NANDY: RUGE NAMFATA SANA/ SIWEZI TENA KWENDA KANISANI, NIKO BIZE

  Рет қаралды 325,092

Dozen Selection

Dozen Selection

Күн бұрын

Nandy amekaa na Dozen Selection kuzungumzia mambo mengi ikiwemo muziki na maisha yake. Tazama hapa

Пікірлер: 184
@khadijaomary4517
@khadijaomary4517 5 жыл бұрын
dada we ni mzuriii ushauri wangu kwako make up hazikupendezi ukiwa simple unapendeza sanaa
@linahgoodluck4202
@linahgoodluck4202 5 жыл бұрын
Una macho mazur
@khadijanyoni2457
@khadijanyoni2457 5 жыл бұрын
Pole kwa kumpoteza mume
@nikolouskayaya8606
@nikolouskayaya8606 5 жыл бұрын
Nimeipenda hii Dada unajiamini sana ukopoa, lakini kanisani usiache kwenda,
@ummyameir266
@ummyameir266 5 жыл бұрын
pole sana umeondokewa nandy R.I.P Boss Ruge
@hannahngeru9691
@hannahngeru9691 5 жыл бұрын
Nice interview, the interviewer is talented too.
@manruje6426
@manruje6426 5 жыл бұрын
Hannah Anger muombee kwa mungu
@mosesisaya6543
@mosesisaya6543 5 жыл бұрын
Mungu hafananishwi na mtu so unatakiwa kwenda kanisan sio kwa bize na maisha kumbuka duniani tunapita
@jenifaaloyce6910
@jenifaaloyce6910 5 жыл бұрын
Pole sana kwa kufiwa na Boss ruge
@cecymaro1374
@cecymaro1374 4 жыл бұрын
Nandy wangu nakupenda mom jomn 😍
@zainabukhalifa3967
@zainabukhalifa3967 5 жыл бұрын
Pole sana kwa kumpoteza boss ruge
@rachelgisiri4331
@rachelgisiri4331 5 жыл бұрын
nakupenda nandi sanaaaaaaaa
@stellakaguo8728
@stellakaguo8728 5 жыл бұрын
Maombi ya kuombewa hayana nguvu kama ukiomba mwenyewe so tenga muda kwa ajili ya Mungu wako.dunia tunapita
@carolinanjerimaina3227
@carolinanjerimaina3227 5 жыл бұрын
Remember there is a commandment that obey the Sabbath day God is your strength
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA 5 жыл бұрын
Carolina Njeri Maina remember the Sabbath day and keep it holy
@michaeleutycus6714
@michaeleutycus6714 5 жыл бұрын
Yap baby!! but let sabbath be sabbath don't compromise it/change it to any other day it should be on a Saturday otherwise huyu NANDY shiz so lovable & intelligent
@theresiakaruhanga9502
@theresiakaruhanga9502 5 жыл бұрын
kutokwenda kanisani hapo umefeli. kazi wote tuko biz lakini bado kanisani ni lazima. Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako....
@solomonmweri2127
@solomonmweri2127 5 жыл бұрын
Kuna Ann kansime wa Ugands, ahona subscribers more than 800k
@aminasalum1954
@aminasalum1954 5 жыл бұрын
Ndio maan nakupendaga uko vzr kwakweli,,,yote nayote tumuombee Ruge is the best in Tanzania
@nusrahoza9974
@nusrahoza9974 5 жыл бұрын
ukisema unakuwa bize unashindwa kumuabudu mungu unakosea sana tenga muda ni muhimu sana big up
@imaniamani7671
@imaniamani7671 5 жыл бұрын
pole nandi.kwenye shida Mungu Kwenye raha hafai
@saltanal-amri3950
@saltanal-amri3950 5 жыл бұрын
Sasa hilo paja mbona umelifunua sasa yani ndo maana tuna kufa kama maji bila kuugua alafu tunasema Mungu mkali yani Mungu turehemu sana sasa kama umevaa mini yako haina haja ufunue paja 😍😍😍😍😍lakini sio ajabu kufunua hilo paja maana yale machupi uliyoweka hadharani uliona sawa tu we umebakiza kuvaa chupi kichawani alafu uende kanisani
@mcdogo2046
@mcdogo2046 5 жыл бұрын
When people hurt you over and over, think of them like sandpaper. They may scratch and hurt you a bit, but in the end..You end up polished and they end up useless.
