Hotuba Ya Mwl Julius K Nyerere Mkutano Mkuu Wa CCM Dodoma Mwaka 1995

  Рет қаралды 445,893

Ikulu Tanzania

Ikulu Tanzania

10 жыл бұрын

Hotuba Ya Mwl Julius K Nyerere Mkutano Mkuu Wa CCM Dodoma Mwaka 1995

Пікірлер: 169
@moshiphoneclinic6070
@moshiphoneclinic6070 10 ай бұрын
Gonga like Kama unamkubali huyu mwamba
@sarfarazahmad5445
@sarfarazahmad5445 Жыл бұрын
One of the most popular and the best speakers in Africa and the world. Miss you Mwalimu.
@anilabdallah746
@anilabdallah746 Жыл бұрын
❤i
@musr931
@musr931 4 ай бұрын
I can't get enough of this GUY!
@godfreychitumbo589
@godfreychitumbo589 Жыл бұрын
Daaaaaaaaah hakika baba wa taifa alikuwa ananena ya kwel tutayatafuta nje na sio ndan tutakukumbuka daima
@danmutuginjoroge
@danmutuginjoroge Жыл бұрын
Greatest speech ever by former excellency
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Жыл бұрын
Mungu wetu ingilia kati kusaidia watanzani wako. Mungu ULITUWEKEA nchi hii UTAJIRI MKUBWA sana lakini mbona viongozi wetu hawana akili kubwa za kutosha kugeuza UTJIRI huo WA ASIKI uwe na manufaa kwa watanzania na hata afrika kwa ujumla? Hao Wanasiasa wetu hawaji na sera zenye mashiko ya manufaa kwa taifa hili. Tunawatafuta sana viongozi wenye mitizamo hiyo na tunajua wapo ila ni vigumu kupenya ngome ya CCM. Ee mungu tunaomba msaada wako utusaidie wana wako. Sisi siyo masikini wa mali bali akili.
@tonnykasibante8823
@tonnykasibante8823 Жыл бұрын
A speech with content maana na mathumuni.Hayati Nyerere asante sana kwa kuwa kielelezo na mfano bora kwa wote katika bara letu ?Mwenyezi mungu akubariki
@hassanmzee1807
@hassanmzee1807 Жыл бұрын
Huyu ni mtu
@samsonkaboko5137
@samsonkaboko5137 Жыл бұрын
Mt Nyerere ulikuwa ni baba kweli na Kila aliyepita kwenye nyayo zako alifanikiwa Kwa haraka zaidi, pumzika kwa amani, msalimie JPM
@jumambazi7173
@jumambazi7173 Жыл бұрын
Hotuba za baba wa Taifa Mwalimu Julius Nuerere ni uhai wa Taifa letu na kwineko duniani.Zidumishwe Kama urithi wetu.
@user-ig2ol6oi9k
@user-ig2ol6oi9k Жыл бұрын
Mwalimu Julius kambarage Nyerere alikuwa ni kiongozi wa kweli na aliyekuwa na maono . Na alikuwa akili , hekima, busara, utu na kipawa kikubwa cha uongozi . Mungu azidi kumpa raha ya milele peponi. Hatuwezi kumsahau
@songaym.assiyecheka5322
@songaym.assiyecheka5322 6 жыл бұрын
Mungu wangu nisaidie kumuenzi Baba Wa Taiga Langu LA Tanzania!! Hayati MwL. Julius Kambarage Nyerere.
@gracemush6838
@gracemush6838 2 жыл бұрын
Mungu ampe makao ya milele baba yetu wa taifa hili la Tanzania wapo wawili 2 wote atukonao
@estherbukoja6208
@estherbukoja6208 Жыл бұрын
Asanter kwa kuturetea uhuru ktk taifa letu na sasa tunaishi kwa amani na tunakukumbuka sana ,mungu ailaze roho yako kwa AMANI mahari pema peponi AMINA
@fredrickotieno6694
@fredrickotieno6694 Жыл бұрын
Rest easy legend of Africa
@lambosalum6299
@lambosalum6299 Жыл бұрын
The real father of Tanzania and Africa by general
@stephenf.sikolia7588
@stephenf.sikolia7588 5 ай бұрын
Thank you for educating African continent. God help us.
