CNT help falling for this nasheed...."mzuri....wetu rasuli.....Muhammad Muhammad
@fatmakhanii16764 жыл бұрын
Masha Allah jamani yani hii nashid mpaka inaniliza natamani siku moja nipate fursa nimwambie neno japo 1 inshaAllah nampenda sana kwa ajili ya Allah mawaidha yake nakila jema lake 😭😭😭
@CRMEDIA-yd7dp5 жыл бұрын
Kwann brother Nasser hajifunzi kutoka kwa huyu sheikh yussuf abdi ...namkubali sana sheikh wangu huyu Allah ampe umri mrefu wenye mafanikio ndani yake ...Kwann wewe huweki midundo lakini ndugu yako mnayetoka sehemu moja huko Kenya anaweka midundo .....unamtaja Allah kisha unamsindikiza na ngoma,midundo mtihani huuu tubadilikeni......katika suratul yunus..Allah anasema إنما بغيكم عل أنفسكم hakika ya mabaya mnayoyafanya ni juu ya nafasi zenu wenyewenu متع الحيوة الدنيا maisha tu ya dunia tu hayo ثم الينا مرجعكم فتوىكم بما كنتم تعملون kisha kwetu sisi ndio marejeo yenu tutakujulisheni juu ya Yale mliokuwa mukiyafanya. Shukran
@mohammedsaleh22024 жыл бұрын
Kaka nikweli ulio yasema allah atamuongoza na yeye
@fatmakhanii16764 жыл бұрын
Allah atamuongoza pamoja nasi inshaAllah
@moxadinabdulmajid17893 жыл бұрын
Mzuri wetu rasuli..Manshallah
@dr.sendeuonlinetv291622 күн бұрын
🔥🔥🔥 from tz🇹🇿🇹🇿
@salmushcute71795 жыл бұрын
I’m the first one at the comments. Salalamu Aleyhi Wasalam ❤️❤️❤️