KUJENGA MAHUSIANO NA WATU - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 18,670

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 58
@ggvv9970
@ggvv9970 Жыл бұрын
Leo umependeza mwalimu wetu❤❤❤
@LoyDorcus
@LoyDorcus Жыл бұрын
Amependezaj jmn.dah❤❤❤❤
@Rosepeter001
@Rosepeter001 Жыл бұрын
Kumbe wanafunzi tunafatilia hadi code 😁♥️
@isikesamike
@isikesamike Жыл бұрын
@@Rosepeter001 😂
@saumuyahaya8959
@saumuyahaya8959 Жыл бұрын
Uko Sawa kabisa Asante kwa kunielimisha wema wangu kwako nakushukuru sana kwa kuniongoza mungu akupe ufaham zaid shukran
@shsjjdjhd9624
@shsjjdjhd9624 Жыл бұрын
Maashalah shekhe wetu karibu kwenye uislam shekhe 😍
@justiniraclifcliff6837
@justiniraclifcliff6837 Жыл бұрын
MaashaAllah Mungu akuzidishiye kila lakheri Mkuu Mwalimuuu 😊
@user-zw7fc5mr5v
@user-zw7fc5mr5v 5 ай бұрын
Asante sama tunakuombea undelee tutoa uduma zaid maana mchango wako imekua msaada kwa watu weng
@Kenyangirl198
@Kenyangirl198 Жыл бұрын
Umependeza sanaa MashaAllah
@danchibomnyama5461
@danchibomnyama5461 Жыл бұрын
Kaka umetisha sana mungu akubariki sana kaka Joel
@twahasuleiman-lo9vl
@twahasuleiman-lo9vl Жыл бұрын
Mashallah Sheikh Nanauka 🎉🎉🎉
@eliasmugume254
@eliasmugume254 Жыл бұрын
Mungu Akubariki Sana kwaushauri Mkubwa Asante Sana
@ibrahimkhamis1820
@ibrahimkhamis1820 Жыл бұрын
جزاك الله خيرا شيخ نن اك🍇🥑🍇
@esthercharo2501
@esthercharo2501 Жыл бұрын
Masha Allah kazi njema kaka joel
@uiavajiwgav5441
@uiavajiwgav5441 Жыл бұрын
Endelea kuvaa hivo hivo umetokelezea safii docter nanauka welove you 💘
@zaitunialli1223
@zaitunialli1223 Жыл бұрын
😂 Leo umekuwa shekhe! Mashaallah
@hellenismail4351
@hellenismail4351 Жыл бұрын
Ubarikiwe sanaaa
@asiaa6573
@asiaa6573 Жыл бұрын
Masha Allah, kaka joel umependeza sana na vazi la uislam ,karibu kwenye uislam dini ya haki mpendwa wetu
@stevenmwarabu463
@stevenmwarabu463 Жыл бұрын
Tangu lini dini ina haki ndg??!! Nchi ngumu sana hii
@sfcompany2191
@sfcompany2191 Жыл бұрын
Mashallah Hongera Shekhe
@R10_Rajab
@R10_Rajab Жыл бұрын
MashaAllah umependeza sana brother karibu katika Dini ya Haki na ya ukweli Islam karibu sana Kaka.
@nazandele5553
@nazandele5553 Жыл бұрын
Kaka Mungu Akubariki sana ,maana unatujenga sana , Mwenyezi Mungu Azidi kukujalia karama hiyo
@zainilkanji9141
@zainilkanji9141 Жыл бұрын
Ahsante
@juma2979
@juma2979 Жыл бұрын
Kaka umependeza sana na hilo vazi
@nurdin.mndeme3447
@nurdin.mndeme3447 Жыл бұрын
Genius kaka .. Muumba akubariki na kukupa mwisho mwema
@MCmakore
@MCmakore Жыл бұрын
mwlimu Mungu akubariki
@khadijashabaninimba7890
@khadijashabaninimba7890 Жыл бұрын
Masha'Allah
@nurdinimedia1885
@nurdinimedia1885 Жыл бұрын
Duh kaka Allah Akujalie ifie katka dini hii ya usilam
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Joel nanauka 🎉
@bernadetachari7648
@bernadetachari7648 Жыл бұрын
Nikweli ukisimama na mtuwakati anashida nijambo la mihimu sana.ilawanaosaidiwa hawakuwanghi na shukurana weghiwao hulipa kwa ubaya
@karimabdoul7619
@karimabdoul7619 Жыл бұрын
Sheikh wetu leo
@melikisedekimellitus4513
@melikisedekimellitus4513 Жыл бұрын
Axhante sana kaka Joel kwa somo zur
@Johnsonkayila
@Johnsonkayila Жыл бұрын
Nakuona Shekh J😂
@emilyjoshua8093
@emilyjoshua8093 Жыл бұрын
Kama Raila ana ushawishi mkubwa sana kwa wakenya
@kherisadi7364
@kherisadi7364 Жыл бұрын
Kaka j nanauka nimekufwatilia zaidi ya miaka 3 sasa . Najua wewe ni mkristo ila huna maneno mabaya na uislam . Unasimamia imani yako. Ila nasisi mashabiki wako tunaweza kukushauri usikasirike (KARIBU KATIKA UISLAM NDUGU) ila sio lazima .una khiari . Asante sana.
