahamisha mashirika yanayojihusisha na uovu huu. Hatuhitaji sheria nyingi na kali wala miswaada na hatimaye sheria kujadili upuuzi huu. Hapa lazima tumkimbize mwizi kimyakimya. Sheria kuu ni maandiko matakatifu. Tufikirie toba.
@restitutanjau2585
@restitutanjau2585 Жыл бұрын
Mungu akulinde Mr.Mwakyembe kwa kutufunilia haya,Kazi sasa kwa serikali
@talents7934
@talents7934 Жыл бұрын
Tumebaki na kazi moja tu, Nikuwahasi au kuwauwa wala hamna dhambi hapo kama tukiwauwa
@aminaomary5567
@aminaomary5567 3 ай бұрын
❤🎉🎉❤❤🎉🎉mzee mwakiembe👍👍👍👍👍❤❤
@YorandaBonephas
@YorandaBonephas 4 ай бұрын
Mungu akulinde maana mawakala washetani wanaumia kuhusu wewe ila mungu atakulinda mungu awalinde wote wanaopinga ushoga duniani mungu awape ushindi Saudi namwisho mwema maana mungu huwapenda watu wema Amina,
@kivurichumamwerumungwi9382
@kivurichumamwerumungwi9382 Жыл бұрын
Your special in this National sistet. Nimekupenda sana. God stand with you always
@peterdoisso2414
@peterdoisso2414 Жыл бұрын
Hongera sana raisi wa Uganda kwa kukemea hilo kwa nguvu zote bila kujali vitisho vya Marekani na misaada yao.
@ruthmwangi3199
@ruthmwangi3199 Жыл бұрын
Watching from Saudi Arabia 🇸🇦🇸🇦 Mimi ni.mukenya.😭😭🥱😭🥱🙊🙊🙊🙊🙊
@basumaadam2686
@basumaadam2686 Жыл бұрын
Mungu azidi kukulinda mzee wetu ukweli umesema
@josephntungiye6232
@josephntungiye6232 Жыл бұрын
Sababu zakumuua Magufuli zipo nyingi sana😢😢😢😮😮
@basumaadam2686
@basumaadam2686 Жыл бұрын
Sanaaaa daah
@gabrielkabato9909
@gabrielkabato9909 Жыл бұрын
Hongera sana mwakyembe japo hii vita ni kubwa sana
@vickykissie9742
@vickykissie9742 Жыл бұрын
Atanyamazishwa soon
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 Жыл бұрын
Baba mwakyembe mungu akubariki sana kwa kutujuza juu ya hili janga, ningekuwa na mamlaka ya kuteketeza mashoga yote hata kama kufanya hivyo ni zambi bora niwe mwenye zambi kuliko kukumbatia uharamu wa mashoga. Mwenyezi mungu tunusuru watanzania na dunia nzima.
@Stays_Shopping
@Stays_Shopping Жыл бұрын
Nimeogopa sana, kumbe sensa imedanganya takwimu, wanaume tupo wachache sana
@lugezebarnaba-hv8bu
@lugezebarnaba-hv8bu Жыл бұрын
Hahahaa
@lonedoggy7176
@lonedoggy7176 Жыл бұрын
Komaaa Dr Mwakyembe,vijana tuna kuombea sana kwa Mungu😅😊
@ahmedhamisi-jc2hs
@ahmedhamisi-jc2hs Жыл бұрын
Kwa kweli kabisa uyu mzee asema kweli kabisa mungu lazima akasirike
@mwandajemtoto2323
@mwandajemtoto2323 Жыл бұрын
umeongea ukweli mzee mwakyembe na mungu akulinde awo wazungu hawawezi kushindana na mungu
@honoreizala4695
@honoreizala4695 Жыл бұрын
Iiiiiiiii nimeumia sana Mungu atupe mwisho mwema
@kambiyusufu2776
@kambiyusufu2776 Жыл бұрын
Dah kweli kimeumana
@danielmziray5081
@danielmziray5081 Жыл бұрын
Waweken waz mm ni mtanzania nina uchingu na nchi yangu weken picha zao tuwapeleke mbel ya Mungu chap hyo vita ni kubwa mkuu wenyewe hamuwez Mungu ibarik na nchi yang
@dickisoniryoba3989
@dickisoniryoba3989 Жыл бұрын
Mungu .tusaindie wa tz ..na watto wetu..🙏💒🙏
@mpokimwakaje8178
@mpokimwakaje8178 Жыл бұрын