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Жыл бұрын
Hotuba iliyojaa utajiri wa kifikra na uzalendo wa ukweli👏👏 👍
@godfreyhhaysanday7530
@godfreyhhaysanday7530 Жыл бұрын
Tunakukumbukeni watetezi wa nchi yetu bad tunawakumbuka😭😭😭
@dicksonimfungomfungo6657
@dicksonimfungomfungo6657 Жыл бұрын
Hiindiyo ilikuaga mashine ya Tanzania , Mungu akubaliki akutie wepesi na laha ya milele
@user-wr8yy2ft2v
@user-wr8yy2ft2v 11 ай бұрын
Mungu ailaze loho ya baba yetu mahali pema pema peponi na apumzike kwaamani
@ramadhanomary2547
@ramadhanomary2547 Жыл бұрын
Mungu akulipe kwa mazur ulio tupigania kwenye nchiyetu heshima nyingi kwako mwalimu daima hatuta kusahau 🙏🙏🙏
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 8 ай бұрын
this speech my roll mode
@deuskisonga5819
@deuskisonga5819 Жыл бұрын
Baba wa TAIFA ALIKUWA anaona mbali Sana. RIP
@user-yf6ge4xf5d
@user-yf6ge4xf5d 7 ай бұрын
Hutubahii imetoa machozi uhakika Baba wa Taifa alikuwa chuma
@giftsiwakwi4079
@giftsiwakwi4079 Жыл бұрын
Unakumbukwa Baba wa Taiga, may your soul continue resting in peace
@khalfanmustafa6615
@khalfanmustafa6615 Жыл бұрын
Nyerere ulikiona hichi kitu Kuna Nyerere mwingine alitokea ila amekufuata huko mungu awaweke mahara pema!!
@user-xl9so6jg1e
@user-xl9so6jg1e 8 ай бұрын
Yule msukuma alikuwa mwenda wazimu
@ismailabdallah7853
@ismailabdallah7853 Жыл бұрын
mwenyezi mungu hakufanyie wepesi mwalimu Baba wa taifa letu
@mrmuba7330
@mrmuba7330 Жыл бұрын
ndugu kwa muislam haifai kumuombea dua mtu aliekufa hali ya kua si muislam
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 7 ай бұрын
@@mrmuba7330ila kukuombea wewe shoga ni sahihi
@amazing_life696
@amazing_life696 Ай бұрын
Heeh! Kumbe uislam ndio uko hivyo. Basi hapo hakuna dini ni ushenzi tu.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Ай бұрын
​@@amazing_life696 Dua umuombe ndugu yako, na hakuna undugu wa Muislam na asiyekuwa Muislam. Ni HARAM kumuombea pepo asiye Muislam.
@fatmakitine7674
@fatmakitine7674 11 ай бұрын
Innallah Wainaillah Rajuun. Mwenyezi Mungu amrehem amsamehe makosa yake inshallah ampe pepo
@OmarJuma-og4kd
@OmarJuma-og4kd 2 ай бұрын
@fatmakitine7674 usihadalike na maneno ya kisiasa na kumuombea kafiri asamehewe na Allah nakushauri isome Qur an itakuzindua kiakili kwa Allah anasema kwenye surat Muhammad Aya ya 34..kwamba....wale ambayo wamekufuru na kuzuia watu kuelekea njia ya Allah Kisha akafa na ukafiri wake basi hatasamehewa na Allah ....Sasa Nyerere alikufa na ukafiri wake vp wewe unamuombea kwa Allah kuwa amsame na mtie peponi wakati pepo umewekwa ajili ya wachamungu sio makafiri ...
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Ай бұрын
​@@OmarJuma-og4kd Acha mtu aombe dua anavyojisikia Mungu mwenyewe ataamua hata Mtume wetu Muhammad alimuombea ami yake kwa sababu Dini ni kati ya mtu mwenyewe na Mungu, utajuwaje kafa na Dini gani.
