Asante Yesu kutufikisha hapa...nimekuja kushukuru 🙏🏾🙏🏾
@DanielKweka-o1h3 ай бұрын
Nipeni like kaama unampend doctor ipyana❤❤❤❤
@AgnesKalinga-ku5se3 ай бұрын
I really love this Man of God beyond measure...since I started following his teachings I can't regret he is a living testimony
@faithhunja33163 ай бұрын
Wakenya 🇰🇪 twasema Asante Yesu kwa ku save Dr.Ipyana mtumushi wako ,kutokana na ajali baya, Asante Yesu kwa kuokoa Mwana wako 🙏 twaweza aje nyamaza wakati Yesu umetedea Dr.Ipyana miracle twasema Asante 💙
Mm pia mkenya, Nashukuru sana MUNGU nikimuona doctor naona uwepo,matendo na KAZI kubwa ya Yesu..Tunakupenda sana Yesu tudumishe MUNGU kipenzi Chetu kwa Neema Yako.Amen
@romwaldkabwebwe67473 ай бұрын
Asante sana Dr Ipyana kwa kuuona huu wimbo na kuona usipotee maana iko nguvu kuu juu ya wimbo huu. Mara ya Kwanza nausikia ilikuwa kwenye semina ya Mwakasege baada ya msiba wa mtoto wake.😭😭
@EneaMwakamyanda-i7p3 ай бұрын
Kwa kweeli
@deborahfaustine15013 ай бұрын
Kweli tuliusikia siku ya kwanza ktk msiba wa Joshua mwalimu akewa ktk kongamano
@christinewomanoffaith54793 ай бұрын
Yes ila nataka kujua huyu ndo mwenye wimbo? Maana ulijulikana kupitia mwalim
@Sta-ckАй бұрын
@@christinewomanoffaith5479mwenye Wimborne ni huyo mzee willy mwakasege
@isaacwangui3 ай бұрын
Waaaaa....what a simple song yet powerful & glorious.Kama unaamini safari ya 1M view weka👍 Asante❤ 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@vivianlyimo6703 ай бұрын
Wanyakyusa my Favorite People Neema ya Mungu ikufunike Dr IPYANA Tunamtukuza Yesu kwa Kulinda Uhai wako 🙏🏻
@estherjonas53213 ай бұрын
My goodness my God 😭😭😭🙌😭🙌😭🙌🙏 what a song of the season Bwana naendelea kusema ni Asante kwa makuu Yako unayozidi kutenda maishani mwangu na yote utakayoendelea kutenda maana hakika najua ya kwamba upendo wako kwetu hauna vipimo🙌🙌🙌🙌 hallelujah to the most high God 🙌🙌🙌🙌🙌
@BarakaLuvonga13 күн бұрын
God thank you for this man of God who is my role model,,God continue lifting Dr Ipyana for me
@JacobMuli0013 ай бұрын
I came across this song right now and am becoming so emotional 🥹. I’ve re-listened to it again and it’s really blessing my heart. Come to think of how we can never lack a reason to thank God every single second in life . There is millions and billions of reasons always 🙌 ,,that beyond just thanking Him for His blessings and what He has done to us , there is the reason of who GOD IS AND HAS BEEN TO US INDIVIDUALLY 🙌 His unconditional Love, mercies , The Joy of our salvation and many many countless reasons ✨ OOOH THANK YOU LORD ❤ Thank you sir for being a great blessing to me and many others 💫 I honor you 🙌
@petrahmaggie47683 ай бұрын
First one today love for Dr Ipyana and team your song always ablessing to us love from uk give me likes please 🙏😢
@MICHAELMWAMPANDE2 ай бұрын
Mungu awaongezee viwango ipyana na mwakasege
@teddypsalmist66633 ай бұрын
Powerful 💪 I'm blessed 🙏 KENYA 🇰🇪 represented.
