No video

NAMNA YA KUTAMBUA FURSA - MABALA

  Рет қаралды 17,046

Success Path Network

Success Path Network

Күн бұрын

Namna ya kutambua na kutumia fursa inaweza kuwa changamoto kwa watu wengi sana leo hii kutokana kuwa na mambo mengi sana yanayoendelea katika mitandao ya kijamii.
Karibu katika somo hili umsikilize Mr. Richard S. Mabala mwandishi wa vitabu na mwalimu akilizungumza jambo hili kwa upana ili wengi waweze kupata mwanga kwa namna gani wanaweza tambuana kutumia fursa zilizopo.
Kujiunga na group la SPN BOOKS CLUB
Tuma whatsapp text : SPN BOOKS CLUB kwenda 0759191076
.
Channel yangu yenye video fupifupi ( EZDEN SHOT CLIPS)
Click hapa: / channel
.
Usiache ku SUBSCRIBE na kuacha mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE pia kwa wengine.
.
TUFUATE INSTAGRAM:
SPN CHANNEL: / successpath_network
EZDEN JUMANNE: / ezdenjumanne
.
BIASHARA, MATANGAZO NA VITABU:
EMAIL: successpathnetwork@gmail.com
WHATSAPP : (+255)759191076
.
TAZAMA ZAIDI KUTOKA KWETU:
⚫️ EZDEN JUMANNE: • EZDEN JUMANNE
⚫️ VITABU: • JE, TEKNOLOJIA INADUMA...
⚫️ VICTOR MWAMBENE: • TUMIA WATU KWA NJIA HI...
⚫️ HAMASA YA LEO: • SOMO LA MAISHA | Hamas...
⚫️ NDOA: • JIFUNZE MAMBO MANNE (4...
⚫️ AFYA: • Njia Salama za Kutoa S...
#Tambua #Fursa #Mabala

Пікірлер: 18
@successpathnetwork
@successpathnetwork 3 жыл бұрын
KUPATA VITABU: 1. Elimu ya msingi ya fedha 2. Elimu ya msingi ya biashara 3. Biashara ndani ya ajira 4. Una nguvu ya kutenda miujiza . Tafadhali tuma ujumbe wa kawaida au whatsapp wenye jina la kitabu katika namba 0759191076 popote ulipo. Free delivery kwa Dar es salaam. Bei: 20,000 TZS. . Kujiunga na group la VITABU Tuma whatsapp text : SPN BOOKS CLUB kwenda 0759191076
@samoocoolingsystem93
@samoocoolingsystem93 3 жыл бұрын
Unapozeeka unarudi kwenye utoto wa pili kwahio labda nipo kwenye ujana wa pili wakati narudi kwenye utoto wa pili.........damn sijawahi kusikia hii sentensi mr Ezden Jumanne imenifanya niiandike ila sijaielewa maana yake
@janetybubegwa5272
@janetybubegwa5272 3 жыл бұрын
Ukiona WOTE wamekubaliana jambo mimi sikubaliani.hilo jambo hakuna mafanikio
@samoocoolingsystem93
@samoocoolingsystem93 3 жыл бұрын
Mara nyengine fursa inakuona wewe mara nyengine fursa unaiona wewe inabidi uwe macho
@rehematawalani733
@rehematawalani733 Жыл бұрын
Tunakuelewa baba
@salumsamesame1741
@salumsamesame1741 3 жыл бұрын
Sana sana mafanikio
@salumsamesame1741
@salumsamesame1741 3 жыл бұрын
Iko smart sana sana
@HassanHassan-si2rt
@HassanHassan-si2rt 3 жыл бұрын
Nakupata nikiwa hapa ukonga magereza
@frankbwahema32
@frankbwahema32 3 жыл бұрын
1st
@ayoubnyava8432
@ayoubnyava8432 3 жыл бұрын
Minimesoma vitab vyako ise ukovr sana
@fedharmmark6398
@fedharmmark6398 3 жыл бұрын
Ahsante kwa ukumbusho hii na Elimu Mkuu 🙏💎
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 2 жыл бұрын
Wewe ni mtu muhimu sana na huyu mnge mpa ubunge wa viti maalumu anamawazo mazuri ila Hana sehemu ya kuyatolea
@muranisalim3572
@muranisalim3572 3 жыл бұрын
Naam
@mossesezekiel7862
@mossesezekiel7862 2 жыл бұрын
👍✌️✌️
@homeofvideos8893
@homeofvideos8893 3 жыл бұрын
Daah mzungu ni mzungu tu jamani yani jamaa ana mindset ya kipekee kabisa ingawa ni mtanzania..
@freeomyomarion8318
@freeomyomarion8318 3 жыл бұрын
✊🏻
@Coachsamwel
@Coachsamwel 3 жыл бұрын
Powerful talk
@simonlukiko2850
@simonlukiko2850 3 жыл бұрын
Ni SAWA BUT KWANINI USHINDWE KUIMBA KAMA SARA ??????
UJASIRIAMALI NI NINI? - Richard Mabala
16:12
Success Path Network
Рет қаралды 19 М.
FAHAMU MAANA HALISI YA MAFANIKIO
10:07
Success Path Network
Рет қаралды 10 М.
🩷🩵VS👿
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 23 МЛН
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 48 МЛН
JINSI YA KUJENGA MIKONDO MINGI YA KIPATO na Edmund Munyagi
21:18
Edmund Munyagi
Рет қаралды 42 М.
BIASHARA ZINAZOTENGENEZA MATAJIRI WENGI
12:39
Kelvin Kibenje
Рет қаралды 44 М.
KULA 'APPLE' BAADA YA NUSU SAA- PROF. JANABI
2:47
Daily News Digital
Рет қаралды 12 М.
UCHUMI HAUKO KWENYE VITU, UCHUMI UKO KWENYE NYAKATI || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:
11:06
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 68 М.
MAMBO 6 YA KUFANYA WATU WAKUPENDE ZAIDI
16:44
Success Path Network
Рет қаралды 27 М.
🩷🩵VS👿
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 23 МЛН