NABII EDMOUND ALIVYOTABILI JUU YA SAKATA LA BANDARI NA DP WORLD 2022

  Рет қаралды 14,321

Prophet Edmound Mystic

Prophet Edmound Mystic

Күн бұрын

Unabii huu ulitolewa rasmi Jumapili ya tarehe 9 mwezi wa kwanza 2022 na kupostiwa facebook tarehe 23 Jan, 2023! Mungu ikumbuke Tanzania. Tunasimama kuiombea daima!

Пікірлер: 28
@loshivasamweltz
@loshivasamweltz 7 ай бұрын
Mwenye kuamini na Aamini Amani ya Mungu ikimuongoza Nafsini mwake kwamba Mungu alijidhihirisha na bado atazidi kujidhihirisha siku zote kupitia mwanadamu ambaye alituumba kwa Mfano wake. Amen
@leonardoautomotivegarage9452
@leonardoautomotivegarage9452 7 ай бұрын
Wa dunia hawezi kuijua hekima ya Mungu, Mungu akusaidie wewe usieamini nabii
@unyakuotv.1391
@unyakuotv.1391 8 ай бұрын
Hizo funguo 10.. Ndio vile vitabu 7 Alivyoneshwa tenga. Lakini sio vitabu saba wala funguo saba,kumi ni mamlaka alizopewa nabii musa na Mungu sasa waendelee kumkataa musa. Miaka mingi watu na makanisa yamekuwa yakimtafuta Mungu yakitafuta nuru ya uso wa Mungu lakini Mungu hajaona mtu wa kuliokoa kanisa lake la wakati wa mwisho ndio maana ametumwa musa, Huyo mwanamke mjane ndio, nabii musa mliomkataa ndio kanisa mlilolikataa, kanisa la kwanza kanisa la sabato, mmeshikilia jumapili miungu ya baba zenu Hayo yeye ameoneshwa kwa siku moja,hizo funguo tunezitafuta kwa miaka 3 kuanzia 2021-2023 Wanaume kufa kwa sababu ya majanga yajayo
@CatherineKimoso
@CatherineKimoso 8 ай бұрын
Hubirini watu wamjue mungu SI kutafuta udhaifu wa mtu na kuhubiria watu .je ni yupi aliekamilika ? Ikiwa kristu alishasema hakuna mwema hata Moja wote tumepungukiwa na utukufu wa mungu.basi tuombe roho wa mungu atuongoze.
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 8 ай бұрын
Nabii yule kijana wa miaka 30 yupo ni Musa ingawa jina lake pia anaitwa Boniface Victor alisharudi kwetu Mungu kamtuma yupo Temeke opposite temeke wailes sekondari kanisa linaitwa Rapture Ministry kuna bendera ya ADONAI juu ya paa kwenye yu tube angalia Unyakuo TV utamuona nenda hapo temeke jumamosi utamkuta
@issakwisamwasanjobe541
@issakwisamwasanjobe541 8 ай бұрын
Wakoloni wanawarudisha kwa koti la uwekezaji na mfumo WA sekta binafsi wanafikiri ni kuleta maendeleo kumbe wanarudisha taifa utumwani (watwana na mabwana).mitaji ya nchi wanatumbua kwa mishahara na posho na kuwekeza vitu visivyoingiza faida(huduma)
@gidionwinston
@gidionwinston 8 ай бұрын
Hio no kweli kabisaaaaa
@gidionwinston
@gidionwinston 8 ай бұрын
Tuwe makini,utwana tena basiii
@emmanuelmwakibolwa735
@emmanuelmwakibolwa735 8 ай бұрын
Kwa nini nabii za 2022, zinatolewa sasa 2024??? Kama ni kweli za 2022???
@edmoundmystic
@edmoundmystic 8 ай бұрын
Ni vile unabii huu wa 2022 ulipostiwa facebook mwaka huo 2022. Ingia Facebook kwa kubonyeza link hii: facebook.com/100003997540921/videos/628501208456751/
@deusmbassa9749
@deusmbassa9749 8 ай бұрын
​@@edmoundmystic5:29
@FrancisAbel-xj3cq
@FrancisAbel-xj3cq Ай бұрын
Yeah it's true..nmeona Jan 23,2022​@@edmoundmystic
@CatherineKimoso
@CatherineKimoso 8 ай бұрын
Acheni hila watumishi mtafuteni mungu.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 8 ай бұрын
Mimi najua hatutaweza kuwa watumwa tena huyu msma atatoka nahao warabu wake
@fortuneakankizya5336
@fortuneakankizya5336 7 ай бұрын
Duh
@HappinessMrwambo
@HappinessMrwambo 8 ай бұрын
Jamani tusome sana kitabu Cha matayo 24 yote make hata hayoyanayosemwa ni uongo
@PraxedisMamiro
@PraxedisMamiro 8 ай бұрын
Nimebarikiwa sana mtumishi mungu akupe nguvu sana watu kama nyie hamuishi sana mara kidogo utasikia kama ya kina ulimboka😅
@joeljuliusshuma
@joeljuliusshuma 8 ай бұрын
These can only be God, He reveals to Redeem
@edmoundmystic
@edmoundmystic 8 ай бұрын
To God be the Glory! MoG i honor your grace❤
@ngusakabinza9238
@ngusakabinza9238 7 ай бұрын
55 % nakuamin
@chrithicksambo2287
@chrithicksambo2287 8 ай бұрын