@IpyanaMwabwanga3 ай бұрын
I love you my bro your the worshiper as to the book of John 4:24 you have came to teach us on how to worship YHWH in spirit don't stop because you continue to plant good seed of worship as you today everyone what to do live as you as you said in one of your interview you said''one hundred quality with one hundred spiritual matter while your doing service '' you have been a mirror to that why you have to pass in difficult matters because grace that you have is for making unseen to seen by ijoh
@JacquelineKeino-xf6le3 ай бұрын
Thank you God to this far no sickness and you have fought for our battles 🙏🙏🕊️🕊️
@bradinjuma2273 ай бұрын
God am greatful Whta a song And am the first one here nipeeni like
@Wolly254.3 ай бұрын
Team 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 we love you Dr🙏🙏
@Minister_Jamesdavid_Tv3 ай бұрын
Behind Singing,kuna Roho Anaekuongoza Kuhudumia Watu haijalishi sauti iko aje...Thats why naongea kila siku Worshipers wa Tz ,tuna kazi ya ziada ya kufanya na Roho mtakatifu....Dr Ipyana Hs Real Worshiper❤
@MercyWaweru-gp2pj3 ай бұрын
Oh God🙆🏻♀️😭 I've not even had enough of Nawezaje Kunyamaza yet😭🔥 Thank you for loving God so much Sir. 🙇🏻♀️
@liliankanja52583 ай бұрын
Ameeeen..🙌🙌🙌🙌 Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@CollethaMramba2 ай бұрын
Mungu awabariki awafiche damuni mwake
@butwawestonmwailubi3 ай бұрын
Ndaga JESU , GWE MPOKI ,GWE MWIKEMO..MPONJOLI ,NDAGA MALAFYALE...NDAGA JESU ,NGOJOBHA NDAGA JESU
@christinewomanoffaith54793 ай бұрын
Yaani English imeshindwa ku-tlanslate kinyakyusa dadeki😅
Thankyou JESUS you are worthy to be praised 🎉,🙌🙌 Hallelujah 🇰🇪🇰🇪 Keep shining 🌟 Servants of God!, 🙏
@eliufoosimonchuri41603 ай бұрын
Nasema asante.....nimesubiri sana huu wimbo. Bwana awabariki sana na mtumishi wa Mungu Willy Mwakasege
@janekasalile54353 ай бұрын
Amebarikiwa sana
@christinewomanoffaith54793 ай бұрын
Hapa kakosekana ,Gwamaka,Boaz Danken,Paul mwangosi,Gordian newton Wote wanyakyusa... 🙌🙌Aisee wanyakyusa ndaga ndaga
@DianaMwamatepela3 ай бұрын
Ndagha fijo
@eunicembitha3 ай бұрын
Asante yesu kwa uzima asante kwa afya njema asante MUNGU wangu kwa kumsimamisha tena Dr IPYANA wakenya wenzangu mko wapi tumshukuru mungu.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@nicolejuma15193 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏
@JohnSabas-l2k2 ай бұрын
Asante Yesu kwa kutupatia watumishi wanaompenda Yesu
@emanuelavaleriani86463 ай бұрын
Nasema asante kwa kuponya nafsi yangu kutoka maovu ya Ibilisi. Nasema asante kwa kulinda nchi yangu ya Tanzania
@aminasamwe61523 ай бұрын
Asante YESU kwa uzima na afya Asante tena na tena baba ninakushukuru Sana kwa ajili ya Mtumishi wako Dr IPYANA endelea kumtunza na kumpa afya njema BABA NINASEMA ASANTE TENA🙏
@HedaNdahimana3 ай бұрын
Amen Dr ipyana God bless you 🙏
@Edesmarcel3 ай бұрын
Asante YESU The Sound of Thanksgiving...🙌
@winnienyabuto92952 ай бұрын
Asante Yesu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪. Naamini bado utatenda
@beatricecherdiel92993 ай бұрын
Asante Yesu kwa yote umetenda. This song has been released just immediately after being saved from big road accident. Thank you Lord for preservation
@StanslausNdanga3 ай бұрын
Be blessed man of God ❤️🔥❤️🔥❤️🔥😇
@maclynnyamusi3 ай бұрын
Asantee. Na huu uwe wimbo wangu. Wimbo wa shukrani. 🔥🔥🔥
@AbrahamJulius-t8d3 ай бұрын
Dr ipyana be blessed kaka
@HellenSulle-m7t3 ай бұрын
Asante Mungu kwa ajili ya mtumishi wako kwa kumponya
@innocentgodlisten79833 ай бұрын
Wimbo wangu pendwa umeufanya bora zaidi Mungu akutunze
@Mr.Wans-013 ай бұрын
Lord give me power to worship you like this
@firstkenyan88333 ай бұрын
Asante
@JoshuaBenson-xs5il3 ай бұрын
Asante sana Mungu kwa ukombozi wako ;Tunajua Mungu utaki tuhangamie ndiyo maana unatumia watumishi wako mbalimbali hili tupone Amina.