@daudmnanga7075
@daudmnanga7075 9 ай бұрын
Asante sana kwamuongozo
@laurentikimbangala2970
@laurentikimbangala2970 Жыл бұрын
Ni kweli , uhalisia rushwa ni adui ya haki.
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 Жыл бұрын
Baba yangu huyo! Nampenda sana baba, na JPM....hawa ndio waasisi wapenzi wa watanzania, walitupenda kwa mioyo yao yote.
@HenryKanyika-pu8nd
@HenryKanyika-pu8nd 8 ай бұрын
Nyerere kama Jpm
@aminasaidi5010
@aminasaidi5010 6 ай бұрын
Dahh hotuba nmeixkia mwaka nazaliwa mm mbona haziachan najinsi dk jn pombe maguful alivokua anatuogoza mung aziweke roozao mahala pena pepon aamin
@MussaAmri-ps4oy
@MussaAmri-ps4oy Ай бұрын
Eee mungu ibaliki Tanzania ayangu nawatuwake
@mpalemwamakamba
@mpalemwamakamba 8 ай бұрын
Mungu amlaze mahali pema peponi wanaharibu nchi yetu washindwe
@naphtalleyakoyi1336
@naphtalleyakoyi1336 Жыл бұрын
Wanasiasa wa Kenya yetu na wakasie hili ,ukabila kisiasa ndo inatumaliza
@eliudikapungu1931
@eliudikapungu1931 Жыл бұрын
Kweli kabisa mungu atulinde
@jacobjohn6512
@jacobjohn6512 Жыл бұрын
Viongozi wetu mjifunze kupitia hotuba za baba wa taifa
@georgekavishe2787
@georgekavishe2787 Жыл бұрын
Babaaaaa🕺🕺
@TimasMwambene
@TimasMwambene 16 күн бұрын
Huyu kweli alikuwa rais yaan wa kumfananisha naye bado Sana.
@juliusmollel5822
@juliusmollel5822 Жыл бұрын
Mungu amlinde
@hilarymtweve7317
@hilarymtweve7317 Жыл бұрын
Asante sana baba YETU mpendwa hakika baba wewe mtetezi wa wawanyonge
@user-cz7bd9tc5k
@user-cz7bd9tc5k 3 күн бұрын
Uli ongoza vizuri sana lakini ume Tuachia katiba mbovu sana
@zackmwitakitejakutokasimiy8238
@zackmwitakitejakutokasimiy8238 Жыл бұрын
Nilikupenda sana
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Жыл бұрын
Baba yetu uliwahi kusema chama kitakachoweza kuitoa CCM madarakani lazima kitoke ndani ya CCM. Tunaamini ukweli huo. Mungu awape ujasiri watu waadilifu wajitoe ndani ya CCM waanzishe chama kipya kitakacholeta matumaini kwa watanzania. Hicho chama kitachukua nchi kirahisi sana. Watu hao wasafi wapo na wanajulikana kwa wananchi. Wajipe moyo wa ujasiri wajiongeze wataungwa mkono.
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Жыл бұрын
Tanzania ya wanasiasa wa leo inakumbuka hayo maneno kweli? Au ndio yanaigilia sikio hili yanatokea sikio la pili. Mungu wetu uko wapi? Usituache wenyewe hatuwezi
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Жыл бұрын
umesema kweli baba ni kweli nchi hii haipaswi kuwa ya MATAJIRI. Ni nchi ya watu masikini lakini ni nchi yenye utajiri kuliko nchi nyingi duniani. Wanasema ni nchi ya pili afrika kwa kuwa na utajiri mkubwa wa asili. na tutakuwa juu kabisa kidunia kwa utajiri. Swali....kiongozi gani anaamini katika hilo na kulitetea bila woga? Uzalendo huo umeenda wapi? Wanasiasa walio wengi wamekuwa wabinafsi sana wanaangalia maslahi yao binafsi wanasahau maslahi ta taifa. wanasahau kuligeuza taifa hili kuwa matajiri kama ambavyo inavyostahili. Tanzania siyo masikini wa mali asilia bali fikra. Mungu wetu tusaidie Tanzania yako
@ernestshuma1489
@ernestshuma1489 Жыл бұрын
ungekuja ungeona upuuzi wanaofanya na kwa ninavyokujua we we unavyochukia upuuzi apo ungekata ata shingo ya mtu
@emmamateso7306
@emmamateso7306 Жыл бұрын
Uyu nyelele alikua nimutu wapekee sasana
@widonphilipo5866
@widonphilipo5866 Жыл бұрын
Tutakukumbuka mwalimu
@emmanuelsaguda7136
@emmanuelsaguda7136 Жыл бұрын
Rip baba wa taifa😢😢
@gidionkatorano8839
@gidionkatorano8839 Жыл бұрын
Tumuenzi kwelikweli kwa kututoka rohoni lakini viongozi wa ccm walio we gi hawana hofu ya mungu kwa kuzingatia aliyoyasema Baba wa Taifa.
