Kuweka bajeti maalumu kwa ajili ya kusaidia ndugu na marafiki ni nidhamu nzuri sana changamoto ikiwa umefikia ukomo wa bajeti ako ya kusaidia na ikatokea dharura ugonjwa au ajali sio rahis sana kuacha kusaidia so nashauri mbali na kuwa na bajeti maalum ni muhimu kuwa na emergency fund ya kwako personally inayojitegemea..Asanteh sana kwa somo zuri,Mungu azidi kukutunza ili tuendelee kufaidika na elimu unayotupa🙏
@abelntobi3824 жыл бұрын
Na utoaji wa pesa NI kitu ambacho kinawashinda wengi hasa kumunyima mtu unaemupenda Kama mke au wazazi inahitajika moyo mugumu Sana thanks bro
@annamtewele54532 ай бұрын
Mafunzo mazuri
@judithsalvatory28924 жыл бұрын
Asante ili somo ni kwa ajiri yangu.
@franksamson46934 жыл бұрын
Hapo ni zote tu maana duuh Asante Kaka Joel nanauka
@nicholaussemfukwe62832 жыл бұрын
Mungu aendeleh kuku maisha malefu daima Ili vijan tuendeleh kuelimika Zaid kifikra au katika mambo mengi yanaytuzunguka katika jamii tunayo ishi
@abdulrazackkipingu54374 жыл бұрын
Hiyo no.3 nimeipenda na nitaifanyia kazi kwakua nimekua siendani na kanuni hiyo shukrani Sana
@reginaldipeter22722 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri Waefeso 3:20
@citymaxbookshoptanzania29244 жыл бұрын
Asante sana Joel wewe ni zawadi kwetu toka kwa Mungu.
@noeldismas73403 жыл бұрын
Thanks Joel I got something, be blessed & continue changing people's lives
@FURAHAbest Жыл бұрын
Kabisa
@jackychebet75934 жыл бұрын
Asante Sana kaka joel ubarikiwe kwa ushauri wako mzuri.nimejifunza mengi kutoka kwako Asante Sana.
@jenipherrio79413 жыл бұрын
Kaka ahsante. Mungu akubariki Mimi napata hela Sanaa Ila Sina nidhamu ya pesa nimejifunza pia naomba uzidi kunishauri ahsante naitwa jenifa riwa
@mensonayoub7820 Жыл бұрын
Nimejifunza somo zuri sana...asante sana mtaalam
@deviijackii12933 жыл бұрын
Mm nahic wew Joel unayajua maisha yangu
@HoseaNambari10 ай бұрын
Asante sana kaka nimekuelewa sana mungu akubariki
@roselynerwiza93832 жыл бұрын
Asante sana kaka Mungu akubariki sana
@Justinmax-p7n10 ай бұрын
Kaka mngu tu akuoe maisha malefu najifunza sana kupitia wew one love
@sheddykayanda43694 жыл бұрын
Aisee niko vizuri zaidi ktk hili
@jordanmakere1264 жыл бұрын
Broo nanaukaa me nahisii zotee n muhimu mnooo nmefungukaaa Zaid your blessed
@cleophacematogo82394 жыл бұрын
Ahsante umenipa Tiba
@hamiduhamisi24572 жыл бұрын
Sawa kaka Joel Mungu akuzidishie umri mref
@AlexJefwa2 ай бұрын
Barikiwa sana coach Joel 🙏
@samiraomari12223 жыл бұрын
Asante masomo yako yananisaidia sana kaka
@aminatundondege93844 жыл бұрын
"Respond promptly",Kaka Joel imenikuta,mpaka ikawa kama deni,siyo siri nilikereka.Asante kwa somo hili,nimejifunza.
