Nafurahi kusikia hivyo, nisaidie kushare kwa wadau wengine waweze kujifunza zaidi.
@zakariachacha7574Ай бұрын
Uko vizuri bro mimi nauza phone accessories nifanyeje nifikie wateja wengi zaidi ndg yangu nisaidie pls
@Erick_john16 күн бұрын
🙏🏼
@fredlazaro466126 күн бұрын
kuna mahali najiona kwenye masuala ya biashara kwakweli. Nilianza kukuona kwenye TIK TOK nikaanza kukufuatilia nikaanza kufanyia kazi masuala hayo eneo nilipoajiriwa kwani kabla ya kufungua niliamua kuaply kwenye eneo ambalo nimeamiwa kupewa nafasi.Nashukuru sana imenisaidia kujiamini sana katika utendaji wangu kazini na kusaidia taasisi kusonga mbele. BIG RESPECT BROTHER
@misanamanyama2426 күн бұрын
@@fredlazaro4661 This is a very big testimony 🙌
@princhiuskalogosho1804Ай бұрын
Boss, uwa nakuelewa sana 🙏🙏
@JohnFidikiАй бұрын
Nakuelewa sana mtaalamu.
@HafidhOmar-rs4tyАй бұрын
Hongera sna mastermind kazi iendelee naomba. utuandalie vp starehe znapelekea wajasiriamali na hta wafanya biaahra wadgo kutokupga hatua .
@misanamanyama24Ай бұрын
Hili nimelinote tutalitendea kazi katika masomo yajayo.
@HafidhOmar-rs4tyАй бұрын
P
@skolastikadonath8210Ай бұрын
Una madini mengi sana mkuu kwenye hii sekta, endelea kutuelimisha..
@misanamanyama24Ай бұрын
Nafurahi kusikia hivyo, nisaidie kushare kwa wadau wengine waweze kujifunza zaidi.
@SaidmarezАй бұрын
Thanks
@HassanNasibu-q6mАй бұрын
Asante. Mkuu
@JustusJackson-m5bАй бұрын
Nimejifunza kitu apa
@severinemziba6226Ай бұрын
Pamoja bro...endelea kutupatia madini🙏
@misanamanyama24Ай бұрын
Pamoja sana
@LINNAJUSTINEАй бұрын
Tuandalie semina boss wangu utupige brashi kisawasawa
@misanamanyama24Ай бұрын
@@LINNAJUSTINE Hii imepokelewa na inafanyiwa kazi
@mbekewambeke9305Ай бұрын
Courage
@onesmohamis9557Ай бұрын
👏👏👏
@ndanotozirilweno4466Ай бұрын
Shukran sana kwa elimu bro.
@misanamanyama24Ай бұрын
Pamoja sana
@becamrindokoАй бұрын
Setup ya kipindi nzuri sana pongezi kwa mpiga picha
@misanamanyama24Ай бұрын
Asante sana mkuu, Pongezi zimemfikia ni watu wa muhimu sana hawa
@HassanLikopaАй бұрын
Mimi naitaji vitabu vyako kuhusu mauzo, naomba namba Yako kaka