@janerosjustine9716
@janerosjustine9716 5 жыл бұрын
Duh Nandy huwez kutumikia mabwana wawil,kumbuka hilo DAT Y unaona uzito kwenda church. Pole San
@eudiahshilly7934
@eudiahshilly7934 5 жыл бұрын
Janeros Justine yaani hata akienda haisaidii maana tayari kazi anayofanya siô ya MUNGU nahata mamaake akimuombea ni kazi bure labda amuombee aache kuimba nymbo hzo amtumikie MUNGU
@jazilamashaallahjumamashaa5439
@jazilamashaallahjumamashaa5439 5 жыл бұрын
Nandy umenenepa mashaallah umependeza unasura nzuri we mzuri san
@mohamedAli-vf8hp
@mohamedAli-vf8hp 5 жыл бұрын
Yesu nampenda sanaa na mtume wa mungu ila ww hujui maana ya sinagogi enda kwa maneno maguumu kwa biblia yako utajua maana ya sinagogi
@saumukaisi3996
@saumukaisi3996 5 жыл бұрын
Aisee pole sn lazima upate maumivu lkn utapoa tu jmn kz ya mungu haina makosa❤
@sammykamau8062
@sammykamau8062 5 жыл бұрын
Hapo kwa kanisa ndio umepotea..... Take care of Gods business n he will take care of urs...
@mageshirima9324
@mageshirima9324 5 жыл бұрын
truely
@thabitmohamed8744
@thabitmohamed8744 5 жыл бұрын
Nimejua kwa nini nandy alilia sana kwa kifo cha boss ruge
@sakitasalvatory6831
@sakitasalvatory6831 5 жыл бұрын
nakuona jembe letu evanceeee
@shembaker5405
@shembaker5405 5 жыл бұрын
Allaah Akuongoe utoke kwenye giza uje katika nuru Uislamu
@amissotv5084
@amissotv5084 5 жыл бұрын
Binti pole sana kanisa msingi wa yote wait and see ipo siku utaona umuhimu wa kwenda kanisani.yaani kwa njia nyingine unamtukuza shetani kimya kimya hahaha ipo siku yenu. Yesu yu njiani enyi wapenda dunia
@abcdefgger
@abcdefgger 5 жыл бұрын
Nagukuze sha umubwije ukuri pe 👍🏾
@amissotv5084
@amissotv5084 5 жыл бұрын
@@abcdefgger sijakuelewa wamanisha nini ndugu
@jeannettendayishimiye6172
@jeannettendayishimiye6172 5 жыл бұрын
@@amissotv5084 bendela ya burundi alafu kirundi haukielew siyo/?
@amissotv5084
@amissotv5084 5 жыл бұрын
@@jeannettendayishimiye6172 hahah ncuti ikirundi nicanje ubu namutahuye bivanye nico yashatse kumbarira haha.mon pays Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮☝🏻
@estheremmanuel3283
@estheremmanuel3283 5 жыл бұрын
@ Amiso classic oliver Anamaanisha amependa umemwmbia ukweli
@angelinamichael7742
@angelinamichael7742 5 жыл бұрын
Interview nzuri, binti unajitahidi kuwa smart ila usiache kwenda kanisani
@domisiacharles6420
@domisiacharles6420 5 жыл бұрын
Tenga muda wa kanisani sis! Nakupenda ila Mungu kwanza! Pleasee narudia tenga muda wa kanisani!
@mikaeliskk1659
@mikaeliskk1659 5 жыл бұрын
nandy jitahidi sana kumuomba mungu
@funnycomtv9613
@funnycomtv9613 5 жыл бұрын
I wish nikuandikie wimbo Nandy sijui nitakupataje in communication for that!!