@YaeLondon-xy7sh
@YaeLondon-xy7sh 9 ай бұрын
Babu baraka za Mungu zilikuwa nawe na
@benisango4553
@benisango4553 Жыл бұрын
Mzee......upo.....sahihi.....kbs......lkn......leo.......ndoyanayo.......ishiiii.......hapa......tz.......watu.......Wana......kula......tuuuu......hakuna.......ranqi.......tumeacha.......kuona..........Asante........mwandishi........Mambo.......ya.......msinqi......kwelikweli.....ubrkw.....Sana..."""!
@gervasrobert7766
@gervasrobert7766 Жыл бұрын
Bora urudi tu Baba inchi imeuzwa
@nicholausmosha5
@nicholausmosha5 Жыл бұрын
Mungu akusamehe makosa Yako akupokee mbinguni.
@naomyshayo9261
@naomyshayo9261 Жыл бұрын
Mungu akuuepushee namoto wajehanamu
@user-kw5ub2pt3h
@user-kw5ub2pt3h 8 ай бұрын
Mwarimu nyerere umojauriotujengea vijana sasahakuna viwandaurivotujengea vijanasasa vimekufa umojawavijana sasa umekuwa umoja wawazetu
@user-rs2rb6we2n
@user-rs2rb6we2n 6 ай бұрын
VIONGOZI WOTE WA SERIKALI MTAZAME HII KITU KILA SIKU ✍️ MNAJISAHAU SANA📌📌
@karithiemenyi154
@karithiemenyi154 8 ай бұрын
The best president afruxa has ever had. I really respect adore. Nay his soul rest in peace.
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 Жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania
@Mapenzi2635
@Mapenzi2635 Жыл бұрын
Nyerere na Aristotle wanatofautiana kwenye utumwa tu. Lakini, Hatuna wasomi wanaenzi mawazo ya Nyerere sawa na wanavyotunza ya Aristotle. Siku Nyerere akipewa heshima yake kama Mwanafalsafa, Tanzania itaongoza umoja wa afrika mashariki (political federation) na kisha ya afrika nzima.
@mmarycalvin6395
@mmarycalvin6395 6 ай бұрын
Mwl. Akirudi leo atashangaa sanaa
@ezekielbandshimbayabhoya331
@ezekielbandshimbayabhoya331 Жыл бұрын
Uhakika kabisa pongezi baba wa taifa ulale mahali pema peponi
@angelomfilinge8662
@angelomfilinge8662 5 ай бұрын
the stongest leader in the world. We will miss you forever
@widonphilipo5866
@widonphilipo5866 Жыл бұрын
Batsman mungu akurudishe
@zariadunia6328
@zariadunia6328 Жыл бұрын
Baba yetu huyo uliyempigia debe hakiyajai hayo uliyosema alijenga mahotel ughaibuni na hata kusahau kwao Ntwara
@wilsonchishomi1083
@wilsonchishomi1083 Жыл бұрын
Yaani lilikuwa ni bomu… yaani alituuza kabisa
@innocentntabala6329
@innocentntabala6329 Жыл бұрын
Hakika baba wa Taifa, uliyosema yanatendeka. RIP baba.
