No video

NAFSI, MWILI NA ROHO - Mwl. Mgisa Mtebe -

  Рет қаралды 36,281

Mgisa Mtebe

Mgisa Mtebe

Күн бұрын

BWANA Yesu anakuja kuchukua Kanisa tukufu, Takatifu, lisilo na ila wala makunyanzi, Kanisa bila lawama (Efe 5:25-27, 1Thes 5:23). Yatupasa kujitakasa kabisa, Roho, Nafsi na Mwili. Lakini mchakato huu wa Utakaso, hauwezi kuwa mkamilifu, bila mhusika kujijua namna alivyoumbwa, yaani kuzifahamu vizuri sehemu Kuu za Mwanadamu, zinazohitaji Utakaso Kamili, yaani Mwili, Nafsi na Roho. Katika SOmo hili, tulijifunza kwanza Kujitambua, ndipo tukajifunza Namna ya Kufanya Utakaso Kamili, ili ajapo Mwana wa Adam, Yesu Kristo, atukute tupo tayari na tupo safi. Unaweza kujipatia DVD na CD za somo hili, kwa Mawasiliano haya; +255753497655. Mungu akubariki. Tafadhali washirikishe na wenzako wengine wengi.

Пікірлер: 42
@Muka_26
@Muka_26 Жыл бұрын
Roho yangu anaye Sema yangu kwenye hii roho yangu nani anasema yangu
@valeriamtenga3384
@valeriamtenga3384 Жыл бұрын
Asante sana mtumishi! Tunaomba kupata full package! Kwa uelewa zaidi! Asante, barikiwa
@silasnatir7915
@silasnatir7915 Жыл бұрын
Asante mwalimu umenifunza kitu kuhusu roho nafsi na mwili
@christianngowi
@christianngowi Жыл бұрын
Amina mtumish wa mungu
@liomgaya2852
@liomgaya2852 Жыл бұрын
Amina
@stephenkiai1838
@stephenkiai1838 11 ай бұрын
Asante Kwa tafsiri hii
@simonkiguge9962
@simonkiguge9962 Жыл бұрын
Naomba kuuliza Mwl Umetufundisha kua mtu niyule yuko ndani nasi mwili kama tudhaniavyo Je! Nikwanini Yesu alisema mtu hatoishi kwa mkate pekeake bali kwakila neno litokalo kwa Mungu Umesema ninapokula si mimi bali mwili na ukasema mtu hali ugali bali mwili
@alexnadome7253
@alexnadome7253 3 жыл бұрын
Shukran sana
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 10 ай бұрын
nimekuelewa vzr sana mwalimu mgisa
@ramxonabeid5639
@ramxonabeid5639 4 жыл бұрын
Mungu akubariki san baba azidi kukupa uzim tuzidi kubarikiw n mafundisho yako
@aberlusana1803
@aberlusana1803 3 жыл бұрын
Yaan wew mtumishi huwa nabarikiwa Sana
@peninabensonpen870
@peninabensonpen870 Жыл бұрын
🙌 hallelujah 🙌 Amen asante yesu kwa ajli ya mtumishi wako nakuomba uzidi kumtumia kama chombo
@davidnkanda5227
@davidnkanda5227 4 жыл бұрын
Hakika Mungu akuinue zaidi ya viwango uvifikiriavyo kwa hali ya kibinadamu
@rodinemahega9925
@rodinemahega9925 3 жыл бұрын
We ni mwalimu mzuri Sana
@elishadeulitv2711
@elishadeulitv2711 3 жыл бұрын
Ameen..
@enelisekasonso1738
@enelisekasonso1738 5 жыл бұрын
Asante kwa masomo mwalimu mgisa tunaomba somo zima la siku
@TukuzoSebastian
@TukuzoSebastian Жыл бұрын
Nabarikiwa sanaa
@darajani1905
@darajani1905 3 жыл бұрын
najifunza neno ndani ya 2021
@rogersgeorge2920
@rogersgeorge2920 4 жыл бұрын
Mungu akuinue sana, Amen.
@owenmaengo8360
@owenmaengo8360 2 жыл бұрын
For real Baba umebarkiwa na kupendelewa sanaaa nataman Sana’a kukutana na wew
@bethasanga4288