@roidatadey8656
@roidatadey8656 5 жыл бұрын
Weka mda wakwenda kanisani na mda wa kazi zako mpenzi kusali ni muimu
@leahstanley1064
@leahstanley1064 5 жыл бұрын
Usiache kwenda kanisani,kutoa sadaka,na kusali no matter what love
@loycempochele2814
@loycempochele2814 5 жыл бұрын
One Day napenda niwe kama wew nandy Hzo skendo ya clip yko ishapita kwn unajiingzia pesa swafyiiiii tuh na wazogo wnaongea kupoteza muda wao iv kwan hamna kaz za kfanya wenznu anaingza mkwanja Nandy pambana sanaaaaaaaa mashabiki wako bdo tytakupenda foreveeeer!!!💪✌
@loycempochele2814
@loycempochele2814 5 жыл бұрын
Nakupendraaah
@bayokonelson6508
@bayokonelson6508 5 жыл бұрын
Busy sana hadi kutokwenda kanisan, hauko serious
@shiksshiks8494
@shiksshiks8494 5 жыл бұрын
Nandella👏👏👏 good gal nakupendanga bure pole kwa kufiwa na mshauri wako boss ruge
@genophevagasper5006
@genophevagasper5006 5 жыл бұрын
carol Praise not only mshauri, a fiance
@shiksshiks8494
@shiksshiks8494 5 жыл бұрын
@@genophevagasper5006 walaa🤔🤔🤔🤔🤔?i thot ni rumours tuu haiyaa
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 5 жыл бұрын
Mtangazaj ✔nandy anaonekana kasafi mashalaah. Cute
@queenbibisha1961
@queenbibisha1961 5 жыл бұрын
Sasa nimelewa why nandy kaumia sana kwenye msiba wa ruge pole sana dear hata sisi tusiomjuwa tumeumia sana
@evajames2763
@evajames2763 5 жыл бұрын
Bibisha mt alikuwa mke mtarajiwa dear
@thabitmohamed8744
@thabitmohamed8744 5 жыл бұрын
Alipata nyenzo nyimgi kwenye maisha yake ya mziki toka kwa ruge marhm
@kinglance6365
@kinglance6365 5 жыл бұрын
Bibisha mt Haaaahaaaaaaa Haaaahaaaaa daaah Dunia Hii
@rehematawalani7472
@rehematawalani7472 5 жыл бұрын
HARAFU watangazaji kunahitaji kuwa wajasiri sana maana yanawakumba mengi kwa hao madada jinsi hayo mavazi na wanavokukalieni ni mtihani kweli
@josephalex8180
@josephalex8180 5 жыл бұрын
Hongera sana Nandy kwa moyo wa upendo kwa wazazi na MUNGU akubariki sana
@josephalex8180
@josephalex8180 5 жыл бұрын
Ushauri wangu kwako mdogo wangu usiache kwenda kanisani,nenda nenda kanisani ili MUNGU akuzidishe
@fantastictvtz
@fantastictvtz 5 жыл бұрын
nice channel afu jamaa anajua kutangaza vizuri... ana target vizuri maswali yake...
@lizynyeze7521
@lizynyeze7521 5 жыл бұрын
Sasa mnao mdis nandy ety anapenda kuvuliwa chupi saa niwaulize huaga munampea sabuni ya kufulia izo chupi..?ama ananunua mwenyewe..si kuma niyake akijickia anaeza vua ata kwa baba zenu nyoko nyinyi..maubwa koko...nungu msio kua na mikia..
@kinglance6365
@kinglance6365 5 жыл бұрын
Lizy Nyeze umesahau nawe ulizaliwa na baba pia haaaaaa kunguru wa kijani
@lizynyeze7521
@lizynyeze7521 5 жыл бұрын
@@kinglance6365 saa wewe unakereka na nini...akivua chupi hiyo haikuhusu..ukitaka pia wewe akuvulie...yakelba
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 5 жыл бұрын
Nimecheka hapo kwenye sabuni😂😂
@lizynyeze7521
@lizynyeze7521 5 жыл бұрын
@@allthingdranabeauty eee wanakereka kisa wanasema anapenda kuvuliwa chupi...nikaa wanampea sabuni ya kufulia izo chupi zenye zimevuliwa...
