Waleikum salaam warahmatullah wabarakatuh Allah subhana wataala walipe ndunia na Akhera
@isahbarasa23 күн бұрын
Walimu wetu mapenzi mashalla ❤
@suleymanali43123 күн бұрын
Masha Allah mwenyezi mungu awaokowe na macho ya mahasidi, wale wana toa coment kusema munawasubua wakrsto hao hawajui wamepotea na muna waita kwa njia ilio nyooka aw mna wakataza wasi tupwe jahanam, waambiye nabii nuuh aleyhi salaam aliwaita qowm yake waje wa mabudu allah kwa miaka 950, waliringa kuziba masikio walimtukuna walisema mwenda wazimu huyu walimtharau
@mishijuma555823 күн бұрын
Assalaam alaikum mashekh wetu ALLAH awalipe nilikuwa nauliza vp Hali ya sheikh yusu
@hassansharif571623 күн бұрын
Mansha Allah
@jamada-by3rq23 күн бұрын
Asalaam Alaikum brothers and sisters I’m so delighted to be number one today Alihamudulilah ❤❤❤❤❤❤❤❤ Love and peace all over the world 🗺️
@salimdaawah12323 күн бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh Masha Allah We love you for the sake of Allah
@zaidiissa371423 күн бұрын
Mashe mnapozungumzia mambo ya Dini msifichefiche hawa watu vichwa vyao nivigumu sana hawawezi kuchanganua mambo kama huyo kaka wakwanza ambae alikua anauriza swali lakua ulipomuambia kuhusu mbio hajaelewa vizuri afazali ungetumia neno la tendo landoa kilamtu akaelewe pia nigundua wakenya wengi wanatatizo lakuelewa kiswahili nimeona sheikh Salim unaongea mbiombio sijui kama wanakuelewa pia mifano mingi inawachanya sana bora umpatie mfano mmojatu lakini maandiko mengi kuliko mifano mingi jitahidini pia kwanye kiswahili kinyooke Sio kwaubaya Asalaam alaykum masheikh wetu tunawapenda sana
Allah awalipe pepo firdaus wote wanaoshiriki dini ya Allah
@ZakiyaAnwar-w1r23 күн бұрын
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh MashaAllah leo wa pili Alhamdulilah
@jasminmohamed61452 күн бұрын
SUBHANALLAH LAILAHA ILLALLAH WAHDAHU LASHARIKALAHU LAHULMULKU WALA HULHAMDU WAHUWA ALA KULLISHAIIN KADER WAANNA SAYYIDINA MUHAMMADIN RASULULLAHI SWALLAAHU ALAIHI WASALLIM WA BARIK ALAIHI ALLAHUMA SWALLI ALA SAYYIDINA MUHAMMADIN WAALI SAYYIDINA MUHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM Barakallahu Feek
@mahmudmugarura217523 күн бұрын
Walaikum salam warhmatillah wabarakat
@JamilaJumanne-u7q20 күн бұрын
Waleykm msalaaaaam !! MASHALLAH sikuiz wilbaa kaelewa😂😂 haji namaswali muandalien kanzu atakuja kuwa mwalimu mzuli sana!!
@janieali552122 күн бұрын
MASHAALLAH MASHEHE WETU KWA KAZI BORA YA KUENEZA DINI YA HAKI. MUNGU ATAWALIPA BILA HESABU
@salimdaawah12322 күн бұрын
Aamiin amiin amiin sote
@abdullahijma20736 күн бұрын
Mashallah… nampenda sana huyu msomaji, very fluent.
@salimdaawah1234 күн бұрын
Masha Allah
@ahmednasib846523 күн бұрын
Mash'Allah ❤walimu mungu awaweke na afya
@ibrahimmussa747816 күн бұрын
Waaleykum Salam, mwenyezi mungu awafanyie wepesi kesho kiam peponi iwe makazi yenu kwa kujitolea na kuwaongoa waliojaaliwa na mwenyezi mungu na wengine tunawaombea dua watoke kwenye ujailia.
@salimdaawah12316 күн бұрын
Aamiin amiin amiin sote
@abdallahazizi99923 күн бұрын
Walimu nawaombea baraka kwake Mwenyezi Mungu Nawaomba mtafsiri kwakiswahihi kwasababu Wa Congo tunakusikiliza sana
@HisMajesty6422 күн бұрын
Kaka sijakuelewa vizuri hapo
@hassanmpemba574722 күн бұрын
Asalam alaikum sheikh salim alhamdulillah wakenya wanapenda kusikiliza maneno ya mungu
@salimdaawah12322 күн бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh tena sana
Walahykum Salahm warahmatullah Wabarakatuh.. Masha allahy Sheikh Salam Na Walimu Wengine Allah Azidi Kuwanasi Ad Sikuyake Ya Mwisho Ameen ❤❤❤
@MohamedHozi-p1u22 күн бұрын
Mashaallah baarakallah
@MwangiMuhammad-q8r22 күн бұрын
Assalam Alaykum Warahmatullahi Wabatakatuhu... kiswahili mushkilat kwa jaduong
@salimdaawah12322 күн бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@ibruzah00120 күн бұрын
ALLAHU AKBAR ♥️
@minaniyasini783422 күн бұрын
Allah awalipe kila la kheri wahadhiri
@Marim-qp8gs22 күн бұрын
Allah awalipe paka ahera yarabi
@salimdaawah12322 күн бұрын
Aamiin amiin amiin
@molee0023 күн бұрын
Huyu Onera Ouma, ni Time Waster kama yule Shadrak, ambaye ali tokomea baada ya upuuzi wake! Ni kweli, hawa WaPagani wa Antioch kama Paulo, walikuwa uzaa wa Ma Crusaders. Na hizo Ma 'Kanisa' Saba, wali establish kule katika town ya Smyrna, TURKEY, au Galatia, walipo FUKUZWA na the MAMALUK Empire, in 1483. Na Smyrna is 2500km from Jerusalem. Tabarak Allah Team
@loner_wolf18 күн бұрын
Ouma hanaga swali ....ni huwa anakuja kubishana tu ......na kiswahili chake kibovu 😅😅😅😅
@ikhavi22 күн бұрын
Wakati wa pasaka hakuna kitu kilitengenezwa kilicho na chachu maana haikuwa ya kulevya...na andiko hilo na timotheo hakuna kuruhusu kwa ulevi😂😂😂