Big Up Nandy. But Umeisha Mshukuru sana Marehemu Ruge inatosha sasa. I don't think ni Bizuri kumtajataja Mtu ambae hayupo at the same time uko na Mahusiano na Billnass. Please give Heshima kwa Fiancee wako na Stop Mentioning Ruge's Name kila mara. inatoshaaa. Inakuwa kama Unamdharau Billnass. That's my Advise to you. Apart from that Many Congratulations on your Achievements and to what you're doing👏
@joycekasimbazi98174 жыл бұрын
Ni vema kumkumbuka Ruge Lakini imetosha endelea tu na Nenga asijisikie vibaya
@christinembeye54894 жыл бұрын
Very True. Mwenzie atajisikia vibaya. She should Stop Mentioning Ruge, Ruge while she Jumped to another Relationship kabla Ruge hajamaliza hata Miezi 6 Kaburini. She should TALK about BILLNASS Period. Ampe Heshima Fiancee wake.
@fatmaabdi42644 жыл бұрын
Nakupenda sana Dada angu nakupenda kwasababu
@pillykupaza10984 жыл бұрын
Piga kazi Dada hongera nami nitafika inshallah
@luisawanjiku63474 жыл бұрын
See how the princess is wise ♥️♥️♥️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@rhodamkungu42374 жыл бұрын
Umependeza sana Nandy. Ukiwa na furaha ya moyo na nafsi unapendeza. Mimi nakuombea uendelee mbele zaidi. Ma drama queen tupa kule...! Sehemu yoyote kwenye mafanikio kuna vita..!! Mwamini MUNGU utashinda.
@mlasinyongolo32564 жыл бұрын
Unavyo kumbuka mkufunzi wako, Mungu azidi kukuza kipaji chako na KESHO uwakumbuke family ya Marehamu Ruge Mutahabah yazidi kutoka Moyoni yasiwe ya mdomoni. Piga kazi uliyofunzwa . Nakupenda sana tena sana ginsi unavyo mkumbuka RUGE kwa kuwa MKOMBOZI na MKUFUNZI wako Mungu azidi kukulinda na kuzidi kuikumbuka hiyo familia .
@mayasasadiki95224 жыл бұрын
Hongera mamii mie nimekukubali saruti
@noorynmohammedy60634 жыл бұрын
Nandy unazidi Kua mzur umependeza momy
@sabrinandunguli78214 жыл бұрын
Mashallah
@ilhamomar81604 жыл бұрын
😗nakupnda sna sweety umepndeza na nakkbal so cute girl 💕
@salomekondowe19754 жыл бұрын
Jamn nandy no mzur
@kadigatanzaniya47924 жыл бұрын
Mashallah nand umeongea vizur mdogo wangu
@EzraNIZIGIYIMANA Жыл бұрын
Congratulations my love nandy
@bettyowiti3974 жыл бұрын
Alafu muninyime like..😀
@violethprime3362 жыл бұрын
nampenda huyu dada jmn nataman sana niwe kama yeye tofauti na mziki jinsi tu avyo mungu akujalie kipenz
@agnessmsacky66574 жыл бұрын
Siyo vizuri Sana kumtaja mwenzi wako ambaye haukonae Tena haipendezi nandy badilika mtazamo wa mtu ambaye hayupo