@zulfamohamed4549
@zulfamohamed4549 5 жыл бұрын
hahah umenichekeah kwel kwenye chup
@khakisramadhanishabani7820
@khakisramadhanishabani7820 5 жыл бұрын
iko njema zaidi
@aishasilaji5759
@aishasilaji5759 5 жыл бұрын
Ila mungu hatajua ulikuwa nani duniani kikubwa ibada hayo yote yanapita dinadamu ni mauwa kuchanua na kunyauka
@fanueledmund6408
@fanueledmund6408 5 жыл бұрын
Weee mpare kanisani huwezi kwenda duuuuu kumbuka upareni ndio kwenu tu badilisha mazingira basi ya home nenda kanisani warunda yani
@josephmlela9757
@josephmlela9757 5 жыл бұрын
Pole saaana nandy,,,,
@babondocomedyandmovies9760
@babondocomedyandmovies9760 5 жыл бұрын
Wow princess
@rehemavickie6521
@rehemavickie6521 5 жыл бұрын
Kuombewa sawa lakini simama kwa miguu yako umuombe Mungu dear, yote haya yana mwisho,, kumbuka mbingu na dunia ziapta lakini neno la Mungu halitapita kamwe... think of where your spirit will rest tomorrow after this life
@abcdefgger
@abcdefgger 5 жыл бұрын
We binti kanisani ni muhimu sana weeeyeee
@isabellanjesa3488
@isabellanjesa3488 5 жыл бұрын
Hajui mtu anatakiwa ajiombee si kutegemea maombi ya mtu ndio maana mbinguni kila mtu anaenda kivyake, wazazi wanatakiwa kutuombea but sisi wenyewe tunatakiwa kujiombea zaidi
@joashandhoga4019
@joashandhoga4019 4 жыл бұрын
Huna akili nenda kanisani Mungu akusaidia
@hildajohn4526
@hildajohn4526 5 жыл бұрын
Mama akuombee uache muziki wa kidunia uimbe injili mwimbie bwana
@hadiaaisha8297
@hadiaaisha8297 5 жыл бұрын
Kwahio watu wakiwa bz ndio wanasahau hata kumuabudu mungu
@teddykassinde4608
@teddykassinde4608 5 жыл бұрын
Hawajui bila MUNGU huna pumzi ya kufanya mambo yako duh
@ramadhanimagomba7395
@ramadhanimagomba7395 5 жыл бұрын
Nice
@linnahkimario6091
@linnahkimario6091 5 жыл бұрын
Ramadhani Magomba unampenda huyo ni watawi kumpata ni nux
@rosemassawe8716
@rosemassawe8716 5 жыл бұрын
Evans lyiatuu 1 1 pamoja kaka tumekumiss kweli moshi huku kwa kaz zako Allah maswaaala
@aminasalum1954
@aminasalum1954 5 жыл бұрын
Safi saan nandy ukitoa sadaka usijionyeshe
@carolinemusimbi9232
@carolinemusimbi9232 5 жыл бұрын
God bless you Nandy
@luckyvenance4576
@luckyvenance4576 5 жыл бұрын
Usichore tattoo mwaya nandy tattoo ni dhambi
@xkingx8041
@xkingx8041 5 жыл бұрын
Napapenda kanisani saaana, fanya utakakavyo but ipo siku utakuta kuto kwenda kanisani!!!!
