Maneno Ya Sheikh Izudin Juu Ya Usharif "Usharifu Ni Nasaba ,We Ni Sharif Jina Tuu Umejipa Jina"

  Рет қаралды 6,802

QIBLATEIN ONLINE

QIBLATEIN ONLINE

Күн бұрын

Пікірлер: 66
@Hubban-p3n
@Hubban-p3n 40 минут бұрын
Allaahu Subhaanahu Wa Ta'ala Akulipe Kheri Sheikh... Maneno Ya Hekima Sana.
@HileHile-ns9xv
@HileHile-ns9xv 25 минут бұрын
Maasha Allah barakallah Allah asate kwa kutuelimisha
@HamisaSaidi-e9y
@HamisaSaidi-e9y 12 минут бұрын
Mashallah unanifurahisha sana Shekhe
@MunirAbdullah-sy8ks
@MunirAbdullah-sy8ks 2 сағат бұрын
Allah akulipe shekhe umeongea maneno mazito wallah
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 Сағат бұрын
Kuna mda hawa mashekhe wanakua kwenye kusimamia haq kuna mda wanajifyatua akili, unaona hapa umeongea Haq sheikh Allah akulinde
@salisali3738
@salisali3738 45 минут бұрын
😂
@anthonymgina3893
@anthonymgina3893 2 сағат бұрын
MashaAllah, umesema vyema.
@rajabumsuya-hg8jd
@rajabumsuya-hg8jd 2 сағат бұрын
Ma sha allah shekh izudin, umenena vyema ma sha allah,,hawa bakwata wanatunzwa pesa wanawa support ili wakina mama wakiislam waendelee kuibiwa pesa
@FahmiAbdallah-x9w
@FahmiAbdallah-x9w Сағат бұрын
ALHAMDULILLAH
@abdurashidinasorodini
@abdurashidinasorodini 52 минут бұрын
dah hongera kishiki kwa kuvundua hu uvundo wewe kaa pembeni sasa upumzika umemaliza kazi
@Al.habeebAl.habaaib
@Al.habeebAl.habaaib 30 минут бұрын
Allah amweke sheikh kishki
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr 15 минут бұрын
​Allahuma Ameen Amen Amen
@NauriaKhamis-mz4il
@NauriaKhamis-mz4il 2 сағат бұрын
Alhamdulilah , magogeni hatimae wameongea ukweli .........#❤🎉❤
@muddathirkassim2407
@muddathirkassim2407 28 минут бұрын
Sheikh hapoo umeneeena mashallah umesimama naukweli wallah
@Latifaally390Latifa
@Latifaally390Latifa Сағат бұрын
Mashaallah
@aminabdalla7824
@aminabdalla7824 Сағат бұрын
Swadakta ya sheik tumekuelewa vyema ....Sasa pale bongo kile kidogo Cha jiita sharifu ...tafadhali kielimishwe vizuri mambo dili ...ila naona jibu kashapata apo Kwa sheik izudin Masha Allah 👌
@kijitamfyomi5598
@kijitamfyomi5598 53 минут бұрын
Acheni chuki mungu anakuoneni sharifu firdausi hajasema yeye ana nasaba ya mtume yeye kaitwa sharifu kutokana na makarama alokua nayo ya kuponya watu
@Al.habeebAl.habaaib
@Al.habeebAl.habaaib 28 минут бұрын
​@@kijitamfyomi5598 Anakarama gani Yule Mganda? Kwanza anajua maana ya Karama????? Mtakufa na njaa zenu
@AminaKassim-ni9wd
@AminaKassim-ni9wd 43 минут бұрын
Ma'shaallah umeongea kiufupi ila umeeleweka sana waache na usharifu wao feki wanachofanya ni makosa ila wanabisha ss binadamu wote tunakosea na tunapo kosea tukubali kosa tu
@aishamuhammad7785
@aishamuhammad7785 Сағат бұрын
Shekhe Izzuddiin nakupenda bure, baaraqallaahu fiyka kwa kuongea ukweli, ALLAAH akulipe kheri shekhe
@FahmiAbdallah-x9w
@FahmiAbdallah-x9w Сағат бұрын
MASHAA ALLA
@SultanSuleiman-qf7cx
@SultanSuleiman-qf7cx Сағат бұрын
MashallAh rafiki wake Sh Suleiman Al mafazy
@KubwaKuliko-dk4bm
@KubwaKuliko-dk4bm 2 сағат бұрын
Allah akulipe kheri
@ShuaibMangecha
@ShuaibMangecha 2 сағат бұрын
Swadakta nakubali maelezo yako sheikh
@neemamwachepha213
@neemamwachepha213 34 минут бұрын
SwadaQta Sheikh
@Mariam-ke4og
@Mariam-ke4og Сағат бұрын
Tunashukuru sana shekh wewe ndiyo mkweli has na tumekuelewa sana watu wanatuletea utapeli hapa waislam hatutaki utapeli
@Rehema-b6d
@Rehema-b6d Сағат бұрын
Mungu Akulinde
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 Сағат бұрын
Straight forwards ❤❤
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv Сағат бұрын
Swadakta sheikh 💚
@NaimaUssi
@NaimaUssi Сағат бұрын
Allah akubarik
@jamaldaud-e4d
@jamaldaud-e4d 2 сағат бұрын
Swadakta nachukizwa sana na kile kitoto kisichokuwa na elimu kuanza kuwaibia mama zetu na dada zetu wa kiislamu
