Good!Mwabukusii you've been for so long,practically touching the reality & had since then majority treaded onthe line to see that with TLS will b the only prominent corner stone to rebuild our integrity as one nation one tanznia.
@JamesAbel-ig8wbАй бұрын
Mchango wa Mbowe ni mkubwa sana lakini hauhalalishi kubaki milele maana yeye ni binadamu
@estachengula3902Ай бұрын
Hongeleni viongozi wa chadema tunawapenda wote mungu awape mshikamano zaidi
@BarakaIsmail-p4w27 күн бұрын
Ccm haiitaji kuondolewa na Busara tu bali hata misimamo mikali mikali tundu lisu anahitajika.
@ibrahimtesha273316 күн бұрын
CCM hatatoka madarakani kwa kutumia mihemko ya Tundu Lisu!
Katika kujibu maswali kigaiya yupo vzuri Sana hongera
@batihubadiy31064 күн бұрын
BIASHARA GANI HIYOO ANAYOFANYA MBOWE 😂😂😂😂😂?
@AbdullahAhmed-t7p6l11 күн бұрын
Chadema select good compbanation on this debeghty president of tls and vice of nation spokes man john mnyika send his vice benson kigaira for debeghty adof of ct wazalendo
@marymremi10519 күн бұрын
Umeongea vyema hakuna mtu amekataa asigombee lakini kitendo chakusema vibaya na dharau kwa rais au mbowe simkubali
@daudimichael73383 күн бұрын
Kama mbowe kapoteza Mali zake na hakusarenda, Lisu alipigwa risasi za kutosha lakini hakusarenda. Hapo vipi? Tunaenda na Lisu
@anafikamugisha8834Ай бұрын
Odemba nakukubali Sanaa kaka unajielewa Sanaa
@CosmasKulwa-l6zАй бұрын
HBR ZA MAGUFULI ACHANA NAZO ALIFANYA MENGI MAZURI MBONA MAZUR HAMYASEMI WW NAIBU KTBU CHADEMA WW NI MKAMILIFU MWACHENI APUMZiKE
@MchungajiNzelaniАй бұрын
Acha ujinga
@MchungajiNzelaniАй бұрын
Yesu mwenyewe anasemwa vibaya
@BossiLaizerАй бұрын
Yeah cdm wakiyumba Bora watz wote wasarende kijani
@ShemaMalekela-nk8zoАй бұрын
Hongela tls hata mimi naomba sana kwa sasa tugesimamisha kwz chaguz zote tupambane na yaliyopo Miele yetu
@furahinisossiya17398 күн бұрын
kwahiyo kama ameumizwa ndio achaguliwe ili apunguze maumivu? Lissu ndo kaumia kuliko mbowe tuache masihara. Lisu naye anaq
@ChristerKokАй бұрын
Kigaila vema.Ila kumbukeni jinsi Cuf ilivyosambaratika tunaiombea chadema mafanikio mema na mshikamano.Chadema inapendwa na watanzania,hivyo tuitakie mema.
@FrancisAngomwileАй бұрын
Kigaila uko juu sana kisiasa unafaa kuwa gazi ya juu saidi
@richardgeorge53774 күн бұрын
Mkeo ni miongoni mwa COVID 19 Sasa ww kumtetea Mbowe upo sawa
@AlfredMatemu10 күн бұрын
Meabukusi ndio mgombea uraisi gunamtaka cdm
@AlfredMatemu10 күн бұрын
Mwabukusi ndio mgombea uraisi wa cdm
@abbassalum682425 күн бұрын
Msimamo gani we Mzee Mpga ela yule
@AbdullahAhmed-t7p6l11 күн бұрын
Benson kigaora is ok on his potion no need change on Benson kigaira posion
@WebyNgogo-nj3fxАй бұрын
Kigaila ni mojawapo ya jembe la kuaminiwa Chadema:
@AbdullahAhmed-t7p6l11 күн бұрын
Is the good debeghty discas tundulisu but tundulisu has more explainion
@BichongolaInvestment3 күн бұрын
SASA KAMA UNAJUA WAKINA MTEI ALIKAA MIAKA 10, MBONA MBOWE ANATAKA KUKAA MIAKA 30
@omarswai10911 күн бұрын
Mambo ya chadema yaachiwe chadema hakuna kuingiza maneno kwa kutaja chama kingine waachieni chadema waendelee na mambo yao.