@malengealbert8972
@malengealbert8972 5 жыл бұрын
Siwezi kupitwa na interview oote katika page hii #never miss
@mariammotoraiz8482
@mariammotoraiz8482 5 жыл бұрын
MUNGU ndo wa kwanza we Nandy
@julianalumasai8
@julianalumasai8 5 жыл бұрын
Nancy nimekukubali sana kutokuchora ratio from ke
@glorygoodluck7125
@glorygoodluck7125 5 жыл бұрын
Jitahidi mamy mungu akusaidie mamy penda sana ww,,,,
@jacqulinejoseph6286
@jacqulinejoseph6286 5 жыл бұрын
Nakupenda an Nandy japo sikujui huna malingo wala nn umefunzwa kwenu hakika, zidi kupambamba usijali wanadamu wanasemaje mwanadamu hajakamilika
@alimussa2655
@alimussa2655 5 жыл бұрын
Piga kazi mama ukisikiliza mawazo ya kinafik watakupotez ukiona huwelew watafute wazazi wako wawili hao ndio wakweli ndani ya maisha yako
@khadijaabdallahsaid303
@khadijaabdallahsaid303 5 жыл бұрын
nandy nakupenda bure dd ang
@marmon1076
@marmon1076 5 жыл бұрын
Kaa vizur umekaa uchi dada mapaja wamuonyesha
@kwizeraargendrine6228
@kwizeraargendrine6228 5 жыл бұрын
Cool
@beatricemkoraamkoraa8562
@beatricemkoraamkoraa8562 5 жыл бұрын
kumbuka Ibada mtoto mzuri
@mrgasparmrgaspar4351
@mrgasparmrgaspar4351 5 жыл бұрын
Nakpendasaana nandy
@smavilifestyle2471
@smavilifestyle2471 5 жыл бұрын
Maskini hii interview kaifanya siku ruge anafariki..pole nandy...
@rahmaathman721
@rahmaathman721 5 жыл бұрын
Nakupndaga sana sister
@carolinemusimbi9232
@carolinemusimbi9232 5 жыл бұрын
U are very brave
@husseingwanone7825
@husseingwanone7825 5 жыл бұрын
Dozen Na Mm Ni Hussendinho
@manyikarithe238
@manyikarithe238 5 жыл бұрын
Nandy Lichupi huyooooo.....Amekosa ndoa na jamaa bwana daaah
@asiaamina3247
@asiaamina3247 5 жыл бұрын
Huyu nandi sura yake hakic asa Ba rangi yake ikoje mana kila sehem anasura Na rangi nyengine
@justinanicolous3822
@justinanicolous3822 5 жыл бұрын
Muongo ww wivu tuuu
@dynesisrael6433
@dynesisrael6433 5 жыл бұрын
Asia Amina wivu kwel khaaa
@jehnipherkinabo1166
@jehnipherkinabo1166 5 жыл бұрын
mmmmh reallyyy!! busy ata kanisan ushindwa kwenda, hauko serious kwel ww tena kwa sababu ya show?
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 5 жыл бұрын
Nandy mtt wa vichupichupi
@daprince7545
@daprince7545 5 жыл бұрын
Daaaah dadangu washidwa kwenda kanisani juu ya kazi mungu akusamehe 😥😥😥
@BigZhumbe
@BigZhumbe 5 жыл бұрын
Hio mick itamtoa Lipstick kwa mdomo
@imaniamani7671
@imaniamani7671 5 жыл бұрын
shetani kakuteka.Mungu hana maana kwako.ipo siku utamtafuta .umelewa pesa na umaarufu
@saudanikwelibbyjmaneno.kun7372
@saudanikwelibbyjmaneno.kun7372 5 жыл бұрын
Pole. Mwaya. Kilakitu. Luge. Kwakuwa. Alikuwa. Bby. Wako
@zulfamohamed4549
@zulfamohamed4549 5 жыл бұрын
hahah naten
@abdulqareemabdala2772
@abdulqareemabdala2772 5 жыл бұрын
Hii dunia inatudanganya sanaa wanawake kuvaa nusu utupu madai staa haya tutafika tuendapo
@shukurukimath925
@shukurukimath925 5 жыл бұрын
Mungu aliye kufikisha apo ndoo atakupeleka duniani zaidi usimwache eti kisa ashaa kupandisha mlima uka mwacha
@jumamaganga2497
@jumamaganga2497 5 жыл бұрын
Hahaha😀 imenipanua sana
@olivershayo5920
@olivershayo5920 5 жыл бұрын
kumwomba mungu hakuna ubize.siku yakikukuta utasali kwa.lazima
@bjzee1981
@bjzee1981 5 жыл бұрын
Huyu ndie dudu alimwita nandi machupi?