@ummuhsalamah71284 жыл бұрын
Nimejifunza Jambo kiongozi mungu akubariki
@MichaelJordan-t3v9 ай бұрын
God bless you
@williamandrea79404 жыл бұрын
Kaka Joel Nakushukuru sana hizo tabia zote mimi ninazo ninakama aina fulani ya huruma kwa watu hebu nishauri nifanyeje kaka Mungu akubari sana kaka
@allyshabani77914 жыл бұрын
Mungu akubaliki sana brother kwa elimu niliyoipata kwenye mafunzo yako
@severinebagenyi47454 жыл бұрын
Hiyo namba nne ipo vizuri sana maana Kama watu hawajui details zako za hela siyo rahisi kukusumbua mara kwa mara hasa pale unapopata pesa nyingi
@nassormakwaya59704 жыл бұрын
uko vzr sana Kamanda Joel ngoja tuendelee kukufuatilia
@johnsaidy8032 жыл бұрын
Mungu awe nawe mi lele daima
@carrencatherine20184 жыл бұрын
Asante bro Joel Nanauka
@richardmartin64292 жыл бұрын
Mimi naona Siri zote nne ni Muhimu, ila namba Moja nimeipenda zaidi. Mambo yanayoturudisha nyuma kimaendeleo ni yale yanayofanyika bila mipango maalum, naamini kuwa na Budget maalum kutanisaidia kuepuka Matumizi yasiyo ya lazima. Ahsante
@eugenlukuze3187 Жыл бұрын
Real mr nanauka you spoken fact
@sarahkaray18913 жыл бұрын
Thanks Namba 1 imenigusa sana
@frankplatinam Жыл бұрын
Mungu akubariki kwa elimu unayo tuelewesha broo
@happinesjovinary78674 жыл бұрын
Aisee Mr binafsi nakukubari saana. Hiyo kumwambia mtu kiwango chako imetufelisha Wengi sànà
@harmonizefans37834 жыл бұрын
Much respect bro @nanauka
@amanibayo19152 жыл бұрын
Huwa namuelewa sana brother
@josephboniface75064 жыл бұрын
Thanks Broh# umenifungua Sana hasa Hiyo ya 4
@burudikotv1953 Жыл бұрын
Namba nne kiboko kwa bongo yetu❤
@stevengoodluck45814 жыл бұрын
Nmekuelewa sana nitham ya pessa
@eliachilonwa50563 жыл бұрын
Mungu akubariki Kaka Joel
@aash41452 жыл бұрын
Aksante kaka kwa ushaur❤️❤️🌹👍
@mbarakasalumu71228 ай бұрын
Ahsante nimejifunza kitu bro
@owenmlagala87172 жыл бұрын
Nimeipenda Point sana
@annamwananjela55944 жыл бұрын
Umenifungua akiri yng mungu akubariki naimana sasa nimejitabua
@mahirfauz1993Ай бұрын
Asante sana kaka
@martinnsuhuje78214 жыл бұрын
Asante sana.Be blessed
@geophreygwarasa67893 жыл бұрын
Asante nimepata kitu kizuri
@inyasiinvestment184 жыл бұрын
Umenijenga kwenye maisha mapya sana broo mungu akubariki sana
@emanuelavaleriani8646 Жыл бұрын
Wao so nice
@sephaniachaula1030 Жыл бұрын
Tabia hiyo nanayo sana huwa nashindwa kujizuia nashukulu kwa mafunzo yako
@tatuali13794 жыл бұрын
4 umenifaa 🤝
@saimonmaluli32514 жыл бұрын
Be blessed brother
@noelbudeba31734 жыл бұрын
Somo zuri ila naona wengi wetu huomba kuliko wanaoombwa hvo ningependa utuandalie somo litakalotufundisha njia nzuri ya kuomba au tuachane na kupungua idadi ya waombaji
@yusuphmashaka6592 жыл бұрын
Dah kweli kabisa kaka hapo kwenye kumwambia mutu ukweli nipagum
@YohanaMpambi10 ай бұрын
Asante sana kaka
@mmbarikiwa69872 жыл бұрын
Nimekuelewa sana
@hamisinyakitina93132 жыл бұрын
Be blessed
@alexandermluge78864 жыл бұрын
Kaka hii point ya mwisho imebeba nyama zote👍
@ndolaismail453 жыл бұрын
Shukrani sana kaka ang! Imenigusa sana🤝
@edson24504 жыл бұрын
Asante sana kaka, umenisaidia sana sana sana kwenye Maisha yangu na elimu unayotupatia. May God bless you!
@deokarithomas12434 жыл бұрын
Thank you kaka joel umenifungua,, keep it up.
