NAMNA YA KUJENGA NIDHAMU YA FEDHA KWA VITENDO. | FESTO AMOS

  Рет қаралды 9,958

Festo Amos

Festo Amos

Күн бұрын

Пікірлер: 69
@chacharange9978
@chacharange9978 2 жыл бұрын
Hongera ni hatua kubwa Sana
@citymaxbookshoptanzania2924
@citymaxbookshoptanzania2924 2 жыл бұрын
Hongera sana Amos motivator umefanya vyema sana MUNGU akuinue waliofanikiwa kwa viwango vya juu sana ni wale walioweza kusikiliza sauti zao za ndani zinasema nini bila kujali changamoto gani watazipitia.
@festoamos_tz
@festoamos_tz 2 жыл бұрын
Asante sana, share kwa watu wengi zaidi ,,,, nao wafaidike hongera kwa kujifunza....
@AbelKasalampepo
@AbelKasalampepo 14 күн бұрын
Uko sawa ndg yangu
@thomasjohn7176
@thomasjohn7176 2 жыл бұрын
Safi sana
@mkhhg
@mkhhg 2 жыл бұрын
Nice bro
@rabanphotostudionyakanazi_4115
@rabanphotostudionyakanazi_4115 Жыл бұрын
Amina
@ErastoMollel-k8e
@ErastoMollel-k8e 4 ай бұрын
Kazi yako ni njema kaka mungu azidi kukuinua
@festoamos_tz
@festoamos_tz 3 ай бұрын
ameen
@Pendo-ip4bk
@Pendo-ip4bk 2 жыл бұрын
Big up dr tuko pamoja
@chikumohamed5303
@chikumohamed5303 Жыл бұрын
Ahsante mwalimu
@ergidymwambe116
@ergidymwambe116 2 жыл бұрын
Nkupta sana ndug
@mwalimu-jamesmtweveg37
@mwalimu-jamesmtweveg37 2 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana,,, very Critical Lecture.
@festoamos_tz
@festoamos_tz 2 жыл бұрын
Asante sana share na wengine wanufaike maana madin nitakayokuwa natoa yatawasaidia wengi sana
@paulmaulidi694
@paulmaulidi694 Жыл бұрын
🙏🙏🙏thank you very much I’ve learned hasa kwenye suala la kuingiza pesa !
@wamarasamuel
@wamarasamuel Жыл бұрын
Tunashukuru Baba Festo
@joycemrema3479
@joycemrema3479 2 жыл бұрын
Good job
@festoamos_tz
@festoamos_tz 2 жыл бұрын
Asante sana waweza kushare kwa wengine
@revsulemanigerardjonas4098
@revsulemanigerardjonas4098 2 жыл бұрын
Nice
@pauljoel
@pauljoel 2 жыл бұрын
Nakukubali mkuu
@freeboytz-279
@freeboytz-279 Жыл бұрын
Amina❤
@christsontarimo5803
@christsontarimo5803 2 жыл бұрын
Hongera sanaaa kaka
@sekelagodwin8969
@sekelagodwin8969 2 жыл бұрын
God be with keep it up my dear
@festoamos_tz
@festoamos_tz 2 жыл бұрын
Asante sana, share kwa watu wengi zaidi ,,,, nao wafaidike hongera kwa kujifunza.... #liveagreatlife
@cristinacosmas2156
@cristinacosmas2156 2 жыл бұрын
Asante🙏🙏
@DayAna-hs7bd
@DayAna-hs7bd 2 жыл бұрын
Nakupata Sanaa Kaka Festo Mungu akubariki sanaaa
@festoamos_tz
@festoamos_tz 2 жыл бұрын
Asante sana, share kwa watu wengi zaidi ,,,, nao wafaidike hongera kwa kujifunza.... #liveagreatlife
@baltonkalima3539
@baltonkalima3539 2 жыл бұрын
Nakusikilza sana kaka 🙏🙏keep On
@festoamos_tz
@festoamos_tz 2 жыл бұрын
Asante sana, share kwa watu wengi zaidi ,,,, nao wafaidike hongera kwa kujifunza.... #liveagreatlife
@AmosiSanga-cn3kn
@AmosiSanga-cn3kn Жыл бұрын
Hii Imeenda
@elesiameshaki2171
@elesiameshaki2171 2 жыл бұрын
Waoooooooo 💪💪🔥🔥
@antonyelias140
@antonyelias140 2 жыл бұрын
Hakika ninakufurahia sana rafiki yangu,Mungu akuinue zaidi 🤝
@festoamos_tz
@festoamos_tz 2 жыл бұрын
Asante sana, share kwa watu wengi zaidi ,,,, nao wafaidike hongera kwa kujifunza.... #liveagreatlife
@petromaliselina9947
@petromaliselina9947 2 жыл бұрын
Asante Sana my motivator Mwenyezi Mungu azidi kukuinuaa juu na uwe na maarifa zaidi
@festoamos_tz
@festoamos_tz 2 жыл бұрын
Asante sana, share kwa watu wengi zaidi ,,,, nao wafaidike hongera kwa kujifunza.... #liveagreatlife
@nebayortsosten4101
@nebayortsosten4101 2 жыл бұрын
Hongera Sana Rafiki yangu Festo Amos! Nazipenda sana juhudi zako
@festoamos_tz
@festoamos_tz 2 жыл бұрын
Asante sana, share kwa watu wengi zaidi ,,,, nao wafaidike hongera kwa kujifunza.... #liveagreatlife
@sulebundala4688
@sulebundala4688 2 жыл бұрын
A lot gratitude Bro¡¡!!✊💪👍
@mussalulenga9939