@faithonyango83213 ай бұрын
Thank you Lord Jesus am grateful
@rockinstituteofhumanlifema52923 ай бұрын
Nasema Ahsante kwa Mungu wa Doctor Ipyana❤❤❤❤❤❤❤
@koetltanzania22513 ай бұрын
Ooo Yesu Asante kwa Tanzania 🇹🇿 nchi uliyotupa watu wenye IMANI yakukujua wewe kwa Roho na Kweli @Dr IPYANA be blessed… Mungu akutunze zaidi kwa kusudi lake❤❤ #UCHALA BHA BHOSHI❤❤
@kelvinmwaigho3 ай бұрын
For sure God we say thank you 🙏🙏🙏✨🌟✨✨✨
@bettykasambala43463 ай бұрын
Thank you lLord Jesus ! Beautiful and glorious!
@epimackmassawe32453 ай бұрын
The highest form of Ibada is Thanksgiving ❤
@DafuJoseph3 ай бұрын
Mbarikiwe sana. Napenda sana nyimbo za Dr. Ipyana nabarikiwa sana.
@evelynmutunga3 ай бұрын
In all things I give thanks 🙏
@EnesiaSteven3 ай бұрын
NASEMA ASANTE YESU🙏🙏🙏 WEWE NI KILA KITU KWENYE MAISHA YANGU
@ObadiaMbaga2 ай бұрын
Kwa kumfatilia ipyana tu utajua mungu yupo
@masetojoseph88333 ай бұрын
Powerful song,blessed by the Mighty Jesus
@sam_wa_nduthi2543 ай бұрын
Dr ipyana a vessel of God's presence
@ZaneGideon-sp2pj3 ай бұрын
Aminaaaaa kubwaaaa hakika Kuna Kuna utukufu kwenye huu wimbo 😭😭🙏🙏🙏🙌🙌🙌🤝
@dicksonbuberwa5643 ай бұрын
Barikiwa sana watumishi wa Mungu kwa kumfanyia Mungu wetu ibada
@shush4153 ай бұрын
God bless u dr ipyana.mombasa tunakupenda❤
@RoineRakoi3 ай бұрын
Bwana tumekuja kukushukuru ❤
@DanielKweka-o1h3 ай бұрын
Thanks Jesus
@AbySakini3 ай бұрын
Thank you Jesus.
@IvanIvangodblessmmbando3 ай бұрын
Asante YESU ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@CHEPKIRUICYNTHIA-bg8lr3 ай бұрын
Glory to God, amenitenda mema
@mesiambilinyi41123 ай бұрын
AMEN 🙌🙌🙏🙏🙏❤
@melloelisha46303 ай бұрын
Ndagha Jesu🙌😭..Hata kama yote ni mabaya kwangu kwa sasa,najua Bado hujaniacha na unanipenda sana Yesu
@emmanuelkoech63623 ай бұрын
Naam. Ni wimbo ulio na ujumbe kuu, wenye uwezo wa kubadili jinsi na hali ya kumtumainia na kumwabudu Mungu. Asante sana daktari Ipyana. Nina swali tu, ila kwa unyenyekevu. Je kuna cordination mzuri katika pale kuongoza au ninao mwoneleo tofauti. Ni kana kwamba mtumishi Willy kauchukua nafasi yote..😮
@onesmomariki86673 ай бұрын
The Highest Form of Prophecy is ThankGiving (Nasemaa Asante! (Thank You Jesus)) Praise The Lord Al Mighty
@yohanamasukakideka71433 ай бұрын
Haleluy 🙌🙌
@lilianwanje91853 ай бұрын
Asante Yesu kwa umbali huu umenileta
@colmanrichard51313 ай бұрын
Thank you Yeshua the Christ
@evelyneitabo76083 ай бұрын
Glory be to God in the highest
@ObadiaMbaga2 ай бұрын
Mungu Ana watu wake ni hilo tu
@ObadiaMbaga2 ай бұрын
Neema ya mungu izidi zaidi
@edinaleonard96713 ай бұрын
Love you minister may GOD keep you and your ministry higher🙏
@jacquellinesuba27903 ай бұрын
God bless you dr Ipyana a true worshiper. Nkinga- Tabora tunakupenda❤
@BlesssingMeela3 ай бұрын
Mungu awabariki sana watumshi
@bettykasambala43463 ай бұрын