@mohammedrashid2906 Жыл бұрын
Tunakuchukuru sana
@JacklineShao-g1w Жыл бұрын
Napenda mafundisho yako
@danielshekiyao7062 жыл бұрын
Wewe ndio menta wangu na naamini nikikufuatilia sana nitafikia uhuru wa kifedha no 4 nimeipenda
@visiongirl Жыл бұрын
Hii clip imenisaidia sana sana kudevelop nlkuwa napata shida kumwambia mtu ukweli kwamba sitaweza kumpa kiwango anachohitaji Saivi nimeweza imenifanya niwe na furaha na akiba nzuri
@omarimadiva53524 жыл бұрын
Ni darasa zuri kaka Joel,ubarikiwe sana
@frankmaginga34593 жыл бұрын
shukran, u provide gud explaination
@abraham15284 жыл бұрын
Safi sana nimeridhika.
@paulkomba99724 жыл бұрын
Asante..kwa somo
@emmanuelmkopekwa17514 жыл бұрын
Dah bro asante kwa somo zurii kwakwelii hiyoo ya 3[respond promptly ]ilikuwa ikinisumbua sanaa I think from now ntakuwa naujasiri wa kutoa jibu kwa mda huo huo ndan ya 24hrs
@noarkalelo69634 жыл бұрын
Asante kwa ushauri mzr kaka
@kamaratsalimsafari88383 жыл бұрын
Point 👌
@kamaratsalimsafari88382 жыл бұрын
Iyo ya discussing financial details 👍Yes
@shemsiahemed32044 жыл бұрын
Asante sana namba moja taizingatia kuanzia ss
@habibismael49374 жыл бұрын
Kwangu ni kutokusema details ya pesa zangu from Burundi my mentor
@maticsleokas17854 жыл бұрын
nimeipendaa hii
@edgerchristopher46914 жыл бұрын
Waoh, thank you.
@josephisinta66063 жыл бұрын
Yes it's good
@mbwanadaraja82304 жыл бұрын
Asante kaka
@jeniferkalemela994 жыл бұрын
Nimependa hili fundisho Sana joel. Ila nakuomba Kama hutajali uruhusu hizi video zako kuwa shared. Mfano nilitaka kumtumia mtu wangu wa karibu anayependa kugawa hela ovyo ovyo imekataa.
@FURAHAbest Жыл бұрын
Mm naona ya kumwambia mtu kwamba Huna au unayo ila hauitaji kumpa hiyo iko good sana
@damianmakala29134 жыл бұрын
Kwangu mimi be clear , kuwa muwazi ni silaha muhimu Sana ! Na kwa kuwa huwezi kujitenga na jamii yako ama ndugu pia kutenga bajeti ni muhimu !
@HassanHassan-si2rt4 жыл бұрын
Tabia no 1 inafaa zaid Inapokuwa na zilizobaki pia ni muhim
@michaelemmanuel1174 жыл бұрын
Ok sawa
@kelvinshambwas4 жыл бұрын
Kaka umenifungua sana
@judithjulius59932 жыл бұрын
Nashindwaga kuwa na bajeti katika kumtolea mungu
@michaelkyaruzi51752 жыл бұрын
Yote uliyoyaongea yananigusa nashukuru elimu nzuri!
@mariamayoob87344 жыл бұрын
Asante
@BarakaNgwila5 күн бұрын
nice
@MichaelErnest-do5yc4 ай бұрын
Hii inanihusu mimi kabisa kaka
@saidagalu29142 жыл бұрын
Ahsante sana umenifanya niwe respond promptly itanifikisha mbali God bless you 😘
@zabronsuleiman6644 жыл бұрын
asant bro!
@halifaiddy84974 жыл бұрын
Thanks
@mussamigeke98434 жыл бұрын
Thnx , jambo nililojifunza kwanza nikuwa Na bajeti ya kusaidia jamaa ndg Na nk Pili kuwa muwazi kujibu in 24 hrs pia Na syo kuahidi ukijua uwezekano haupo
@inyasiinvestment184 жыл бұрын
Tabia ya kuahidi kuchangia michango ya harusi ni kweli inasumbua sanaa
@ayubuhamad9451Ай бұрын
Hizi 3 za mwanzo zinanigusa moja kwa moja,natamani kuziacha
@194summer2 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe, Habari mtumishi wa Mungu Naomba namba zako nina jambo la muhumu la kukueleza