@adammseven708517 күн бұрын
Bwana mandevu mm hua nakukubali sana point zako
@kiookigoma382712 күн бұрын
Nimeamini fedha ni mwanaharamu. Yaani leo anasemwa mtu mmoja ndiye kajenga chama. Sasa kama ni mtu mmoja amekijenga chama ninyi wengine mko hapo kufanya nini
@evodiusantony2115Ай бұрын
Lisu tunampenda an watanzania
@DenisGodwin-uu6zz22 күн бұрын
Adv.Mwabukusi🙌
@LutenganoCharles-d7tАй бұрын
Maswala ya ndani ya chadema ni mambo ya ndani ya chedema ,aisee ila wanasiasa daah
@AnnoyedFlowerPot-mr2psАй бұрын
Lowasa ndo aliinua chadema
@AllyjumaAbdallaАй бұрын
Ni kwwlii kabisaa 2015
@bonnymakuke3153Ай бұрын
Acha uongo wewe lowasa kaja chadema kakutu tunawenyeviti wa mitaa wametapakaa nchi nzima unazani angekuta chama akieleweki angekuja!!
@EliaHiluka17 күн бұрын
Mr.odemba naomba mawasiliano yako
@hassanlikwenangu847116 күн бұрын
Ni kati ya watanzania wachache wapi Kaka,achana na uchawa..Lissu apewe nafasi
@MohamedSaidMojrАй бұрын
Viongozi wa chadema msipokuwa makini shauri yenu kwa namna navyoona mambo yanavyokwenda kuna mdudu anapandikizwa ili mvurugane,mgombane wenyewe kwa wenyewe mwisho chama kivurugike wengine wapate ushindi kiulaini naomba mstukie hii issue inayoendelea ya kuwagombanisha mbowe na lissu.
@PhillyAmbilikile15 күн бұрын
Acha maneno ya uchawa wewe lowasa ndo aliinua chadema na lisu akiwa mbugeni 😂😂😂😂 unaulizwa hivi unajibu vile
@NdeshaPaul-uz9bw11 күн бұрын
Kama kila mtu ana haki ya kugombea na wanachama ndio wenye uamuzi tatizo liko wapi hata kutoa mambo ya chama nje ya chama. Kupakiana maneno ya uongozi na ya ukweli, fitina kuabisha n.k. kwa nini hayo malumbano na ukweli uko wazi? Piga kura ndio uhalali maneno ya nini? Maneno ni sumu..
@zuwenaabdallah774812 күн бұрын
Mwabukusi😂😂❤
@maxlesijila6598Ай бұрын
Tunahitaji kiongozi akiwekwa JELA aitwe na Mh. Rais Ikulu kutoka Jelaa !!
@marymremi10519 күн бұрын
jamani lisu sio kiongozi muelewe nyinyi chadema atatawanya watu hana siri kila kitu hadharani na hawezi kuchukuliana na watu wenye mapungufu wewe utawapata wapi wakamilifu mbowe kajenga chama kuanzia chini yeye kaona watu wengi ndio kaanza kiburi anahisi ana watu wengi mwambieni ashuke chini
@daudimichael73383 күн бұрын
Ni kweli hana Siri, Abdul alienda kumhonga hela, Lisu akazikataa, akatoa siri. Hapo vipi?
@LucasSabida3 күн бұрын
Duhhh
@MkJj-m7g23 күн бұрын
Kwa hiyo ktk uwepo wake Mbowe madiwani na wabunge kuongezeka, kunamfanya atawale milele?