Jamani hao wazungu tuwafanye Nini mioyo yetu inauma vijana wetu kuhalibiwa ,Wamalekani mashetani,ya Dunia niatari Tumuombe Mungu
@erubemalita7162
@erubemalita7162 Жыл бұрын
Sema mzee wangu hatutaki mizigo ya zambi iliyozidi baraka na neema aliyotupa mungu hatutaki kuipoteza eeh mungu tusaidie
@enockabumba7513
@enockabumba7513 Жыл бұрын
Mungu akubaliki Mh mwakembe utaripwa na Mungu
@kapistranhaule-rn6ft
@kapistranhaule-rn6ft Жыл бұрын
Mungu awabariki na kuwalinda
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs 6 ай бұрын
Unaweza kushangaa hapo pia wapo
@ahmedhamisi-jc2hs
@ahmedhamisi-jc2hs Жыл бұрын
Mzee kimea kwa nguvu zako mungu atakulinda
@wariditambi8679
@wariditambi8679 Жыл бұрын
Msiba mkubwa kwa kweli mungu atunisuru na watt wetu
@AdiliSanga-os6hn
@AdiliSanga-os6hn Жыл бұрын
Naomba nammi niingie kupiga vita ushoga meshack andrea lukanga from iringa
@abdikapilima8695
@abdikapilima8695 Жыл бұрын
mungu atunusuru ni Hali mbaya
@GoodluckTarimo-u3j
@GoodluckTarimo-u3j 4 ай бұрын
Kwann wasiuawe❤
@halimahbwelele694
@halimahbwelele694 Жыл бұрын
Subhana Allah
@albertkuzilwa7442
@albertkuzilwa7442 Жыл бұрын
Kinasiku wapo watakao simama bilakuogopa tanzania kwasasa bado watu wataogopa ila Tanzania yaMungu
@AzahOmary-kd2db
@AzahOmary-kd2db Жыл бұрын
Jamani muwatajeee allah awadhibu
@saadatiyahyashabani-yg2xy
@saadatiyahyashabani-yg2xy Жыл бұрын
Asee wazee teteeni taifa letu 🇹🇿✊🏿
@sadamamon4073
@sadamamon4073 Жыл бұрын
Mungu tuongoze tuepukane na haya
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 Жыл бұрын
Umu ndani kuna watu wanao wanunua hao mashoga nao Mungu awaumbue
@justinemangari2890
@justinemangari2890 Жыл бұрын
Kuna jmaa namuona anajitafuna, anahangaika sana sijui anawasiwasi na nni hapo ndani
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 Жыл бұрын
@@justinemangari2890 😁😁😁😁😁😁😁 wateja wao wakuu ni ma boss ndio sababu maisha kwao ni safi
@justinemangari2890
@justinemangari2890 Жыл бұрын
@@edinakyaruzi9226 Sasa hvi nchi inapokea misaada ya masharti nafuu ndg, kumbe masharti ni magumu sana serikali iangalie hili suala nguvu kazi inaisha, mwanaume unashindwa nini kuomba mwanamke akupe hadi upewe na mwanaume mwenzako, au hizo hamu za mwanamke anampa Tena mwanamke? Mungu atusaidie kiukweli
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 Жыл бұрын
@@justinemangari2890 we acha tu ni shida sana
@Msakatonge23
@Msakatonge23 Жыл бұрын
Dahh!! Tanzania tupo mbali mnoo Sasa mungu atulinde na awepe nguvu muendelee kuziamsha akili zetu
@KichuyaMaja-qq5zn
@KichuyaMaja-qq5zn Жыл бұрын
Hayo mambo kama wanayapenda si wafanye kwao kwetu watuachie mila zetu...mungu ibariki tanzania
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 Жыл бұрын
Hawawezikutuacha maana wanawakumbatia utazani Miungu yao . Magufuli alikuwa na akili sana aliyajua haya ndio maana alitaka space na wao hakutaka ukabu na wapuuzi mashetani hawa
@saidmtenda1628
@saidmtenda1628 Жыл бұрын
Mzee Mwakyembe jambo hili c la kisiasa, tunaomba bungee lipitishe Sheria km Uganda ya kuharamisha ushoga.
