Dada wa Ruge Mutahaba Koku,ameelezea mpango wa familia kwenye kuendeleza yale ambayo yalikuwa yakifanywa na Ruge Mutahaba.
Пікірлер: 100
@solomonmpuluma54855 жыл бұрын
Nimekupenda sana Koku. Wewe ni jasiri tena unamjua Mungu! Ubarikiwe sana! =
@ilovejesus93035 жыл бұрын
Nimeipenda hii family, asili haisahauliki, wapo waliozaliwa nje kwenye hii familia ila wote wamepewa majina ya kihaya😁😁😁. Wanna uzalendo Sana na ni wacha Mungu. Poleni sn kupoteza mpendwa wenu
@salomewandya72572 жыл бұрын
Kabisaa aisee
@saidiissa87295 жыл бұрын
Kama umerudia rudia kipande anachoongea kingereza kama mimi gonga like tujuane hahaha
@hermanwenceslaus54975 жыл бұрын
hhahhahahah
@saidiissa87295 жыл бұрын
@@hermanwenceslaus5497 de
@ginalemabrown92825 жыл бұрын
Nimekupenda sana dd unaongea point nzuri sana yaani una Mungu dada Mungu akutie Nguvu sana
@mussamgundoi55365 жыл бұрын
Tulizaliwa siku moja na tutakufa siku moja mungu awape nguvu katka kipindi hiki kigumu sana,, Bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake libarikiwe Amina
@babyyshayo36335 жыл бұрын
Yaani hii Familia wako vizuri sana na wanapenda MUNGU sana na wana neema ya ajabu
@winniedaudi46705 жыл бұрын
She's very smart girl👍 #koku
@amongthewinner71765 жыл бұрын
Daaaaa hii family wamemtanguliza mungu mbele sana
@zaynabkalombi15795 жыл бұрын
Sana
@salomewandya72572 жыл бұрын
Saaana nafikiri na malezi pia
@gloriousn64255 жыл бұрын
My heart is literally bleeding Putting you guys into our prayers.So sorry for your loss Tumaini la kuonana siku moja lipo 🙏🙏🙏🙏😭😭😢
@petermwalembe54785 жыл бұрын
Mungu watie nguvu
@obinalaurent69225 жыл бұрын
Wanafanana xan hii familia! Na wanampend xan mungu. Awaxaidie mungu wetu
@janethmarley74755 жыл бұрын
Eeh Mwenyez Mungu tujaalie mwisho mwema pumzika kwa Aman ruge
@beatricekamengekamenge55435 жыл бұрын
😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏ruge wetu umetuumiza sana pumzika kwa amani 🙏
@DaveHumphrey25145 жыл бұрын
EXCELLENT EXCELLENT CONTENT... Double pay the corresponder!.
@elizabethmwandu69375 жыл бұрын
Hii familia ni familia ya wasomi dada anapiga English kama anakunywa maji.Halafu huyu zamaradi anafanana na hii familia utafikiri amezaliwa ktk familia hii hali yeye mkwe ktk familia hii.Mungu awape nguvu.R.I.P
@ilovejesus93035 жыл бұрын
Yaani Zama alifanana sn huku😁😁😁
@rasihamsangi80845 жыл бұрын
Kweli hata mie naona kafanana nao sana
@antybabybintrashid23334 жыл бұрын
True
@mme.irenekilumanga6435 жыл бұрын
Poleni sana... Gone too soon, may he continue to rest in perfect peace until u meet again.. AMEN 🙏🏾.
@lucykiage5 жыл бұрын
A man often marries a lady not so far from his family in terms of color and mayb shape,she looks exactly like Zamaradi .Rip Ruge
@josephinemkini9485 жыл бұрын
Take heart Koku...my prayers with the family ...R.I.P Ruge🙏🏾
@barnabavumu79365 жыл бұрын
Dada yuko smart sana pole sana wote njia yetu moja
@suzziejelagatt5 жыл бұрын
Sending my ❤❤ to Ruge's family. May almight God give you strength and comfort
@muxinkuya91615 жыл бұрын
Polen sana.
@KnowledgeClass.5 жыл бұрын
yai moja amazing......
@neemakahabuka4595 жыл бұрын
Dada Koku pole sana na hongera na asante kumuuguza kaka yako Ruge,Mungu akutie nguvu saana
@queenbibisha19615 жыл бұрын
Nimependa hii fml inampenda sana mungu tena inaonekana wote ni wasomi kabisa
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA5 жыл бұрын
Poleni sana familia. Mungu yupo pamoja nanyi
@rosekyara28215 жыл бұрын
pole sana Dada yangu
@maryngalakibanzu46135 жыл бұрын
Poleni sana familiar rip Ruge
@paulalphonce58485 жыл бұрын
Koku....