Kila unabii utimie Hilo ndo jambo muhim
@michaelrweyemamu1068
@michaelrweyemamu1068 8 ай бұрын
Hizi nabii nimeshazizoea, nilichogundua wanatafuta kiki na kujulikana kupitia nabii hizi
@dareenpetro338
@dareenpetro338 8 ай бұрын
Biblia inawaita watu wasemao kuwa hakuna Mumgu ni wapumvavu.
@vickymeikasi8147
@vickymeikasi8147 7 ай бұрын
Wala siyo kiki
@sophiamalinga18
@sophiamalinga18 8 ай бұрын
Mna faida gani kama mnayoyaona yanatokea au mnatumika kuharibu nchi
@JoshuaNzali
@JoshuaNzali 2 ай бұрын
Yasipotokea pia ungesema manabii ni wauongo😅
@Hugo-gv8qj
@Hugo-gv8qj 7 ай бұрын
Promo'SM
@unyakuotv.1391
@unyakuotv.1391 8 ай бұрын
Nilishasema. Nchi aina raisi kuanzia rohoni,kutoka katika ulimwengu wa roho. Kama nilivyosema, Mungu ameshatupa maamuzi ndivyo Itakavyotokea. Hakuna atakaekaa hapo na akabaki salama bila kupakwa mafuta,na nabii Musa. Maaana yake atakuwa amejiweka mwenyewe, kwenye hiyo nafasi kama huna Mungu, utakufa tu. Ulichosema, kuhusu huyo kijana aliyeziona funguo, funguo wanazotafuta si ndio yale maono kitu cheupe kimedondoka nikakishika watu wakawa wanatafuta, Funguo anazo musa, wao wanahangaika kutafuta kwa wachungai wao. Kila funguo itachukua miaka mingapi, Funguo ameoneshwa 10. Lakini mi najua fungua hizo zipo 14. Funguo hizo ni mamlaka Kijana kuzipata hiizo funguo, ni madaraja ya kiroho. Umiliki wa kiroho kwa ulimwengu, kumshinda mauti na kuzimu. Kufunga kuzuia yatakayofunguliwa Ndio mana niliwaambia yote unayoyaona duniani musa ndio ametumwa kuwaadhibu. Kwa kuwa amepewa mamlaka zote na kristo. Kuangusha miungu saba ya dunia ni ndio hilo mamlaka saba, funguo saba,milima saba. 7x7 Nikasema tumemaliza ya rohoni sasa tuanakuja mwilini na sasa tumemaliza hatua ya pili ya dsm tunaenda hatua ya tatu. Tunasubili mzigo mwingine hatua nyingine. Je unajua tukifika hatua ya saba nini kitatokea. Mbona huyo kijana hujamuelezea ni nani.. ndio niko hapa nimekupostia umfahamu na ufahamu kua yupo, ndio huyo anaewaambia watu wahame DSM,ndio huyo mjumbe wa agano la mwisho nabii musa. Funguo zimewekwa kwenye mapango ya zamani, Funguo anazo musa, Funguo zimewekwa kwa mtu wa zamani, musa kwa sasa anaonekana kijana wa miaka 30. Bado mtu ukimuelewesha atabisha. Yote hayo tuko katika muhuri wa nne muhuri wa nne umefunguliwa 2021. Mmepewa muda wa miaka 2 habali ziwafikie, na mmezikataa. Ndio maana Mungu ametuambia tusambaze kitabu cha kuja kwa Yesu 2666 nchi nzima,ili watu wajue kua musa amerudi wameikilize wasije kutapeliwa, Tanzania ni nchi ya Agano ndio maana utaona uamsho musa wa islael yuko Tanzania. Na amekuandikia haya ujue Pamoja na unabii mzuri alioutoa ukimueleza huo unabii mbona muhusika yupo ni musa atakupinga. Na ukikome maneno haya atafuta. Bado ubinafsi.. umo ndani yao.
UNABII WA NCHI TANZANIA KAMA ULIVYOTOLEWA JAN 2022
44:16
Prophet Edmound Mystic
Рет қаралды 4,9 М.
ЭТО НАСТОЯЩАЯ МАГИЯ😬😬😬
00:19
Chapitosiki
Рет қаралды 3,4 МЛН
KWA NINI UNAPASWA KUIOMBEA ARUSHA 2025 || Asema Nabii EdmoundMystic
10:42
Prophet Edmound Mystic
Рет қаралды 9 М.
TUKIOMBEE CHAMA TAWALA  |  NABII SANGA
17:50
POG FAMILY TV
Рет қаралды 14 М.
5  IJUE NGUVU YA MUNGU YA MSALABA ITENDAVYO KAZI ILI UNUFAIKE NAYO || Mwl Christopher Mwakasege.
3:09:23
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 25 М.
SIKILIZA USHUHUDA HUU ULIOGUSA MIOYO YA WATU WENGI
9:21
Prophet Edmound Mystic
Рет қаралды 2,5 М.
SAA YA UNABII|PROPHECY TIME| with ProphetEdmoundMystic
37:51
Prophet Edmound Mystic
Рет қаралды 1,9 М.
UNABII HUU WASHTUA WENGI|ProphetEdmoundMystic
9:20
Prophet Edmound Mystic
Рет қаралды 3,3 М.
UKIWEZA HILI UTASHINDA UMASKINI
25:52
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 26 М.
UNABII NAONA DAMU YA WATANZANIA KUELEKEA 2025 - NABII DEO NJENI
4:37
Prophet DL Njeni Mwasambamba
Рет қаралды 15 М.
UNABII || FARASI WAWILI KUELEKEA UCHAGUZI 2025 || Prophet Edmound Mystic
9:19
Prophet Edmound Mystic
Рет қаралды 23 М.