@ZuberiOdarukusi
@ZuberiOdarukusi 6 ай бұрын
Shida sio maisha magumu bali watu wanataka pesa bila kufanya kazi mm naona wanaojiuza pia elimu ya ndoa pia kupunguza mahari na mabinti na vijana wawe tayari kuolewa na kuoa
@MkudeKunambi-mi7cs
@MkudeKunambi-mi7cs Жыл бұрын
Mhhh hofu yangu je hayo mashtaka je yatafanyiwa KAZI? Au ndio yataishia hapa hapa tu
@hashimmajira2598
@hashimmajira2598 Жыл бұрын
Innalillah wainna illah rajiun Allah atunusuru sisi pamoja navizaz vyetu inauma Sana hii na kwapamoja hamnadini inayosapoti hili huunimsiba mzito mmnoo
@neemamwanga5447
@neemamwanga5447 Жыл бұрын
Hivi mpaka unakubali kufanyiwa operation kubadili jinsia then unapata madhara baada ya miezi sita wafe tu, mimi sio Mungu lkn ktk hilo hapana
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 Жыл бұрын
Hali si schwarz Tanzania iko mikonnoni mwa marekani ma ushoga umeshakaribishwa haya mashirika ya kishoga Magufuli alliyakataa . Mashirika mashenzi ya kisetani kisa vyandaru shae sana😊
@nimbetebwangabwa8521
@nimbetebwangabwa8521 Жыл бұрын
Yes ,we can survive without USA,,
@faustinemavere1450
@faustinemavere1450 Жыл бұрын
Kweli kipenzi chetu jpm aliwakataa hawa watu alilijua hili ee Mungu tusaidie watanzania mwamba alikuwa na macho ya rohoni uwiiii Mungu tuhurumie na watoto wetu
@MsafiliMwammoghera-ot4lr
@MsafiliMwammoghera-ot4lr Жыл бұрын
Mungu lete tetemeko kwawale wanao halibu watt wetu maana watt mashuleni kula kukicha wanafanyiwa hivyo vitu nawapumbavu wa shetani flani wasio julikana kumbe wamepewa tenda na mashetani Asante mweshimiwa mwakye mbe kwauchunu ulio nao kwa Taifa letu mungu tusaidie kumbe lisemwalo lipo hakika tumeona wameona korona imedunda.
@abdullahamer5192
@abdullahamer5192 Жыл бұрын
Innah lillah wa innah ilayhi rajiooon .....huu msiba mkubwa Allah awanusuru vijana wetu jamani 😭😭😭😭🙏🙏🙏 Yametengenezwa kweli dah
@ZawadiNyambulapi-lk1np
@ZawadiNyambulapi-lk1np Жыл бұрын
Selikali yangu naomba mnimilikishe bunduki hao hawafai Kuishi
@aishamzeehamissi6859
@aishamzeehamissi6859 Жыл бұрын
Tutakuwa na Taifa lisilokuwa na uzazijamani tupambane jamani wasakwee wapigwe kama uganda
@jolitabukabengwe3070
@jolitabukabengwe3070 Жыл бұрын
Mzee Magufuli alikuwa akiwapinga sana hawa wazungu. Ila kuna watu hawakumuelewa. Sasa wizara ya Afya wanaujua huo mpango na hawafanyi chochote.. Hili ni janga la taifa.. Kuna viongozi wanapenda vya kupewa misaada yenye masharti. Hapa ndo kunatatizo.. Cjui hata itakuwaje..
@saidmtenda1628
@saidmtenda1628 Жыл бұрын
Wewe acha kupenda sn, mbona magufuli alishindwa kumtetea makonda alipolaumiwa na maabeberu Kwa kuwakamata mashoga, serkali ya magufuli ilisema haihusiki na kamatakamata ya mashoga Hadi makonda akashindwa
@anethcleophace9199
@anethcleophace9199 Жыл бұрын
@@saidmtenda1628 .