@bethasanga4288 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@ivanmatalu4028
@ivanmatalu4028 5 жыл бұрын
Ahsante kwa Neno Mtumishi wa Mungu. Ubarikiwe
@kajunagify
@kajunagify Жыл бұрын
This is fantastic. Umebarikiwa mtumishi.
@patrickmusyoka3544
@patrickmusyoka3544 4 жыл бұрын
thanks kwa ilo neno
@luccabosslugendo9722
@luccabosslugendo9722 6 жыл бұрын
asante kwa video hii nilimiss masomo yko mwalimu endelea kutuma masomo yko youtube yanatubariki tulio mbali naww kimwili
@angumbwikemwalupogo8500
@angumbwikemwalupogo8500 6 жыл бұрын
Dady kwanini usiweke mafundisho session nzima in full. So blessing
@colex115
@colex115 6 жыл бұрын
Tumekumisi mchungaji, tunaomba semina nyingine Azania Front Cathedral.
@bahatijohn1958
@bahatijohn1958 3 жыл бұрын
Genures huyuu pr Mungu akubarik
@abermnyama6683
@abermnyama6683 2 жыл бұрын
Bigup xanaaaa nimekuelewa
@veronicamshota1546
@veronicamshota1546 6 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mafundisho haya, Please kwa wale mnaohitaji kujitambua wewe ni nani tafadhali usiache kununua CD/DVD hii,maana naamini imebeba majibu ya kila mtu "Mungu ametenda kwangu ni zamu yako sasa Don't ever miss'' this
@colex115
@colex115 6 жыл бұрын
Tutazipataje?
@adamwapiliadamwapili5698
@adamwapiliadamwapili5698 6 жыл бұрын
marrymarryTV 0753497655
@deusbngika5838
@deusbngika5838 5 жыл бұрын
Nakpnda sanaaa
@ellyminja5707
@ellyminja5707 5 жыл бұрын
Mtumishi na uhitaji wa ili neno lote
@petermollel1471
@petermollel1471 Жыл бұрын
Be blessed man of God
@endtimes9850
@endtimes9850 Жыл бұрын
GOD Bless you
@nelsonlazaro8329
@nelsonlazaro8329 6 жыл бұрын
Ubarikiwe
@alimambabazi3666
@alimambabazi3666 5 жыл бұрын
Praise the Lord! we are blessed to have a great preacher like you!😀😁🤗
@isihakajongo4832
@isihakajongo4832 2 ай бұрын
MTU NI NAFSI, ROHO NI ASILI AU KANI (NGUVU) YA UHAI, BIBLIA IMEELEWEKA VIBAYA
@tinajoseph8619
@tinajoseph8619 5 жыл бұрын
umefundisha vitu vizito sana tumekuelewa
@alexanderobaye7576
@alexanderobaye7576 4 жыл бұрын
Hi, mwalimu napenda masomo yako sana ila mafupi mno. Angalau tu dakika 30 ili yanijenge vyema
Mwl. Mgisa - NAMNA YA KUBADILISHA AHADI KUWA HALISIA
22:24
Mgisa Mtebe
Рет қаралды 32 М.
MUNGU HUWAPINGA WENYE KIBURI - Mwl: Mgisa Mtebe
22:46
Mgisa Mtebe
Рет қаралды 35 М.
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 36 МЛН
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 68 МЛН
KUNENA KWA LUGHA
26:50
Mgisa Mtebe
Рет қаралды 46 М.
Namna ya kujengewa uwezo wakufanya maombi Mwalimu Mgisa Mtebe
1:01
pikipiki market
Рет қаралды 4 М.
MWL  MGISA MTEBE   MAADUI WA IMANI Na 2
36:39
Mgisa Mtebe
Рет қаралды 18 М.
POWERFUL YOU!! MWILI, ROHO NA NAFSI!!!
5:47
Elibariki Mkumbo
Рет қаралды 801
TOFAUTI YA ROHO NA NAFSI NI NINI..! MITHALI-2:10-12
11:41
UNYAKUO TV.
Рет қаралды 4,1 М.
Mgisa Mtebe - NGUVU ILIYOPO KWENYE MAWAZO YAKO.
8:21
Mgisa Mtebe
Рет қаралды 86 М.