@evaristjoseph8151
@evaristjoseph8151 8 ай бұрын
Mabadiliko wasipo yapata !!!!!!!!ndani ya ccm watayapata nje ya ccm kwnn hatubadiliki?
@JeanNdayihimbaze
@JeanNdayihimbaze 2 ай бұрын
❤❤❤
@christopheyongesa6721
@christopheyongesa6721 8 ай бұрын
A great leader...
@haggairaywer7002
@haggairaywer7002 8 ай бұрын
My Political hero.
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Жыл бұрын
Point moja kubwa umeongea baba yetu mpendwa. Watanzania wanataka mabadiliko...... wakiyakosa ndani watayatafuta nje ya CCM. Tatizo hata huku nje watu tulio nao bado hawaaminiki... akili zao ni zile zile. Alikuja baba JPM akapinga rushwa kwa nguvu zake cha ajabu hao wa huko nje hawajaliona hilo hadi leo wakati sisi wananchi tunajionea kwa dhahiri kabisa.... sasa tutawaamini vipi? Tunaona ni wale wale tu. Labda kije chama kipya kabisa kimegeke kutoka ndani ya CCM cha watu waaadilifu sababu wapo.
@asungwilemwaifunga1285
@asungwilemwaifunga1285 Жыл бұрын
Siyo lazima CCM imeguke. Watu wengine, watanzania waikatae CCM waje na mtazamo mpya tofauti na wana CCM
@angelomfilinge8662
@angelomfilinge8662 5 ай бұрын
his philosophy will exist forever
@bujagajeremiah4308
@bujagajeremiah4308 9 ай бұрын
Huyu jamani alikuwa fundi sana
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 Жыл бұрын
**Rushwa, Umasikini (hivi kweli viongozi wa sasa wamebeba mioyo ya hawa wazee?, Udini (mawazo ya kipumbavu), na Ukabila**
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Жыл бұрын
Tatizo linaonekana hao hao wapiga kura wenyewe wengi wao ndio wala rushwa wakubwa sasa watamchagua vipi mtu atakayeenda kinyume nao? Hiyo itakuwa ngumu sana baba labda kama angekuwepo mwenyewe
@ommyd5081
@ommyd5081 6 ай бұрын
Rip ❤you
@shukurually5439
@shukurually5439 Жыл бұрын
Hakika Mungu ampumzishe j.k nyerere madhara pema
@thomasnkaina9070
@thomasnkaina9070 Жыл бұрын
Rusha imekuwa ugonjwa ambao ni sawa na ukoma ,Tatizo, tena sasa linaonekana kua kero kwa jamii haki inanunuliwa hasa wakati wa uchaguzi unafanyika sasa wa chama
@LucasSalimLiamaLiama-vq7qh
@LucasSalimLiamaLiama-vq7qh Ай бұрын
Tulimpata Magufuli ila manyang'au wamemuuwa kwa manufaa yao
@user-gp4tg8ur4u
@user-gp4tg8ur4u 7 ай бұрын
Rest in peace father
@stephenf.sikolia7588
@stephenf.sikolia7588 5 ай бұрын
Amen
@shukuluamosi7115
@shukuluamosi7115 Жыл бұрын
Hi
@user-cz7bd9tc5k
@user-cz7bd9tc5k 3 күн бұрын
Mwandishi Huyu Vipi?
@jotusjohn6970
@jotusjohn6970 Жыл бұрын
Ivi serikali iliyoko madalakani hawajui haya wanadiki na makodi Kodi kila Kona ,vyanzo vya mapato nchini mbona ni vingi amjui mnatuumiza
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 8 ай бұрын
Main point of late julias kambarege Nyerere during his life time speech address ccm leadership that this rooling part is not for reach people we need leader who sense challenge of poor people our farmer our nation who are poor Now this day we start talking about religious like religious is vary lptantAnt of people life if cricianity want to know number of cricianity prist will know his cricianity on the Charch if mwislim want to know number of mwislim they will know them on moskit What das it makes sense we gavment know religious number Even peaple jump on buss use troubblerizim today big country jointivencter they have unit you Africa population of 27milion you bring trublerizim jump on bus on trublerizim We need leader who will remove this elect leader who knows this Ok that was late julias kambarege Nyerere during his life time shout leader who are in leadership crush peaple who bring trublerizim or religious behavior brain capacity of late julias kambarege seen and sense Denger in fiucher to came
@EliasmwegoEliaselias-rq4ey
@EliasmwegoEliaselias-rq4ey 7 ай бұрын
Ulitutoa mbali utakumbukwa daima kizaz na kizaz.