@mussalulenga9939 2 жыл бұрын
Balikiwa sana mwalimu amosi
@festoamos_tz
@festoamos_tz 2 жыл бұрын
Asante sana endelea kushare kwa wengine
@KiongoziWaKarne
@KiongoziWaKarne 2 жыл бұрын
Napenda kujifunza, nitakuwa nikijifunza zaidi kwako brother. #LiveAGreatLife
@festoamos_tz
@festoamos_tz 2 жыл бұрын
Asante sana, share kwa watu wengi zaidi ,,,, nao wafaidike hongera kwa kujifunza.... #liveagreatlife
@philej
@philej 2 жыл бұрын
Kitabu bei gani
@festoamos_tz
@festoamos_tz 2 жыл бұрын
TSH.10,000/ Mawasiliano 0766181367
@JanvierVenas-ro9us
@JanvierVenas-ro9us Жыл бұрын
ilisomo linaniusu mana nilikuwa mbali kwenye kusevu PES asante mwalimu
@festoamos_tz
@festoamos_tz Жыл бұрын
Karibu sana 🤝
@marystellacalist1114
@marystellacalist1114 2 жыл бұрын
I'm proud of you Amos. Keep it up my friend
@festoamos_tz
@festoamos_tz 2 жыл бұрын
Thanks alot
@revoltmind4386
@revoltmind4386 2 жыл бұрын
Ukisema Tanzania imebarikiw sio tu kwa wingi na rasilimal tulizonaz Lakin pia tunao watu ambao ni sabab ya nuru katika giza lilipo katika jamii as festo amos, endelea kusonga mbele na timiza kusud la uwepo wako katika dunia. Good flowers is what we need in house as knowledge we need in our mind
@festoamos_tz
@festoamos_tz 2 жыл бұрын
Waoow!! Asante sana
@nitekaboniface2222
@nitekaboniface2222 2 жыл бұрын
More steps to go with you Brother, Asante kwa shule hii.... Mungu akubariki Coach
@festoamos_tz
@festoamos_tz 2 жыл бұрын
Asante sana
@Supa12_
@Supa12_ 2 жыл бұрын
Safi mkuu
@maselekwiligwa3850
@maselekwiligwa3850 2 жыл бұрын
ELimu nzuri Sana ... Nahitaji unielekeze namna ya kutumia kanuni kuweka Akiba mfano Kuna kanuni ya 50/30/20
@wisdomasajile366
@wisdomasajile366 2 жыл бұрын
Coach your great, wonderful job
@festoamos_tz
@festoamos_tz 2 жыл бұрын
Asante sana, share kwa watu wengi zaidi ,,,, nao wafaidike hongera kwa kujifunza.... #liveagreatlife
@asterious104
@asterious104 2 жыл бұрын
Bravooo brother
@edouardlongb6189
@edouardlongb6189 2 жыл бұрын
Asante sana kaka
@festoamos_tz
@festoamos_tz 2 жыл бұрын
Asante sana, keep sharing
@lucassanga3667
@lucassanga3667 2 жыл бұрын
Dah somo zuriiii.Barikiwa sana kaka.
@nickynickson1200
@nickynickson1200 2 жыл бұрын
Unakiuzaje kitabu na je upatkanaji kwa watu wa mikoani.?
@mtaigaagness3358
@mtaigaagness3358 2 жыл бұрын
Naitaji icho kitabu nipo mbeya ni Bei gan
@festoamos_tz
@festoamos_tz Жыл бұрын
check na Mimi via 0766181367
@peterjames1538
@peterjames1538 Жыл бұрын
Kama una group Whatsapp niunge kaka.
@nassormbamba8063
@nassormbamba8063 Жыл бұрын
Kitab kina patika anaj
@festoamos_tz
@festoamos_tz Жыл бұрын
Tazama kwenye description apo Kuna mawasiliano yetu
@shapashinakisipani9211
@shapashinakisipani9211 2 ай бұрын
Kitabu hicho ndakipataje?
@festoamos_tz
@festoamos_tz 2 ай бұрын
@@shapashinakisipani9211 0766181367
@ErastoMollel-k8e
@ErastoMollel-k8e 4 ай бұрын
Kazi yako ni njema kaka mungu azidi kukuinua
TENGENEZA MAISHA UNAYOYATAKA - JOEL NANAUKA
16:51
Joel Nanauka
Рет қаралды 140 М.
CHANGAMOTO YA ENEO LA FEDHA KWENYE NDOA/MAHUSIANO - JOEL NANAUKA
49:41
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
JINSI YA KUJENGA MIKONDO MINGI YA KIPATO na Edmund Munyagi
21:18
Edmund Munyagi
Рет қаралды 73 М.
Siri 4 Za Kujenga Nidhamu Ya Kutoa Pesa.
5:40
Joel Nanauka
Рет қаралды 84 М.
LAZIMA USHINDE HOFU HIZI - JOEL NANAUKA
10:59
Joel Nanauka
Рет қаралды 78 М.
KUJENGA JINA KWENYE KILE UNACHOKIFANYA - JOEL NANAUKA
7:11
Joel Nanauka
Рет қаралды 37 М.
NJIA 10 ZA KUTENGENEZA PESA | FESTO AMOS
9:58
Festo Amos
Рет қаралды 1,3 М.
KUJENGA MAHUSIANO NA WATU - JOEL NANAUKA
9:33
Joel Nanauka
Рет қаралды 19 М.
UHURU WA KWELI WA KIFEDHA - JOEL NANAUKA
1:14:26
Joel Nanauka
Рет қаралды 65 М.
MBINU (3) ZA KUJILAZIMISHA KUWEKA AKIBA
6:42
Festo Amos
Рет қаралды 13 М.