Hallelujah! Wanyakyusa wa Yesu oyeeee! This song is glorious full of thanksgiving! Thank you Lord Jesus
@victormteule23333 ай бұрын
Amen glory to God
@EneaMwakamyanda-i7p3 ай бұрын
Nikuti ndagha Jhesuu🙌🙏 🙇♀️ Ndagha mulufumwisye ulimbo ulu luli nu luseke lwa Mbepo mwikemo musajhighwege bhabhombeli bha Ntwa
@wasafirecordlabel52483 ай бұрын
we noma nakubari
@adilibryceson54453 ай бұрын
Ndagha Jhesu❤🙏
@Sophie-u6e3 ай бұрын
Nami nasema Asante kwa ukuu wako na mkono wako wa hodari kwa kumuepusha Mtumishi wako Dr Ipyana......you're a blessing to your generation 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@salomeanyoso34933 ай бұрын
Nasema asante Mungu wangu kwa mengi umenitendea
@irenekessy76923 ай бұрын
Yes the Mwakasege guy his voice afanye practice but thanks for the song
@ritahdedeng68893 ай бұрын
Worship is to bring glory to God, not to please MEN!!!! stop negative messages, regardless of your voice, God accepts our worship!!!! No one needs practice to worship God!
@culturaltales23 ай бұрын
No one has commented negatively. People never want to be told the truth, everyone has a right to speak their mind. And it's up to the ones who own this song to choose what they will take so that they can grow and be better next time, and leave that which they feel is not important...
@neemakilongo78083 ай бұрын
I remember this song 2018-19 oooh my God
@barakamwangunda3 ай бұрын
Hakika nasema Asante Bwana Yesu Mungu Mkuu.Barikiwa dr Ipyana na, mtumishi wa Bwana Willy Mwakasege.Tunajifunza unyenyekevu kwenu.
@amazing7543 ай бұрын
Acha niseme Asante
@janekasalile54353 ай бұрын
Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu aliye juu!! Ahsanteni kwa wimbo huu mzuri sana
@TWENZETUEDEN3 ай бұрын
Dr. Ipyana With Sir Willy Mwakasege there's power in this song maana ni vema kumshukuru MUNGU WETU🙏🙏
@userbridgitnkatha3 ай бұрын
Thank you God 🙏
@leahmanyasi54853 ай бұрын
Hallelujah praise be to Jesus. I join in this Thanksgiving. Thank you Jesus.
@gracekisumila3 ай бұрын
❤❤❤❤ ntaga jesu gwemalafyale gwangu kangu gwemponjoli
@mtangag7743 ай бұрын
Barikiwa mtumishi
@cstephano3 ай бұрын
Glory to God🙏🙏🙏
@d.mwachira963 ай бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪from kenya twasema asante for God has done and He is doing
@godwinkasaizi8823 ай бұрын
Hongera Sana Dr. Ipyana na Timu Yako. Mungu awabariki. Nasema AAASANTE.
Nasema asante Yesu kunionekania tena. Aaaasante aaasante aaasante......
@FurahaClementine-hg4lc3 ай бұрын
Nasema asante bwana Kwa Mama wewe Ni mwema kwenye maisha yang sina mwingine mungu kama na ww Jehovah nasema asante Kwa Mama ww unahistahile Yahweh🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏
@winnieatieno16923 ай бұрын
Thank You Jesus, for this new month. Twasema Asante kwa yote uliyotutendea , kwa yale haujatenda na kwa yale utatenda.