@mrskhalid12065 жыл бұрын
The English language she tops it 😍😍😍😍😍😍😍😍am sorry sister
@hanifakimaro21795 жыл бұрын
Pole sana Koku 😭😭😭
@maldamkubulo24295 жыл бұрын
Pole sana dada Koku, Tibwomo( Kilakala Secondary school)
@a.8565 жыл бұрын
Mungu awatie nguvu nyote
@user-ik3ey9cs9e5 жыл бұрын
Poleni sanaa.
@saumukaisi39965 жыл бұрын
Kwa kweli poleni sana wapendwa wetu
@badmanno.16505 жыл бұрын
Koku inaonekana amelia sana...alaf sura za Mwachi kabisa
@ibel4lf5 жыл бұрын
Pole Koku
@ziadaalute68365 жыл бұрын
poleni
@secylovenessadaa42455 жыл бұрын
Pole Sana mamy
@sophicatesalim97575 жыл бұрын
Poleni familia na marafiki
@aminahamisi86725 жыл бұрын
Poleni
@Ukhtyzuhura5 жыл бұрын
Poleni sana dada koku Mungu atawapa nguvu ktk kipindi hiki kigumu
@ayubuwilson57444 жыл бұрын
arikiba
@beatricejoseph35375 жыл бұрын
Jaman inauma aisee
@hagaimrutu89765 жыл бұрын
poleni sana
@shedy_marie5 жыл бұрын
Poleee san huwa nikisikia msiba moyo wang huishiwa nguv
@deboramatpapaztv5 жыл бұрын
Anaongea vizuri sana
@Rugemalilatv19945 жыл бұрын
Koku anapiga English zaidi ya rais
@rahimaaaaa86995 жыл бұрын
Mmmm yaani anapiga kizungu utadhani TRUMP. HAPO ANACHOMEKEA TU JE AKITOA SPEECH YA ENGLISH ha ha ha
@rehemajoseph87415 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@karthala66765 жыл бұрын
They are educated people. Baba is a professor
@mtotohodari94465 жыл бұрын
luge Donation 😅😅
@selemanyahya38105 жыл бұрын
hata hivyo huyu dada kafanana na zamaradi
@tingbatuuka72782 жыл бұрын
=fallen hero
@nurisahim78985 жыл бұрын
Dah huyu dada jasiri sana
@sherrykeya73705 жыл бұрын
Sorry my deepest condolences.May his soul rest in peace
@ididitagainn5 жыл бұрын
very sorry may his soul rest in peace😢😢
@barnabastanford35005 жыл бұрын
Pumnzika kwa amani kaka ruge hakika ni pengo na umezima kaka kama mshumaa nenda kamanda nenda shujaa
@maryflorenceinvestment75324 жыл бұрын
We are very close in different way ,wahaya hoyeee n mm ngonja nijarib how watch at 2020/2/26
@latifahsalum34795 жыл бұрын
Rip ruge
@angelntandu46485 жыл бұрын
Coka koku unaongea english nzuri sana
@babyyshayo36335 жыл бұрын
MUNGU awatie nguvu sana
@Michoarbah5 жыл бұрын
uchawi ni pale interview nzr kama hii unakuta ina dislike 14 daa.....
@yusratmmbaga93725 жыл бұрын
Hawajui # na chanya zinamaanisha nini ni wageni maeneo hayaa😄😄
@najmasalimsalim27415 жыл бұрын
Kuna wengine muwaelewe hawajui maana yakulike nakudislike wao wanaandika tu
@madamhero49525 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@aminakassim82725 жыл бұрын
Uchawi wa hali ya juu
@neymafrancis62195 жыл бұрын
Dada anajua kujieleza na kujbu maswali vzr sana kichwa kama Ruge huenda huyu akawa mrithi wake ❤❤
@babyyshayo36335 жыл бұрын
Jamani alafu hii Familia wanafanana sana jamani wapendwa
@timothhatibu15955 жыл бұрын
Duuh kidhungu ya dada Ruge imenyooka
@salomewandya72572 жыл бұрын
Hahaha si amezaliwa UK
@peterkyese45165 жыл бұрын
Mmmmmmmh jamaniii
@gozibertleonard1115 жыл бұрын
Mpola muno omukama abae emigisha_from mbeya
@khadijanjama90165 жыл бұрын
Familia imejaaliwa subra
@rehemaabdy91605 жыл бұрын
Ruge kajua kutuumiza sana sana Mungu ampumzishe kwa kazi zake kubwa amsamehe kwakwel namuona ruge Pepon kabisa
@cecilialyimo92365 жыл бұрын
English yake ni nzuri mno,hafu yuko simple,had raha jaman,tuige tabia za hii familia
@lakiabalozi66005 жыл бұрын
Ashomire
@lucyferuzi12245 жыл бұрын
Mpola kaisiki
@gggjjahhhh94195 жыл бұрын
Daaaah
@febyisaya29975 жыл бұрын
Kazi ya mola haina makosa mungu awafariji kwa maumivu mliyonayo ya kuondokewa na mpendwa wenu