@MageAwe-hl5zbАй бұрын
Ni kweli sana lakini mabadiliko ni Lazima tunamtaka mtu mwingine ashike ili wajifunze kwake tena kwa sasa naupepo huu wa siasa ya nchi yetu Lisu anaweza na mbowe anaza hao ndiyo dhahabu iliyopitishwa kwenye moto wananstahili katika uongozi wanasimamia Haki ya jamii
@matendoandrewmgeni113515 күн бұрын
Mwabukusi kitendo cha kusema vyama vingine bipo ICU umejisahau kuhusu kusema na kuacha akiba ya maneno
@othmarluwawilo8308Ай бұрын
Sijasikia maraisi wanaoshinnda Botswana, Namibia nk. Wote walikuwa na fedha km Mbowe.
@zuwenaabdallah774812 күн бұрын
Huyu nae sasa😊
@SalambaPeterАй бұрын
Namuunga mkono mwabukus chadema tusitishe uchaguzi wa ndani ili tupamanie haya yaliyo mbele yetu
@GodyfreypaulGodyfreypauljinasa13 күн бұрын
safi sana naibu katibu mkuu
@LinusJohn-e2p22 күн бұрын
Lisu ana busara nyingi sana
@ibrahimtesha273316 күн бұрын
Hana busara, anapayuka ovyo bila kufikiri, ana majivuno na kujihesabia haki
@levissanga886716 күн бұрын
Tofautisha payuka na kubainisha mambo kwa uwazi
@marymremi10519 күн бұрын
acha mbowe atolewe kwa kura sio kumchafua hivyo kuwa ana rushwa .sasa kama amepewa pesa akaleta kwenye chama si lisu afurahi pengine kuna watu wametoa hawataki kujulikana na wrwe huna siri kumbuka ulikuwa unasema askofu mmoja alikutahadharisha unapigwa risasi ukamtaja hadharani huna siri ndugu
@henryntella77413 күн бұрын
Waandishi mnachoniuzi ni pale mnapo mkatiza mzungumzaji,anapotaka kuhiti pointi mnatindo wa kupandikiza nakukatiza maelezo,Unapo wa interview nasisi tunasikiliza msiwaburuxe.
@sosthenessambua3147Ай бұрын
Hakuna ubunifu hapo. Chadema imejengwa na Dr Slaa. Mbowe uwezo wake umefika mwisho. Sukari ya maridhiano
@LutenganoCharles-d7tАй бұрын
Mwenye kujua CV ya kigaila plz, nimeitafuta google nimeikosa
@philemonsnyanda9450Ай бұрын
Nenda kwenye gugu😂
@yassinnabwera4273Ай бұрын
Achana na Kigaila,huyo hana wa kumfananisha nae kwa hapa Tanzania ana CV za hatari sana na kubwa mno
@alexjohn7361Ай бұрын
@@yassinnabwera4273sasa aachane nae kivipi? Mpe sasa hiyo cv kubwa sana ya Kigaila si unaijua.
@josephlorri431Ай бұрын
Ni mwalimu wa hesabu + physics
@allymkamba1054Ай бұрын
Basi Chama kiwe chake kwa sababu kaumizwa na kupambania.
