Asante sana brother umenifumbua sana akili na ndio maana kumbe biashara zetu tunaona hatupati faida kumbe tunapanga bei bila kuangalia cost za kupata ile product. MUNGU akubariki sana .
@misanamanyama2418 күн бұрын
Hii ni muhimu sana kaka, nimejifunza somo Hilo kwa maumivu mengi na ndio maana nikaona ni muhimu watu wafahamu ili kuinusuru biashara za watu wengine.
@suleshsulesh96003 ай бұрын
Asnte kwa dalasa mungu akubarik sanaaaa kwa funzo bora ulio tufundisha leo
@misanamanyama242 ай бұрын
Shukrani sana mkuu
@carlospeter26263 ай бұрын
Exactly dose 🙏
@JustusJackson-m5b3 ай бұрын
Nakuelewa sana kiongozi ahsante
@hajichaz37963 ай бұрын
asante sana kwa masomo mazuri
@Saidmarez3 ай бұрын
Ahsante
@evansmayuro80383 ай бұрын
Hujambo ndugu . Mimi ni mwanabiashara kutoka kaunti ya kilifi, Kenya . Ni furaha yangu kuu kwamba hatimaye nimekutana na chaneli yako iliyo na madini ambayo tumeyakosa hadi kwenye vyuo vinavyofunza biashara. Niruhusu niseme unanijenga sana na ni matamanio yangu kukutana nawe punde nifikapo Dar. Amani ya Bwana iwe nawe 🙏🙏
@misanamanyama243 ай бұрын
@@evansmayuro8038 karibu sana na asante kwa kunitia moyo niendelee lufanya vizuri zaidi
@becamrindoko3 ай бұрын
Asante Coach
@kelvinmwakatobe21743 ай бұрын
Nimejifunza sana aise3e ntaensa na iyo 30%
@misanamanyama243 ай бұрын
Ni muhimu sana nafurahi kusikia unatendea kazi
@mercylekei933 ай бұрын
Asante sana Mungu akubariki 🙏
@misanamanyama243 ай бұрын
amen amen
@elkanakilumbe2 ай бұрын
Ututengenezee somo na sisi wa graphics, content creators..
@misanamanyama242 ай бұрын
@@elkanakilumbe Ujumbe umefika
@misanamanyama242 ай бұрын
@@elkanakilumbe Unata Somo kuhusu eneo gani hasa ??
@kalengashoppingcenter11083 ай бұрын
❤
@stephanosospeter17093 ай бұрын
Asante sana
@BenjaminJackson-m5iАй бұрын
Kwenye % apo unafail mkuu....
@daudkanyelele48623 ай бұрын
Je muuza duka la mangi yaani bidhaa mchanganyiko anapataje faida mahesabu ya jioni?
@alfredmfwala2713 ай бұрын
Kwamfano una mahitaji makubwa kuliko faida yako unawezaje kumudu kuendendesha maisha yako ? ...au ni wakati gani mzuri wa kuanza kuchukua faida kwenye biashara huku biashara ikiendelea kukua ?
@misanamanyama243 ай бұрын
Asante sana kwa swali Zuri. Nitakujibu kwa upana zaidi katika video zitakazofuata. Endelea kufuatilia masomo haya na kushare kwa wadau wengine ili yafanyike msaada.
@alfredmfwala2713 ай бұрын
@@misanamanyama24 Tunashukuru kwa mafundisho haya Mungu azidi kuwabariki ,nitashare kadri iwezekanavyo
@mercylekei933 ай бұрын
Je ni lazima faida yangu iwe ni 30% tuu kama sio Inaweza kuwa percentage ngapi Tena.....
@misanamanyama243 ай бұрын
@@mercylekei93 hapana hiyo imaetumika kama mfano tu