@eidallyeidally5093
@eidallyeidally5093 Жыл бұрын
Tatiz si kupinga wazunguu niusajil uliofanyika kww mujib wa sheria za tz
@josephsiwila2397
@josephsiwila2397 Жыл бұрын
@@saidmtenda1628 mbn nmesikia 2016
@saidausi9917
@saidausi9917 Жыл бұрын
Baba Mdogo Mwakyembe weka wazi hayo na ikiwezekana mashoga wakipatiwa tiba wapewe Sumu wafe
@viviantarimo7440
@viviantarimo7440 Жыл бұрын
Mungu wa Mbinguni naomba uturehem😭🙏🙏 Yan naomba kila mmoja wetu atakayeona hii comment tumwombe sana mwenyez Mungu rehema ya hali ya juu ili tunusurike na vizazi vyetu Eeeeh Mungu naomba uturehem Ndo maana ata mvua hazinyeshi daaah 😭😭😭😭
@marthaanton6967
@marthaanton6967 Жыл бұрын
Da jamani Mungu tusaidie sn😭😭😭
@anzuruniyasini9939
@anzuruniyasini9939 Жыл бұрын
Jamani jamani jamani viongonzo wanchi tatizo nn tz imekosa mini jano eeemungu wewe ndio mjuzi tunakuomba utunusuru mh
@chacha_jr20
@chacha_jr20 Жыл бұрын
Mungu nisaidie
@itsmelatz
@itsmelatz Жыл бұрын
Mungu akupe umri mrefu tumxhinde shetani ushoga ni dhambi kubwa sana
@hamismabula9934
@hamismabula9934 Жыл бұрын
Hivi Serikali yetu haijui haya!?!?!? Ni kilio kwa kweli daah!
@kentkihongole8235
@kentkihongole8235 Жыл бұрын
Jeshi tunalo hili halijaona
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 Жыл бұрын
Inajua sana ndiyo mana kipindi kile Makonda alianzisha kampeni ya kuthibiti ushoga akazimwa
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Жыл бұрын
Watu wa Pwani Kwani wana maana?!
@hamismabula9934
@hamismabula9934 Жыл бұрын
@@mimiraia2531 🤣🤣🤣
@GoodluckTarimo-u3j
@GoodluckTarimo-u3j 4 ай бұрын
Inakasirisha sana
@elizabethnnko-z7u
@elizabethnnko-z7u Жыл бұрын
Jamani baba naomba shuulikia ili swala jaman usiogope kusema sauti yamungu
@asmahtamla4749
@asmahtamla4749 Жыл бұрын
Ndo zictishwe hzo neti lkn ndo kwanza zinaongezwa kl UCHAO.
@hashakishabani4896
@hashakishabani4896 Жыл бұрын
Namuomba mola alie umba mbigu na aridhi atuongezee watu kama baba mwakyembe pia mola wetu mpe hifadhi muja wako mwakyembe huyu baba ni zaid ya mtumishi wa mungu pia mzalendo wa kweli wa nchi yake
@goodluckndagile9381
@goodluckndagile9381 Жыл бұрын
MUNGU akulinde
@rehemabukuku1008
@rehemabukuku1008 Жыл бұрын
Nyeeee
@flova7022
@flova7022 Жыл бұрын
Sina Imani na serikali maana mashirika yote haya husajiliwa na serikali.