@edwardmbonika5102Ай бұрын
Kabisa
@TomasiklistophaMwinukaАй бұрын
Nimependa mjadala huu hongereni wote mlio kwenye mjadala huu Odemba napenda sana vitu unavyo vifanya hongera sana
@ShabaniIddi-px7jwАй бұрын
Mungu atupe moyo wakukuamin ww ww nikiongoz mwenye kulipend taifahili
@davidsimbeye1548Ай бұрын
Kwa sifa hizo alizotaja Mwabukusi naona Lisu anafiti kwa asilimia 55 na Mbowe asilimia 45
@gracekagoma3231Ай бұрын
Yetu macho lissu hana busara.😢😢p
@NeemaMasala-o7cАй бұрын
Mwabukusi hoyee😊
@benedictmrisho180026 күн бұрын
Hivyo ndio vichwa sio wababaishaji mwandishi anaeleza ya moyoni mwake akajifanya kumwoteshea mtu anempenda ama kumchukia
@RashidAlly-n7bАй бұрын
Viongozi wa chadema acheni unafiki ni wakati wa mbowe kuonyesha busara . Ni wakati wa kupumzika yeye sio mungu
@AlphaMollelАй бұрын
Sio lazima, pia CCM iondoeni formu moja kwa mwenyekiti,muongoze kuwa na demokrasia ya kweli
@philemonsnyanda9450Ай бұрын
Apumuzike kwani kachoka
@illomowerner7690Ай бұрын
@@philemonsnyanda9450mbona hujatoa mawazo kuhusu mfumo wa uchaguzi wa M/kiti wa chama cha mapinduzi kutokua na fomu moja na badala yake kuruhusu wagombea wenye uwezo CCM kuchuana? Wewe umekomaa na uongozi wa CHADEMA, kwani kuna mtu amekataliwa kugombea? Kwani hujui wanaotakiwa kuchagua Mwenyekiti taifa ni wajumbe wa mkutano mkuu? Au unadhani wanajipachika, anayetakiwa ataletwa na mkutano mkuu kupitia sanduku la kura na sio mawazo yako au yayeyote, hii ni taasisi na sio kikoba cha kuteuana. Angalia sana akili yako.
@@AlphaMollelhalow we jamaa umeongea point sana bas na wao waache bihashara ya kupita bila kupingwa huyo alie coment hawezi kukujibu mafcm Hawa majinga sana halafu kiongozi wao anatoka mbele ya huma eti ccm ni chama chenye demokrasia ndani ya chama Chao.
@EliaHiluka17 күн бұрын
Ninayo malalamiko dhidi ya halmashauri 2
@GasperRichard-d1pАй бұрын
kwani mbowe mbona muna Adams sana kunanini hapochini yazia MNA taka chma kife
@nunikayuni639428 күн бұрын
Kunawakati utowe matamko siyo uongope mbowe inampasa apumzike ili kujuwa wapi bora
@MageAwe-hl5zbАй бұрын
Kiongozi kama anawateka watu anawaua watu je anataka kuongoza wanyama kule Ngongor
@paskaziasholla7471Ай бұрын
Sasa sijui ndio tukubali kuwa ccm wanamuhitaji sana Mbowe mbona kama ni vita vile wakati ni uchaguzi tu? Nawaomba sana chadema acheni kuingizwa mk3nge na waandishi nyie mnapenda chaguzi za huru na haki tulieni basi ufanyike uchaguzi sanduku liseme mjue tunalia na ccm kuharibu uchaguzi wa serikali za mitaa ntashangaa sana mkihatibu uchaguzi wakati nyie mnapenda haki
@samwelmatemu8873Ай бұрын
Lusu ni kweli Hana busara hata kidogo
@TwahirBurhanАй бұрын
KWAHIYO NDO SABABU YA KUJIMILIKISHA HICHO CHAMA? BASI MSIKIITE CHAMA CHA DEMOKRASIA ITENI CHAMA CHA KIDIKTETA!!
@FaridSaleh-i8bАй бұрын
Mr Mwambukusi uko sawa sana pia una uzalendo wa hali ya juu sana pia inaelekea ni mkweli, mwaminifu nakuelewa sana kwa maoni yangu Mr Lissu ndie anaefaa kwa sasa kuwa Rais wa TZ na wewe Mwambukusi ndie unaefaa kuwa Waziri Mkuu wa TZ kwa sasa na sio vinginevyo hapo ndipo Taifa la TZ lingefanya mambo ya ajabu na lingekuwa la kupigiwa mfano mzuri duniani.