@aljalilatiba9873
@aljalilatiba9873 Сағат бұрын
Naam mashallah umenena
@yeyemkulu8743
@yeyemkulu8743 Сағат бұрын
Upo sahihi sheikh
@Rehema-b6d
@Rehema-b6d Сағат бұрын
Nakupenda sanaa sheikh
@MwajumaLajab
@MwajumaLajab 2 сағат бұрын
Upo sahihi
@TunauzaSimu-fn2ff
@TunauzaSimu-fn2ff 2 сағат бұрын
Hakika mweye dini na elmu hajibizani mitandaoni maneno mabaya mabaya na kuwa mkali km unalazimisha.
@Naju645
@Naju645 Сағат бұрын
Point
@MahmoodAhmed-yt9me
@MahmoodAhmed-yt9me 32 минут бұрын
Afrahamohamed soma history uhamadiya umeanza lini na wapi nani kauanzisha na kwa nini there's so sad story about the presence of ahmadiya tujishughulishe kusoma kidogo
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry Сағат бұрын
Umesema kweli
@RaibebeBebe
@RaibebeBebe Сағат бұрын
Sharif hajitangazii mitandaoni tena Kwa ugomvi watu wakisema si Sharif wewe ukanyamaza unakosa nini Kwa allah
@rahmahasan32
@rahmahasan32 Сағат бұрын
Kweli wallahi ukinyamaza haswaa dawa kubwa
@سعدياقوت-ت2خ
@سعدياقوت-ت2خ 41 минут бұрын
Man sharafa nafsahu fahua sharif
@z34-kp9qq
@z34-kp9qq 19 минут бұрын
Hakika leo umeongea.... Waulize kwanza maana ya sharifu.
@ndayambajefikirini7252
@ndayambajefikirini7252 Сағат бұрын
Unakili sana sheikh
@Mariam-ke4og
@Mariam-ke4og Сағат бұрын
Hakuna Sharifu hapa bwana mdogo ni Sharfu feki
@maase2023
@maase2023 Сағат бұрын
Huyu dogo usharifu aupate wapi huyo? Huo anatafuta tonge tu mitaani
@MakameSilima-y4f
@MakameSilima-y4f 5 минут бұрын
Apo sheikh umeongea kweli
@ninjaisma7983
@ninjaisma7983 Сағат бұрын
Nilimskia Mazinge juzi akisema Hamuoni Mapastor wanavyouzia watu maji ya upako na mafuta mpaka waislamu wenzetu wanaenda kusomewa na mapasta na kutoa pesa nyingi..😅😅😅nilimcheka sana yani mazinge anaona wivu mapasta wanavyopiga pesa sasa akaona bora waje na wazo la kuyasomea maji na kuyauza ili mapasta wakose dili kwa wa mama wakiislamu
@saloomidd1084
@saloomidd1084 2 минут бұрын
Alipata kisingizio😅😅😅😅😅
@maase2023
@maase2023 Сағат бұрын
Sasa sielewi hawa maustaaz wetu wanahangaikaaa na huyo dogo ambae ni mtafutaji tu hana usharifu wala uislamu!
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 Сағат бұрын
Masharifu gani sote ni mijikenda sema twapenda kujienua tu ,eti family ya mtume😂😂😂😂
@Dafetty
@Dafetty Сағат бұрын
😂😂😂 adi tu nimecheka 😊
@z34-kp9qq
@z34-kp9qq 17 минут бұрын
Hhhhhhhhhhhh MIJIKENDA !!!!
@MuniraRashid-sx3up
@MuniraRashid-sx3up Сағат бұрын
Je wewe sharifu wa lamu???
@afrahamohamedi6301
@afrahamohamedi6301 2 сағат бұрын
Uislamu ni wahmadiyya tu . Huwezi kuwasikia mitandaoni wanarushiana maneno , Huwezi kuona upuuzi wa aina hii unafanyika . uislamu wa kweli ni wahmadiyya tu
@lulumussa9009
@lulumussa9009 2 сағат бұрын
hao ndo hamna kitu!
@fahdladen1693
@fahdladen1693 2 сағат бұрын
Ahmadiyah sio waislamu ndugu yangu ahmadiyah nimakafiri wala usibabaike nao
@MussaIsandeko
@MussaIsandeko 2 сағат бұрын
Uislam ni dini wahhamadiya ni dheheb jua kutofatisha
@ShamteMohmed-ed2kk
@ShamteMohmed-ed2kk 2 сағат бұрын
Hao sio waislamu kabisa ndugu, husichangie usichokijua .
@fahdladen1693
@fahdladen1693 2 сағат бұрын
Dah Alhmdulilahi mdogo mdogo tu ,sheikh swadaqta, kweli haki haikaliwi juu,haki hukaa juu sikuzote,
@chuseboy
@chuseboy Сағат бұрын
Sheikh kafanana na ali kamwe😅
@rogertuga007
@rogertuga007 43 минут бұрын
😂😂😂😂😂
Não sabe esconder Comida
00:20
DUDU e CAROL
Рет қаралды 52 МЛН
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 60 МЛН
Human vs Jet Engine
00:19
MrBeast
Рет қаралды 153 МЛН
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 27 МЛН
MTANGA NA BAMBO,RAHA YA MKE WA ZANZIBAR HII NOMA SANA
13:34
MTANGA COMEDY TZ
Рет қаралды 4,5 М.
Não sabe esconder Comida
00:20
DUDU e CAROL
Рет қаралды 52 МЛН