@jamilajuma3811
@jamilajuma3811 5 жыл бұрын
Smart girl
@kinotasontravel3883
@kinotasontravel3883 5 жыл бұрын
Yani utanitoa roho hapo Nandy bora napenda pilau wali maharage yaliyopikwa vizuri
@sabinaluyego4408
@sabinaluyego4408 5 жыл бұрын
haya makanisa mengine ya kilokole nashindwa kuyaelewa. Hivi inawezekanaje mtu aliyeokoka akaimba bongo fleva
@suzzyvicent1101
@suzzyvicent1101 5 жыл бұрын
uko vzur mama
@evatairo1800
@evatairo1800 5 жыл бұрын
Usilewe na umaarufu mpaka useme kanisani unasahau kwenda
@agnesblidadi689
@agnesblidadi689 5 жыл бұрын
Ibada muhimu
@officialfareedy6120
@officialfareedy6120 5 жыл бұрын
umetisha sana
@kagyahappy8576
@kagyahappy8576 5 жыл бұрын
mamy jitahd kwenda kanisan naiman kila ktu ktakuwa pw
@eunicemishel2562
@eunicemishel2562 5 жыл бұрын
Nakupenda kumbe wewe fala sana .Eti huwezi kuenda kanisani uko bz.Kumbuka Mungu anakupa nguvu ufanye busy zako.Ndosababu ukafanya ujinga maana hujielewi na maana ya kanisa
@jenpheergervasy2422
@jenpheergervasy2422 5 жыл бұрын
Eunice Mishel hujamwelewa kumbe
@eunicemishel2562
@eunicemishel2562 5 жыл бұрын
@@jenpheergervasy2422 namuelewa vizuri sana na kiswahili chao cha ktz interview zote hunishangaza niza kiswahili
@linnahkimario6091
@linnahkimario6091 5 жыл бұрын
afu huyo mshenzi kweli inakuaje anavuliwa chupi na dudubay
@eunicemishel2562
@eunicemishel2562 5 жыл бұрын
@@linnahkimario6091 hahahahaha
@millicentmadamyaya1608
@millicentmadamyaya1608 5 жыл бұрын
Linnah Kimario,dudubaya Tena mmmm
@awadhhemed5145
@awadhhemed5145 5 жыл бұрын
nandi natamani uwe mke wanguu aki
@hamidamsuya1789
@hamidamsuya1789 5 жыл бұрын
We mpare ulikosea sana mwaka jna lkn big up xana pambana ila cc km wapare tunaomba isijirudie
@nancyauma4035
@nancyauma4035 5 жыл бұрын
Alifanya nini???
@florakabado3543
@florakabado3543 5 жыл бұрын
ipo siku utauona umuhimu wa kanisani,saizi unaona mambo yana kunyokea huoni umuhimu wa kanisani ila siku mwenyewe akiamua utamutauta.nibora ukanyamaza tu.
@solomonmweri2127
@solomonmweri2127 5 жыл бұрын
Wee, kuna Yemi Alade
@daisybankika9111
@daisybankika9111 5 жыл бұрын
Good interview
@faridumiraji9960
@faridumiraji9960 5 жыл бұрын
sijawahi jifikilia kukosa interview kutoka hii page ,,,maana zote kali
@christinapeter3695
@christinapeter3695 5 жыл бұрын
Huyo anaufamlem wake.ndo maan .Nuru na Giza haviendani .
NANDY EXCLUSIVE: "RUGE ALINICHUMBIA NDOA INGEFUNGWA MARCH"
43:23
Millard Ayo
Рет қаралды 1,3 МЛН
NANDY: SINA MOYO WA KUVUMILIA/BILL NASS AKIOA
8:00
Dizzim Online
Рет қаралды 243 М.
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 21 МЛН
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 33 МЛН
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 43 МЛН
Unakumbuka haya maneno matatu ya Mzee Mengi kwenye msiba wa Ruge
4:57
How OgaObinna was Received kwa kina BEBII
23:42
The Weekly Show KE
Рет қаралды 4,9 М.
NINAYO MAGARI YAKUTOSHA/NILIHAMA MASAKI/THT ITAENDELEA:NANDY
12:46
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 232 М.
NANDY: HAMISA MOBETO / HANA UMUHIMU SANA / NIME M-BLOCK INSTA
19:29