@isaacmwaseba9972Ай бұрын
Mmh
@hijazhija316Ай бұрын
Pumzika
@ruwaidamabrouk1797Ай бұрын
Ili umwelewe mwabukusi inahitaji akili sana kwa maongezi yako anajua lissu anaenda kushinda so mbowe awepo kwanza kwenye uchaguzi mkuuu maana lissu akishinda kabla ya uchaguzi chama kinaenda kuvurugika
@SalambaPeterАй бұрын
Chadema ndo chama kilichobaki tumaini la watanzania hivyo mbowe na lisu tafuteni busara mkigombania cheo tumekwisha maana mtesi halali kuweni makini sana kipindi hiki tunawaamini sana lkn mkikosea tu yatakayutokea itakuwa ni nyinyi kupoteza heshima mliyoitunza kipindi chote
Hayo mambo ya kisiasa broo yanahitaji utashi tu sio lazima professional
@jumangozi2720Ай бұрын
Huyu ni mzigo chadema
@amirimsuya953126 күн бұрын
Huo ndio ukweli
@abdallahabdu819428 күн бұрын
sasa wewe , kwa nyerere utasemaje mbona alin'gatuka
@PhilipoMwita-b2xАй бұрын
Ahhhh ila odemba maswali Yako dah
@bernardndemba225322 күн бұрын
Kilaza wewe kwahiyo awe mfarume
@rahimsadru-ct4otАй бұрын
Biashara gan
@MaguguStoreАй бұрын
Maswali ya mpango mpango
@FortinathaMvikule-cm1imАй бұрын
Mwambukusi umesema vema. Chaguzi zisimame
@mpeligwamoyo4254Ай бұрын
Naungana na mwabukusi chaguzi zisimamae kwanza katiba sio biblia wala msahafu,tutakiumiza chama kwanza
@BahatiS.wambuaАй бұрын
Rais ajae
@meshasjaguar6136Ай бұрын
Tunaitaji Tundulisu sio mbowe
@illomowerner7690Ай бұрын
Kiongozi wa CHADEMA ataletwa na kura za wajumbe wa mkutano mkuu taifa.
@TzkwanzaKilimanjaro27 күн бұрын
Mwambukus mjanja Sana anamuunga mkono lisu, SASA anaona kiuhalisia hatashinda anapenyesha agenda ya kuairisha uchaguzi😂 Nakushauri kaka mwambukus mshauri lisu ajitoe, akae kimya, chadema imuandae kugombea urais,
@TM.Sullusi23 күн бұрын
Ndicho ulichoona peke yake kuliko points za maana alizoongea😂😂. Dah!
@YusufSwaibuАй бұрын
Ila Mbowe nikiongozi haswa ana hekima anaupep na abahitambua ila huyu nidhamu Hana mropokaji na hata wanao mpinga wanah it tambua ila wajinga wajinga wengine wenye ellmu tu ya darasani haijalishi ni msomi wa elimu zote au mwanasheria utakuwa ovyo kama Mungu hajakujalia kujitambua na kuwa na maono
@PrinceHendry-hp8vvАй бұрын
Mpeni lisu wabunge watakua 120 madiwani 3000
@romanilyimoАй бұрын
We wasema
@PhilipoMwita-b2xАй бұрын
Watanzania wachache waliopigania mageuz ahhh. Hata mm ni mdogo lkn huyu nikubwa jinga tu....mageuzi gani Sasa tumeyapata 😂😂 Watu wanagombea wanatumia fedha lkn hawapiti wanaibiwa Ww unasema aliharibiwa biashara wakati lissu nikilema. Kuna mzee kigoma Hana mkono alikatwa Kuna mdogo wake john heche aliuwawa Ww unasema Mali ujinga
@romanilyimoАй бұрын
Unasikia unachokiongea hau? Kwahiyo chama ndio kinapenda kiibiwe kura? Hau unaongea usichokifikiri.