@Paschalmachang
@Paschalmachang Жыл бұрын
❤❤Naelewasan kaka
@ramadhanichuma7925
@ramadhanichuma7925 Жыл бұрын
Shekhe joel nanauka 😂😂
@vitarismujuni6889
@vitarismujuni6889 Жыл бұрын
Watu mnaosifia udini kbl ya kujenga uhusiano qanza, mmesikia?
@user-ug5vu5uj2y
@user-ug5vu5uj2y Жыл бұрын
Nakuona sheikh😂😂
@daudiissa9256
@daudiissa9256 Жыл бұрын
For the first time kukuona ivi (shekhe)😅😅
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Жыл бұрын
Asante sana
@aderiderkihupi7240
@aderiderkihupi7240 Жыл бұрын
ASANTE
@ShabanBoyango
@ShabanBoyango Жыл бұрын
Ok
@abrahammwambije2769
@abrahammwambije2769 Жыл бұрын
Ume onyesha uhalisia wa SoMo lako na ndio maama ya uongozi vazi la msikitini vaa msikitini vazi la msibani vaa msibani vazila Harusi vaa Harusini usijitenge na uharisia
@hammyyombe5229
@hammyyombe5229 Жыл бұрын
🙏
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 Жыл бұрын
Kwani uyu kashakuwa mslamu 😂😂😂😂😂
@chrismassawe2939
@chrismassawe2939 Жыл бұрын
Hahahaah😂😂😂
@laurnyandwi-sb1gu
@laurnyandwi-sb1gu Жыл бұрын
Kumbe ni ostadhi juma na Hamsemi😂
@salehabdallah2737
@salehabdallah2737 Жыл бұрын
😮
@bernarderadi4410
@bernarderadi4410 Жыл бұрын
Yaani umekua mwislam??
@stevenmwarabu463
@stevenmwarabu463 Жыл бұрын
Kuvaa kanzu hakumfanyi mtu kuwa muislam ndg..
@ahz6907
@ahz6907 Жыл бұрын
Ni vazi tu
@IsraelKisaila
@IsraelKisaila Жыл бұрын
Ilikuwa kongamani la kiislamu,ndo maana kavaa hivyo,ALIKUWA anawafundisha wapo hapo
@danielmlwafu4380
@danielmlwafu4380 Жыл бұрын
Aise akili hapa,,, wanaopenda udini utawaona hapa hapa
@pixels_tech
@pixels_tech Жыл бұрын
Wakwanza utakuwa niwewe.
@NushaiMtichitila
@NushaiMtichitila Жыл бұрын
Tukupe msikiti Njombe kaka😂
@nurdinimedia1885
@nurdinimedia1885 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/b3TPhWl_q9mYY6s *Jifunze kusoma herufi zenye madaa* Katika *quran* بَا Baa تَا 🍎 🍎 Taa ثَا Tha جَا Jaa بُوْ تُوْ ثُوْ جُوْ.
@IbnuAlly-cg2gn
@IbnuAlly-cg2gn Жыл бұрын
Teacher umekubali kuwa "hakuna anayestahiki kuabudiwa kwa haki ispokuwa Allah na Muhammad ni mtume wa Allah" (na yesu hana nafasi yoyote ktk uungu ila ni mtume wa Allah km mitume mengine) au umekuwa msanii?
KABLA YA KUUMBWA DUNIA ALLAH ALIKUA WAPI?// SHEIKH OTHMAN MAALIM
42:18
arkas online tv
Рет қаралды 406 М.
MWL:  CHRISTOPHER MWAKASEGE: KIBIBLIA TUMBO LA UZAZI LA MWANAMKE NI NINI? [2]
1:21:07
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 36 М.
大家都拉出了什么#小丑 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 85 МЛН
Je peux le faire
00:13
Daniil le Russe
Рет қаралды 14 МЛН
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 159 МЛН
LIFE WISDOM: VITU AMBAVYO VIPO NDANI YA MAONO - JOEL NANAUKA
14:40
Joel Nanauka
Рет қаралды 10 М.
AMUA UNACHOTAKA LEO - JOEL NANAUKA
17:14
Joel Nanauka
Рет қаралды 100 М.
NJIA YA KUONGEZA PESA ZAIDI - JOEL NANAUKA
7:57
Joel Nanauka
Рет қаралды 56 М.
EPUKA  HAYA KWENYE  ENEO LA KAZI - JOEL NANAUKA
10:44
Joel Nanauka
Рет қаралды 56 М.
SHK OTHMAN MICHAEL "FREEMASON, HIZI ZOTE NI KAFARA ANATOA" ATOBOA SIRI
10:47
Riyadh Tv Online Znz
Рет қаралды 47 М.
JINSI YA KUTUNZA MAHUSIANO NA WATU - JOEL NANAUKA
9:16
Joel Nanauka
Рет қаралды 33 М.
Kukabliana Na Majira Ya Nguvu Kuisha (Day 3) - Pastor Joel Nanauka
1:36:48
Total Healing Ministries
Рет қаралды 8 М.
Namna gani unaweza kuongeza kasi ya kutimiza maono yako
26:17
Joel Nanauka
Рет қаралды 159 М.
Vitu  Vya Kufanya Ili Ufanikiwe - Joel Nanauka
5:36
Joel Nanauka
Рет қаралды 53 М.
大家都拉出了什么#小丑 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 85 МЛН