@paulkipkoechbosuben3106
@paulkipkoechbosuben3106 4 ай бұрын
Kweli ulikuwa unatosha
@godfreyjulius5132
@godfreyjulius5132 Жыл бұрын
UTAISHI MIOYONI MWA WATANZANIA DAIMA, PUMZIKA KWA AMANI MZEE WETU.
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 7 ай бұрын
Wakati ndo walitudidimiza wakina mkapa na waliofuata
@imeldamsigala3783
@imeldamsigala3783 Жыл бұрын
mtoto waajabu
@moshiphoneclinic6070
@moshiphoneclinic6070 10 ай бұрын
Ok mzee pumzika
@daudmnanga7075
@daudmnanga7075 9 ай бұрын
Tutamuezi sana
@jamessindan2475
@jamessindan2475 Жыл бұрын
Mwalim Tanzania uriotuachia imearibika sio ile
@amranhusein5557
@amranhusein5557 Жыл бұрын
kazinzuri
@Kimware-kb1yb
@Kimware-kb1yb Ай бұрын
Nina
@user-ok1ni9tk6k
@user-ok1ni9tk6k 6 ай бұрын
He who knowsomething the
@lugwetunje3896
@lugwetunje3896 14 күн бұрын
Magufuli ndio alikua na sifa hizo zote
@KingsPambakali
@KingsPambakali 3 ай бұрын
Loan
@Michael_Msanzya
@Michael_Msanzya 4 ай бұрын
Maneno yanayo Ishi
@nyakubusakabazi2689
@nyakubusakabazi2689 10 ай бұрын
Yani basi tu
@nyakubusakabazi2689
@nyakubusakabazi2689 10 ай бұрын
Ulitakiwa kuwepo mpaka sasa
@user-qr5jf6ir9i
@user-qr5jf6ir9i 5 ай бұрын
Tunakukumbuka baba wa taifa
@edwardpaulokabongo6207
@edwardpaulokabongo6207 Жыл бұрын
Baba ulikuwa unaona mbali sasahv ni Kila kukicha aheri ya Jana,
BABA WA TAIFA ALIILILIA TANZANIA KABLA YAKUKATA ROHO.
21:57
Wasafi Media
Рет қаралды 1,8 МЛН
TOP 10: KAULI ZA BABA WA TAIFA MWL. NYERERE ZILIZOTIKISA
24:03
Global TV Online
Рет қаралды 1 МЛН
He sees meat everywhere 😄🥩
00:11
AngLova
Рет қаралды 10 МЛН
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 132 МЛН
КАРМАНЧИК 2 СЕЗОН 7 СЕРИЯ ФИНАЛ
21:37
Inter Production
Рет қаралды 493 М.
Получилось у Вики?😂 #хабибка
00:14
ХАБИБ
Рет қаралды 7 МЛН
Julius Nyerere on the East African Federation (1966)
8:26
AfroMarxist
Рет қаралды 116 М.
Yaliyopamba kampeni za Dkt John  Magufuli katika Safari ya Ikulu
12:33
MUHIDIN MICHUZI
Рет қаралды 308 М.
PART 1: MZEE MAKAMBA AMVUNJA MBAVU KIKWETE HADI MACHOZI YAMEMTOKA...
20:48
Mwalimu JK Nyerere Katiba 1
13:11
SIMU. Tv
Рет қаралды 90 М.
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 561 М.
TAZAMA OSCAR NYERERE ALIVYOMUACHA HOI RAIS SAMIA, AITWA KUTUNZWA
6:20
He sees meat everywhere 😄🥩
00:11
AngLova
Рет қаралды 10 МЛН