@YusraMadodo-sl5oh
@YusraMadodo-sl5oh Жыл бұрын
Yarabi ewe mola wetu Mungu tunusuru inchi inatakiwa kuongozwa na mwanaume so na mwanamke hii inchi ingeongozwa hata na wakina Kassim majaliwa au jobu ndogai wangeliokoa taifa letu siku Kassim majaliwa au jobu ndUgai nitafurahi sana mana wanamsimamo sana nawaombeaga usiku na mchana waje wagombea uraisi moja wapo atapita
@ahmedalkiyum7592
@ahmedalkiyum7592 Жыл бұрын
Kumbe tanzania bara kuna mashirika kiasi icho wamejificha tu kisha wanaoneka wa Zenji ndio wanafanya hayo doh asante kwa kutufichulia
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 Жыл бұрын
Nte Mwakymbe hawa wazungu wamechanganyikiwa sana
@mosially6402
@mosially6402 Жыл бұрын
Mungu akuoe hekima nabusar kutuweka wazi
@basumaadam2686
@basumaadam2686 Жыл бұрын
Mmmh mazito 😰😰
@barayclassic8572
@barayclassic8572 Жыл бұрын
Hawa mashoga wapo hawana kazi ila wanapesa Sana wanatumia magali ya bei mbaya sana ko Asante Sana baba sasa tumejua kwanini wanapesa kumbe wanafadhiliwa na wazungu 😭😭😭
@ayubukaaya4576
@ayubukaaya4576 Жыл бұрын
Mapesa tunayopwa ya bure, lazima tulipe gharama kubwa sana, ndiyo maana mzee magufuli aliyakataa haya mambo kwa kutuaminisha kuwa tunaweza kujitegemea na ni kweli tunaweza. Sasa ukikaa unasikia uviko, mara msaada kwenye afya, kilimo n.k watanzania tujitambue sisi siyo wakoma MUNGU wa mbinguni ametujalia raslimali nyingi sana. Viongozi wetu tusaidieni taifa linaangamia.
@isaliisu3408
@isaliisu3408 Жыл бұрын
Hakutaa magufuli ndiyo maana wizara mambo ya nje ilimpiga makonda aliposema atapambana na mashoga mbona alikaa kimya si engemfuza waziri na yeye atoke hadharani kukataa
@ayubukaaya4576
@ayubukaaya4576 Жыл бұрын
@@isaliisu3408 Siwezi kujibu hoja yako , kwa upande wangu cjui kwanini unakuwa mkali pengine?
@highnessibrahim4550
@highnessibrahim4550 Жыл бұрын
@@isaliisu3408 mungu wambingu na nchi atutangulie.
@hadija846
@hadija846 Жыл бұрын
Ndugu ngoja nikueleshe kidogo nchi nyingi sana duniani kote wanapeana misaada na madeni hata kipenzi chetu Magufuli katuachia madeni kibao. Lakini deni la hatari ni deni la wachina maana ukishindwa kulilipa lazima aridhi mugawane. Marecani na Japani ni nchi kubwa sana zinazotowa misaada kwa nchi maskini hata Uingereza na bila matatizo yoyote. Ili swala la ushoga 😭 ni baya sana pia ni chafu kupita maelezo na hii sheria yao imepitishwa miaka hii ya kariburini. Lakini haya mambo ya kifirauni yapo tokea zamani sana. Yaani Dar. Ndio usiseme mashoga adhalani na watu walikuwa wanafurahishwa na haya mambo lakini sasa hivi tumeletewa huo ujumbe watu tunapinga kwa kasi kubwa na mashoga wapo kibao na hawawezi kuwa madume tena itakuwaje? Kuhusu madawa wanayo wawekea na ushaidi wanao wasitungazie muhimu ni kumkamata huyo mzungu na kumrudisha kwao na kufanya msako mkubwa kwa watu kama hao matangazo hayafai chochote hatuyataki. Msasani kuna shoga linaitwa Anko Fao yeye kila mwaka anafanya birthday kubwa na mashoga wenzake kibao na serikali za mitaa wanalijuwa ili lakini wanalipotezea na party za mama Diamond pia mashoga wapo kibao na mtandaoni wanajulikana kabisa lakini kimya hii hari ya mashoga ni mtihani wetu sisi wenyewe na mashoga wanajitokeza kwa sababu wapo mabasha. 😭😭😭
@jeniphermyingajeniphermyin8029
@jeniphermyingajeniphermyin8029 Жыл бұрын
Mmmh huu ndy ujinga wa Kumtegemea misaada ona Sasa taifa linavyoangamia
@davidchengula3044
@davidchengula3044 Жыл бұрын
Mmmmh hatari duuu
@SelemaniDowile-mk1wm
@SelemaniDowile-mk1wm Жыл бұрын
Hawa mabasha ndio serikali wanatakiwa wadilonao zaid wao ndio wanaoharibu zaidi
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
Wote
@matakasa
@matakasa Жыл бұрын
Binadamu kwa nini tumefika halo?! Mungu tusaidie!
