Munaendelea kusema watumisha wauongo kawalete wakwako waukweli endeleeni kusema watumisha wa mungu vibaya mbona upande wa pili waganga wenu hamuwasemi mnawasifia ila watumishi muda wote mudai wauongo basi jiwekeni nyie tuwaone mungu awape neema yakumuuliza mungu siyo kusema vibaya watumishi wa mungu hata bibilia inasema katika nyakati za mwisho mungu atawamwagia watu vipawa. Wakiume na wakike atawamwagia roho mtakatifu wataona maono,watatabiri,wataota ndoto WW ninani unayepinga watumishi wa mungu kwa kuwasemea mabaya2
@Apstmakungu3 ай бұрын
Powerful
@anastelaemmanuel71506 ай бұрын
Naomba kupitia madhabahu hii nishinde kesi walio NITAPELI warudishe pesa yangu yote KWAJINA layesu
@lolasolomoni20036 ай бұрын
Ameen prophet. Godbless you prophet.
@tumainimwakisile48556 ай бұрын
Amen mungu asifiwe
@MjumbeAgano10 күн бұрын
Ndio mnayeyataka hayo haitawasaidia, Jifunze kwa Mjumbe wa agano duniani uingie kwenye ufalme uepukane na dhiki kuu inayoujilia ulimwengu wote fuatilia you tube MJUMBE AGANO upate semina ya ukamilifu wa kristo.
@sabinaboas67606 ай бұрын
Powerful powerful prophecy
@sabinaboas67606 ай бұрын
You are too much papa,thanks God for you are life in Jesus name
@user-qh5yr3yx5b6 ай бұрын
Naomba kupitia madhabahu hayo naomba nifunguliwe vifungo vyote nilivyo fungwa mungu walinde watoto wangu shuleni na kazini mungu nipatie mume mwema mungu naomba unibadilishe maisha yangu
@edmoundmystic6 ай бұрын
O754091738 PIGA NAMBA HII
@rosemachui89496 ай бұрын
Hi where is your church mpo mkoa gani
@rosemachui89496 ай бұрын
Shalom baba naomba mungu anipe neema na mm ya kumsikia mungu@@edmoundmystic
@edmoundmystic6 ай бұрын
@rosemachui8949 Dar es salaam | Ubungo Msewe
@rosemachui89496 ай бұрын
Thanks I will be there today
@rweumbizalugaimukamu49054 ай бұрын
Nitakuja kusali kwako
@edmoundmystic4 ай бұрын
Karibu 0718500700
@noelafrank24475 ай бұрын
Go deeper man of god power
@Leeeeeeee-966 ай бұрын
wewe ni mtumishi wa kweli hatimae ulilotabiri wiki chache zilizopita limetokea mungu aendelee kukutunza
@naturelle10976 ай бұрын
Umeona eh❤
@Leeeeeeee-966 ай бұрын
@@naturelle1097 eenhe
@user-kz4hq2eh6l4 ай бұрын
baba naomba sema na tumbo langu baba na ndoa yangu
@elishamafulu1064 ай бұрын
Thank you Jesus
@januariajohn19246 ай бұрын
Najiungamanisha na maombi haya Mungu akaguse jaribu lan
@tumainimwakisile48556 ай бұрын
Mtumishi naomba mnikumbuke kwa maombi napitia wakati mgumu kwa ndoa yangu.😢
@neemamwakasape16306 ай бұрын
Mungu uliyemwamni, hatakuacha, ilo nalo litapita itabaki historia
@user-zb6pq2tt6d5 ай бұрын
Najiungamanisha na maombi haya naomba Mungu wale wote ninaowadai wanirejeshee pesa pamoja na vitu vyangu
@MichaelShayo-lt7bq5 ай бұрын
Mungu azidi kukutumia kuwasaidia watu wa Mungu kujitambua na kuingia katika hatima zao sawa na mapenzi yake. Naomba kujua jinsi ya kuweza kukutana na huyu mtumishi wa Mungu.
@user-in5il7bl6k6 ай бұрын
prophesy daddy❤️🔥🔥🔥
@sabinaboas67606 ай бұрын
Thank you 🙏 Jesus
@sabinaboas67606 ай бұрын
Ahahahaaa God is good ooooo
@anastelaemmanuel71506 ай бұрын
Naomba kupitia madhabahu hii.mwanangu ameitwa dodoma trh 12 kwenyeusaili akafanikiwe
@user-em1jh5iq3w5 ай бұрын
Punguza sauti ya keybord
@sabinaboas67606 ай бұрын
Haleluyaaaaaa
@Mussa-lp9eo6 ай бұрын
Hizi n dalili za siku za mwisho moja ya dalili ni manabii wa uongo ko tuwe makini sana yesu yuaja mathay 24
@patsonkyando17325 ай бұрын
Huyo ni Nabii wa Mungu acha tabia ya kuwasema vibaya Watumishi wa Mungu,Is a curse if don't know
@westmanmoses5414 ай бұрын
naomba namba ya Nabii edmund
@Chosenbrian-nf9gb5 ай бұрын
Muubiri kuhusu mapambo ya nayo wapeleka wanawake wengi jehanamu
@edmoundmystic5 ай бұрын
Hii si injili niliyopewa na Bwana Yesu niwahubirie watu. Bila shaka wewe umeitiwa hapo!!
@Gaynor12346 ай бұрын
Najiungamanisha na madhabahu hii.
@anastelaemmanuel71506 ай бұрын
Naomba kupitia madhabahu hii nipate MTU sahii atakae nisaidia na watt wangi
@JanetMchau5 ай бұрын
Duh
@franksankala4326 ай бұрын
❤😢❤
@domitillalyamba90066 ай бұрын
Naomba kupitia madhabahu hii wanangu wafunguliwe kutoka kwenye madhababu za giza zilizowafunga
@user-cr6pk3qw2g6 ай бұрын
Naomba kuponywa magonjwa yote niliyonayo
@angelrwanda68756 ай бұрын
Kanisa liko wapi?
@edmoundmystic6 ай бұрын
Kanisa Lipo KIMARA BARUTI UBUNGO CALL +255 754 091 738