@ahmedhamisi-jc2hs
@ahmedhamisi-jc2hs Жыл бұрын
Kweli kabisa bila American watu wataishi
@gazzomaster9462
@gazzomaster9462 Жыл бұрын
Watuuluhusu tukikuta shoga apigwe mawe ad kufa
@gaomariwa7637
@gaomariwa7637 Жыл бұрын
Asee hali mbaya
@mahmoudidriss1560
@mahmoudidriss1560 Жыл бұрын
Mashoga wauwawe tu...hao ni mashetani hi.....tuache, huruma kwahao Mashoga.
@abdirizakibrahim1975
@abdirizakibrahim1975 Жыл бұрын
Jamani watanzania wenzangu wakristo na waisilamu tafadhalini tukemee hawa watakuja na misaada kutokana na umaskini wetu tukaja kupotea hata kwenye nyumba za ibada tuweni makini
@wariditambi8679
@wariditambi8679 Жыл бұрын
Ni msiba mzito sana
@allycux1221
@allycux1221 3 ай бұрын
Wakamatwe wanyogwe don't west time naiyo mishog
@rithaurassa
@rithaurassa 7 ай бұрын
Tz kilio kumbe. Sensa ilikuwa namambo mengi, hili tatizo police waingilie kat wawe siriasi, wanataka warabu washikillie nchi ,
@mmarandu2417
@mmarandu2417 4 ай бұрын
Tulikuwa wapi mpaka wageni wafanye haya yote nchini mwetu?
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 Жыл бұрын
Tumekwisha jamani MUNGU ATUREHEMU😢imagine mkoa mmoja una makampuni zaidi ya 5 kwa jili ya kutengeneza mashoga na wasagaji Tanzania hatupo salama hata kidogo
@SunguraFesto-ir2mp
@SunguraFesto-ir2mp Жыл бұрын
Huyu Mzee alipaswa kuwa Raisi ana misimamo sana namkubali sana
@spiderelexander9977
@spiderelexander9977 Жыл бұрын
Umaskini ni mbaya sana
@severinitarimo8669
@severinitarimo8669 Жыл бұрын
tunaomba mashirika ambayo yanasapoti ushoga huu yafutwe na serikali yetu . vijana wetu wanaharibika sana kwa matatizo haya
@sospetermasuma8080
@sospetermasuma8080 Жыл бұрын
Serikali ifanyekazi nasio porojo hiyo itatuletea galika
@gastonamnon7005
@gastonamnon7005 Жыл бұрын
HIZI NDIO GHARAMA ZA MISAADA YAO 😭😭😭 SERIKALI IMESHAJIKOLOGA CHA KUFANYA NI KUTAPIKA TUU NO WAY OUT
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 Жыл бұрын
Cheep is very expensiv, Baba Magufuli lala salama ungeshawakimbiza hao wanaharamu siku nyingi
@maheitumdintunya2928
@maheitumdintunya2928 Жыл бұрын
Anachosema mwakyembe niukweli mtupuu ila watamwona hafai
@crismtete8837
@crismtete8837 5 ай бұрын
Serikali ilikua wapi hadi balaa hili linaota mizizi? Regulatory Authorities wako kimya.. mpaka Mh. Mwakyembe aweke hadharani uchafu. M
@mozasuliman3959
@mozasuliman3959 Жыл бұрын
Fikiria maisha yko ya halafu fanya biashara rudi kijijini kalime unaka unajiuza wwe unatia aibu mchiyko kesho utaenda kusema nni kwa Allah nyooo
@ezekielmasilu5067
@ezekielmasilu5067 Жыл бұрын
Mzee mwaky upo sahihi sana ila umesema kwa kuchelewa tatizo nini
@kapistranhaule-rn6ft
@kapistranhaule-rn6ft Жыл бұрын
Thomas Kap KRISTO awe nanyi
@nurusanga995
@nurusanga995 Жыл бұрын
Tafuteni bac na mtandao wanaobaka watoto amblyopia ndio hatari zaidi
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 22 МЛН
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 80 МЛН
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 31 МЛН
WALEZI WA MASHOGA TANZANIA HAWA HAPA..
1:08:51
Dr.Peter Ikera
Рет қаралды 75 М.
HATIMAYE TUNDU LISSU KUIBURUZA
8:59
HABARI KIGANJANI
Рет қаралды 26 М.
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 22 МЛН